ROBOTI KUBWA LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G

  Рет қаралды 393,517

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

ROBOTI LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 787
@shadrackyavin9991
@shadrackyavin9991 4 ай бұрын
Haya maroboti yanafaa kulima Sana sio kuaa ofsin kuziba riziki za vijana chunguzen Hilo tutalewa na vitu vingene sio litakuja liwageuke mh me simo 🙄🙄
@agneskabalika800
@agneskabalika800 Жыл бұрын
Siku za mwisho maarifa ya mwanadamu yataongezeka sanaa
@Mariamumwihasi
@Mariamumwihasi 11 ай бұрын
Nakukubali usemi wako
@fadybeatz
@fadybeatz Жыл бұрын
TUMEPIGWA NA KITU KIZITO HATUNA ROBOTI HAPO AYO NI MAVAZI TU😂😂😂
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын
Kuandaa maigizo haya utaambiwa matrion ya pesa
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Roboti alikuwepo wakati wa mwendazake og😅😅😅
@victorgerryson2695
@victorgerryson2695 Жыл бұрын
😂😂amin
@majapelinho
@majapelinho Жыл бұрын
Roboti anatembea kwa maringo 😂😂
@martinalberty8011
@martinalberty8011 Жыл бұрын
sasa mbona linatembea kama limetoka kutairiwa😅😂
@elvisbernard9407
@elvisbernard9407 Жыл бұрын
😂😂😂
@emanueltobias3420
@emanueltobias3420 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@NamelessOwino-tj1if
@NamelessOwino-tj1if Жыл бұрын
😂😂😂
@nathoelias2857
@nathoelias2857 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@aliyahyaissaissa7423
@aliyahyaissaissa7423 Жыл бұрын
Hhhhhhhhh
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Kama huo ndo mwendo wa 5G nabaki 4G
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Heri hata 2G kwa mwendo huo😂😂😂😂😂
@racheljoseph9402
@racheljoseph9402 4 ай бұрын
Khaaaaa😢😢😢😢 ndio tumefikia huku kweli Ee Mungu tuteteee acha mafuriko yaje tu R.I.P MY PRESIDENT JPM nitakukumbuka kila siku ungekuwepo usingekubali hili dude lije
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 4 ай бұрын
😂😂😂nacheka kama mazur Yan mtihan
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya Ай бұрын
Nonsense Nape hufai hata kidogo
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 Жыл бұрын
Jamani kweli Dubai imeipania Tanzania
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 Жыл бұрын
Kabisa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Kuifilisi 😂
@franktangeki9342
@franktangeki9342 Жыл бұрын
hayo Maroboti ndiyo yatakuwa yanafanya kazi Bandarini baada ya DP WORLD kukabidhiwa Bandari
@zuhuramwanafuno1851
@zuhuramwanafuno1851 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Mbavu zangu😂
@AhmedHImran
@AhmedHImran 4 ай бұрын
Wangapi mlio ona moto kwa hio roboti to alama ya freemason??????? Kama umeona nipe like tujuane
@MaryMusa-d9k
@MaryMusa-d9k 4 ай бұрын
Mungu atuponye
@naphetkisigo4381
@naphetkisigo4381 Жыл бұрын
Yajayo yanatisha! Fungua macho uone.
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 4 ай бұрын
Sijaelewa jamani likitu la nini sasa hilo,jamani makubwa sijajuwa lqbda ushqmba au makubwa
@aziziifotera9472
@aziziifotera9472 Жыл бұрын
Huyo nimtu kavaa manguo ya chuma cyo robot
@lellovenance5702
@lellovenance5702 4 ай бұрын
2:00 tuanchukulia poa lakin hii si gud, mbona ana mapembe mbona jekundu kuna ibada hapo mnaabudishwa kama nebukadneza 😮😮😮
@emanuelmaya4667
@emanuelmaya4667 4 ай бұрын
halafu pia ana mapembe
@isaacochieng6354
@isaacochieng6354 Жыл бұрын
BWANA YESU KRISTO hii linaonekana jambo jema lkn nimaandalizi ya ujio wa mpinga kristo jamani YESU ANATUPENDA HEBU TUMPOKEE NAWASIHI NDUGU ZANGU BARIKIWENI
@elishazacharia1204
@elishazacharia1204 Жыл бұрын
Ugonjwa wa akili
@issaseif5304
@issaseif5304 Жыл бұрын
Mmmh hakuna robot hapo 😂 mwendo wake tu unajieleza
@officialjclever9879
@officialjclever9879 Жыл бұрын
R,I,P JPM tumekumic
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Nacheka sana! Nchi imekuwa ya vituko kila cku! Rip JPm!
@maulidipingika4452
@maulidipingika4452 Жыл бұрын
Ukamufufue
@joachimbaldwin8511
@joachimbaldwin8511 Жыл бұрын
​@@maulidipingika4452mpo WENGI sana hata sikushangai wewe ukiwa mmojawàpo wanaofurahia haya màmbo yanayoendéléa na kúibuka kila síku nchiñi
@زينبعليعبدالله-ز3س
@زينبعليعبدالله-ز3س Жыл бұрын
SAS magufuli angefanyaj looh
@shabanismail-u7e
@shabanismail-u7e Жыл бұрын
Huna maana ww kwahyo huu ni ujinga angefanya magufuli ndo lingekuwa la maana?
@shabanismail-u7e
@shabanismail-u7e Жыл бұрын
Mjinga ww muua watu ndo unamkumbuka
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Tutaona vituko zaidi lini utaenda kukagua miradi?? Roboti linatusaidia n8ni
@RashidiSaidy-o1z
@RashidiSaidy-o1z Жыл бұрын
Hii Dunia yakustajabisha hapo itafikia watuwataondolewa kwenye Imani yakweli Na kuanza kutumikia masanamu Allah atunusulu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
ndio maviongozi yakiislam ya kiafrica yalivo yamejaa ushetan tu sasa hapo watoto wataanza kuwamin masanam nasio Mungu
@laudadeusredemptorysidinda2750
@laudadeusredemptorysidinda2750 Жыл бұрын
Acheni ushamba aise
@laudadeusredemptorysidinda2750
@laudadeusredemptorysidinda2750 Жыл бұрын
​@@aishaalbalushaishabalush8291unaijua vizuri Dubai wewe, huko ndo kuna marobot ya kila aina, acha ushamba
@hamedhabsi2752
@hamedhabsi2752 Жыл бұрын
Unasumbuliwa na ushikirina akili mwako. Tatizo jingine tembea kidogo nje ya nchi uone Dunia. Kuna Mambo zaidi ya hayo.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@hamedhabsi2752 huko unaposema kunamambo zaid ya hayo hakuna raiya anaelala njaa rabda apende mweyewe kutokula sasa tanzania robot la nini wakat wanainchi hawana hata ajira wanao ajiriwa watoto na family za viongozi mnapenda kufananisha mavitu bila kufananisha serkal inawasidia kiasi gani wanainchi woote wasio na ajira ? unadhani hatutatembei hadi tuone nijambo jema kwa tanzania ? kwanza unapopataja wanainchi wao wanalishwa na serkal zao ndio maana hata kazi wavivu kufanya sasa tanzania upeleke robot lakutumia mabillion ya pesa wakat watanzania wananguvu ya kazi zile anazozifanya robot tena wao wanafanya kwa mshahara mdogo tu huo ni ujinga ulipitiliza maji shida umeme mgao hayo mabillion waliolinunua hilo robot si wangeongeza miundo mbinu mnaajiri robot wakat wanainchi wanadhiki na shida ya kazi yoyote iwe ngumu au nyepesi tena kwa mshahara mdogo kwa mwezi nasio mabillion kwa wek tumia akili nasio matako
@pendopendojoshua7624
@pendopendojoshua7624 4 ай бұрын
Wateule kuweni macho huyo ni picha ya lusifer mambo ndo yanaanza kama kiongozi anaenenda hivi tumekwisha Mungu atusaidie
@MaryMusa-d9k
@MaryMusa-d9k 4 ай бұрын
Kweli Mimi sijapenda kabisa
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 Жыл бұрын
Kwenye Airtel Kuna mkono wa serikali ndo maana huduma za internet ziko kiwiziwizi.
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Kabisaa
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Kabisaa
@jumaamwairo2264
@jumaamwairo2264 Жыл бұрын
Leo ndio naona robot anaumwa, nchi ngumu hii 😂😂😂
@madumamaduma8571
@madumamaduma8571 Жыл бұрын
😀😀😀 , khaaa nimecheka, watu bhana khaaa.
@TwanaMapesa
@TwanaMapesa Жыл бұрын
😂😂😂😂nyie jmn
@DJEXWEEZ
@DJEXWEEZ Жыл бұрын
Kizungu kinakanganya mc 😂😂😂 Na hii roboti mko sure si mtu amevaa tu magwanda 😅
@kimaroamon9008
@kimaroamon9008 Жыл бұрын
Sasa huyu nape kasema tulikuwa tunayaona duniani sasa yamekuja tanzania je tanzania haipo duniani???
@deekamwela_official
@deekamwela_official Жыл бұрын
Udumavu wa maendeleo ya taifa letu nadhani umeona sasa dhahiri unasababishwa na ufikiri wa waliokuwa na dhamana
@joanimali981
@joanimali981 Жыл бұрын
Hvo ndivyo wagonjwa watauliwa wth that microchip robot😂😂😂😂
@ZaynSwalo
@ZaynSwalo 4 ай бұрын
Kodi za waTanzania matumizi yake yamefikia hapa.Mungu tuhurumie
@AngelBlack-uf1tu
@AngelBlack-uf1tu 3 ай бұрын
Ni ujinga sana watu wanakufa hospital kwa kukosa fedha ya matibabu ,kaka inaumiza kina dada amefariki last year kwa kukosa elfu 30tuu na akapoteza maisha kwa kukosa kuhudumiwa ,(amana hospital)
@bilioneabichwa
@bilioneabichwa Жыл бұрын
Mbona kama vile mtu huyo, ebu jaribuni kumchapa viboko atasema tu
@faiditv5535
@faiditv5535 Жыл бұрын
😂😂😂
@rahmasoliman489
@rahmasoliman489 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 Жыл бұрын
Tuwe makini na akili bandia!
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 Жыл бұрын
Kwa hio hizo hela za bandar mmnunua robot kwer hii nchi inaliwa😢
@neychuchu_love966
@neychuchu_love966 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@S.Mnguyu
@S.Mnguyu 3 ай бұрын
ALLAH atunusuru huu ni mtihan wala sio neema ,masanamu yamefika Tanzania , innalillah wainailaih rajiun,yarabii tunusuru na huu mtihan😭😭😭
@efatauroki867
@efatauroki867 Жыл бұрын
Kifurushi Cha 5G ni Cha wenye uwezo jamani doo!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KAMA HUJUWI MAANA YA 5G BORA UNYAMAZE TU.
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Жыл бұрын
​@@salimmalaka256itakuwa hajui maana yake 😂😂😂
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 Жыл бұрын
Mkulupukaji
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 Жыл бұрын
Speed ake ni zaidi ya mara ishirini ya 4G speed
@msafiriomary893
@msafiriomary893 4 ай бұрын
Neema gani upuuzi mtupu
@ezekielngarega5142
@ezekielngarega5142 Жыл бұрын
Robot zikifanya kazi na watu wenyu watafanya Nini, na vile muko sinda nyingi
@SophiaMoses-jk4cv
@SophiaMoses-jk4cv 4 ай бұрын
Jitu lenyw linatisha HV af linawaka moto duh! Rip doctor john pombe magufuli ungekuwepo hy mambo yasingetokea
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Жыл бұрын
Roboti Gani Punda Nyie Mnafikiri Hatujui Ngongoti?
@ttboyboyboy
@ttboyboyboy 4 ай бұрын
sasa.ii.pesa mliyonunuwa.uu.uchafu sibora mki jenga shule.visima vijijini.nakupeleka misaada yachakula.kwenye kambiza.wakimbizi.tuna mkumbuka John.pombe maguful.atutakuja jupata laisi.kama yeye mungu amuweke maalipema peponi
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Mnaojipanga kusoma kwajili ya kuingia bandalini mmeona hayo tafuteni kazi nyingine kbs
@upendomtui6544
@upendomtui6544 6 ай бұрын
Artificial intelligence kazini 5G + AI = NWO Maandalizi hayo
@ombenimilinga3638
@ombenimilinga3638 4 ай бұрын
Ngoja nyaya zigusane muone litakavyocharuka na kuwapa mkong'oto
@magretmilla6663
@magretmilla6663 Жыл бұрын
Imetisha inchi yetu Tanzania mungu ailinde
@SumaTunda-bs4fp
@SumaTunda-bs4fp Жыл бұрын
Wewe endelea uliigiza movie royal tour hawakukuelewa sasa endelea watakuelewa tu
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Жыл бұрын
😆😆
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KWELI WASHAMBA NI WENGI MAMA PIGA KAZI.
@AlexDitto-qz1hn
@AlexDitto-qz1hn Жыл бұрын
Shida roboti harina matako
@True-Kenyan
@True-Kenyan Жыл бұрын
Danganyeni Watanzania tu😂😂😂Yaaani ata mtu mpumbavu ataona huyu ni mtu kavalishwa mavazi ya Roboti🤷‍♀️🤷‍♀️
@directorabiero340
@directorabiero340 Жыл бұрын
Duuuuuh hii nchi tunapolekea . Duuuh kama tushaanza kuonana na robot hivyo sio siku nyingi tutasikia robot zimeajiliwa😂
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat Жыл бұрын
😂😂
@jamilaratabu1586
@jamilaratabu1586 Жыл бұрын
😂yupo kazini kule nnje na ilisemwa na itakuwa ivyo ukotuendako wafanyakaz hawatakuwepo kila ofisi kila hotel kila sehemu sina uhakika hospitalini kuhusu madocta 😂😂😂😂😂😂
@PaullyzmundaPaullyamunda
@PaullyzmundaPaullyamunda 4 ай бұрын
Shusheni kwanza vifurushi, siyo kutuacha tunaibiwa kwa vifurushi vya watoa huduma za vifurushi vya mitandao
@rosesilio9008
@rosesilio9008 4 ай бұрын
Hii nchi inakoekekea itakuwa ni dangerous aiseee tunapoelekea
@gilbertrutayuga4676
@gilbertrutayuga4676 Жыл бұрын
Moja ya lugha zinazonichefua ni neno duniani. Kwamba tumezoea kuyaona huko duniani Sasa yamekuja Tanzania. Kwa hiyo sisi tuko sayari Gani.
@ymusic1299
@ymusic1299 Жыл бұрын
Hata mm aisee
@Reybizo
@Reybizo Жыл бұрын
I think we need to thanks thats improvement of technology
@ankowaah
@ankowaah Жыл бұрын
​@@Reybizohakuna improvement yoyte apo ni ya kununua kwa watu iyo
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh Жыл бұрын
Mh amesema tulkua tumezoea kuyaona marobot DUNIAN na leo tunayaona TANZANIA (kwan Tanzania ipo ktk sayar ip?)
@AlexDitto-qz1hn
@AlexDitto-qz1hn Жыл бұрын
Wame mtengeneza kwaajiri yakupambana na MANDONGA
@LightnessJoel
@LightnessJoel 4 ай бұрын
Mh jamani hiki ni nini Ina maana sisi watu hatuna maana Hadi tuwe na robot Tena mbele ya rais wetu mungu tunusulu na hili
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 4 ай бұрын
Kikwete unatuaribia nchi mbona mna muendesha sana Rais Samia hivo???? Please muda wako wa uongozi ulisha pita kaa utulie,tuna mkumbuka sana Jembe letu Jpm.
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 Жыл бұрын
Yaan,utamaduni wa hata makofi kuombwa ulitokea wapi? Watizamaji wa michezo kama futbol,endapo jambo jema linatokea woote kwa pamoja wanalipuka.kwa makofi,shangwe,vigelegele na vifijo,kwa wingi na kwa pamoja,bila kuombwa! Hii tabia ya kuomba makofi,ni ya k-MC tu.
@amanimeela1106
@amanimeela1106 Жыл бұрын
Hivi hawa watu wanatuonaje kwa mfano
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 Жыл бұрын
Wanatuona kama vibonzo
@abdullyjadu7723
@abdullyjadu7723 4 ай бұрын
Daaah ilo robot kazi yake jamani naomba kuuliza na munipe majibu?eeeh MUNGU hawa viongozi wetu
@robartifabiani
@robartifabiani Жыл бұрын
Tunataka starlink ya Elon musk
@marianmartin7483
@marianmartin7483 4 ай бұрын
Maana yake nn hii, mm sielewi kabisa. Alafu tunapihia makofi roboti🤔🤔🤔🤔
@tawakalimankasim82
@tawakalimankasim82 9 ай бұрын
5G ya pacome zouzua wa yanga hongera rais kwa maendeleo ya kidigital. Makolo simba wakiona hii 5G watakumbuka siku ya tarehe 5 walivyokula chuma 5 kwa Yanga. Yanga oyeee
@RichardMlaguzi
@RichardMlaguzi Жыл бұрын
Sasa ilo linasaidia nini katika kupunguza Hali ngumu ya maisha kwa wananchi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
UKIWA KULA KUNYA KULALA HUTAKI KAZI HALISAIDII
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 Жыл бұрын
Yaani mawazo yamenipeleka mbali mara robot tobi karusha ngumi
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Taka taka ume wezeshwa ujinga
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n Жыл бұрын
SASA HAYO YANAMCHANGO GANI KWETU??, RUDISHENI BANDARI ZETU ACHENI KUZUBAISHA AKILI ZA WATU.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Hilo roboti nalo lingemkanyaga limnyige afe huyu raisi wa mchongo dp world yake tumemchoka sana
@graceannah8452
@graceannah8452 5 ай бұрын
Mambo yote yaliotabiliwa yatatokea nyakati za mwsho yote yameshaonekana! Manna bii kila kona mpaka wanawake wanakuwa wachungaji!!!! Sasa hilo robot,hilo nijini limepewa jina la robot kama magonjwa yanavyopewa majina! Tuishi tukiwa tayari muda umeshatimia
@AllyKija
@AllyKija 3 ай бұрын
Hapo wamesha sahau utufu wa Allah na rehema zake ila roboti na tecknologia ndio wameona zinafa zaidi ila Allah yupo watakuwa na ujasili wa kumjibu
@bakarisaidi3022
@bakarisaidi3022 2 ай бұрын
huyo ni mshkaji yuko hapo ndani acheni drama zenu😂😂😂Hayo magwanda tunayajua
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 4 ай бұрын
Hivi roboti akitumika kudhuru viongozi wetu wa nchi angalieni hizi mambo jamani kiukweli roboti hapana mmmh
@evmwakabelayonathan5445
@evmwakabelayonathan5445 Жыл бұрын
MUYAONAPO HAYA INUENI VICHWA VYENU KUMTAZAMA KRISTO YESU MWOKOZI UKARIBISHO WA ANTI-CHRIST SYSTEM
@salumissa2266
@salumissa2266 Жыл бұрын
Msipo piga kula roboti yupo
@ibrahimzuberi1029
@ibrahimzuberi1029 Жыл бұрын
Natokea new york marekani ,hatuna roboti la ivyo huyo ni ngongoti.....njooni mnipige
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 ай бұрын
Wa kuazimwa hatumtutaki kwahiyo mwisho tutatawaliwa. Mwisho CCM watatununulia Roboti lije kututawala
@Vedastusfabian
@Vedastusfabian 4 ай бұрын
Hivi tunahitaji robot kweli Tanzania? Mmmh
@frankRobert-vh8bw
@frankRobert-vh8bw Жыл бұрын
Mtuu ondolee bando lasiku kwenye mitandao yetu. Bora tubaki na halichach
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws Жыл бұрын
Sasa kingeredh chanini wakat huwez alf hiv vitu vyann huk badala mutupe miundo mbinu mizur raia wapate malaji mnatupa marobot ynn sasa tz bwan
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 Жыл бұрын
Huyu ni binadamu bana mm msinibebe
@kilamasta1357
@kilamasta1357 Жыл бұрын
Robot hatembei hivyo
@kilamasta1357
@kilamasta1357 Жыл бұрын
Nawe umeona kumbe ni binadam uyo
@AlexDitto-qz1hn
@AlexDitto-qz1hn Жыл бұрын
Anatembea kama amefirwa
@AntoniaKunambi
@AntoniaKunambi 4 ай бұрын
Tumekwishaa sasa roboti linafanyakazi je wasomi watafanya nini,tunasomesha watoto wapate ajira.
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
Unaongelea uchumi na digital wakati hospitali hakuna vitanda, hakuna dawa, watoto mashuleni hawana madawati ya kutosha, hawana viatu, uniform, vyoo , mazingiyya watoto wa kike mashuleni magumu mnoo, nyie mnakaa mnapiga makofi kuhusu 5G network, kweli waafrica mtaendelea kutawaliwa miaka na miaka ijayo
@ttboyboyboy
@ttboyboyboy 4 ай бұрын
Nibola.ii iyo ela mama ukienda kupeleka misaada kwenye kambi.zawakimbizi.nchi yako ina alingumbu Maisha magumu wananchi awana ajila mnaenda kununuwa lobot.afu Angalau ata likiwa la vita basi mkilipeleka lika kae ata Mipakani.lisaidie nchi yetu
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Mnafiki ww wafanyaviashara wadogo umetusaliti
@Manzabei
@Manzabei 4 ай бұрын
Sijapenda maroboti
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 Жыл бұрын
Hayanimatapishitu ya wazungu ulizeni nanikalitengeneza Kama sio weupe
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 8 ай бұрын
Endeleni kupeana vyeo hamustaafu bali mukaa pembeni mukiendelea na vyeo vyenu
@shabaniathumani1789
@shabaniathumani1789 4 ай бұрын
Wazili mshamba huyu eti tumezoea kuyaona duniani Tanzania ikowapi
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 4 ай бұрын
Sisi tunanjaa kazi hakuna maisha magum na hatupati msaada wowote kutoka kwenu kama viongozi wetu lakini hamtujadili jinsi ya kudusaidia sasa mmeamia kwenye maroboti kwaiyo tule roboti?
@fridamwenda5728
@fridamwenda5728 3 ай бұрын
Hilo Roboti linauzwaje? Pesa ni shilingi ngapi namm nalitaka linifanyie kazi za nyumbani, lifue lideki na kazi zote za nyumbani ambazo zinanielemea
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
JE? Yanga wanaruhusiwa kugawa 5G kwa Tim yeyote ?
@TanzaniaFisheriesGroup
@TanzaniaFisheriesGroup Жыл бұрын
Linatisha jamani watalam waboreshe lionekane vizuri kama mtu wa kawaida hivyo linatisha kama jitu
@MamuMamu-u4c
@MamuMamu-u4c 4 ай бұрын
Uko twendako hayo maroboti yatakuja kutu uwa wenywe wazungu mda mwengn so wajinga
@nassorally9008
@nassorally9008 4 ай бұрын
Kwani kikwete ulishindwa Nini kufika kuongea apo mpaka uonekane kwenye TV
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 Жыл бұрын
Tunayo mambo ya msingi ya uchumi wa taifa leo tunashangilia roboti stupiiiiiiiiìiid
@AnangisyeMbughi-xw4ky
@AnangisyeMbughi-xw4ky 3 ай бұрын
Pamoja na serikali kuwa na ubia kwenye mitandao,bado watanzania ni wahanga wa ongezeko kubwa la garama za maisha,wachache wameongeza garama za maisha kwenye kodi huku walio wengi wanalalama wakiishia patupu kutokana na kuto sikilizwa.haki za watanzania zimezimwa na wachache.
@danielouma
@danielouma 4 ай бұрын
Roboti kuingia nchini itaathiri nini kuhusiana na imani! Someni biblia! Hii siyo sanamu ya kiibada! Acheni uzushi! Hii ni hatua ya technologia!
@emmaxendru9926
@emmaxendru9926 Жыл бұрын
Mnatuzindulia 5G lkn Bundle zina bei ghali ss kuna umuhimu gan wa io 5G akat 4G tuu inatumalizia Bundle chap
@sarabura8933
@sarabura8933 4 ай бұрын
Uyo roboti kaisha jianda kwa vita tayari na linamapembe jamani jamani tengenezeni njia zenu au tungengeneze njia zetu jamani tusichukulie masihara mambo yanako elekea ni magumu na kinachofata ni amri tu tujitakase tusome neno sana tutubu tuache dhambi tujiweke tayari mpango wa mpinga kirsto unaanza
@superangeltv4615
@superangeltv4615 9 ай бұрын
Wanasiasa watanzania wenye akili kuwashinda wanasomi lkn inchi km raisi wa burusi anapenda kusema iv wasomi wa magharibi wamepotoka lkn. Hapa kwendu wasomi wakiwa na oja wa kujaliki bahati mbaya oja kizani utasikia wachochezi sijui neno wachochezi Lina maana gan
@JOHN16verse33
@JOHN16verse33 Жыл бұрын
Mnashangilia ushetani..5g robots paving the way for the antiChrist: dunia imekwisha
@AngelBlack-uf1tu
@AngelBlack-uf1tu 3 ай бұрын
Washezi sana tunaongozwa na viongozi zero brain 😢sana Hawa viongozi
@eatlawe
@eatlawe 3 ай бұрын
Robot ana kichwa cha shetani! Haya njia ya mpinga Kristo inaandaliwa!
@ntegrity277
@ntegrity277 Жыл бұрын
Mnatumua robot ili watanzania wakose kazi Kuna very intelligent girls good in mathematics and physics wangefanya hiyo kazi! Mnatumua robot! Tanzania bado kwenye kufikiri
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 Жыл бұрын
😮 kwakweli namimi nimejiuliza ,itakuaje??
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Ndo mara ya kwanza kuona Roboti anajampa😂
@ymusic1299
@ymusic1299 Жыл бұрын
😂
@saitotigeorge654
@saitotigeorge654 Жыл бұрын
"Tumezoea kuyaona haya duniani sasa yamekuja Tanzania " 😂😂, kwamba Tanzania haipo duniani
@naftalkileo5224
@naftalkileo5224 Жыл бұрын
We unajiona upo Duniani?
@kisokatvonline3704
@kisokatvonline3704 Жыл бұрын
Tupo njee ya dunia
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 12 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,5 МЛН
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 434 М.
Samia AMCHANA "Tundu Lissu" UKWELI Bila KUKWEPESHA!
33:37
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 218 М.
SENGA NA PEMBE KWENYE CHEKA TU
12:19
Cheka tu
Рет қаралды 1,2 МЛН