HASANTEE sana dada Veronica usijali utalisahau tu huyu ESAU. Naitwa rehema tawalani kutoka Pakistani ni mtanzania harisi napenda sana simulizi zako huwa najifunza na kufarijika NAKUPENDA sana
@michaelrichard168410 ай бұрын
Naitwa MASHINDANO ELECTONIC NIKO MWANZA tunakupata sana dada vero
@collinstemba604010 ай бұрын
Mkiona anachelewa mtafuteni mohamedi mwenyewe awape muendelezo maana kuna binadamu hawana shukrani kabisa wao wanataka wanavyotaka wao ndo iwe yan lijitu linanzani jinsi halina kazi nuingine basi wote wapo kama yeye kuweni na moyo wa shukrani hata kidogo akichelewa malalamiko asipo post ndo tatizo kabisa waja sisi
@maryammaryam44410 ай бұрын
😂😂😂
@collinstemba604010 ай бұрын
@@maryammaryam444 Wanakera
@totooz585310 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mabelmaxie10 ай бұрын
🤣🤣🤣
@kemiivani235310 ай бұрын
Nimependa majibu yako
@MoreenUlimboka-ld9mh10 ай бұрын
Dada veroo😔😔😔ume tucheleweshea ulitusahau Ndugu zako wa KZbin ila tunashkr 🙏🙏🙏
@sperabais10 ай бұрын
Sema wasikilizaji mwapenda kulalamika uwiiii 😅😅
@MoreenUlimboka-ld9mh10 ай бұрын
@@sperabais 🤣🤣Mhhhh Bado huja sema
@user-hx9ni8kc4p10 ай бұрын
Dada veroo hongera sana unasauti nzuri sana nakupenda
@jacklinegodifrey860710 ай бұрын
Asante kipenzi kwakutukumbuka member wako wa youTube
@emmanueljiwoo58010 ай бұрын
Jamni umetucheleweshea simulizi daaah
@gracekretus185110 ай бұрын
Duuuu da Vero nikajuwa unaumwa
@menahallie530110 ай бұрын
Woyoooo 😘😘 imeanza kama muendelezo wa mtoto wa Sarafina jamani
@NaffyEvans-zc4nb10 ай бұрын
Josephine bhn😅
@ashasaid743610 ай бұрын
😢
@reachelchemtai260410 ай бұрын
Shatani yeye hutafuta watu wa mungu kila siku wewe kama huna mungu huwezi endaleya
@dorcaskidoti24910 ай бұрын
Hello da Veronica
@janethkomba448510 ай бұрын
Alafu tukilalamika kunamijitu inakurupuka uko kujifanya wasamalia wema wanaaza kuleta makasiriko kwakusema watu wanaosema unachelewesha simulizi wananikeraaaa siwasikilize redion😏😏😏😏😏namtakereka sanaaaa mpaka vero atakapojirekebisha kutuletea simulizi muda🕰️ alopanga 🧘
@billaaljabri920510 ай бұрын
sikiti 🤐 kipenzi tutafanyaje sasa
@ishaumar9910 ай бұрын
Ajirekebishe mnamlipa 😂😂💔muda umeandika hilo gazeti katafute redio bana msitupigie kelele
@janethkomba448510 ай бұрын
@@billaaljabri9205 🤣🤣🤣🤣🤣Wow wembona adim ivyo waarabu wanakuchosha sanaa niniii🙆
@janethkomba448510 ай бұрын
@@ishaumar99 Weunazani uku KZbin naingia nabando lako??? unasema tukatafute redio iyo redio umeambiwa inasikiia adi inch zawatu nawe km umekosa chakuongea mwombe tu Mungu akufundishe kufunga mdomo 👉🤐
@ishaumar9910 ай бұрын
@@janethkomba4485 usituletee makasiriko ya huko uliko hakuna alokutuma 🤧