Amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa na moyoni mwake amemuacha Mungu
@WilliamGaudence-l1w Жыл бұрын
Yaah Ni Kwel
@linajoseph5296 Жыл бұрын
Na vip Hawa watumishi tunapoenda kusali. Na kuwaamini kuwa akikupaka mafuta unapona. Je hao sio wanadamu? Na wao c wanakufa pia . Yote kwa yote twende tunakoenda ila tusimuache Mungu Mana yy yupo Leo na milele... Jisaidien Nam nitawasaidia. Huwez kula ndani ukasema Mungu nipe ugali 😀Ni lazima utoke ufanye Kaz na Mungu abariki upate pesa ule ugali.. so tuhangaike huku tukiomba Mungu..
@kristinakeneth5657 Жыл бұрын
Kweli kabisa. Mungu si mchoyo. Hata kama mtu akienda kwa watumishi wa Mungu wa dini zote ambao watu wengine wanasema ni waongo Mungu bado huwa anawajibu kwa sababu ndani Ya nafsi yao wanajua wamemtafuta yeye Mungu lakini ukienda kwa mganga hata kama anamtaja Mungu bado mwisho wa siku lazima mambo yarudi.
@gracekretus1851 Жыл бұрын
Nimwambie ndgu utapatwa Mimi apa Mimi nimempoteza mama alipewa maji kumbe ndan kuna uchawi akafa muda uwo tumeangaika kwa makanisan Sawa basa ya apo Baba angu mzazi alitupiwa jini likamnyoga mchana kweupe sawa kwahyo omba yasikupate madam
@GODFREY-je9xq Жыл бұрын
@@linajoseph5296 sawa kabisa MUNGU ANAJITEGEMEA ,UKICHANGANYA NA GIZA UPATI JIBU
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Tegemesye mungu si mwanadamu mungu siku zote
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Yaleo kali hadi naogopa mmmh mganga mungu atuongoze inshallah
@jacklinegodifrey8607 Жыл бұрын
Story nyingi za dada V zinatufundisha kabisa kuwa wale wote waliofanikiwa mwishon walikimbilia kwa Mungu tu
@saidindope4617 Жыл бұрын
Asante Saidi ndope mpiga picha wa yombo kilakala
@zubedamohamedi753 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ndio kila kitu🙏🙏ALHAMDULILLAH
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Kwer uganga upo nauchau upo km ayajakukuta uwez amini🙏
@GODFREY-je9xq Жыл бұрын
Ni kweli kabisa MUNGU naye yupo Tumtegeme
@MamaRoy-k6n Жыл бұрын
Kakika Mungu yupo
@geejireh4730 Жыл бұрын
Mungu pekee ndiye anaweza Na Damu ya Yesu inanena mema kila siku
@GenofevagelodiChaula Жыл бұрын
Jaman kwanini watu wanataka kujilinganisha na Mungu ? Na watu wajifunze njia za mwanadam ni za mda tu Bali njia za Mungu ni za kudumu Naitwa Genofeva chaula kutoka kigamboni
@GenofevagelodiChaula Жыл бұрын
Tunajifanza tusimtegemee mwanadam bali tumtegemee Mungu katika Kila Jambo naitwa Genofeva chaula kutoka daar kigamboni
@JoycePeter-u9c Жыл бұрын
Shetani nae ana mbwembwe mtu ukiwa na Imani haba ukisikia mganga kafufua mtu utaacha kumwamini muumba wako guys Mungu ndo mpango mzima kwa sheteni Kuna viini macho tuu ila mwisho wake ni mbovu UTASEMA yaani mpaka uchemeeeeeeee 😂😂😂
@neemahando6183 Жыл бұрын
Kama movie vile, kumbe maisha yakweli. Ee Mw. MUNGU, tulinde na hii Dunia iliyojaa binadamu wa hovyu
@Kaka_Rambo9 ай бұрын
Sikulaumu kaka ila Mungu alibisha hodi ukamkataa imeniuma sana kifo cha huyu bnti 😮
@AyubuMbuba-pu6tf Жыл бұрын
No 1
@TeddyMsigwa-o8n Жыл бұрын
Dah haya Mambo acheni tu😢
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Hatari......! 😢😢😢
@saidindope4617 Жыл бұрын
Dada veronica penda sana wewe kweli watu wanapitia mapito magumu - Saidi ndope mpiga picha wa yombo kilakala
@GODFREY-je9xq Жыл бұрын
Kweli kabisa matumizi ya nguvu za giza ni zamda tu
@NirmahSamir2 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@rehematawalani733 Жыл бұрын
HASANTEE
@FatmaAlly-w7p Жыл бұрын
Daah htr
@zeyanaalgheithy6561 Жыл бұрын
Mie. Nataka namba ya huyo alimjibu mohamed
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
following 🇰🇪
@mvfff7224 Жыл бұрын
Uyu rafiki wa marehem mama pia nawasiwasi nae,,Astaghafilu,,nawasiwasi mkubwa na uyu baba,,,anaweza akatumiwa na ba mdogo,,,bas ni wazo!!
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Hapana huyu ni mtu mwema tu Na njia anayowaongoza ndo njia Sahihi Yakumtegemea M/mungu kwa Maombi, Kumbuka huyu Rafiki Mama Mohamed ni Mkristo, Kwahyo alichokua anataka yeye Ni Wasimame kwenye Maombi tu sio kwenda kwa Mganga wa Kienyeji, Na niukweli Mganga na Mchawi,Shetani wote lao moja
@MamaRoy-k6n Жыл бұрын
Hapna sio hivo hy ni mtu wa Mungu hata huyo bamdogo hamjui hata,,,yuko sahihi sana
@monicambuva529 Жыл бұрын
Hapan mtu anayemuhubiri Mungu ndan yake n mwema..happ anapinga nguv za giza zenye matokeo ya mda mfup na hasara ya miaka mingi....
@janemalongo5417 Жыл бұрын
Namba moja
@LeoniaElilack Жыл бұрын
Wa 15 nimejitahidi kuwahi
@mvfff7224 Жыл бұрын
Jaman iv waganga Hawa wapo? Mmmm,,, ingekuwa zinatolewa no Da Vero ungetupatia watu tunashida😢,,,mganga uyo konk😅wapi uyu jaman
@ahmedomary2474 Жыл бұрын
🙏
@aproniapontion4595 Жыл бұрын
Mungu ndo muweza wayote amtumainie mwanadam amelaniwa
@jacklinechuga2569 Жыл бұрын
Na kweli
@ahmedomary2474 Жыл бұрын
@@jacklinechuga2569 connection
@fora2009 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@maryumamapunda8910 Жыл бұрын
Nimewahi leo😂😂❤
@bahatigeorge6155 Жыл бұрын
Duuuuh
@AnethMushi-c3e Жыл бұрын
Tunapata tabu sana kuwasikia kwenye Redio Moshii/Kilimanjaro siku mukiwa na mpira hatupatag kusikia kipindi tunaomba muliangalie kwa jicho la karibu
@NaomiDaudi-n8k Жыл бұрын
😮😮😮
@AyubuMbuba-pu6tf Жыл бұрын
Wakwanza
@mariamchuwa7916 Жыл бұрын
Wa pili
@IbrahimMohamed-eq4ek Жыл бұрын
💯💯💯
@MaurenEmmanuely-nc9id Жыл бұрын
Jmni😢😢😢😢
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Dunia hii inamambo
@khadijaali5363 Жыл бұрын
Wa8
@lydiajuma01 Жыл бұрын
😂😂Wakwaza mpo wangap sasa
@fatmahamadi8928 Жыл бұрын
Watisa 😂😂
@FatumaMachongwe Жыл бұрын
Mjinga wewe, unaacha kushukuru mtoto amerudishwa unaleta Mambo ya baadae! Kifo sahihi kikifika manake Ni kifo cha Mungu shida iko wapi?