Karne hii sio ya kumvumilia mtu anayetamka "nitakuua" hakika ipo siku itatimia ...Mungu na ambariki Kila mwanamke apate watoto
@omarykitua3843 Жыл бұрын
Inshaalah 🙏🙏
@totooz5853 Жыл бұрын
Amiin
@hadijaabbas21928 ай бұрын
Pole shogaangu siongei ntakufuru
@sophiebanga9533 Жыл бұрын
Ni cc wanawake ndio tuna wapeya wanaume wa iyi type power mimi Mara moja kupigwa naenda especially uko na kazi
@angelngoye4910 Жыл бұрын
Rashida mama ako alikua mtu wa ajabu Sana... Ila ulipata Baba mzuri
@fatumakyengya455 ай бұрын
Rashida mkasa huuuu umenigusa sanaaaaa🤦🏽♀️🙌🏾
@sisterwilly4974 Жыл бұрын
Rashida nawe ulikua umezoea kichapo"
@moreenmichael7997 Жыл бұрын
Daaah hata kama ni uvumilivu ila sio kwenye kipigo 😢😢mungu awabariki wanawake wote wapate watoto 😢😢
@a_y_d_a Жыл бұрын
Amini
@ulumbimandela722 Жыл бұрын
Mkasa mzurii sanaaa
@zulfaramadhan3565 Жыл бұрын
jmn dada vero mm nakupenda kila nikisikia simulizi zako napata amani
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Dunia inamengi sana pole sana
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Tuned kenya 🇰🇪
@immaculatakadyanji5927 Жыл бұрын
Huyo mpigaji kabila gani?
@zainabumbondei8635 Жыл бұрын
Hii nayo ni Moto tuendelee kujifunza ila Rashida una moyo kuvumilia huko hapana
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Mimi siwezi kuvumilia kupingwa Maana unaweza pata ulemavu na asikujali kabisa nyie
@rachelphilbert7394 Жыл бұрын
Kweli watu hubadilika sana
@aika3024 Жыл бұрын
2️⃣0️⃣2️⃣3️⃣
@neemasamson314 Жыл бұрын
Mfano mi ndio ningekuwa rashida ningefanya majaribio kwanza kabla hajanioa ili nijue nashika mimba au laaa, mambo ya kunyanyaswa siwezi mengine hayavumiliki
@lesusi7872 Жыл бұрын
Kwa hyo upewe mimba kabla ya ndoa
@rachelphilbert7394 Жыл бұрын
Ukipata hiyo mimba watoa?
@neemasamson314 Жыл бұрын
@@rachelphilbert7394 hapana siwezi kutoa
@neemasamson314 Жыл бұрын
@@lesusi7872 ndio mi kwangu naona sio mbaya ata nikipata mimba kabla ya ndoa
@ireneherman76 Жыл бұрын
Kwan rashida kurud kwen shida nn mtu unatendewan ivo na wakat kazi unayoo jmn wanawake ifik mdaa tuach aya mamb ya kukaaa t mngeachanaa t mskilize babako
@elizabethlukoo4662 Жыл бұрын
Kweli kbsaa Yani mana mtu unakufa ivi ivi kisa nn uvumilivu mmmh
@fatumakyengya455 ай бұрын
Huuuu mkasa jamani 😢🙌🏾🙌🏾
@billaaljabri9205 Жыл бұрын
janeth popote ulipo njoo chapa wa haraka
@janethkomba4485 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍
@moreenmichael7997 Жыл бұрын
Daaah hata kama ni uvumilivu ila sio kwenye kipigo 😢😢mungu awabariki wanawake wote wapate watoto 😢😢
@bettygervas2042 Жыл бұрын
Yaani mtu na kazi nzuri na elimu nzuri kweli mwl wetu kipofu