"NILIMPENDA SANA MKE WANGU NILIKUWA SIMSIKILIZI MTU, AMEIOMBA TALAKA"-RICARDO MOMO

  Рет қаралды 152,530

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 221
@abdourazakndeze4157
@abdourazakndeze4157 Жыл бұрын
Dr Mwaka sikiliza vile kijana mdogo kwako anakufunza hekima...jifunze kutoropokwa ropokwa hovio... big up Momo na Allah akusimamie kwenye amali zako
@fatumayussuf2961
@fatumayussuf2961 Жыл бұрын
Kweli
@irenesilvesta7609
@irenesilvesta7609 Жыл бұрын
Hi
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Huyu kaka mimi namkubali sana Ila namuomba akasikilize nyimbo ya Harmonize-tz ya I'm single inamfaa. Pole momo kuachana kupo utapata wa maisha yako tatizo mnapenda sana muonekano kuliko utulivu.
@zamzanimakundi2546
@zamzanimakundi2546 Жыл бұрын
Una hekima sana momo hongera sana umeongea kama mwanaume alie ingizwa jando la asili👏
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 Жыл бұрын
Kamwite Mwaka aje aangalie ajifunze maana yule naye zwazwazwa
@reginajames4434
@reginajames4434 Жыл бұрын
Sauti kidogo Kama ya mondi,ila una akili sanaaaa Kaka very smart
@anixtra7887
@anixtra7887 Жыл бұрын
Habarini hapo studio. Hongera sana sana kijana wangu Momo. Kwa kauli zako hakika wewe ni bonge la mwanaume wa ukweli. Una akili sana. Nimekua nikifuatilia sana kauli zako. Wewe ni mume bora ila mke ulikua huna. Mungu akujaalie umpate mke mwema inshalaaa! Mwisho lbisa unafanana sana na mtoto wa Nasibu aliyezaa na Tanasha mkenya.😁
@peaceelisha
@peaceelisha Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂afu wewe eti mke alikuwa Hana ko alikuwa aña nn
@queenchuwa1383
@queenchuwa1383 Жыл бұрын
L0ķ88
@halimamnavi3208
@halimamnavi3208 Жыл бұрын
Ndugu yangu usimpe kichwa siku zote ndoa ya watu wawili tu sisi wengine wasikilizaji tu huyo akimrudia mke wake hawezi kusema mtandaoni humu mtata mwenyewe huyo mwanaume
@sharonnemartins2798
@sharonnemartins2798 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akusaidie Momo
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Pole sana ila hongera kwa maamuzi ya kiume Iwe fundisho kwa dr mwaka Mungu akupe alo mwema nae apate alo wake
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Жыл бұрын
Ahsante kijana umejibu vyema umemsitiri mwenzio.
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Momo umekonda siku chache, kuanzia Mwili mpk sauti..!.…pole Sana
@lilianbrighton1539
@lilianbrighton1539 Жыл бұрын
Hahahaha
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Жыл бұрын
Huyo mke wala hukuendan nae kwaulivyo mtu wa din nahyo mwanamke tofaut, tatixo mnafuataga Shep ndomana.ila sawasawa Tu kumbe unapenda wavaa vichup hya
@frizzy6766
@frizzy6766 Жыл бұрын
Pole sana utapata mwema uko sawa tu 🥰
@hawaramadhani8430
@hawaramadhani8430 Жыл бұрын
Ni kweli km hakutaki achana nae siyo kulazimishana
@janifajani8875
@janifajani8875 Жыл бұрын
Pole kaka yangu mwenyenzi Mungu amekuepusha na kitukikubwa
@timoliiisaya3824
@timoliiisaya3824 Жыл бұрын
Kaupushwa na k2 kikubwa vp wew ameachwa tu kuachwaHow was the meeting n kuachwa tu 😆
@janifajani8875
@janifajani8875 Жыл бұрын
Kwajisi huyo mwanamke anavo vaa nahuyu mwanaume nasio mwanaume huyu tu kwamwanaume yoyote kwa kitanzania hawezi kuowa huyu mwanamke yani viungo yandani unavionesha dunia zima nimke au nipepo hili
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Sauti km ya mond kbs pole.mungu atakufanyia wepes broo utapata mke wa stara yk
@mwanahawaomarimashaka197
@mwanahawaomarimashaka197 Жыл бұрын
Mwenyewe hataki mke mstaarabu
@hannanommy302
@hannanommy302 Жыл бұрын
Alhamdulillah ulikuwa unaambiwa ila anyway Mmshazaha kikubwa jipange utafute mke bora mwenye maadili ya Dini
@hannanommy302
@hannanommy302 Жыл бұрын
Mwambie Mwenzako doctor Mwaka kinganganizi,
@khadracilmi8929
@khadracilmi8929 Жыл бұрын
Ur star!!!!!!
@habibamaguru2722
@habibamaguru2722 Жыл бұрын
Mungu amekuepushia mengi Momo tafuta mwanamke anaendana na ww umuoe
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Swadakta
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Sahihi.
@husseinnkuna6401
@husseinnkuna6401 Жыл бұрын
Mwanamke hata umpe dunia yote na bado ataondoka tu baadhi yao hawanaga shuklani walio wengi
@rahmasalim5252
@rahmasalim5252 Жыл бұрын
Walah kuna wengine watafuta waume kama hawa n hawapati
@halimamnavi3208
@halimamnavi3208 Жыл бұрын
Mambo ya ngosa muachie ngosa mwenyewe kweli naamini siku zote ndoa hazipotei kinachopotea maelewano. Kazi kwako sisi wengine wasikilizaji tu
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Likadomo Anafanana na Diamond
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Ata Santos wanafanana sana
@raelnjare6036
@raelnjare6036 Жыл бұрын
Anafanana na mtoto wa tanasha pia
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Kuachwa kuachwa 🎵kuachwa ni shughuli peevu 🎶 mbaya zaidi🎶🎶🎼📻
@kaizachief4912
@kaizachief4912 Жыл бұрын
Ricardo momo tamaa zimekuzid uyo mwanamk alikuwa akionekana ni wa kisasa sana. Phylosophy zenu ni tofaut 😁😁😁😁.
@rahimnurumohamed7439
@rahimnurumohamed7439 Жыл бұрын
Hayomajinahayo momo nimagumukweri
@mariamswalehe3312
@mariamswalehe3312 Жыл бұрын
Uko vizuri kaka yaani nimefurahishwa namajibu yako
@mohamedjeizan5929
@mohamedjeizan5929 Жыл бұрын
Tatizo unapenda za ndanaaaaaanii sana. Mwanaume unajisifu Kwa umbeya. Punguzeni mapenzi ya mitandao. Mrundio mola wako ommba tobba hayo mambo unayongea mitandaoni kama muislam ni haramu tupu
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Жыл бұрын
Ni kweli anampenda mkewe amrudie maisha yaendelee
@samsonezekiel5239
@samsonezekiel5239 Жыл бұрын
Yeyoooooo wenginee wako wapi msijifichee
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
Momo unaongeya point very interview 👌👌
@alantonio855
@alantonio855 Жыл бұрын
Eti maisha ya ki sheikh...my Foot !
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Maskini Ricardo alimpenda sana uyu dada mwee
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Sn alimoenda ila yule Dada ajatulia
@uwasesifa7563
@uwasesifa7563 Жыл бұрын
Jina la instagram aitwa nani?
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
@@uwasesifa7563 @ricardomomo na uyo mkewe @malaika
@hyratebaayun
@hyratebaayun Жыл бұрын
@@uwasesifa7563 malaika cute
@uwasesifa7563
@uwasesifa7563 Жыл бұрын
@@hyratebaayun asante
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 Жыл бұрын
Dada momo ashamtaja Dr mwaka 😂😂😂
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Hiyo bahari ilikuwa kubwa kwako kaka RICARDO MOMO! Tafuta mwanmke mwenye Dini.
@ashobozakabalimu9212
@ashobozakabalimu9212 Жыл бұрын
Atafute bwawa. Hiyo ilikuwa Atlantic
@abdourazakndeze4157
@abdourazakndeze4157 Жыл бұрын
Dr Mwaka ingekuwa vizuri aje akajifunze kitu hapa...sio tu ma ubishi asiokuwa na mashiko.
@allyringe2813
@allyringe2813 Жыл бұрын
Pole sana najua umeumia sana nikikutazama machoni inaonyesha bado unampenda kaza moyo
@gwamakangwala6468
@gwamakangwala6468 Жыл бұрын
TRUE
@bahatisaid5435
@bahatisaid5435 Жыл бұрын
Juma wangu nimekuwa nimewakubuka kweli
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
Kuachwa na mwanamke mrembo kunauma sana.Sio peke yako haji manara na mwaka juma mwaka yamewakuta.
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Жыл бұрын
Hii comment 😂😂😂😂😂uuwii nimecheka 😂😂 ila ni ukwel nacheka kama Mazur vile
@uwasesifa7563
@uwasesifa7563 Жыл бұрын
Unasema kiukweli wake wa tz hawana mchezo kuomba Talaka mwanaume inamuuma sana.bibi mzuri namuona instagram na momo ni Haji atafute Hajati mwenzake wanikabu sio Malaika.
@pmall8867
@pmall8867 Жыл бұрын
Wame pigwa na Vitu Vizittooo😂😂
@eshasozy69
@eshasozy69 Жыл бұрын
Awo wte wanateseka atr
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Kuna kuku wakufuga na kuna kuku wa kula tu 🤔 so usijichanganye
@zubedamagambo8139
@zubedamagambo8139 Жыл бұрын
Unapenda wanawake ambao sio wastaarabu. Kaka kazi unayo. Mtashindwana Kila siku
@mariamswalehe3312
@mariamswalehe3312 Жыл бұрын
Katika wanaume wewe ni mwanaume unayemaanisha.
@stn4873
@stn4873 Жыл бұрын
Moyo Mmooooyaaaaa
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Eti hupend mwana mke mstaarabu 😊😊
@yunyun799
@yunyun799 Жыл бұрын
Ana jitetea 😂😂😂
@mwanaishasilima8039
@mwanaishasilima8039 Жыл бұрын
Jamani dida wewe hhhhhhh dokta mwaka Salam zake izooo
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 Жыл бұрын
Haya Bismillah njoo nioe mm momo nataka stara... jamani huku nje jua kali..🙈
@allyrashid3732
@allyrashid3732 Жыл бұрын
Safi sana
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Haaaaahaaaaa
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Жыл бұрын
Njoo kwangu
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Жыл бұрын
Njoo kwangu
@suleimanrodriguez9484
@suleimanrodriguez9484 Жыл бұрын
Nimeelewa kitu kaka Momo, naona yote niwewe uliyatengeneza tangu zamani. Kweli wewe unaonekana mtu wa dini, lakini hauku tembelea misingi ya dini unapotaka chagua mke wa kuowa. Basi usifanye tena kama zamani na Allah akutangulie.
@kaizachief4912
@kaizachief4912 Жыл бұрын
Huu mwaka litakufa jitu vjana tunaangaika na mapenz 😊😊😊
@prosmacharius7074
@prosmacharius7074 Жыл бұрын
😂😂😂
@sadickrajabu8980
@sadickrajabu8980 Жыл бұрын
Pole likado mwanamke apendwi bal anaeshimiwa tu ukipenda utajuta mwisho wa siku tuishi nao kwa makini kk
@shamzone388
@shamzone388 Жыл бұрын
Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikiza ....kama Limekuhusu ...
@dianamsuya4854
@dianamsuya4854 Жыл бұрын
Yule mwanamke sio level yako Acha kulalama
@user-lx1hk8ek1k
@user-lx1hk8ek1k 6 ай бұрын
😢😢
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 Жыл бұрын
Ikifikia mwisho mwache aende
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Жыл бұрын
Manara, Mwaka na sasa Momo
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Жыл бұрын
Jamani kuna wanawake wanapendwa na wanaume zao lakini wanakuwa hawajielewi
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 Жыл бұрын
Ukipewa sana unakinahi ila ukikikosa utakikumbuka
@agreysteven
@agreysteven Жыл бұрын
Duuh Ricard dude lote hilo analiachage kaka,,ohoo alambaaa
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
Patamu hapo kwenye Talaka 😜😜😜
@stevewanga957
@stevewanga957 Жыл бұрын
ww mwenyewe si yasemekana ni kuchu ....
@babyjohn2712
@babyjohn2712 Жыл бұрын
Kimbembe kinakuja wanaigeria wanajua kuhonga halaf wanajua kukusifia ,muda wote wanavaa brand,hotel /magari makali weee!😂😂😂 huchomoi
@zuenaomarympandeni4747
@zuenaomarympandeni4747 Жыл бұрын
Za ndaaaani kabisa
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 Жыл бұрын
Mnaowa micharuko ndo mana.
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 Жыл бұрын
Jaman kwa mavaz hayo hafai kuwa mke wa shehe
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Kama ni shekhe umemsikia anasema kuwa anapenda wanawake mchepuko. Vipi asimtafute mwenye dini
@jombadulla
@jombadulla 3 ай бұрын
kwani we umesikia shehe huyo,
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Haya yamekushinda mpaka umeachwa mwanamke malaya bado unamtetea tu
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 Жыл бұрын
😂😂😂😂Juma !!Dida Yule pale!
@wardadanda6322
@wardadanda6322 Жыл бұрын
Uongeaji wake km Nasibu
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Momo ww muislamu usiweke kila kitu hadharani baba mama zako hatujiskii vizuri tunahuzunika
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Umesema kweli @LULU😢
@muminshekha521
@muminshekha521 Жыл бұрын
Unaongea vzri bro
@Gody360
@Gody360 Жыл бұрын
Sawa
@florampayo6593
@florampayo6593 Жыл бұрын
Za ndaaaaaaaaaniii😂😂😂
@sasamama7934
@sasamama7934 Жыл бұрын
Jamani talaka ikiwa ni mara ya kwanza hata useme nenda nimekupa talaka 3 basi inaesabika ni moja ki dini ukiachika mara ya kwanza ukarudi uka achika ya 2 ukarudi ukiachika ya 3 ndio basi tena huwezi kurudiana na mke au mume wako mpaka uolewe na mume mwingine mkiachana unaweza kurudiana na mume wako wa mwanzo ndio dini inavo sema
@rahmasalim5252
@rahmasalim5252 Жыл бұрын
Huyo mke akukupenda
@sashahauke2032
@sashahauke2032 Жыл бұрын
Mimi nimemwelewa momo sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Saaana
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 3 ай бұрын
Hata mie nimedaiwa talaka, Kaka wa Brazil kadaiwa talaka Kwa hio ishakua fashion siku hizi
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Жыл бұрын
Aende akadry🙄😳
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 Жыл бұрын
Kwanza yule mwanamke alikuwa mzuri sana wewe tafuta kama mimi
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
😀😃😀😃
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Haaaaahaaaaa
@chichimushi1044
@chichimushi1044 Жыл бұрын
Akome, alipenda kushadadia sana mambo ya zari, muone sura yake, akome
@uwimana6533
@uwimana6533 Жыл бұрын
Kwani daimond alikua naniya yakumuoa zari , walikua kibiasha sio mapenzi, zari ndie alietaka ndoa
@florencemulunda9191
@florencemulunda9191 Жыл бұрын
Kama Simba
@hhhhhhhgbhnnhn
@hhhhhhhgbhnnhn Жыл бұрын
kaachwa manara na hela zake , kaachwa dr mwaka na dawa zake za nguvu za kiume ukiwaelewa wanawake umeyaelewa maisha
@hildamwabeya
@hildamwabeya Жыл бұрын
😆😆😆
@oliverpius2948
@oliverpius2948 Жыл бұрын
Ujui kutomba ngoja aende kwa konde
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Жыл бұрын
Dida upaja huo tunauona kwa mbaliii
@stn4873
@stn4873 Жыл бұрын
Uyo demu atarudi sura ipo chini kumamake.
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Doh
@andrewjulius6796
@andrewjulius6796 Жыл бұрын
Tafadhari jmn mpeni maji kidogo anywe anaongea akiwa kapanic sanaaa...muangalie mdomo wake
@saeedamour9939
@saeedamour9939 Жыл бұрын
Upendo
@elizabethkujerwa
@elizabethkujerwa Жыл бұрын
Juma lokole😂😂😂😂
@pmall8867
@pmall8867 Жыл бұрын
Za kichwa
@john-cg9qu
@john-cg9qu Жыл бұрын
Unakaa ki chehe chehe ivo kisha unatamani kuishi namdada kama huyo 😅 ebo mujijuwe first
@abdallahabdu8194
@abdallahabdu8194 Жыл бұрын
Niliwaambia wanawake hamuwajui ?je ya mwaka ? Bado ya wengine? Mmoja baada ya mmoja?hata viongozi na wakuu wa dini! Hatari
@sirajmmbugi8162
@sirajmmbugi8162 Жыл бұрын
Ishini maisha yenu ya uhalisia
@iddikhamis8454
@iddikhamis8454 Жыл бұрын
Wanawake hao sio watu wa kuwawekea dhamana. Hawatabiriki hata kidogo. Wala usiwaamini hata kidogo. Wote jora 1 kasoro mshono tu.
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂😂 jamani mbona hivyo lakini
@mkundukunuks
@mkundukunuks Жыл бұрын
Alafu uyu mshikaji msenge wewe dada wako esma si alikwambia au nyege zilikuzidi
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Juma Lokole nae kama mwanamke aiseee
@juvenalschristopherkalewa1819
@juvenalschristopherkalewa1819 Жыл бұрын
Yeye ajazimia kama bwana msemaji??
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Жыл бұрын
Mtag jina la huyo mwanamke nikamuangalie Instagram
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 Жыл бұрын
@Malaikacute55
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
@Malaikacute55 ni mrembo sana Mashaallah Mungu kamuumba
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
@@asiamerey9081 saaana ni mrembo mno
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Жыл бұрын
@@frankakuno.9511 ahsante ngoja nikamuangalie
@kefasonmahenga2917
@kefasonmahenga2917 Жыл бұрын
kuna Wanaume wanaowa wanawake kisa shepu 😀😀😀😀 kinachowakutaga ni balaaa
@dorcasaloyce2787
@dorcasaloyce2787 Жыл бұрын
Huo mdomo Sasa anapeleka wapi🤣🤣🤣
@nassrahemed9564
@nassrahemed9564 Жыл бұрын
Wanaume mujifunze kuoa wanawake size zenu... ukijiangalia bodaboda ya kijijini ukaoe uba ya daresalama?? 🤣🤣🤣🤣🤣
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Ricardo Momo anaumia kimoyomoyo hapo bado unampenda mkeo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Saaana
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Tena ukitaka kujua zaidi mtizame ongea yk mtizame anauma midomo
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
Hpana Kwa sisi tulio wahi Kuwacha si kama unampenda hapana Kuna Joto la nafsi Linakukereketa Kila wakat unahisi Kuongea au kuongea kwa Hisia ila si kama Mapenzi kunachukizo la ndani ndio maana wataalam wa mahusiano wanasema hakuna urafiki kwa waliotalikiana kuna chuki ndani mwao
@finiaskalist747
@finiaskalist747 Жыл бұрын
Watu wasaikolojia mmeanza sasa hapo tu ndio ninapowapenda wabongo😆😆🙌
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
@@finiaskalist747 ukifatilia asilimia Kubwa yetu waTz tunapeda Kufatilia mambo ya mahusiano ktk Maswala mazima Ya Tabia za Kibanaadam Kuna Jambo 1 kubwa La kimahusiano kuna upande wapo tyr kuumia sasa ili waheshimike baadae na hil ndio kwa Momo mitazamo inajenga Tabia
@allykigatta7564
@allykigatta7564 Жыл бұрын
....alaa...kumbe ULIOA JANAMKE HUNI BHANA......kwa hiyo anavaa nusu uchi na kupiga picha za hovyo??
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 Жыл бұрын
Momoooo hahahaaaa 😂😂😂😂
@raibinasuleyman7081
@raibinasuleyman7081 Жыл бұрын
Hovyoo, na hayo mavazi hufanan na unayoonge😏
@mariamumaliki6980
@mariamumaliki6980 Жыл бұрын
Wewe nimpumbavu tafuta Mkee mwenye stara
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Жыл бұрын
Haswaa yaan
@raibinasuleyman7081
@raibinasuleyman7081 Жыл бұрын
@@mariamumaliki6980 yaan anasupport bakisa upuuzi km huo nakujiita sheikh looh!
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 Жыл бұрын
Yule changudoa sio mkew
@minmaxc485
@minmaxc485 Жыл бұрын
Huyu mtu ana akili sana kama zangu vile
@babyjohn2712
@babyjohn2712 Жыл бұрын
Halaf huyo dada mbona ni malaya wa miaka mingi labda kaona surgery aliyofanya haifanani na bwana anaeishi nae😂😂 kuchanwa na visu kila kona kwa ajili ya shep then unakuja kuzeekea kwa bwnaa kama huyu haipo hiyo🤣🤣
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 34 М.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 63 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
RICARDO MOMO na H BABA wagoma kumsamehe HARMONIZE
10:05
Bongo Touch
Рет қаралды 12 М.
Гаджеты вредно!!! ☎️😳😡 #funny #comedy
0:26
Fast Family LIFE
Рет қаралды 1,2 МЛН
Девушка ограбила мажора, но…😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 7 МЛН
ПИЩЕВОЙ ВАНДАЛ НАКАЗАН
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 2,9 МЛН