Allah akulipe kheri na baraka nyingi, nimejifunza mingi sana kupitia hii darsa. Ilikua natafuta mawaidha ya vita vya jamal (ngamia) ila nimepata hii, nashkuru sana. ALLAH awalipe kheri nyingi kila alieshiriki kufanikisha upatikanaji wa hizi darsa
@mikidadibando67264 жыл бұрын
Allah akuzidshie umri mrefu Shekh wetu jazakalau
@alishor60203 жыл бұрын
Sheikh wetu Allah akulindi popote ulipo aki tunafaidika kwa mawaida yako mazuri
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
allah atujalie mwisho mwema umat Muhammad
@faizasaid82624 жыл бұрын
mohamed saidy ameen
@mikidadibando67264 жыл бұрын
Namkubali sana mwanazuoni huyu yaani hadi najiogopa jazakalau heri
@neemagambere99874 жыл бұрын
Allah.tujalie.mwishoo.mwwmaa
@jumamwaguzo65514 жыл бұрын
Amen
@mwanakombobakar66304 жыл бұрын
AIIah atuhifaz kwakila jambo
@imraniqbal007654 жыл бұрын
Ukisikiliza hivi visaa vya maswahaba sipati picha Watu wakubwa wakubwa wameuwana kwa madaraka tu Huu ni msiba mkubwa sanaaa ambao hukmu yake anaijua Allah
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
faiza na zayyati karbun myfrend
@faizasaid82624 жыл бұрын
mohamed saidy nipo kaka asnte shikamoo
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
@@faizasaid8262 marhaba asante sana
@faizasaid82624 жыл бұрын
mohamed saidy naeka uporo adhana haiko mbali
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
@@faizasaid8262 he nyumban saiv saa tano na nusu
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
leo zayyati cjamuona lakin kuna ujumbe wake nae nataka nijue je mume anamuweza au bado ake katoto midiam