RIPOTI YA LEO MOHAMED VOLUME 09

  Рет қаралды 14,052

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@monicambuva529
@monicambuva529 Жыл бұрын
Pacha amefariki kwasababu pia alishakufaga huyo, nguvu za giza zilikwepo kwa miaka mingi na hao wadogo zako...wote huo ni uchawi wa bibi wa Kenya,...watoto ungewapeleka kwa kanisa la kweli na ukaamini YESU ni mokozi wa maisha yenu leo hii wadog zako wot wangekwepo na amani ingekwepo mpk hii leo.....YESU ni mwema sana
@stellabugingo4071
@stellabugingo4071 Жыл бұрын
Alaaniwe yeye amtumainiye mwanadamu. Mi nilikuwa namuelewa sana yule mtu alie wasaidia ushauri wake ulikuwa mzuri mno
@omarfauz1877
@omarfauz1877 Жыл бұрын
Mambo stelaa
@asias8724
@asias8724 Жыл бұрын
Usiseme ivo sababu hata hospital si watu wanakutibu sema M/Mungu atuepushe na mitihani mibaya kwenye dunia hii
@stellabugingo4071
@stellabugingo4071 Жыл бұрын
Hospital unategemea dawa huku unamuomba Mungu kwa waganga ni nimizimu na majini ambayo hayana uwezo wa kumshinda Muumbaji wetu. Amtumainie Bwana ni kama mlima sayuni sijui unanielewa?
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
​@@asias8724Ayajamfika uyooo yakimfika mbona ataongoza yeye mwenyewe kwamganga,nakupa kastory tu kafupi mimi nililazwa namwanangu akiwa kidato cha 2 muhimbili wod yamatatizo yaakili 😢mbona niliambiwa naawo madocta mama km unaweza mtowe mwanao kaangaike kwenye miti shamba uko hoo ,sio siri nikaweka sahin nikatoka nabint yangu nikazunguka makanisa yahapa dar,nikaelekezwa kunakanisa lipo mbeya ilo nikibokoo mchungaji anaingia waumini tunageuka kuangariy anakotokea mch yani tunampa mgongo uku tumefumba macho😢lakin wapiii ikanibid sasa niende zangu tu kwawaganga vijijini ndani ukoo nafika yule mgaga yupo mochwar😢tukaelekezwa kungine uko tulikaa ndani yamyez km 3 bint yangu akawa safii nikshukur Mungu tukarud nyumbani akaendelea namasomo na mwakajana kaaza kz sasa awo wanaosema tulaaniwe waendelee tu kuskia 😢
@asias8724
@asias8724 Жыл бұрын
@@stellabugingo4071 ukikutwa na jambo huwa akili zinahama unaweza fanya chochote ukajua ni sahihi zaidi tuombe M/Mungu atuepushe na mitihani mibaya na zaidi sisi wanawake tunapitia misukosuko tunaamini tukipata wanaume wenye hela matatizo yanaisha kumbe ndo mitihani sana hata wanaume wapo wanapita mitihani kwa wanawake zao
@christinaabelmwaipungu-5727
@christinaabelmwaipungu-5727 Жыл бұрын
Hii inatufundisha kumtegemea Mungu pekee.! Inafundisha sana!!
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Waah mungu atulinde na tumtegeme mungu tu mtihani poleeni sana mohamed
@neemamtemela
@neemamtemela Жыл бұрын
Da veroca hii simulizi Ina sikitisha mnoo Mohammed kapitia mazito mno na uko vizuri Sana kuisimulia, najivunia kua na Dada angu mrembo kutoka njombe ndo nyumban kwetu pia
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 Жыл бұрын
Kwani Vero ni wa njombe
@jacklinegodifrey8607
@jacklinegodifrey8607 Жыл бұрын
Kwetu wanawake tunaotafuta ndoa plss tumuombe Mungu sana atupe wenza sahihi jaman
@vumi8371
@vumi8371 Жыл бұрын
Amina
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 Жыл бұрын
Inshallah
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
pole sana.Mungu angekufungua macho mapema ili umrudie Mungu
@davibphilipo5425
@davibphilipo5425 Жыл бұрын
Mungu ni mkuu.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Jamani mngeenda siku zile kwenye maombi mngekuwa Salama lakini waganga hapana Mungu ndio Kila kitu
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
😊😊😊 muha wanifurahisha waomba dua kwa mganga 😊😊😊 usha ji kojolea dua gani ifike kwa mungu
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Daaaah😢pole sana muhamed kwachangamoto ulizopitia😢 bora ipotee hilizi kuriko mganga afe😢
@wanyendakuta8912
@wanyendakuta8912 Жыл бұрын
😅
@jacklinemassawe9028
@jacklinemassawe9028 Жыл бұрын
Asante mpenzi tunajifunza mambo mengi
@aishasalumu9752
@aishasalumu9752 Жыл бұрын
Pole sana Mohammed
@erastonzogela1405
@erastonzogela1405 Жыл бұрын
Pamoja na madhambi yetu, lakini tukumbuke kumrejea Muumba wetu
@christinaabelmwaipungu-5727
@christinaabelmwaipungu-5727 Жыл бұрын
Ivii hii kusema wa kwanza, wa pili mara watatu, ndio Nini!! Kama ushamba vile!!
@neemahashim5524
@neemahashim5524 Жыл бұрын
Polenii Mohamed
@SALMAS-s3d
@SALMAS-s3d Жыл бұрын
Da Veronica ❤ shukran kwko🎉
@zumajacobo9048
@zumajacobo9048 Жыл бұрын
Noma sana
@GODFREY-je9xq
@GODFREY-je9xq Жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA SANA,SHETANI NI MASHAKA MAKUBWA NA GIZA NENE LENYE MWISHO MBAYA.
@reyone6870
@reyone6870 Жыл бұрын
Wa kwanza leo😅😊😊😊
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Ooh inasikitisha sana
@PETERWILLIUM-we1uy
@PETERWILLIUM-we1uy Жыл бұрын
Nice
@JudithGeorge-mw7fe
@JudithGeorge-mw7fe Жыл бұрын
Da Vero mbona me naogopa mwili unanisisimka
@greidajonathan4871
@greidajonathan4871 Жыл бұрын
Soma neno utakua sawa.zaburi ya 51,zaburi 35 yote, na 91 na yohana mtktf yote..then endelea kusoma neno na kumuomba Mungu maisha yako yote.
@BEATRISFHEMAHEMA
@BEATRISFHEMAHEMA Жыл бұрын
Dada Vero tunaomba mrekebishe kitu hapo studio maana Kuna wakati huwa hatusikii mara inakoroma tunaomba mlitendee Hilo kazi
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Vero vp ya 10 mda ushaisha mbona u tube hamna
@maryumamapunda8910
@maryumamapunda8910 Жыл бұрын
Asante da vero ❤
@maulidihaji4979
@maulidihaji4979 Жыл бұрын
Mm nasikiliza too maana Kuna mapito yanatisha
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
😊😊😊
@SafinaNamara
@SafinaNamara 10 ай бұрын
Emungu baba 😢
@fatmahamadi8928
@fatmahamadi8928 Жыл бұрын
Dah asiye jaman tusiwaamin waganga
@stamilabel6176
@stamilabel6176 Жыл бұрын
Mimi nilijua mtarudi kwa Mungu baada ya mganga kufariki.
@emmanuelshegesha2900
@emmanuelshegesha2900 Жыл бұрын
Mtandao unasumbua sana uku
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Ushapata 10 nirushie
@christerChriss-jn7vm
@christerChriss-jn7vm Жыл бұрын
Watatu😅😅😅
@ElizabethMongi-k8d
@ElizabethMongi-k8d Жыл бұрын
Mpe pole
@happyyohana9881
@happyyohana9881 Жыл бұрын
😢😢
@luckiesum9773
@luckiesum9773 Жыл бұрын
Mohamed uliyataka lait ungemsikiliza yule rafiki wa mamaako yote haya yasingekuwepo
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 Жыл бұрын
Huyu Mohamed atakua anatoka mikoa yakusini mwatanzania,
@winnierichard4265
@winnierichard4265 Жыл бұрын
Tunawaombea mpone
@simonmaige7785
@simonmaige7785 Жыл бұрын
Adabla Kadabla!
@modricnoma3686
@modricnoma3686 Жыл бұрын
Haya njoeni nyie mnao wahi kuwa wakwanza
@marthapeter-e8m
@marthapeter-e8m Жыл бұрын
😂
@luckiesum9773
@luckiesum9773 Жыл бұрын
😂😂
RIPOTI YA LEO MOHAMED VOLUME 10
34:12
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
MIMBA YANGU EPISODE 2
25:14
ELIZA MIDEKO
Рет қаралды 47
RIPOTI YA LEO  RASHIDA VOLUME 01
26:15
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
MKOBA WA MAMA Episode [ 28 ] {S2 }  Tradition & Love story
38:09
TANU PLUS+
Рет қаралды 1,8 М.
Nafteeydaay Gacalo episode 1. dear me episode 1
29:33
Mohamed Abdi
Рет қаралды 1,8 М.
THE DEVIL WORSHIPER (SIRI YA FREEMASONs)
1:57:47
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 37 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 15 М.
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 06
36:41
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO [LEAH SEHEMU 1] -  02 DEC, 2024
55:02
EFM TANZANIA
Рет қаралды 7 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 09
44:28
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.