Huyu zakia kama feni anazunguka zunguka auna aja ya kununua feni
@annamndeme63123 ай бұрын
Bi harusi anatatizo gani...? Mbona hatulii kama vile kabanwa na haja ndogoo😅😅 au ndo pozi..!!?
@lunangabenjamin31213 ай бұрын
Sielewi sasa huyu ndo mke wa ringo?na yule mwingine mweupe ivi mwenye walikuwaga naigiza naye kwani hakuwa mkewe. Mbona kuna siku ringo kashaga mtambulisha kuwa mchumba wake.sasa huyu mrefu katokeya wapi,labda ringo katuficha.mpendane inafurahisha.❤
@JninjaH2R3 ай бұрын
Namuona masantura 😂😂😂😂
@jacksonmenas60263 ай бұрын
Lingo masabufa😅😅😅😅🎉
@personalitiesan98062 ай бұрын
Mh na mm nioe Sasa.....
@safenathpanea3 ай бұрын
Saaaafi
@Verenabashasha-cm4sm2 ай бұрын
Wamebatizwa kweli kwa maji tele
@msowamhokole77143 ай бұрын
Bi harusi mrefu kama zailisa Mke wa manala
@user-rs5cp7wu9u3 ай бұрын
Nimependa jambo frani apo
@telesiamollel99033 ай бұрын
Bib harusi c utulie mbona unajizungusha san
@Rebeca98Gabriel3 ай бұрын
Yani hatuliii kaniboa sana 😅😅
@rosenaheka51373 ай бұрын
Automatically vibration zinatokea. ❤❤
@agathaandrew9343 ай бұрын
Wengine kuondoa aibu bhana ndo mana anafanya hayo we nae
@cuteapple72872 ай бұрын
Sasa ili kanisa au FM academy 😅😅😅
@allyanton13662 ай бұрын
😂
@eunicekimario17603 ай бұрын
Umechagua fungu lililo jema hongera sana
@JninjaH2R3 ай бұрын
Kila laheri Jacob
@FrolahRimo-cm3tu3 ай бұрын
Mbona vichekesho
@mrapple3853 ай бұрын
Huyo bibi harusi anazunguka tu au anaumwa
@lawrence-xk1km3 ай бұрын
Anaumwa kizunguzungu
@FRENKFARM-fb5mt2 ай бұрын
kanisa la tabasamu
@JaphetMaleko3 ай бұрын
Anafurahia ndoq
@user-oe9oq5tf6m3 ай бұрын
Watuu wakee mbn hawapo ringoo
@CeciliaChristopher-d5g2 ай бұрын
Kila laheri my brother mungu akutangulie karibu kwenye chama cha ndoa