DOCTA SULLE, MAZINGE WAKATA MZIZI WA FITNA MBELE YA MCHUNGAJI NDACHA "UISLAM DINI YA KWELI"

  Рет қаралды 21,336

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

Күн бұрын

Пікірлер
@Fedrick-jb8xb
@Fedrick-jb8xb 5 ай бұрын
Barikiwa sana mwl ndacha
@omaryaman1312
@omaryaman1312 11 ай бұрын
Nakushukur saana Mungu kwa neema hii ya uislamu, aisee dini inaeleweka maandiko yamenyooka duuuh....mungu atuzidishie kheri wote na Dr.sule.
@deogratiusthobias4322
@deogratiusthobias4322 10 ай бұрын
Yamenyooka nn kund zima wanazidiwa na mtu mmoja,,Ndacha kwel ni mwalimu
@gilbertkakokyogilbert1517
@gilbertkakokyogilbert1517 6 ай бұрын
Asante Sana mungu awa bariki 🙏
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 9 ай бұрын
Yani waislam badirikeni mumepotea Muhamad amewachanganya nayeye hana roho mutakatifu ndomana Ata yesu hamumuerewi 😢😢😢😢😢 pole sana
@MwanamisiTenga
@MwanamisiTenga 9 ай бұрын
Allh akuzidishie hekma na mazima DR.S uzidi kutupa elimu na na tubaki katika uislam
@Frankie_5556
@Frankie_5556 10 ай бұрын
Ndacha noma sana nimependa sana hoja zako sulle ni fame tu but points za kweli Ndacha ndio daktari mimi kuanzia Leo ukristo stoki kamwe Sulle teremsha shada ya udakitari
@BeatusOondo
@BeatusOondo 10 ай бұрын
Safi sana pasta your very creative hao akina sure ni ushabk tyy hana lolote me ntamutumain yesu kabisa
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 9 ай бұрын
Waislam shida kubwa hawana roho mtakatifu sasa mbinguni wataenda vipi razima wapitiye kwa yesu bira yesu wanahangayika bure Bure
@davidedward6053
@davidedward6053 5 ай бұрын
Dini ya kweli ni ukristo na ndo njia ya uzima
@Kachumbari23
@Kachumbari23 11 ай бұрын
Hongera sana Ndacha! Hoja zako ni nzuri sana. Excellent reasoning. Hongera pia kwa Docta Sulle, umekuwa mhadhara wa kielimu.
@kingsolomon1600
@kingsolomon1600 9 ай бұрын
Jesus is KING👑
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 9 ай бұрын
Dr sule humuwezi ndacha pigagaragaza huwezi neenda ukijiandaye tana
@mwanamutemi
@mwanamutemi Жыл бұрын
Mimi ni Mkenya Muislamu wakati huko mwadebate Tz hapa Mombasa nina Mmchungaji Mmoja tunajadiliana uhakika wa kufa kwa Yoshua (Jesu) Hebrew 5;7 inaonyesha wazi wazi Mungu alitikia Kilio cha kumuokoa kutokana na kifo kwa sababu yeye ni mtiifu kwa Mungu. Kizungu Mkuti hapa ni je Mungu kuitikia kilio dhidi ya KIFO ITAKUWAJE KISHA AFE ? Jibu limekosa, na mpaka leo ni mzunguko tu !! EITHER ANDIKO NI BOVU AU YESU HAKUFA
@yosef-d3q
@yosef-d3q Жыл бұрын
Poleni sana waafrica waislamu.Al-Lah awasubiri Jehanamu Quran39:60
@PachaaHamad
@PachaaHamad 11 ай бұрын
Usijifariji 😂😂😂 hawakutajwa waislam hapo
@MarcellinMitamo-jx6qu
@MarcellinMitamo-jx6qu 9 ай бұрын
Usemae eti ndacha hajuwi,muulize dct sulle,wewe hujuwi ginsi sulle anavo mkubali ndacha
@MarcellinMitamo-jx6qu
@MarcellinMitamo-jx6qu 9 ай бұрын
Lister djafali uko mtu mzima sana
@PiliMohammed-d7t
@PiliMohammed-d7t Жыл бұрын
Uislamu ndo dini sahihi
@sokastreet
@sokastreet 3 күн бұрын
Takbiiiiir huyo ndio daktari Sule kwa mdahalo huu mkristo kama hajaijua dini ya kweli ni ipi huyo hatoijua milele kashaandikiwa ni wa motoni hana kingine cha kumuokoa isipokuwa nafsi yake 😅
@MarcellinMitamo-jx6qu
@MarcellinMitamo-jx6qu 9 ай бұрын
Huyu mazinge siwa kiroho,eti kupokeya yesu kama mtu wa kimwili
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 9 ай бұрын
Hawajui ukristo nini kwakuwa hawana roho mtakatifu watajuwa je!!!!!nyuma ya Quran hakuna wisilamu hawa watu wamepoteya kweri kweri
@rachidissa-pf7fn
@rachidissa-pf7fn Жыл бұрын
Semeni Allah Akbar
@HajraMohammed-vs9fn
@HajraMohammed-vs9fn 9 ай бұрын
Allah akbar
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Uesilamu si dini ya mungu waruke juu wakane😂😂😂
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 Жыл бұрын
C ungekuwa umekalia kiti cha mdahalo,utueleze tegemeo lako la andiko? At least mtu anaweza kukuelewa akaacha uislam akaingia ukristo.
@musaramadhan5636
@musaramadhan5636 Жыл бұрын
Baki huko kwa wapani kume jaa huku
@musaramadhan5636
@musaramadhan5636 Жыл бұрын
wapagani*
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Ninyi watu wa jiwe hamna macho wala sikio la kusikia mtajomwa moto na hao wakora wanaojihita masheik
@PachaaHamad
@PachaaHamad 11 ай бұрын
​@@jumarobertonyancha8605😂😂😂 wacha kujifariji
@JohnChacha-c9o
@JohnChacha-c9o Жыл бұрын
Ndacha amesha wastumkia wanasiasa wajifanyao masheikhe na wahubiri mfumo wao au. dini. Minada kuwatambua kama wapiga kele ili siri isijulikane wakiita washabiki wao kupiga ushabiki kama mpira ili wasikilizwe na kukimbilia kusema wameshinda mhadhara, Wakijifanya kuwa walikuwa wakristo.. Hao ni wanasiasa kivuli dini,b🎉ora warudi. nyumbani Yesu awaita
@Benfilimon
@Benfilimon 11 ай бұрын
Hatujalkuerewa
@PhilippeMushagalusacirimwami
@PhilippeMushagalusacirimwami 20 күн бұрын
Mtu akishindwa jibiya, inamaanisha jibu hana!
@kefamsafiri1028
@kefamsafiri1028 11 ай бұрын
Sule haumuwezi ndacha ulale uamke tatizo lenu nyinyi waislam mnatumia neno La Mungu kwa kimwili maana nyinyi ni wakimwili tu na hamtakuja kilielewa neno La Mungu ila ndacha analitumia neno La Mungu kwa kiroho kwa sababu yeye ni warohoni
@josreenajojo4982
@josreenajojo4982 11 ай бұрын
Nikwel kabis
@saidsngomangoma7866
@saidsngomangoma7866 11 ай бұрын
Mwajua nn nyiny hamujui kitu hakun din mbili uislam ndio din ya kwel
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 11 ай бұрын
Na mutaingia motoni makafiri kwa ujinga wenu ata mueleweshwe vp umeshikilia kiroho mwisho ao wachungaji watawaua halafu muambiwe maono yatokayo kwa yesu
@eddiqota
@eddiqota 10 ай бұрын
Fuatilia mjadala sio kukurupuka hoja ya kidini inajibiwa na andiko la dini na kwa hayo quraan inamaliza kila kitu .
@HassanJefa-i1f
@HassanJefa-i1f 9 ай бұрын
Huo ni usanii wenu tu kuelewa mnaelewa
@AyoubKhatib-p4k
@AyoubKhatib-p4k Жыл бұрын
Ndacha unajichanganya sio ukaidi bali hujui
@Benfilimon
@Benfilimon 11 ай бұрын
Were hujui lolote
@HamadiKassim
@HamadiKassim Жыл бұрын
Kwanza kuandika uislamu hujui ukaijuwe dini yako
@mathsnewdiscoveries
@mathsnewdiscoveries 11 ай бұрын
What is going here is good but is not complete anymore since proving the true religion can not be done through words only but by doing spiritual experiments to reveal physical things and here experiments are not reported to reflect physical doings and dones or to (physical evidences) not by words only not by words only not by words only, Therefore an audience is gained only the confusion. Ok to me as assumption in short psychologically to get the truth about true faith(religion) is to choose the one which Satan runs after it to confuse many people so that they will not understand the true way of worshipping true and holy God by introducing fake one(s)(fake Christianities) or (fake Islamics) or etc
@jilanimartin1620
@jilanimartin1620 Жыл бұрын
Uislamu ni dini ya kuabudu majini
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 Жыл бұрын
Ungekuwa umekalia kiti cha mdahalo. Ingekuwa poa sana, waislam waache ibada ya majini waingie ukristo
@musaramadhan5636
@musaramadhan5636 Жыл бұрын
Tuacheni na dini yetu nyinyi mutaenda peponi bwana asifiwe
@jilanimartin1620
@jilanimartin1620 Жыл бұрын
Tushawacha ila pia msilazimishe mashindano yasiokua na maana badala kilamtu aangalie maisha yake na uamuzi wake wa dini,mnalazimisha sana mashindano na midahalo.mungu ni mmoja tu na ndiye anayeabudiwa
@branhambeatus6172
@branhambeatus6172 Жыл бұрын
dah! mwl.ndasha njoo ukae kwenye ujumbe wa wakati wako ili uingie mbiguni rasim mwamini nabii wa wakati wa Laodikia William Branham apo utatoboa utoke kwenye SDA Maana hilo ni dhehebu itabidi utokeko ili umuone yeau kwa Ufunuo wa roho, usemayo ni kweli kwa hao waislam unawabandika nzito nzito, sana hawana hoja dhidi yako kwahyo ushauri wangu ni huo tu kwako.
@yosef-d3q
@yosef-d3q Жыл бұрын
Uislamu ni dini ya kunyanyasa wanawake.Mbona nabii akaishi na Mtoto wa chini ya Miaka 9(Aisha) na kumdhurumu kimapenzi? Mbona Nabii kaowa wake zaidi ya kumi na pia leo wanaume wanaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja lakini mwanamke akipatikana na wanaume wawili anauawa? Ni jibu tafadhali
@musaramadhan5636
@musaramadhan5636 Жыл бұрын
Tatizo hujui dini yako heri unyamaze
@RaffyAddam-p7w
@RaffyAddam-p7w Жыл бұрын
Na nyie msioe maana yesu hakuoa
@newgreeneaglestudio3089
@newgreeneaglestudio3089 Жыл бұрын
Kasome bibilia issaqa kamuoa Rebekah Akiwa na miaka mitatu yeye Arubaini Haulioni hilo Andiko 😂😂😂😂😂
@ahmedjuma7113
@ahmedjuma7113 11 ай бұрын
😂
@MosseIsmaël
@MosseIsmaël 9 ай бұрын
Docta sule ongera sana Allah akulip kwa madiko unayatowa ndaca hautaweza wislam kila kitu kikowazi
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips Жыл бұрын
Ndacha hana hoja zenye mashiko
@Benfilimon
@Benfilimon 11 ай бұрын
Ndacha hawezekani ni mtaramu wa maandiko yaliyonyoka ila sure ujanja mwingi
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
Rajai Ayubu msoma Qur'an wa kimataifaa Ameacha gumzo Kwa mndolwa Korogwe Tanga
9:48
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 36 М.
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН