JE YESU ANANAFASI GANI MBELE YA MUNGU? MCHUNGAJI NDACHA AKIRI YESU SIO MUNGU APEWA KIBANO AKOSA HOJA

  Рет қаралды 29,035

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

• JE YESU ANANAFASI GANI... #KHIDMATV #DebateWaislamnaWakristo #Alhabibumazinge #MwalimuNdacha #OstadhiShafi #OstadhiSaidKinyogoli
=
Support KHIDMA TV M-PESA +255 752 950 350
=
Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
KZbin: / @khidmaonlinetv350

Пікірлер: 139
@JudyOkenyuri
@JudyOkenyuri 21 күн бұрын
❤ pastor Ndaja more blessing in the name of Jesus Christ
@GwandajaGidamejod-w6f
@GwandajaGidamejod-w6f 2 ай бұрын
Hadi uwe na roho ya Mungu utaelewa somo hili
@EssauMsukwa
@EssauMsukwa 6 күн бұрын
Luka 4:18-19 [18]Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa, [19]Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa.
@CaltonMallya-zj6cp
@CaltonMallya-zj6cp 4 ай бұрын
Asante YESU Waefeso 2 12 kwamba zamani zile mlikuwa hamna Kristo, mmefarakana na jamii ya Israeli, wageni wasio wa maagano ya ahadi ile. Mlikuwa hamna tumaini, hamna Mungu duniani.
@AbdulmalikSumkha
@AbdulmalikSumkha 4 ай бұрын
mungu gan unamuongelea nan
@Ibrahimsalim-z4r
@Ibrahimsalim-z4r 5 ай бұрын
Ndacha Mwenyezi MUNGU Akupe uhai Murefu
@fatumakiboto6157
@fatumakiboto6157 5 ай бұрын
jaman ukristo ni ukafili jaman to polen wachngaji mnalopok du polen
@Benfilimon
@Benfilimon 5 ай бұрын
​@fatumakiboto6157 ukipima mizani ya hoja na ukubwa wa majina,, utagundua yafuatayo,, Yesu ni mkuu kuliko wote, waliotumwa na Mungu,, maana anasifa za juu sana,, pili utagundua ndacha ni bonge la mwalimu kuliko wote hapo,, hafu hoja zake hazijibiwi kiufasaha na waislamu wenzetu,
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 4 ай бұрын
​@@Benfilimonndacha ndio kwanza umfatiliw wewe hebu rudia klip zake uone vipi akili zake hazihitaji dawa? Ndacha amesema Mariam sio mama wa yesu jiulize yesu alikuja duniani kwa kuzaliwa jee akizaliwa na nani Kama sio mariamu?
@OscarGerald-vp9kx
@OscarGerald-vp9kx 4 ай бұрын
Ili aendelee kuwapoteza
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 2 ай бұрын
Kuutumikia ukafiri ni kazi sana
@olivyechambikwa425
@olivyechambikwa425 5 ай бұрын
Masheha mungu awape Fridawus namimi nikiwemo munanifurahisha mimi kwamawaiza namafundisho
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Ndacha amemwaga mutiririko wa maandiko mpaka am.confused eeeeh kweli Ndacha mungu akupe hekimu
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 4 ай бұрын
Gani la ajabu😂😂
@joshuawekesa7094
@joshuawekesa7094 2 ай бұрын
Ndacha ni moto Hawa mashehe ni kumangamanga to
@everlynewanyama
@everlynewanyama 4 ай бұрын
Mazinge alikua anaringa ety mm ndo kidume 7yrs ago saiz amepata kiboko yake ana aibu ata haezi angalia vizuri 😂😂😂😂😂
@EdithNeddy-hs9xv
@EdithNeddy-hs9xv Ай бұрын
Yesu ni bwana usiku na mchana ❤❤❤❤❤❤❤
@EssauMsukwa
@EssauMsukwa 6 күн бұрын
Yohana 1:1 [1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
@BernardChesoli-rj3nw
@BernardChesoli-rj3nw 2 ай бұрын
Shida ni Moja, issah wa Quran na yesu wa bibilia ni tofauti ndiposa hamutaelewana
@sashaamoha
@sashaamoha Ай бұрын
Wee ndio haupo kabisa sasa kin yesu n wangap 😂😂😂😂😂 Issa ndio yesu sisi hatukai mbn hamutuelewi nyinyi wakirsto tunawaamin manabiii wote wa mwenyezimunguu akiwemo Issa/yesu
@ikhavi
@ikhavi 25 күн бұрын
​@@sashaamohaikiwa isa ndiye yesu mbona mmoja kafa kulingana na biblia na mwingine hajafa??
@vicorvincent1409
@vicorvincent1409 5 ай бұрын
Shafi amesahau kua mungu wake hana uwezo wakua na mtoto bila kua na mke,hio inamfanya mungu wa shafi awe kama yeye ambaye lazma awe na mke ndio uzazi utimie,nashukuru sikukubali uongo wa Muhammad
@AbdulmalikSumkha
@AbdulmalikSumkha 4 ай бұрын
asa ww sisi mungu wetu hajazaa wala hajazaliwa kaumba watu nikuuliz ww uliezaliwa sawa na mwana wa mung yesu ana baba yake na ww una baba ako yesu anamama na ww una mama yesu kaish dunian na ww umeish dunian una utofat gan na yesu wako ukitoa jina na miujiza
@OscarGerald-vp9kx
@OscarGerald-vp9kx 4 ай бұрын
hakuna Aya inayosema ALLAH hawezi kuzaa ila aya inasema hakuzaa wala hakuzaliwa
@Sbstn1913
@Sbstn1913 3 ай бұрын
Hakuzaa kwa sabb hawez kuzaa.​@@OscarGerald-vp9kx
@PhilipobonifacSado
@PhilipobonifacSado 2 ай бұрын
Uyo asie kuwa na mwana nimungu wenu wa Islam na Majin mungu wa baba yake yesu ndio mungu wetu
@OscarGerald-vp9kx
@OscarGerald-vp9kx 2 ай бұрын
@@PhilipobonifacSado kwa maneno yako YESU ni MUNGU ila kwa maneno ya YESU mwnyw anasema ye mtume!!!!!!.....
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 5 ай бұрын
Poleni Waislamu sana
@musaramadhan5636
@musaramadhan5636 5 ай бұрын
Poleni nyinyi
@omarmohamed7434
@omarmohamed7434 5 ай бұрын
Poleni nyinyi mnaomtukuza mtu ambaye hakujitukuza.
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 4 ай бұрын
Kwa lipi?hatuabudu masanamu
@SoosanOman
@SoosanOman Ай бұрын
Majini ni yenu😂😂😂​@@omarmohamed7434
@joramsengi9123
@joramsengi9123 3 ай бұрын
YESU NI MUNGU
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy 3 ай бұрын
Kojoa ulale ww Mung gani anaye zaliwa
@joramsengi9123
@joramsengi9123 3 ай бұрын
Mungu hawezi kuzaliwa ndo maana Yesu anaitwa Mwana wa Mungu aliyekuja kufunua utukufu wa Mungu . YESU ALICHUKUA MWILI WA MWANADAMU NDIYO AKAZALIWA LAKINI KABLA YA HAPO HAKUWA MWANADAMU
@Zulkamhaji
@Zulkamhaji 5 ай бұрын
Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Yarabbi tudumish sis tulobahatika kuwa wailam mpaka mwish wa maisha yetu
@Sbstn1913
@Sbstn1913 3 ай бұрын
IQ ya ndacha ni kubwa sana ukilinganisha na za jukwaa la waislam wote ukianza na shafii .
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 2 ай бұрын
Iq ipi unayosemea? Hii yakuruka ruka maandiko?
@rahimumuco8662
@rahimumuco8662 3 ай бұрын
Waisilam hawajielewi kusema kweli maneno mengi tu. Mbwana yesu asifiwe
@navokisembo
@navokisembo 5 ай бұрын
Waislamu hawana chochote cha kupewa kiruu poleni aksante Yesu kwa uzima wa milele. Muhammad anasubiri Yesu amfufue yuko kaburinj kama wafu woote included my parents
@HabeebiHabeebi-rr6rk
@HabeebiHabeebi-rr6rk 5 ай бұрын
Hata babaetu Adam A.s..na cc wote including Jesus atafufuliwa na Allah Subhana.
@AbdulmalikSumkha
@AbdulmalikSumkha 4 ай бұрын
@@HabeebiHabeebi-rr6rk hahahahahahaha soma ww aya gan inasema yesu itafufua watu
@OscarGerald-vp9kx
@OscarGerald-vp9kx 4 ай бұрын
wapi Aya inayosema YESU atafufua watu?
@AbdullahmanGujwi-q1l
@AbdullahmanGujwi-q1l 3 ай бұрын
subuhana llah Kuna watu Wana dhambi sana
@MazikuMakoye
@MazikuMakoye 2 ай бұрын
Ndio Mungu
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 5 ай бұрын
Kwaiyo suala la yesu kuwa mungu limekufa
@navokisembo
@navokisembo 5 ай бұрын
Bado ni Mungu
@DaudiMwangati-id1tk
@DaudiMwangati-id1tk 5 ай бұрын
Ndacha wapashe hao nawatakia kuelewa wako kimwili zaidi kiroho hawana hao
@SusanDismas
@SusanDismas 4 ай бұрын
Nko nyuma yko pastor ndacha
@MORRISMBAJI
@MORRISMBAJI 4 ай бұрын
Waislam ni kelele tu na ubishi mwingi, Eloi eloi lama sabakthani!! Hayo maneno Yesu aliyasema maneno hayo kwanini? Read Romans. 10:5-8. Mlale muamke ninyi mtabaki kuwa wanadamu, Yesu atabaki kuwa ni Mungu ulizeni mujibiwe ninyi wote Waislam
@ibrahimadab9151
@ibrahimadab9151 2 ай бұрын
Kumbe wakiristo hawana akili hata kidogo, kibodini ni kinzito lkini ki akili ni bure 😂😂
@KasalyaKimimbi
@KasalyaKimimbi 5 ай бұрын
Madame sio Uungu Wa Yesu ama Yesu ni Mungu , Yesu ana nafasi gani mbele ya mungu .
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂wamepigwa tena😂😂😂😂😂 ahsant Mungu kunitoa kwenye ukafir
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 5 ай бұрын
Usiwe ww n mwislam
@Oman-k4j
@Oman-k4j 5 ай бұрын
Hussein mashaallah mungu akuongoze kw kkufaham dini ya haki mbele za mungu
@qerysir4410
@qerysir4410 5 ай бұрын
​@@Oman-k4jDini haiwezi kuwa ya haki - Moha kawaongopea! Dini labda iwe ya KWELI!
@Makevo08
@Makevo08 5 ай бұрын
Shafii ni mjinga sana ....nafasi km mahusiano ni mwana ..na km cheo ni mwokozi wa ulimwengu na jukumu lake kutoa uzima wa ulimwengu. Sema shafii ni maneno mengi ...ndacha ni facts
@HabeebiHabeebi-rr6rk
@HabeebiHabeebi-rr6rk 5 ай бұрын
Alhamdulillahi
@claudemofi3193
@claudemofi3193 5 ай бұрын
Sasa mbona hawa walimu wakiislam wana chekaka kama milofa
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dawa imeingia kwa wakristo safi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Sbstn1913
@Sbstn1913 3 ай бұрын
Hiyo inaitwa relief kwao kwasbb hoja imewashinda😅
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 5 ай бұрын
Nilidhani shaffi anaueliewa kumbe ndo mshamba kuliko wote
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 4 ай бұрын
Fanya uonane nae mfanye mazungumzo,mbwa mzuri huwa habwekei nyumbani ila hubweka akiwa katika usasi
@claverirambona6068
@claverirambona6068 5 ай бұрын
Ndacha ubalikiwe kwa kuwaelimisha
@DaudiMwangati-id1tk
@DaudiMwangati-id1tk 5 ай бұрын
Hamta elewa waislam hamjuikitu mnapotoshana
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 4 ай бұрын
Tufundishe kama wewe unasema kweli 😂😂😂😂😂😂😂huna elimu kisha unasema hatujui😂😂😂😂😂😂😂😂?
@Oman-k4j
@Oman-k4j 5 ай бұрын
Waksto kabisa kwamba yesu c mungu na je kwnn waende kanisani uchi vichwa wazi suruali wanaweke vinguo vifup wapi yesu alifundish hvo hem acheni ulimmbuken rudini kw allah
@fatumakiboto6157
@fatumakiboto6157 5 ай бұрын
bmndasha ni moumbavu
@SarahMasika-ei4du
@SarahMasika-ei4du 3 ай бұрын
Kwani pameandikwa kuwa Mungu ataangalia mavazi ndio uingie peponi
@BURUNDIB
@BURUNDIB 5 ай бұрын
Shafi hajuwi kitu kweli
@kimanzingei109
@kimanzingei109 5 ай бұрын
the grace you muslims have for now to know the truth and turn away from idolatry is a big one. but you take it for granted. a time is coming when the gospel will nolonger be preached to perishing people like you and the end time come and the son of man returns in his second coming that only his father and our father know. you will mourn and weep but the grace period will have ended. The same Ndacha you are taking as a comedian, the words he uses to tell you will be used to judge you. Ndacha is just like john the baptist who came preaching in the wilderness for people to turn away from their evil ways of living and of worship that satan had convinced them to live and they understood the voice of God in that man, To you muslims and other fake christians ndacha is your John the baptist.
@AbdulmalikSumkha
@AbdulmalikSumkha 4 ай бұрын
asa jamani nyinyi hamtaki kuamini kama yesu sio mungu haya bs mm ninaswali yeye mung wenu kaja kufany nn duniani kwann asimtume mjumbe wake au ndo mungu ambae hana mitume???
@AziziRajabu-mv8jz
@AziziRajabu-mv8jz 4 ай бұрын
Yesu ni mtume
@omarmohamed7434
@omarmohamed7434 5 ай бұрын
Yani wakristo akili ni kasorobo.Walipokubali mada tayari walikubali Yesu si Mungu.😂😂😂😂 Msiba mkubwa wasiposilimu.
@DoreenKimwele-bo4ss
@DoreenKimwele-bo4ss 4 ай бұрын
Am a Christian but I really know b4 nsikilize, yesu ni mtume wa mungu
@joramsengi9123
@joramsengi9123 3 ай бұрын
Mtume gani anamacho kama mwali wa moto ?
@ikhavi
@ikhavi 25 күн бұрын
If you read the bible well you will notice that Jesus is a servant of God and God at the same time..we know that God is Spirit and so in flesh jesus came as a servant..Read Isaiah 48:12-16 you will notice that God is speaking and He is saying He has been Sent by the Lord God and His spirit...
@AbdulmalikSumkha
@AbdulmalikSumkha 4 ай бұрын
dini ya kwel inajijib yenyew kila aina ya swal kwasbb haina shaka ndan yake asa wakristo mm ninaswal hivi kwel nyinyi hamna mashak na dini yenu???
@AbdulmalikSumkha
@AbdulmalikSumkha 4 ай бұрын
jamani kweni baba na mtot wote huwa wananguv moja sawa isiwe tatz tufany hivi yesu ni mungu alikuj kufany nn duniani alikuwa anahubir injil ya nn
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 4 ай бұрын
Hawa makafir wanasoma urongo zaburi 90:1😂😂😂
@PaschalDaud-zj6wo
@PaschalDaud-zj6wo 3 ай бұрын
Hao sio wakristo ni makafri ila hawana fahamu tu
@DavidBarasa-jo9kt
@DavidBarasa-jo9kt 5 ай бұрын
amen amen,Hawa waislamu hawajui bibilia hata kidogo.
@HabeebiHabeebi-rr6rk
@HabeebiHabeebi-rr6rk 5 ай бұрын
Aamiin kwakweli waislam wanajuwa injili as a book frm Allaah like Qur'an.....etc
@sultanhilarious8893
@sultanhilarious8893 4 ай бұрын
Usiwe shapiki sikiliza mada
@sultanhilarious8893
@sultanhilarious8893 4 ай бұрын
Wewe unajua
@Ismailmolle
@Ismailmolle Ай бұрын
Kwani wakristo hawana mwalim mwingine jamani?mbona tunamwona ndacha tu?
@salumchina3258
@salumchina3258 5 ай бұрын
Kweli wakristo awana akili mada yesu ananafasi gani mbele ya mungu.
@everlynewanyama
@everlynewanyama 4 ай бұрын
N mwana wa Mungu
@alinawal5311
@alinawal5311 3 ай бұрын
Allahu Akbar❤
@alinawal5311
@alinawal5311 3 ай бұрын
😊
@alinawal5311
@alinawal5311 3 ай бұрын
Allahu Akbar❤
@waltertang1910
@waltertang1910 Ай бұрын
Bi
@HabeebiHabeebi-rr6rk
@HabeebiHabeebi-rr6rk 5 ай бұрын
Aaah hata Adam A.s...ndiye hana baba wala mama...so jamani isomeni hiyo bibilia musikubali kusomewa....
@didasmajor9288
@didasmajor9288 4 ай бұрын
Habibu natamani tukutane tuelimishane, maana hawa wa mjadala wanafanya kwa manufaa ya Imani yao tu.
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 4 ай бұрын
​@@didasmajor9288hata na mm natamani tukutane unielimishe
@HarounmweroMwerochikoza
@HarounmweroMwerochikoza 3 ай бұрын
Someni vitabu muelewe dini sio kuangalia mtu tu na kuanza kukashifu vitu huvielew
@AntonyManeno
@AntonyManeno 5 ай бұрын
Mtoto Wa Shafi Ni Ng'ombe Kwa Mjibu Wake Sio Bina Dam😅😢 Waisilam Poleni Tatizo Lenu Mwasoma Bibilia Kama Qorowan. Mwataka Kuniambia Ng'ombe Ndio Ilimzaa Shafi Kwa Mjibu Wa Uisilam...
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 5 ай бұрын
Tatizo mavi mulio lishwa na wachungaji wenu😂😂😂ume pewa akili amka acha kupandikizwa ujinga na paulo
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 4 ай бұрын
Hakuna mtoto wa mungu hapa wala haiwezekani wacha kuliwa akili
@saudaumar3354
@saudaumar3354 5 ай бұрын
ndata rudi kwenu humuwezi shafii kiboko yako
@Sbstn1913
@Sbstn1913 3 ай бұрын
Sasa mbona unamfukuza😮 tujadili kwa hoja tupeane ilimu😅 bhana
@MORRISMBAJI
@MORRISMBAJI 4 ай бұрын
Wewe muislamu wacha kuruka umesema msiwe na miungu mingine ila mimi? Mbona, mbona kwa misikitini kuna NYOTA na MWEZI, NA hio si miungu mingine? Na ROSALI .
@BakariKaimite
@BakariKaimite 3 ай бұрын
Sasa wewe umesoma wapi kuwa nyota na mwezi ni miungu?
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 5 ай бұрын
Mzee wa upako ni mlevi usije ukasema ni mtu wa Mungu upako ni ulevi
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 4 ай бұрын
Ila na nyie pia mnakunywa mkaipa jina damu ya yesu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@claudemofi3193
@claudemofi3193 5 ай бұрын
Siwatuliye fujo zanini wanakua kama watoto wa chekecheya
@Makevo08
@Makevo08 5 ай бұрын
Kwa mujib wa waislamu quran 61 inasema Yesu alitumwa kwa wana israel ... Swal Israel ni nani kwa mujib wa qurani?? Na kama Yesu alitumwa kwa wana israel vipi tena waislsmu??? Quran ilikopi kutoka kwa biblia concept ambazo haiwez elezea??
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 4 ай бұрын
Kuna wajumbe wa nyumba kumi kumi na rais wa nchi.umeelewa 😂
@daudimsaghaa5078
@daudimsaghaa5078 5 ай бұрын
Issa bin mariamu anayosemwa na waislamu au wa quran siyo huyo
@rajabuchumbi6098
@rajabuchumbi6098 5 ай бұрын
Duuh ukristo mtihani sana jamani...😂😂😂
@NimoJama-iw6tg
@NimoJama-iw6tg 5 ай бұрын
Your taking nans
@glorymiko6830
@glorymiko6830 5 ай бұрын
Waislam na nyie si mmegawanyika?. Hata ukristo umegawanyika ktk madhehebu tofauti. Umetoa mfano wa mzee wa upako. Kwa kumwangilia yule mlevi ambaye ulevi ukiongea nae ndio unamtoa mfano.??
@YusuphRajabu-hz3pv
@YusuphRajabu-hz3pv 5 ай бұрын
Sasa ww ulishaa wai kusikia mazehebu yakiisilam lipo linalo sema muhamadi nimungu sisi tumegawanyika lakini swala yetu nimoja tu tunamuamini mungu mmoja namtume muhamadi tunamuamini kama mtume alietumwA namungu ww sikiliza kinacho jadiliwa maana ww hujui hata neno moja yainekana
@Khalid-w6l
@Khalid-w6l 3 ай бұрын
Hawa sio makosa yao kujua yesu ni mtume ama ni hivo wanavosema wao kuwa ni mungu, shida ni kwa hao mapasta wao wanayo yafunza, na wao wanashika hayo sababu hawaja soma dini wakiwa wadogo wakaelewa wao wanayajua wakati washakua na wakielezwa wanaelewa vibaya, mwislamu anafunzwa dini yake toka akiwa na miaka 7 sasa lazima ajue wapi ndio kunastahili kufatwa.
@MubebajiTsataspala
@MubebajiTsataspala 4 ай бұрын
Wakiristo acheni ushabiki eleweni maandiko....Ndacha kitu gani?...😅😅😅😅 huyo hata hajitambui mara yesu ni Mungu Mara Yesu ni mwana. Hammond mwadanganywa?
@mchendersonmande1558
@mchendersonmande1558 3 ай бұрын
Mbona mnakata nyie vipande
@AbdulmalikSumkha
@AbdulmalikSumkha 4 ай бұрын
wakati yesu yupo hakukuwa na technologia ya camera na videos wala michoro na movie yake imeigizwa na watu sasa nyinyi yule mkaka wa watu alieigiza kama yesu ndo mliambiwa pacha wake au asa mbn sura yake iko katika misalaba yenu???
@Sbstn1913
@Sbstn1913 3 ай бұрын
Akili ndogo .
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 5 ай бұрын
Ndacha ni bwege nani falaa wakawaida tu
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 5 ай бұрын
Je ww n
@Oman-k4j
@Oman-k4j 5 ай бұрын
Kwel kwanz anaende tofaut na maandiko anaulizwa hv yeye anajib vingne subhna llah
@fatumakiboto6157
@fatumakiboto6157 5 ай бұрын
du mndasha ashazoea uongo analopoka DU ni mjings uyo najivunia kuwa muismu😅❤😊
@CaltonMallya-zj6cp
@CaltonMallya-zj6cp 4 ай бұрын
10:102 jivunie na hapo
@Sbstn1913
@Sbstn1913 3 ай бұрын
Matus hayo .hoja inavunjwa kwa hoja na sio dhiaka .una hoja toa na sio mdhiak hata wewe n bwege tu.
@sultanhilarious8893
@sultanhilarious8893 4 ай бұрын
Ndacha Rudi shule
@SelinaSelinal
@SelinaSelinal 2 ай бұрын
Soma wafilip 2 :5:10
SHEIKH MBOGO TZ  AZIMA KELE ZA MWALIMU NDACHA TOKA KENYA
1:20:29
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 2,1 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 74 М.
JE, YESU YUPO KARIBU KURUDI KWA KIWANGO GANI? - Rabbi Abshalom Longan
59:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 18 М.
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 59 М.