Da Vero unachelewa sana kurusha simulizi sijui ubize sana ila tunashukuru. Ile kauli ya wahenga "asiyefunzwa na wazazi(mamaye) hufunzwa na ulimwengu naona mkasa wa Najma imeanza na wazazi wake kumfunza ya ulimwenguni kabla hajafika kwa walimwengu wenyewe japo hana makosa yoyote. Duniani ni sehemu salama ya kuishi ila BINADAMU huyohuyo kwa kujua ama kwa kutokujua ameifanya dunia isiwe sehemu tulivu kwa baadhi ya watu. Yaani piga picha unakataliwa na wazazi wote wawili kwa umri huo mdogo, Mungu turehemu na utupe maisha marefu ili tuweze kuwalea watoto wetu kwa upendo mpaka wafikie umri wa wao kujitegemea.
@complex7582 Жыл бұрын
Wa kwanza mm leo
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Duh mungu nipe uvumilivu wakulea watto wangu 😭😭 Nisije nikatupa mtto Alie Toka kwenye kitovu changu