No video

MALKIA WA KUZIMU AKAMATWA KWENYE SEMINA

  Рет қаралды 28,006

Robert Tv Tanzania

Robert Tv Tanzania

Күн бұрын

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official KZbin channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael:
/ @roberttvtanzania
#RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

Пікірлер: 75
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 Жыл бұрын
Yesu Kristo ni mfalme, tuendelee kuwakanyaga wachawi wavunjikevunjike katika jina la Yesu Kristo.💃💃
@charliechapline9222
@charliechapline9222 Жыл бұрын
Kyalo kutoka Mombasa
@zablonfesto5216
@zablonfesto5216 Жыл бұрын
Amina Mungu mwema sana wapigwe kwa jina la Yesu
@ChristInCharit
@ChristInCharit Жыл бұрын
Amina
@thanksgivingchannel6247
@thanksgivingchannel6247 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa kumwokoa mtoto huyu,adui angenufaika sana,Ila ashukuriwe Bwana kwa wokovu huu. Very talented
@ElvidiusMugolozi
@ElvidiusMugolozi Күн бұрын
Jina la mungu libarikiwe
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
HALLELUJAH HALLELUJAH GLORY TO OUR MOST HIGH, HE IS EVERYTHING TO US WHEN WE SEEK HIM WITH ALL OUR HEARTS
@user-kw4yn3vq2v
@user-kw4yn3vq2v 5 ай бұрын
Amen the name of the father
@josephatnkoleki4911
@josephatnkoleki4911 Жыл бұрын
Bwana ni mukubwa na atabaki mungu tu ni mimi josephine na toka Texas amen
@cheropsharon2051
@cheropsharon2051 Жыл бұрын
🇰🇪🙏🏻🙏🏻 Thank you Jesus for kanaan Bible Church amen
@roosroos7957
@roosroos7957 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@roosroos7957
@roosroos7957 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@roosroos7957
@roosroos7957 Жыл бұрын
Ameeeen 🙏🙌🔥🙏
@roosroos7957
@roosroos7957 Жыл бұрын
Ameen
@roosroos7957
@roosroos7957 Жыл бұрын
🇸🇦👏👏👏👏👏
@mwemezifrance4225
@mwemezifrance4225 11 ай бұрын
Atukuzwe YESU KRISTO BWANA WETU..kwa ushuhuda huu nimerudi tena kwa YESU KRISTO.
@rizikibahati8364
@rizikibahati8364 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni apewe sifa wachawi mutahendelea kupigwa katika jina la Bwana wetu YESU KRISTO
@evarinenathaniel9838
@evarinenathaniel9838 Жыл бұрын
Praise the Lord Jesus Christ.
@MoriceMazebele
@MoriceMazebele 15 күн бұрын
Mungu atusaidie
@christinalyamuya5175
@christinalyamuya5175 11 ай бұрын
Haleluyaaa !!!!! Wateketezwe wote hata wanaotuongoza kwanguvu za giza waaibishweee
@veredianaasophereth1504
@veredianaasophereth1504 Жыл бұрын
Amina sana baba askofu. Kuna kitu nlikuwa ckielew sasa kptia hyo mtoto nimeelewa amen.
@JaneBariki
@JaneBariki Ай бұрын
Niwapi huko mbona wachawi ni wengi sana jaman mungu tuhurumie kwa kuabudi miungu mingine
@RobertTvTanzania
@RobertTvTanzania Ай бұрын
Hapa Ni Karagwe, Mkoa Wa Kagera
@ndatoyeaspert6745
@ndatoyeaspert6745 Жыл бұрын
Amina!tunavunja ufalme wa kichawi kwa Jina la Yesu Kristo,
@floraflorence2578
@floraflorence2578 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, hizi semina nazikumbuka npo Dodoma
@FelistaDugange-cm4xp
@FelistaDugange-cm4xp 10 ай бұрын
Amina Amina
@user-ye2pz4lp1u
@user-ye2pz4lp1u 7 ай бұрын
Yesu kristo ni mfalme tuwakanyage wachawi wakanyangewe uchawi wao uwarudie wenyewe kwa jina la yesu christo
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Жыл бұрын
Huyu binti aendelee na shule yuko smart kiakili Mungu tusaidie kwa wtt wetu🙏🏼🙏🏼
@rastonkalikawe-ot9it
@rastonkalikawe-ot9it Жыл бұрын
We ni noma beans akutie nguvu
@ChristInCharit
@ChristInCharit Жыл бұрын
basi hapo kwa Giza na Mtelelezo nimecheka mie 😅😂😂 Yesu Mfalme milele Mungu awabariki Amina 🔥
@jacklinegatwiri635
@jacklinegatwiri635 11 ай бұрын
Kataka jina la Yesu Kristo
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Жыл бұрын
Yesu Kristo ni Bwana wa Mabwana!
@annetvuseletse4509
@annetvuseletse4509 Жыл бұрын
Mungu ponya watoto wote kutoka kwa hizi nguvu za Giza za luminat
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
Wapendwa tuombe sana Mungu akupe macho yakuona waweza kuhishina malikia wa kuzimu usijue lakini ukiomba Mungu anakonyesha tuomba kwa bidii
@veronicawilson4263
@veronicawilson4263 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi nimejifunza kitu kutoka kwa Binti yetu mzuri Mungu azidi kuwafungua watu wake
@roosroos7957
@roosroos7957 Жыл бұрын
Ameen
@eliamulikalema7356
@eliamulikalema7356 Жыл бұрын
Damu y'all Yesu inatosha kutufunika amen tuombe Kwa iman
@majijimikomaga1368
@majijimikomaga1368 Жыл бұрын
Robert tv, poa Sana! Umejenga Kanisa zuri Susana!!
@HappyAnton-yv4ms
@HappyAnton-yv4ms Жыл бұрын
nimependa sana jinsi mnavyoomba mbarikiwe sana
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Waooooo Yesu anaweza
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Waaaaaah jesus help us
@frdieumercimayengejesustvo1534
@frdieumercimayengejesustvo1534 Жыл бұрын
Mtoto abarikiwe sana kwa kutoa ukweli
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 Жыл бұрын
Baba ulifika Colorado Springs hukuwaita wachawi
@rosenyabuti8381
@rosenyabuti8381 Жыл бұрын
Amina
@rosenyabuti8381
@rosenyabuti8381 Жыл бұрын
YESU mbambe
@charliechapline9222
@charliechapline9222 Жыл бұрын
Amen 🙏 fire 🔥
@charliechapline9222
@charliechapline9222 Жыл бұрын
Kama wachawi wanapewa rules and regulations Bona sisi christians tusijifunge tukamtumikia Bwana,vunjeni,kemea,omba shetani hatakuwa na nafasi kwako wee ulieokoka
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Mzee mbona unalazimisha watu kuwa wachawi na mtoto Ni Kama umemfundisha hayo maneno
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
Maduhizangu wote wanao ninenea Mabaya nachilia utelezi juhuyao na wapiga upofu nagiza maneno yote yawejuyenu wachawi pia kuna malikia moja wa kuzi na kwanika hazarani ktkjina la Yesu kila mtu akutambuwe
@hamadhamad931
@hamadhamad931 7 ай бұрын
1😊😊😊
@mercycheptoo4388
@mercycheptoo4388 Жыл бұрын
Uchawi is normal in Tanzania
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Zaka ina nguvu sana
@elyseekakutu956
@elyseekakutu956 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
Wasivunjunjike tu wafe mana neno linasema tusimwache mwanamke mchawi afe
@cristianojorge682
@cristianojorge682 Жыл бұрын
Wachawi wakanyagwe
@louisendunguru7106
@louisendunguru7106 Жыл бұрын
Eeh Sweden habari ziwafikie….
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Kama kuna mlokole gari haipati ajari
@carolinederi5690
@carolinederi5690 Жыл бұрын
Huyu mtoto ako na akili za mtu mkubwa haki...tena shujaa kweli kweli
@zabibujuma8714
@zabibujuma8714 Жыл бұрын
Lakini mchungaji sim weka pembeni sababu unaiyangalia sana
@carolinederi5690
@carolinederi5690 Жыл бұрын
Wezi wa zaka wamepata habari
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Mzee kanisa lote wachawi Atari sana
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Uongo mtupu si hiyo Bibi umutaje wezi wa sanaka
@charliechapline9222
@charliechapline9222 Жыл бұрын
Kyalo kutoka Mombasa,, naomba Sasa hivi Amini tu Yesu apewe sifa, Yesu Yuko, Kwa Jina la Yesu mnazareti katika ka ulimwengu wa kiroho Pepo wambaya humuezi wakuu wa Giza hamuna nafasi Kati ka Christmas hii mfalme wa wanjemi huna nafasi kwa Christmas hii Nashindana na Kila kiroho kutoka kuzimu Naribu Kila mamlaka Kwa Jina la Yesu mnazareti Kwa Amri niliopewa ya kuvunja na kuaribu, kufunga na kufungua Kwa walionewa na ibilisi, Naribu Kila mamlaka Kwa Jina la Yesu, Naribu shauri za ethioferi katika Christmas hii, Shetani huezi katika Jina la Yesu mnazareti, Asante Yesu Ameen barikiwa anaye kubariki abarikiwe anaye kulaani alaniwe
@majijimikomaga1368
@majijimikomaga1368 Жыл бұрын
Mtoto mdogo saana, binti mzuri lakini ni Mchawi!!! Inatisha Susana!!
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Anatumikishwa
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 Жыл бұрын
Hio hio yote Uongo mtupu. Ha kuna. Kitu kama hio
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 Жыл бұрын
Huyu mtoto ni mwongo na ni mjaja wa uongo
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Wewe ni mchawi nini mbona unampinga
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Kwanini unampinga mtoto?
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Mungu akuponye mtoto mzuri
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Tuachen waoooo wachawi wabaya
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws Жыл бұрын
Acheni kula bata
BINTI AMTOA BABA YAKE KAFARA
58:20
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 27 М.
MAMA AFUNDISHA FAMILIA NZIMA UCHAWI
25:59
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 26 М.
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 50 МЛН
KIJANA KAWA RADHI KUMTOA KAFARA MAMA YAKE  BADALA YA MKEWE
20:52
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 10 М.
MJERUMANI ATUA KAANAN RASIMI
28:44
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 30 М.
KIJANA ANUSULIKA KUWA  KAFARA KWA BABA YAKE
27:31
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 5 М.
MCHAWI "JINSI YA KUINGIA KWENYE NYUMBA YA MTU USIKU" | Robert Tv Tanzania
45:22
Nyisake Chaula_Kongamano la Pentekoste
1:23:12
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 2,4 М.
MCHUNGAJI ANUSULIKA KIFO CHA WACHAWI WALIOTUMWA
37:14
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 76 М.
BINTI ACHINJA KAKA YAKE NA KUMLA
42:04
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 61 М.
VIJANA WAFUMWA NDANI WAKIFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA LINDI
9:05
Mashujaa TV
Рет қаралды 290 М.
BINTI MCHAWI AMUUA BABA YAKE NA KUMLA NYAMA BILA HURUMA
12:43
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 9 М.