Mungu aendelee kukutunza mama lipo kusudi la mungu kukuweka kufanya kazi Muhimbili
@upendo822 жыл бұрын
Barikiwa sana mama Mchungaji, umejua kile Mungu alichokuitia hapo Muhimbili na pote unapotumika. Neema izidi kwenu
@dr.sarahosima80662 жыл бұрын
Mama Mchungaji Mungu akubariki Sana, kazi Yako ni njema. keep it up
@ombendaud59382 жыл бұрын
Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana.Mimi mwenyewe nilikuwa na Heart Failure Mungu akubariki mama kwa kazi yako njema hapo Muhimbili NH
@angelinamichael77422 жыл бұрын
Mungu ni mkuu sana. Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana
@rhodamwafongo66602 жыл бұрын
Tunawapenda sana wapendwa ,Mungu azidi kuinuliwa daima
@jardinemwasi81232 жыл бұрын
Hakika Mungu wetu anaweza. Yote yanawezekana kwa imani.
@rahabnkya82762 жыл бұрын
PALIATIVE CARE TREATMENT! OOOH MY GOD. HONGERA SANA MAMA MCHUNGAJI. ASANTE SAAAANA MAMA KWA KUMBATIZA HUYO MTOTO. MUNGU AKUBARIKI SANA. LISIWEZEKANA KWA MWANADAMU KWA MUNGU LINAWEZEKANA.
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Mama mchungaji kimaro mungu akubariki sanaaaa umeopoa kiumbe kwa uponyaji wako na mungu am amina
@EzrahMassawe-ug5uo2 ай бұрын
Mungu aendelee kumtunza mtoto amen
@cincreareuben14446 ай бұрын
Barikiwa sana mama mchungaji pamoja na familia yako!
@JohnmaryNestory6 ай бұрын
Jina la Bwana libarikiwe. Amina
@asiangulwa54967 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu hongera mama mchungaji.
@chalaleiwen51452 жыл бұрын
Mungu akuponye mtoto wewe ni malaika wa Bwana na mama mchungaji Mungu akubariki sana mama
@agnessmengi6912 жыл бұрын
Amen amen mtumishi wa Mungu mama mchungaji,Mungu akubariki na amepona kabisa katika jina la Yesu
@violetwinluck48852 жыл бұрын
Ameen Mungu anaweza🎉🎉🎉
@agneskilemwa86712 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu wetu, mama Mchungaji Mungu akutunze na kukubariki
@rithakuyala99512 жыл бұрын
Mungu ni mwema 🙏 🙏Mungu azidi kumuimalisha AFYA yake mtoto wetu
@PaulRPaul-z1q Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ni mwema sana
@gilianmsoffe63202 жыл бұрын
Barikiwa sana mama mchungaji kwa huduma
@mariakibwana37002 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema
@jennytugara94702 жыл бұрын
Barikiwa sana Mama Kimaro familia yenu ikawe mwanga na taa ya uponyaji mahali popote mlipo nawapenda sana. Hii ndio mfano wa familia halisi ya Kikristo🙏🏾
@bimengtan23152 жыл бұрын
Bwana Yesu ni mweza wa yote.
@gracemsilu27572 жыл бұрын
Hakika lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana.
@millieholmst66282 жыл бұрын
Amen mama mchungaji very good work
@JoyceHaule-o8c8 ай бұрын
Mama upo viizuri barikiwa
@everlinekemunto2672 жыл бұрын
Amen, hakika there's hope in life
@getrudaroman8941 Жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu juu
@rosendanshau26742 жыл бұрын
Huyo mama aokoke amtumikie Mungu tu ayaone matendo makuu zaidi mama Kimaro Mungu akuze hiyo huduma yako asante
@rofeaelijah53872 ай бұрын
MUNGU akubariki mama ch kimaro
@sia48672 жыл бұрын
Lisilowezekana Kwa mwanadam Kwa Mungu linawezekana,, Amen
@MargaretVihenda-c4h11 ай бұрын
Glory to God 🙏
@florabuzoya39482 жыл бұрын
Hakika lisilowezekana kwa Mwanadamu kwa Mungu linawezekana
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
Mungu mwema siku zote
@rehamamakali19912 жыл бұрын
Amen sana 🙏
@FurahaIshengoma24 күн бұрын
Amen Amen
@djaloufranco6742 жыл бұрын
Naomba nitoe sadaka naomba namba ya mama kimarommchungaji
@lovenessmwamengo70902 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama mchungaji, Heshima UTUKUFU uweza na adhama ni vya mungu.
@leahsamwel1931 Жыл бұрын
Mungu pokea sifa na utukufu
@tegemlowe11442 жыл бұрын
Mungu abariki kazi ya mikono yako mama mchungaji na Mungu akuinue zaidi katika viwango vya juu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@thomastarimo2 жыл бұрын
Waumini tusikubalil usaliti huu kwanini baba yetu apewe likizo ya kimtindo hapa kwanini tusisuse kuingia kanisani
@louiaambalale78982 жыл бұрын
Hiyo ni migomo ya kimwili, kinachotakiwa hapa ni kuzama katika maombi pamoja na kufunga.
@ombeninassary21512 жыл бұрын
Mubarikiwe sana
@dinatinaeliah42972 жыл бұрын
Ameen natiwa nguvu
@mariajerome7262 жыл бұрын
Lisilo wezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana
@florahemmanuel83232 жыл бұрын
Wow Glory belongs to Jesus Enendeni mkawabatize..... Kazi njema mama umefanya kilicho agizwa
@jumamagina96842 жыл бұрын
Ameena
@elichiliameela3204Ай бұрын
AMEEN
@greenermichael20572 жыл бұрын
Amen
@suzanashiyo37552 жыл бұрын
Daaaah machozi yamenitoka
@dafrosamsonge20072 жыл бұрын
Amina
@luhekelondelwa97142 жыл бұрын
Amin hakuna lisilo wezekana kwa Mungu
@rahabnkya82762 жыл бұрын
Leosebius John!!
@suzanashiyo37552 жыл бұрын
Mungu ni mwema🙏
@mwitaagness4552 жыл бұрын
Amina...nina iman ipo siku kaka yangu atatoa ushuhuda...
@evelynsalila97002 жыл бұрын
Amen 🙏
@timothymoshi58002 жыл бұрын
Mama mchungaji, MUNGU na akukumbuke.
@reginajohnmaghisa3222 жыл бұрын
Ameeen 🙏
@rahelgika38702 жыл бұрын
🙏🙏
@JoyceHaule-o8c8 ай бұрын
Mungu ni mkuu
@nsiamasawe45782 жыл бұрын
Kila nikiangalia utumishi wa mchungaji huyu najiskia kusifu na kuabudu kusipo na mwisho
@henrytimothy30482 жыл бұрын
Tunavyomuona na mmeficha sura wabongo bana
@valenakomba92182 жыл бұрын
Palliative care mbona iko mpaka ulaya Tena inatumika Sanaa. Kwa wagojwa wengi wa KANSA AMBAO KANSA ZAO ZIKO STAGE YA MWISHO.
@ainesytinda444 Жыл бұрын
Amen
@ruthmshereja39764 ай бұрын
Hakika MUNGU ni mkuu sana,afanyika baraka kwa kupitia kazi ama ajira alizotuoatia ili tufanyike baraka na ukuu wake udhihirike
@henrytimothy30482 жыл бұрын
Sasa mnaficha sura Kwan kabakwa?
@hyacintagugu72 жыл бұрын
Hahahahaha
@hono12322 жыл бұрын
Ni sheria ya kinataifa kutoonyesha sura za watoto wadogo wenye matatizo mbele ya kamera