Mchungaji Eliona Kimaro - Matunda Ya Mdomo #africhamovies #africhaentertainment
Пікірлер: 81
@rehemngulwa2953 ай бұрын
Barikiwa mtumishi huwa nakuelewa sana
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Asante Kwa kunifungua mengi katika mahubiri Jaya. Natamani Njombe wangejua ya Yale wanayofanta kuuwa familia bila kosa Lao. Mungu Atusaidie. Amina.
@suzaniddy51643 жыл бұрын
Hakika leo ni mwisho wa kunena yasiyofaa
@rahabnkya827611 ай бұрын
Kuna dawa!!
@rahabnkya827611 ай бұрын
NINAFUATILIA MAFUNDISHO HAYA, NAMI NINA HAKIKA MUNGU AMEPOKEA NA KUKUBALI MAOMBI YANGU. BABA NAKUSHURU. UBAYAAAAA !
@mosesmwakabendegospeltv99202 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba eliona kimaro
@rahimajuma53066 ай бұрын
Amina
@ilomonestory56814 жыл бұрын
I love you in deed work of our master God Tanzania is blessed 👏👏👏
@safiselemani823511 ай бұрын
Nimebarikiwa sana n'a hii mafundisho
@magrethndokole61355 жыл бұрын
Amen Amen Amen mauti imezuiliwa kwa DAMU YA THAMANI YA YESU KRISTO. Mungu akukumbuke na kukutendea mema mchungaji Eliona Kimaro.
@jackmacha23283 жыл бұрын
YESU NISAIDIE NITUNZE KINYWA CHANGU
@dorithherbert5644 Жыл бұрын
Barikiwa sana kwa huduma nzuri.
@user-ft8ch2pu9k Жыл бұрын
Amen
@wamuyundungu36186 ай бұрын
A very sound teaching. God bless you man of God.
@hekimakadinda21973 жыл бұрын
Hakina nabarikiwa kupitia ww nafunguliwa amina sana kwako
@bilugwemwanzije Жыл бұрын
Neema ya mungu isikukome mtumishi !!?
@ndabawelizerenatus8102 Жыл бұрын
Mtumishi nabarikiwa na mafundisho yako
@bilechaasukulu9922 жыл бұрын
Mungu atuurumie Mchangaji.
@matlidambuthia27363 жыл бұрын
Amen.. Damu ya Yesu christo aliye Hai
@gladnessbenson7999 Жыл бұрын
Ameen Damu ya Yesu imetukomboa
@shideashidea55705 жыл бұрын
Amina mchungaji nakuelewa sana
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Eeee MUNGU NISAIDIE. Maneno ni MENGI yamesemwa juu ya wanangu Allan na ANGELA , ondoa hayo maneno kwa damu ya yesu. ZUIO liweo kwao nyakati . Maapizo ya midomo ya WATESI wangu WOTE wajutie nafsi zao ziyeyuke .
@conessymhagama7873 Жыл бұрын
Be blessed Sana pastor
@theopistamwayeya17643 жыл бұрын
Amen baba!Najipaka damu ya Yesu katika mwili wangu wote.Mm ni mshindi!
@annalaizer7142 Жыл бұрын
Amen, Amen
@gervaskisenime14182 жыл бұрын
AMEEN
@joycewambui22705 жыл бұрын
Kai sijaona kama we we kwa upako wanguvu nafundisho languvu aleluya
@janetraulenti92915 жыл бұрын
Amina baba
@angelyshaily1466 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@babalois72405 жыл бұрын
Naskia Roho na mifupa yangu inatiwa Nguvu ,Naona kuimarika ktk maisha yangu ya kiroho,Mungu akubariki Pastor Eliona
@bilechaasukulu9922 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alicekatana1429 Жыл бұрын
Amen 🙏 ameni
@bilechaasukulu9922 жыл бұрын
Amen 🙋🏻♂️
@bilechaasukulu9922 жыл бұрын
👏👏👏👏🙋🏾♂️🙋🏾♂️🙋🏾♂️
@estermungure71795 жыл бұрын
Amen Baba Mchungaji sema Baba tupone Mungu akuinue kwa viwango vingine
Hakika somo limenibariki.Damu ya Yesu ni dawa.Amina.
@joycewambui22705 жыл бұрын
Yesu alikusimamisha kwa wakati kama huuu
@heavenlight50844 жыл бұрын
Amen hili somo limenifundisha
@arubalydia2245 жыл бұрын
Waaa...mchungaji hii ni yangu dah!!
@angelistertarimo82154 жыл бұрын
Amina baba.kijitonyama Kama natokea mbezi ya kimara napanda magari ya wapi?
@ninaarmel52505 жыл бұрын
6. ...Kelele ya usiku wa manane ina msingi kubwa wa kibiblia, lakini kwa kiwango tumefikia, kwa mteule, hii yaja kukamilisha kile tayari anachokijua. Na wakati wana wa shetani wangali wanafungamana na mawazo yao, wateule wanajichukulia mamlaka. #Prophetkacouphilippe #pkpchanneltv
@jafarimbuguni33995 жыл бұрын
AMEN BABA
@geofreymyashafi.85345 жыл бұрын
amen
@bilechaasukulu9922 жыл бұрын
Damu ya Yesu utupake kwa familia yangu.
@marymoshi22405 жыл бұрын
Good sms,
@gaspatiodos19114 жыл бұрын
Amen amen balikiwa mno baba
@raheemamkambha60135 жыл бұрын
Ameen mtumishi
@gracealexander53095 жыл бұрын
Ameen
@bilechaasukulu9922 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pacomelalle51735 жыл бұрын
33. Nabii ndiye anakuja baada ya nabii na Hosea 12:14 inasema: "Kwa nabii, Bwana alipandisha Israeli kutoka Misri, na kwa nabii alilinda Israeli ". Na hata katika historia ya Kanisa, baada ya nabii Polycarpe kuuawa katika mwaka 167, Kanisa ilipata nabii mwingine. Na hakuna hata mahali moja katika historia yote ambamo inaonyeshwa wanafunzi wa Polycarpe wakiongelea kumbukumbu za zamani. Na hakuna yeyote aliyeweza kuja na kuwaambia watu wamwamini Polycarpe mfu kama wanavyofanya leo wayahudi, waislamu na wakristo. Yesu awe Mungu au la, Musa awe nabii wa kweli au wa uongo, Muhammad awe nabii wa kweli au wa uongo, siyo ya maana, hainiangalie. Yote waliyotimiza, ilikuwa kwa ajili ya watu wa wakati wao. Musa hakuunda uyahudi, Yesu Kristo hakuunda ukristo, na Muhammad hakuunda uislamu. #ProphetKacouPhilippe #PKPCHANNELTV