RIPOTI YA LEO THOMAS VOLUME 15

  Рет қаралды 9,829

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

Жыл бұрын

Пікірлер: 75
@ireneherman76
@ireneherman76 Жыл бұрын
Lov is beautiful Linda an Tom 🥰🥰Rest easy Maria
@octaviangeorge2012
@octaviangeorge2012 Жыл бұрын
nimesikiliza story hii kwa kuchelewa lakini nimejifunza vitu vingi sana. asante dada V
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 Жыл бұрын
Daah tom pole ila ulikua mjinga sana mm ningeshafatilia nikajua ukweli mapema
@lulumkwembe6605
@lulumkwembe6605 Жыл бұрын
Nadhani nimechelewa kusikiliza hadithi hii nzuri Mr Tom and sisy Linda congratulations mwenyezi Mungu awatunze na familia yenu yooooteeee
@erodeshayo123
@erodeshayo123 Жыл бұрын
Veronica matangazo yanazidi kweli kweli mpaka yanatukatisha utam mnatumia nusu saa matanazo dah ila God job love you
@shafiidauda1684
@shafiidauda1684 Жыл бұрын
😂😁😂😁😂😁😂🤣😆😄
@samwelcharles1349
@samwelcharles1349 Жыл бұрын
Pole kwakupoteza muda na pesa lakin Mungu kakujibu kwa Linda naamini na mshahara ulipanda.
@bintibaibe1958
@bintibaibe1958 Жыл бұрын
🤣😁😁😁😁 funny but not funny 😁
@sashanasor7760
@sashanasor7760 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@yusterwilliam6048
@yusterwilliam6048 11 ай бұрын
Hii simulizi imefanana na ya kaka mmoja ulisimuliaga wewe mwenyewe dada alikua anaitwa Rehema nae alimchanganya baba na mtoto ila walikua wenyeji wa Tanga
@MightyLumber
@MightyLumber Жыл бұрын
Mademu wadangaji uwa na mwisho mbaya sana. Maisha aliyokuwa anaishi Maria ndiyo maisha asilia ya mademu wengi wa mjini. Mtu hana hili wala lile yeye anafikiria kudanga tu ili awekwe mjini na ndiyo maana wanafilwa sana hawa machangu a.k.a. “Madada/watoto wa mjini😇😂
@thomasluthery4956
@thomasluthery4956 Жыл бұрын
Daaah, pole.sana wajina wangu 😢
@sashanasor7760
@sashanasor7760 Жыл бұрын
Oh jaman pole sana tom dah
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
Alihamndulillah nimefurahi Sana lakini pole da Maria na familia ♥️ya Allah nijaaliye nami mume mwema nami niwe mwema kwake 🤲🙏♥️♥️
@abuumagiss1415
@abuumagiss1415 Жыл бұрын
Mungu akusimamie 🤲🤲
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
@@abuumagiss1415 Amin yaraby kwetu sote 🙏🙏🙏
@kelvinpaul2464
@kelvinpaul2464 Жыл бұрын
Niliisubili toka jana waooooh nainjoy kinomanoma
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. Жыл бұрын
Mungu amsamehe maria alikua kahaba mkubwaa. Hongereni sana tom na linda
@reginacharles1502
@reginacharles1502 Жыл бұрын
Piga keleleeeeeeee kwa Linda akeeeee
@mayhamid6320
@mayhamid6320 Жыл бұрын
Daah!niliisubiri kwahamu asante davero
@zuhuranadahhinda1366
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Pole saaaana Tom daah story nzuri saaaana
@thekillertz1290
@thekillertz1290 Жыл бұрын
So sad kwa kwel story flan hiv inahuzunisha kwa kweli but relationship kweny dunia hii inahitaj akili kubwa saaaaaana
@saumusudi9720
@saumusudi9720 Жыл бұрын
True love never die ❤️ sweet story
@lajijitv5983
@lajijitv5983 Жыл бұрын
🤝Nimefurah na nimejifunza sana
@neemaneema9969
@neemaneema9969 Жыл бұрын
Story nzr sana inafaa kufanyiwa Muvi
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
WIMBO HUO UNAITWA ed Sheeran perfect♥️♥️♥️
@danielkamuti5920
@danielkamuti5920 Жыл бұрын
Plz show download
@mankalodi5796
@mankalodi5796 Жыл бұрын
Maria Maria .... Mungu anakuona
@neemasamson314
@neemasamson314 Жыл бұрын
Duuu pole sana ila uliambiwa chunguza ukabaki unaimba Maria maria Maria, pole sana
@jackiejustine9306
@jackiejustine9306 Жыл бұрын
Bas maria alijiua
@Lailal-bg8di
@Lailal-bg8di Жыл бұрын
Oooh Maria jamani 😭😭😭😎
@pendorobert3552
@pendorobert3552 Жыл бұрын
Jaman anaejua huo wimbo kaimba nani na unaitwaje anitajie pls
@nashwaabdallah670
@nashwaabdallah670 Жыл бұрын
Parfect Ed shadeed
@MightyLumber
@MightyLumber Жыл бұрын
Kaimba Diamond ft. Hamisa Mobeto
@linalaiton3416
@linalaiton3416 Жыл бұрын
@@MightyLumber jmn ww😂😂😂
@wakisawakisa5455
@wakisawakisa5455 Жыл бұрын
@@MightyLumber 😄😄
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
Perfect kaimba ED SHEERAN
@shafiidauda1684
@shafiidauda1684 Жыл бұрын
Dah😥🙌
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 Жыл бұрын
kweli ulikuwa mshamba wa mapenz unafosi penzi amblo halipo
@zainaburamadhani7495
@zainaburamadhani7495 Жыл бұрын
Dahhh maria kiboko
@Vanity_12
@Vanity_12 Жыл бұрын
😔Jmn Waitng for another bngr😛😁😝
@jackiejustine9306
@jackiejustine9306 Жыл бұрын
Maria yuko vzr ndo nn alichomfanyia thom inauma
@joyceayubu7521
@joyceayubu7521 Жыл бұрын
Duuh maisha jamn khaa 😢
@margretmonday4617
@margretmonday4617 Жыл бұрын
Poa sana 💋💋💋😭😭😭
@latifaomary7538
@latifaomary7538 Жыл бұрын
Nmelia sana 😭😭😭😭
@mwamwajaonline1881
@mwamwajaonline1881 Жыл бұрын
😝😝😝
@MightyLumber
@MightyLumber Жыл бұрын
Kivipi, ulitamani kukutana na Maria akufundishe kudanga au?
@ibrahimkhalifa7023
@ibrahimkhalifa7023 Жыл бұрын
😁😁😜
@catherinenkwao2282
@catherinenkwao2282 Жыл бұрын
Jmn naomba msaada wa kupata audio nimtumie audio merry wang asikie hii story naomba msaada kwa anaejua plz🙏
@badriyahadam7008
@badriyahadam7008 Жыл бұрын
Dah maskin tom dah 😭
@magrethkatinda1853
@magrethkatinda1853 Жыл бұрын
Maria maria
@rosemallya4757
@rosemallya4757 Жыл бұрын
Daaaa story inamafundisho mazuri sana,Moshi inapatikana chaneli gani jamani?
@rosenanyaro319
@rosenanyaro319 Жыл бұрын
Jmn naomba jina ya iyo nyimbo
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
Perfect kaimba ED SHEERAN
@joicejoseph8056
@joicejoseph8056 Жыл бұрын
Ahxnte dear
@fallymetoo191
@fallymetoo191 Жыл бұрын
God is Great 🤲🏼
@abuumappe4308
@abuumappe4308 Жыл бұрын
thanks
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Nilijua tu Maria alikua anadate babake Tom
@aldegundangowi6998
@aldegundangowi6998 Жыл бұрын
Hata mimi toka kitambo, hadi nikamwanikia Vero...Dady ndo dady wa Tom? Akacheka
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 Жыл бұрын
Kwani history iliiisha?
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Kwahyo maria na Baba mkwe wake walikutana wapi tena jamaniii, Au Maria na Tom walitokea mkoa mmoja? 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 Жыл бұрын
Akina Maria ndivyo walivyo,Hilo jina sio jina la kumpa mtoto wako
@MightyLumber
@MightyLumber Жыл бұрын
Mbona Lily nalo ni jina la wadangaji wengi hapa mjini? Ukikutana na demu aitwaye Lily, Aziza, Amina, Aisha, Asha, Pili, Martha, Anna, Mwajuma, etc…..chances are ni fuska tu yaani automatically. Sema tu kina Lily na hao wengine niliowataja hawajitambui kuwa wao ni mafuska, wanaona vituko wavifanyavyo wao ni jambo la kawaida kumbe wanajipotezea sifa na heshima.
@marrybenn9621
@marrybenn9621 Жыл бұрын
😳😳😳😳 my name
@marrybenn9621
@marrybenn9621 Жыл бұрын
Kwa hyo nlibadil yan
@mariamsuku7021
@mariamsuku7021 Жыл бұрын
Sio wote bhna
@januarykasongo9298
@januarykasongo9298 Жыл бұрын
Ni kwel kabisaa
@aishaothumani6750
@aishaothumani6750 Жыл бұрын
Nduuu
@joycelucky7739
@joycelucky7739 Жыл бұрын
Ili kuwaje mpk Maria akafa
@salamahorace3549
@salamahorace3549 Жыл бұрын
Amekufa
@saidjumamohamedi3526
@saidjumamohamedi3526 Жыл бұрын
Maria ninoma saana kala kuku na mayai yake
@pendorobert3552
@pendorobert3552 Жыл бұрын
Huo veronica aliouweka mwishoni
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
Perfect kaimba ED SHEERAN
@jackiejustine9306
@jackiejustine9306 Жыл бұрын
Bas maria alijiua
RIPOTI YA LEO  SIKUJUA VOLUME 01
33:13
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  THOMAS VOLUME 13
32:47
SHARE & HEAL
Рет қаралды 8 М.
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 87 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 47 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
RIPOTI YA LEO  ORESTER VOLUME 01
27:13
SHARE & HEAL
Рет қаралды 8 М.
RIPOTI YA LEO  RASHIDA VOLUME 04
26:20
SHARE & HEAL
Рет қаралды 8 М.
RIPOTI YA LEO  SOSOVELA VOLUME 01
38:05
SHARE & HEAL
Рет қаралды 14 М.
RIPOTI YA LEO  HAPPINESS VOLUME 01
37:16
SHARE & HEAL
Рет қаралды 14 М.
RIPOTI YA LEO  THOMAS VOLUME 05
25:50
SHARE & HEAL
Рет қаралды 7 М.
RIPOTI YA LEO  THOMAS VOLUME 08
30:20
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  THOMAS VOLUME 12
34:06
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  THOMAS VOLUME 01
30:06
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  BENSON VOLUME 01
29:31
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.