Nimeku kubali Sana Kaka Yussuph kutoka Mozambique tuko pamoja, Estamos junto meu Irmão
@musadismas95122 жыл бұрын
Asantee sana Kama ezden nimejifunza yakuwa minimushindi kuanzia sasa nabadili mtazamo mungu akijalia neema yake
@successpathnetwork2 жыл бұрын
safiii
@HildaPetro Жыл бұрын
Mafunzo yako yananibariki sana
@wilbadiantony33142 жыл бұрын
Nzuri sana broo
@yasluhumilemohammed74612 жыл бұрын
Nakukubal sana kaka nimetumi masomo yako vzul asaiv mashaallh
@tumainkitundu10152 жыл бұрын
Brother Ezden umeongea Mambo mengi ya msingi sana ila nashukuru sikukosa neno lango!!! God bless you mwalimu
@nabilajafar1802 жыл бұрын
Asante sana kaka yangu mimi ni mmoja wapo na nufaika na mafundisho yako
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Nashukuru sana kusikia hivyo Nabila
@gilbertmatambe2435 Жыл бұрын
Shukran san kwakuwa mbunifu nakuutumia mda wako kuielewisha jamii thank soomoch
@successpathnetwork Жыл бұрын
Karibu sana Gilbert
@janethkomba4787 Жыл бұрын
Asante sana kwa elimu naamini kunufaika kupitia mafunzo yako, maan ndyo kwanza najiunga kufatilia video zako🙏
@awadhzmussa52652 жыл бұрын
Somo zur sana na ni njia pia alioitumia boss wangu kuniamin had kunpatia mtaji
@kainibachungege34302 жыл бұрын
Jumanne Uko Vizuri Sana Kuelimisha Taifa la Mungu . Tupo Pamoja Endelea hivyo hivyo Kaka!
@cblood_tz82432 жыл бұрын
Mungu akubariki maisha marefu ili uzidi kutukomaza kitafakari
@elimikatv2 жыл бұрын
Everyone anakile kitu ambacho yupo nacho specifically kwa ajili yake yeye.. But n vile tu unaweza kusema Start ndio inakua issue but all in all let we go no matter what around us
@leilalusekelo1532 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa sana Mungu akubariki kaka nime jifunza jambo kubwa hapa🙏
@matildakaria153211 ай бұрын
Nimeamini kuwa Mimi nibarikiwa na Mungu kwa uwepo tu pia nikifanya jitihada ktk KAZI zangu na kumwomba Mungu aweke ulinzi nafanikiw .Asante sana kwa mafundisho.
@deogratiusmatata74182 жыл бұрын
Brother nimekuelewa sana ,Nimebarikiwa sana
@abeidjuma9502 жыл бұрын
Nazielewa sana video zako naona mafanikio kupitia ezden
@dadimwinyi28602 жыл бұрын
Thanks brother, my life has changed positively because of your inspiration. Allah bless you.
@chalresmyamba10712 жыл бұрын
Bro umenifungua sana nahakika mda mfupi ujao ntakupa kile nlichokipata kupitia wewe mungu akubariki sana bro uzidi kutupa madini
@williamezra66332 жыл бұрын
You are the best MR eziden
@IssaTwalbu-fp6ti Жыл бұрын
Shukran jazila kaka,napata vitu vizuri Toka kwako
@rajabubakari26359 ай бұрын
Asante kwa masomo yako naamini nitafanikiwa
@mussadismass93062 жыл бұрын
Kiukweli kaka eziden kwanza hongela sana kwaelimu nzur unayotoa kwajamii pili umipushi kifikira nimepata nguvu tene mungu akutunze nakukupa miaka100
@timamahendo41722 жыл бұрын
Asante sana kaka nimejifunza sana
@DottoNtemi-kt5jc2 ай бұрын
Vizuri sana yaaaaaaaaani kaka mkubwa
@inviolataluena87132 жыл бұрын
Hongera sana Muumba akuinue zaidi Bajeti kubwa ipo ktk ujenzi wa Hospitali badala ya kutoa Elimu nzuri watu wasiathiriwe na misongo ya akili
@SaidySaidysalum6 ай бұрын
Kweli kbs Brother mafunzo yako ni Bora sana. Thank you very much brother.
@successpathnetwork6 ай бұрын
Shukran sana kaka
@kelyjames54522 жыл бұрын
Thank you brother ,nimejifunza kuwa na mtazamo ,lkn piah kuamin kuwa mm ni mshindi !!
@khayraatabdool22862 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Shukran sana kaka Mungu Akubariki...
@bensontemu93562 жыл бұрын
Ahsante
@japhethcharles57912 жыл бұрын
Nakubali mr ezden
@nusrasadick35162 жыл бұрын
Asante sana kaka Allah akuzidishie ufahamu kwani unatoa elimu kubwa sana kwakweli mimi saa nyingine nakata tamaa lkn nikiziangalia clip zako napata matumain kwamba siku moja ndoto zangu zitafanikiwa inshaallah be blessed more brother.
@hasnajuma55672 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii shukran sana bro
@mfaumengangee78562 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kk🙏
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Amiin
@avitusjovin Жыл бұрын
Mungu akubalik kaka
@successpathnetwork Жыл бұрын
shukrani sana
@yumbujackson8692 жыл бұрын
Great idea , thanks be blessed
@stevenlema-o5q Жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yako brother mungu azidi kukubariki
@nakietenakiere17682 жыл бұрын
Wahooo!
@DalkhasKitchen3 ай бұрын
Nilikua nimekata tamaa dhidi ya biashara niliyoplan ila wakati natizama hii video nimejikuta napata idea niliyokaikosa ili nifanye biashara yangu kwa ufanisi. Barikiwa sana kaka
@jamaljimmy2 жыл бұрын
Ezden you doing something great in this universe
@saidisirahe3032 жыл бұрын
Thank you my brother
@EuniaRyaga-zd3zx Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako kaka Mungu akubariki
@abshirohassen5 Жыл бұрын
Kweli. Kila mtu ni mshindi na pia anaweza Shinda kwenye maisha
@successpathnetwork Жыл бұрын
Ukiamini na kufanya kazi inawezekana kabisa
@elimika7ayo Жыл бұрын
Nipo tanzania kaka asante bana
@hellenakabakama-nz1cw Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana unanibariki
@habibismael49372 жыл бұрын
Asante love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@hamissleba50742 жыл бұрын
Asante sana brother nimejifunza mengi
@mwanakomborashid70533 ай бұрын
Shukrani sna
@JerryJeremiah-co9nv11 ай бұрын
Ahsante kwa ushauri wako
@Happnessjaphet Жыл бұрын
Mtazamo chanya uko je
@successpathnetwork Жыл бұрын
mtazamo chanya ni ule wa kuona mambo kwa njia nzuri, kuamini kwamba kuna fursa na uwezekano wa mafanikio, na kuwa na matumaini katika mazingira tofauti. Ni njia ya kuangalia pande nzuri za maisha na kutafuta suluhisho bora katika changamoto.
@harunaathumani16722 жыл бұрын
Good work SPN
@solomloganzala6782 жыл бұрын
Binafsi nmnufaika wa mafunzo yako pia toka nianze kikusikiliza na kufanyia kazi leocna biashara 3 tofaut na nyumba 4 tena za maana japo ni sehem ya mwanzo. Nawashauri vijana wenzangu kutenga mda wa kusikiliza mafunzo haya kuliko kuhangaika kuangalia udaku usio na mana
@successpathnetwork2 жыл бұрын
nashukuru sana, tuwasiliane tafadhali kwa whatsapp 0759191076. Nitumie huo ujumbe wako wa ushuhuda
Aisee bro this re active me especially with the example of an egg
@successpathnetwork Жыл бұрын
nashukuru sana...
@ZuberSaleh-ts2rl Жыл бұрын
Mimi shafii sina sim lakin nikimkamata mtu yeyote mweny cm kubwa naanglia hii channel
@cblood_tz82432 жыл бұрын
Naitwa elia, Kaka Mimi leo ndio siku yakwanza kuukufuatilia huu uelimishaji wako, lakini umenisaidia kitu kikubwa Sana zaidi ya pesa, hivyo Nina hakika muda mchache Sana ujao nitakupa shuhuda ya matokeo ya kile nilichojifunza kwako Leo tarehe 1/9/2022
@wilsonmadawa3702 жыл бұрын
That is great bro 👌
@peterpaschal45222 жыл бұрын
Umenifungua akili(sijutii kufatilia channel hi💪)
@zahrakitchen58802 жыл бұрын
Shukran
@Bahatiyusuphtv2 жыл бұрын
Sawa brooo nakupata sana
@MosesKilatenga-dy5vi Жыл бұрын
Big up sana kaka nimekuekewa
@SalamasaadHaji4 ай бұрын
Kaka hii kiboko❤
@AmosiPetro-j7g7 ай бұрын
Kaka tangu nianze kukusikiliza nimefanikiwa kubadili mutazamo wangu wa maisha Kwa asilimia kubwa sana
@osamaosman63012 жыл бұрын
Thanks bro
@aderiderkihupi72402 жыл бұрын
DARASA HURU MUNGU AZID KUKUBARIKI
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Shukrani sana kaka
@angelamshama12882 жыл бұрын
Daah noma sana
@LupiaMukiga8 ай бұрын
Nimependa SaNa
@HalimaKa-u3l2 ай бұрын
Thank you
@Perfect-migomigo Жыл бұрын
Niliangalia video hii taree 1.mwezi wa 1 mwaka 2024🎉🎉
@MgombaJunior Жыл бұрын
Weel
@DicksonMoloni8 ай бұрын
Somo zuri
@successpathnetwork8 ай бұрын
Karibu
@DottoNtemi-kt5jc2 ай бұрын
Yaaaaaaaaani kaka unaongea ukweli
@DottoLevocatus10 ай бұрын
Asante lan
@amidaibrahimu271 Жыл бұрын
big up bro
@jessiepeter28192 жыл бұрын
🔥
@cblood_tz82432 жыл бұрын
Na akufanikishie kila jema utakalo
@JuliasiEliasi-ls1wy Жыл бұрын
Kaka nakubalina na mafundisho yoko kaka mm Julius Elias arusha kisogo
@noordynkitynah94352 жыл бұрын
🥰
@shidashida6060 Жыл бұрын
👌🏿👌🏿👌🏿😚
@mugishasine77782 жыл бұрын
Asante sana🙏🙏
@hashimuliloto80172 жыл бұрын
Ukweli mtupu,unaongea
@khamisiramadhani99712 жыл бұрын
Kaka nimekupata nikubali
@YoussfSuleiman Жыл бұрын
I catch you
@DicksonMoloni8 ай бұрын
Kaka nimejifunza kujiamini
@successpathnetwork8 ай бұрын
Safi sana Endelea kufuatilia Chanel yetu uzidi kujifunza mengi zaidi Usisahau kuwaalika ndugu jamaa na marafiki watembelee Chanel yetu wajifunze pia. Kizuri kula na nduguyo