Sema Nimeipenda sana Team work yenu... Mnatupa Mambo moto
@brhchannel66184 жыл бұрын
Nice indeed itakuwa Vizuri Kama mtatafsiri na kuchabua Vitabu vya kingereza kwa kiswahili ili Watu wengi wapate kufahamu🙏
@johnmaganga444 жыл бұрын
Super explanations,,,,Kitabu kizuri Sana, kwa Mara ya kwanza kukukisoma sikutaman kuacha kukisoma
@zephaniahmock60224 жыл бұрын
ukweliii unauma,,, RICH DAD POOR DAD,,, talk the reality
@twaybachellah9144 жыл бұрын
Asante sana nilitaman nikipate kitabu hicho rich dad poor dad kwa Lugha ya kiswahili 😑
@abuuharuna39494 жыл бұрын
Kweli
@musamatumla48682 жыл бұрын
Kipo km unakitaka nitafute mm ninacho
@Bk_melodyTz2 жыл бұрын
Musa matumla unapatikana wapi
@jamesnyibe56562 жыл бұрын
NI ujumbe mzur Sana kwa maisha yetu❤️
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
I want to read them books all and I'll make it i love new ideas ineed more skills in my life to confront the challenges and obstacle on my success journey, Be Blessed My Brother Victor and all Success Path Team 🙏🙏🙏🙏
@zawadikassimu40512 жыл бұрын
Asante kwa elimu go on brother
@rachelchelango9414 жыл бұрын
Daah asnt kaka mwambene umenifungua ufahmu sasa
@tumsifufrances58974 жыл бұрын
ahsante kwa ushaur wako br
@josephinekahangwa29924 жыл бұрын
Nimekuelewa ndugu ahsante.
@abuuharuna39494 жыл бұрын
Kizuli Sana blaza nimekipenda ila lugha ni tatizo kwangu
@zackmagoma.4 жыл бұрын
Hongera kaka mwambene,binafsi Naomba pia utoe lecture ya cash flow Quadrants, na A students work for C students and B for the government)
@bountytzchannel64294 жыл бұрын
shukurnan sana kaka naomba kupatiwa majina ya hivyo vitabu vitano vikubwa juu ya mafanikio. binafsi nimekisoma na naamini kila kilicjoandikwa. Tatizo kubwa tupo kifungoni kifikra . Tunahitaji kujikomboa.
@johnsonkanamba80644 жыл бұрын
Nitafute nikutumie vyote 0756212774
@calisttarimo45884 жыл бұрын
Thanks very much Mkuu nimejifunza sana Be blessed 🙏
@ismailysaid53524 жыл бұрын
Sante Sana kaka victory nimekuelewa
@barantebirahi61654 жыл бұрын
Broo Victor nmekupata vizuri ni kweli kuna nguvu katika kujua endeleen kutujuza vijana ili tuamke tufanye mabadiliko
@brobabuu39734 жыл бұрын
Safi kazi nzuri sana hii kaka. unazidi kunitia moyo wa kusonga mbele. Mungu awe nawe!
@LailaKibonge10 ай бұрын
Ubarikiwe sana kakaa nimenuku uyasemayo hakika yataniangazia katik safari yangu
@flaviakennedylwiza11313 жыл бұрын
Nimejifunza sana be blessed
@owlbig4 жыл бұрын
Asnte sanaaa 🇧🇮🇧🇮
@thania8222 жыл бұрын
Asante sn nimejifunza mengi sn kupitia wew
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Karibu sana... Nashukuru sana kwa mrejesho Thania
@somaliavempire30674 жыл бұрын
Vizuri sana
@binammtemi68844 жыл бұрын
Ni vizuri xana
@jofraydamian90202 жыл бұрын
Nímependa kazi yake
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
Ni moja Kati ya kitabu ninachokipenda sana. Point kuu kwangu ni hiyo ya shule haikufanyi kuwa tajiri.
@ismailysaid53524 жыл бұрын
Nimekuelewa kaka shukrani Sana
@mrboma43434 жыл бұрын
Asante Sana broo were together as one
@fatumahussein96274 жыл бұрын
Asante kaka,kitabu kizuri sana
@joyousmakata45023 жыл бұрын
Respect 🙏
@israelandrew88513 жыл бұрын
Asante kwa Somo
@abshirohassen52 жыл бұрын
Asante sana 😢
@radjabuselemani68632 жыл бұрын
ELIM🌍 NI KAMA MABAHARI 🏖 MUNGU AKULINDE🤲 NA ELIM🌍 YAKO HUNAYO KUBWA ASANTE SANA🙏
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Shukrani sana kaka
@mwanaidialiame3182 жыл бұрын
Asante 🙏
@lucasmwalongo77255 ай бұрын
Naomba orodha ya vitabu vitano muhimu kwa maswala yanayohusu kufanikiwa kifedha
@regnardedward4326 Жыл бұрын
Good and it sounds
@hussenijuma74944 жыл бұрын
Safi kaka
@annaantoni73334 жыл бұрын
Thanksgiving, bless u
@mwanaharakatijuma66044 жыл бұрын
Somo zuri Sana kaka
@anafisuleimani70834 жыл бұрын
Nimejifunza mambo mengi sana na ya msingi
@BillJUNICOinvestment4 жыл бұрын
This is my first desire book
@josloitalal47744 жыл бұрын
Ntaitafuta hiyo kitabu kaka 🙏🙏 ubarikiwe sana brother.
@frankgabriely92944 жыл бұрын
Vizuri nakueleewa
@ANNAKAPUNGU-c3l4 ай бұрын
🎖️💡💪
@directorajmataaluma54003 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@Bk_melodyTz2 жыл бұрын
Heshima kwako mkuu hicho kitabu naweza kukipata cha lugha ya kiswahili
@MouriceOduor Жыл бұрын
Naitaji vitabu Niko kenya
@tanzaniaone5814 жыл бұрын
siendii tenaaa shuleee duhhh
@shsjjdjhd96244 жыл бұрын
We we utawambia nini walipa ada😅😅😅😅😅😅
@daudinyello40333 жыл бұрын
True bro!
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Always!
@Nature_adventure4 жыл бұрын
Blessed ✋🏽
@odhiaodhia98984 жыл бұрын
Kila mmoja asikilize kwa makini hapo kwenye maarifa na taarifa utajiri wote uko hapo hapo
@liberatussylvanus99524 жыл бұрын
Tangunimefuatilia clps zako hiiyaleo imekonga moyowangu tuliowengi tunakosamaalifa kutoka kwenye vitabu vya kiingereza kwakutokuifaham hiyo lugha tutofasilie Vingi mno
@BOSCO_OFFICIAL4 жыл бұрын
Nitakipata kile cha kiswahili
@briankimaro23424 жыл бұрын
Tunapataje vitabu kama tunata kununua
@blenderforadvertisements56562 жыл бұрын
punguza sauti ya background music ni distruction
@banziMsimbe4 жыл бұрын
Tunaomba content ya kufanya matangazo Instagram
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Karibu tuwasiliane hapa through whatsapp: 0759191076
@OmaryChambila-dn8sj Жыл бұрын
Kaka mimi naitaji vitaku vyaki swalihi
@successpathnetwork Жыл бұрын
Njoo What'sApp andika neno vitabu 0759191076
@btboepapas69024 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍
@helenamusa4324 жыл бұрын
nimekuelewa vizul kaka
@helenamusa4324 жыл бұрын
maarifa ndo chachu ya kufanikiwa
@vituskabula47703 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@geofreymilinga10424 ай бұрын
Naitaji hicho kitabu nakipataje nitumie namba yako
@Nutritio-z8v4 жыл бұрын
Ahsante
@ssm63634 жыл бұрын
Kaka nimependa sana some lako
@jastinisengasu20463 жыл бұрын
sorry bro nataka nikinunue vp unauuza au
@umojamedia41674 жыл бұрын
Tatizo la hivyo vitabu ni English tupu .
@wiliamthobias68932 жыл бұрын
Hicho kitabu kinauzwaje?
@petermathias7854 жыл бұрын
Some hili litan adilisha
@BOSCO_OFFICIAL4 жыл бұрын
Kitabu nitakipata aje???,nitaweza kukipata
@Mepuko773 жыл бұрын
Nahitaji kitabu nipe namba
@titodaudi89494 жыл бұрын
Sowing and reaping
@msafirimponda17194 жыл бұрын
Habari, naweza kupata clps zako katika whatsap yangu