PASTOR ATOLEWA JASHO NA WAFUASI BAADA YA KUWAAMBIA ETI MUNGU WAO ALIBEBWA NA IBILISI

  Рет қаралды 64,018

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 275
@hassanodiwa
@hassanodiwa Жыл бұрын
Sheikh that was a good dawah.May Allah increase you in knowledge and health.
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht Жыл бұрын
amiin
@suleimanhussein6727
@suleimanhussein6727 Жыл бұрын
Allah (sw) akuhifadhi, akulinde ili uweze kuitangaza dini yake. Na sisi tupo nyuma yako
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Wakiristo wengi hawaisomi bibilia yao wangeisoma wasingekua wakiristo wangekuwa. Waislam , Jazzakallah khaillah shehewetu kipenzi, Allah akupe subra kwenyeulinganizi 🤲🇹🇿
@sulealim6325
@sulealim6325 Жыл бұрын
Ndo. Mana wanataka kufanya mabadiliko kutoa album jipya mana wanahis limepitwa na wakati
@ndetim7043
@ndetim7043 Жыл бұрын
Tunasoma bibilia sana, hata tunajua manabii walikuwa mpaka Yohana, na wale wengine ujiita manabii baada yake in mwezi na waogo.
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Waislam ndo tunawahurumia mngeielewa BIBLE na uelewe na Quran ungekuja kwa YESU haraka maana ungeachana na Quran ungesoma 2:97utoke jasho yenyewe inajieleza ilitoka wapi Heshimu BIBLIA upone.bila YESU motoni
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Tegea upate majibu yako
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
@@ndetim7043 hamuisomi kwa mazingatio,mungesoma hasa mungeona kasoro nyingi na uongo ulio pandikizwa humo na mungeuliza maswali kwa wakubwa zenu .
@maryamjuma1980
@maryamjuma1980 Жыл бұрын
Subhanallah. Alhamdulillah kwa neema ya kua waisilamu Allah atujaalie tufe ktk Imani ya ki islamu na tufe hali ya kua ameturidhia. Amiin
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
amin, nafuraha kubwa sana na nina amani saana Allah kunijalia mm kua muislam!!! namuomba sana sana sana anifaulishe na atufaulishe waislam katika dunia yetu na akhera yake
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht Жыл бұрын
amiin
@jamilamchangamwe
@jamilamchangamwe Жыл бұрын
Ameen yarab
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani Жыл бұрын
Amiin 🤲
@hassanalfan6941
@hassanalfan6941 8 ай бұрын
🤲🤲🤲​@@Yu-jr9uf
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Mashallah sheikh ramadhan kwa kazi mzuri na changamoto ya dawaa Allah akulipe mema na akutemngeze mambo yako fii dunia waal Akhera inshallah
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
MaashAllah shekhe Rama Allah akuhifadhi
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Sheikh Ramadhan nimehisi hao watu wanataka kujuwa hata pastor nae ni mgumu lakini ameelewa maandiko na ukweli, wanahitaji zaidi elimu wapate kumjuwa Mwenyezi Mungu na uislamu
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Well handled step by step Dawah Ustad. MashaAllah. TabarakAllah Twam! Ujumbe ume fika, na misconceptions ku tolewa! AllahuAkbar!
@BIOBIBER_Musician
@BIOBIBER_Musician Жыл бұрын
I dont seen intelligent man like u. Mashaalah🙏🏾
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@fgg8794
@fgg8794 9 ай бұрын
Kweli kbs sheikh Allah akujaalie 🙏🤲☝️
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 Жыл бұрын
Straight path daawa my namba one channel
@Arishafa547
@Arishafa547 Жыл бұрын
Wallah Allah anona kazi unayo ifanya kazi kubwa sana hakika Mwenyezi mungu akuhalalishie jannatfirdaus inshallah na akupe kila hilahitaji lenye faida na yote upendezwayo duniani na akhe kila lenye kheiri Allah akupe umri mrefu kama namba ya nida uzizi kuelimisha maelifu ya watu inshallah 🤝 napenda sana hichi kipind kili nibadilisha sana kwakuangalia tu nimeyajua meng sana Shukuran na ipenda hy channel kwa Ajili ya Allah 💯 🙏 🤝
@Arishafa547
@Arishafa547 Жыл бұрын
Nikipata nafs kabla sijondoka kenya hii nitafika huko inshallah namuomba Allah
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Жыл бұрын
Sheikh Ramadhan kazi yako inahitaji uvumilivu wa hali ya juu nakutakieni kila la kheri ktk kuwalingania wasiokua Waislamu na Mwenzezi Mungu awalipe kheri nyingi Duniani na Akhera.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Ameen 🤲
@daudyussuf8180
@daudyussuf8180 Жыл бұрын
Dinii ya haki mbele ya mwenyenzi mungu ni uislam
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 ай бұрын
Takbri.AllahuAkbaru
@yahyamutali2611
@yahyamutali2611 Жыл бұрын
May Allah increase your knowledge sheikh,may Allah show His people the way.
@duniyarongo-yd7it
@duniyarongo-yd7it Жыл бұрын
Ñnmmmk0
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Maashaallah baarakallah wakristo ushindani bila maandiko kumsingizia nabii isa(a.s) yesu kama mungu mwana apo tu ndio mwakosea
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Ma shaAllah. Great multitasking katika Dawah, both Part 1&2 ! Well done Ustad! Good Questions from Miraa Chewer to Pastor Mrongo! Paul ni BESTE wa Shaitani, ba bado huyy Pastor amem shikilia PAUL! Huyu Pastor na PAUL ni kitu KuMoja! WOtee wawili wana ongozwa na MA ROHO VITUKUTU! Kanisa ya Mwanzo Duniani liko Vatikan! Kweli kabisa! Hapa ndio HEADQUARTER ya UKRISTO!
@abdullahiabdi3482
@abdullahiabdi3482 Жыл бұрын
الله اكبر للهم بارك لشيخنا رمضان واصل الدعوة وافقك الله وعانك الله على هذه الدعوة
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Жыл бұрын
Aamin pamoja na wote wanaofanya kazi ya da'awa
@babuuosama8752
@babuuosama8752 Жыл бұрын
Amiin 1m%
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Hehe walhy nacheka sana hyo jamaa ananangana kutafuta andiko la mungu mwana haoni kachnganyikiwa
@jabirabdullahi2487
@jabirabdullahi2487 Жыл бұрын
Good job keep going ndugu Ramadhan
@boslayogero8329
@boslayogero8329 Жыл бұрын
Ramadan umenifunza mengi sana mungu hawe nawe siku zote
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 ай бұрын
Aamina
@aishaally6602
@aishaally6602 Жыл бұрын
Mashallah Leo imenoga Mashallah pastor amechanganyikiwa
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 Жыл бұрын
Mambo imechemuka! JazakumAllah khairan!
@عبداللهباحميد-ن4ق
@عبداللهباحميد-ن4ق Жыл бұрын
MASHA ALLAH Uko Sawa Kabisa Parsonsl Yko + Elimu Ilio Nayo MASHA ALLAH Uko Fastar Kutoa Andiko Hubabsiki Kwa Wuraan Na Kwa Bibilia IN SHA ALLAH Tunakubea ALLAH Akupe Afya Na Umri Na Akuzidishie Elimu Zaidi Ww Na Hao Wenzako Na Ndugu Yetu Yusuf Wambugu Na Group Yke Nao Pia MASHA ALLAH Wko Poa Na Wengineo Kina Mazinge Tz Na Mazinge Wa Kenya
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Allah awahifadhi masheikh wetu.
@Fabgenius04
@Fabgenius04 Жыл бұрын
JAZAKALLAHU KHAYR YAA SHEIKH . HIO LUKA 19 ;27 INAWAFUNGA MIDOMO ALWAYS .
@yusufmahdi8921
@yusufmahdi8921 Жыл бұрын
May Allah bless you sheekh Ramathan jazaka Allahu Kheyra
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Ameen kwa Team mzima wa Ustad!
@rabiba
@rabiba Жыл бұрын
Allah akuzidishie subra na ilmu na akujaalie IKHLASW ktk uyafanyao....amiin
@Adm9464
@Adm9464 Жыл бұрын
It’s insane . Inawezaji kunyentekea kwa sheitani na wewe ni Mungu. You will see crazy stuff with our Christian brothers.
@MoshiMpili-y7u
@MoshiMpili-y7u 10 ай бұрын
Sheikh kutoka kenya mungu akupe maishamarefu yenye kumcha yeye na kuendeleza kaz yake
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 ай бұрын
Aamina
@brightzone.
@brightzone. Жыл бұрын
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kidogo. Nimegundua kuwa Ramadhani Kuriabhamna kitu anajua ila ni mbishi wa kutaka kukubaliana na ukweli. Yesu alipinga mipango ya shetani. Muhammad aliingiliwa na Shetani. Mungu awafunulie iliyo kweli.
@jumamfinanga6867
@jumamfinanga6867 Жыл бұрын
Allah akujaalie umri mrefu wenye manufaa shekhh wetu ramadhaan
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Shukran sheikh ramadan pamoja na team yako kwa kazi ngumu na yenye changamoto ya daawah,Allah awaufurahishe na awatengeze mambo yenu na awaruzuku jannat firdaus
@mwanasitidzengo6691
@mwanasitidzengo6691 Жыл бұрын
Masha Allah watabaraka Allah ..kazi nzuri sana shekhe we2
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 Жыл бұрын
Masha Allah, JazakAllahu kheyran ustaadh wetu ...
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Жыл бұрын
Allah akujaalie kila la kher ramadhan 🙏
@aliadenbilal5761
@aliadenbilal5761 Жыл бұрын
Masha Allah broad your knowledge
@yacquub111
@yacquub111 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا بارمضان شجاح وعالم ماشاالله
@arafatabubakar001
@arafatabubakar001 Жыл бұрын
Sheikh ramadhan,may Allah grant u JANNAH InshaAllah
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht Жыл бұрын
amiin
@hanisahwasiche7541
@hanisahwasiche7541 Жыл бұрын
Watajua ukweli tu......keep it up ustadh
@aminaoman2100
@aminaoman2100 Жыл бұрын
Subhanallah wakristo wanakuaga comed
@markusassano2377
@markusassano2377 Жыл бұрын
Unafanya kazi kubwa usichoke mwalimu...Allah ukupe jana tufridaus🤲
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Жыл бұрын
Nimechekaa leo mashaallah
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Jazaakallah khayrii shekh
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Жыл бұрын
Asalama alaikum yani mpaka dunia itaisha bs haitopatikana ukweli juu ya wakristo hashwa kwa yesu kwa sababu haiwezekani dini itengenezwe na watu alafu izidi kudra ya Mungu ambae kawaumba awo watu,Mungu atupe mwisho mwema ishaalwah
@ismamohaa6494
@ismamohaa6494 Жыл бұрын
jazaakaAllahu kheyran sheikh i love you for the sake of Allah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
💓
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Hapo sawa.
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 Жыл бұрын
Mashallah
@kaziburejuma8313
@kaziburejuma8313 Жыл бұрын
Allah bless you sheikh
@rukiyarukiya8005
@rukiyarukiya8005 Жыл бұрын
Allah Akbar 😭🤲🏽
@yia73
@yia73 Жыл бұрын
SHEIKH you look very good in kanzu wallahi.
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Nimefurahi hadi wakiristo wanamkataa mwezao akisema yesu mungu
@idalahow
@idalahow Жыл бұрын
Sheikh uko na Kibarua walaahi....ALLAH akusaidie
@yassirbatama3328
@yassirbatama3328 Жыл бұрын
Allah akulinde ndugu unafanya daw'a nzuri Allah akuhifadhi
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Masha Allah
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 Жыл бұрын
Mashallah Allah
@suleimanabdul-karim1212
@suleimanabdul-karim1212 Жыл бұрын
Mashallh Allah akubarik sheikh Ramazani
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 Жыл бұрын
Barakallahu feek sheikhe Ramadan
@millicentwawira1779
@millicentwawira1779 Жыл бұрын
Good job sir...
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 Жыл бұрын
Mkono kwa mkono Hadi peponi
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Naona Pastor jasho kweli limemtoka kutoka kwa wafuasi...hawasikii lolote ukiwaambia ibilisi ameingia katika mwili wa Mungu..nimecheka mpaka basi. ATAJUA AJUI
@augustinekyalo1174
@augustinekyalo1174 7 күн бұрын
Huku wanatafakari vizuri tu sana ❤
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 10 ай бұрын
Tatizo la wakristo wanampenda kuimba sana kuliko kusoma biblia wanathamini sana mziki kuliko kuabudu mungu vimini kwa wingi na kucheza kwaya tu ndiyo wanachojua
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Safi👍
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 Жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@davidmitabarim8597
@davidmitabarim8597 Жыл бұрын
Mohamed alikuwa mtumwa wa mungu alifanya kazi gani hapa duniani? Jesu tujua kazi yenye alifanya
@linetkikin4023
@linetkikin4023 Жыл бұрын
Mashaallah shekh
@officialjr2283
@officialjr2283 Жыл бұрын
Alhahmdulillah iam a Muslim ❤
@wastarahabiba
@wastarahabiba Жыл бұрын
Maneno mazuri sana shekhe wangu
@Ismaelnoton2543
@Ismaelnoton2543 Жыл бұрын
Mashallah hakika leo nimejifunza mengi
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Well done !
@Ismaelnoton2543
@Ismaelnoton2543 Жыл бұрын
@@Sai.Mo69 thank you
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 Жыл бұрын
Awesome.🤝
@abdisalammohamed7687
@abdisalammohamed7687 Жыл бұрын
mashallah
@oromiyaajittu7188
@oromiyaajittu7188 Жыл бұрын
Jazakallahu kheir mashallah good work♥️
@AbdallahSalim-kl5xx
@AbdallahSalim-kl5xx 9 ай бұрын
MASHAALLAH SHEIKH
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
MaashaAllah Ramadhan
@abdullazizmohammed7015
@abdullazizmohammed7015 Жыл бұрын
Jazaakumu Allahu khaira
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 Жыл бұрын
Hatari yaani sense ni kitu muhimu sana
@abdubaroba
@abdubaroba Жыл бұрын
Kazi nzuri sheikh alhmdhllh tunamshukuru mola kwa kutujalia ssi kua waislamu alhmdhllh alhmdhllh
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 ай бұрын
Alhamdulilah😭😭
@DavidngugiNjuguna-v3g
@DavidngugiNjuguna-v3g Жыл бұрын
Hapo mko sawa .watu wafundiswe ijapokuwa wengine ni mzigo lakini kwangu naona nikama nyati sa mwiso
@lewiskims8890
@lewiskims8890 Жыл бұрын
Hakuna Mungu alituma Muhammad, alitumwa na watu na Mungu akiwa shaidi
@borakawewe542
@borakawewe542 Жыл бұрын
Nimefurahi sana.Namuomba Allah Sw akulipe kheri sheikh
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 ай бұрын
AaminaYaarab😭😭
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Жыл бұрын
sheikh ilo swali la Mungu kujaribiwa na shetani sikutegemea Kama kuna mkristo angeliona
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Жыл бұрын
Wakristo wengi hawajitambui jamani wanatakiwa wasaidiwe wengi watachomwa moto
@alimahmoud8164
@alimahmoud8164 Жыл бұрын
Allah Hafidh
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Hehe mwisho wa hii video iko Poa nimecheka sanaaa
@mubariekabrahams2650
@mubariekabrahams2650 Жыл бұрын
Mashaallah huyu jamaa kapata daawa Hadi M/MUNGU kawa mtoto wa Yusu.
@isseamin2017
@isseamin2017 Жыл бұрын
May Allah give you long life ustadh Ramadan
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 ай бұрын
Aamina
@bakari52
@bakari52 Жыл бұрын
Huyu jamaa anayesema Yesu hakuwa Mkristo anajua maandiko vizuri
@jumannemuhammad2073
@jumannemuhammad2073 Жыл бұрын
Yesu ni kimungu kidogo😃😃
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
@@jumannemuhammad2073 Sema Astghafirullah
@abdirahmansiat6
@abdirahmansiat6 Жыл бұрын
Ya Allah because of our bad actions, we are chasing pple away from the religion😭😭
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Жыл бұрын
What do you mean????
@passlinemedia6657
@passlinemedia6657 Жыл бұрын
Na mjue vizuri Allah ataingia motoni yani atachomeka
@sulealim6325
@sulealim6325 Жыл бұрын
Tusaidie andiko linalosema hv
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Жыл бұрын
Their is supernatural stability and their is common sense 😂
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
😭😭
@mariamali6526
@mariamali6526 Жыл бұрын
Aslam alykm sheikh wachana nae ashajuwa ukweli..sasa huyo anahukumu kama Mungu ....
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Huyu Patrick ni moja wa WaKristo ambao wana semaga URONGO, ili KUSUDI kui chafua Islam! A Deliberate Liar! 🤥 Ame sema UWONGO eti WaIslamu huwa wana tukana katika Ramadhan. HalafuAka sema UWINGO tena, eti WaIslamu wana Ma BAR! MShenzi sana huyu Mnafik Kafiri Patrick!
@denismuturi4856
@denismuturi4856 Жыл бұрын
salimia hassan
@hafsakirao398
@hafsakirao398 Жыл бұрын
😂😂😂😂totally confused. He really thinks he knows everything. Hakuamini Yesu alibebwa na lbilisi.
@Hasso-oo1
@Hasso-oo1 Жыл бұрын
The name of the nasheed you are using
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Kiraaaa bai
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Yaani, maana yake NI nyamazaaa!!!
@عبداللهباحميد-ن4ق
@عبداللهباحميد-ن4ق Жыл бұрын
QURAN
@mariamally8548
@mariamally8548 Жыл бұрын
Wakorinto wa kwanza 15:18 Na hao nao waonao wamelala katika kristo wamepotea.
@Dirkawaaye
@Dirkawaaye Жыл бұрын
Ati mungu ni Mtoto wa yesu..huyu jamaa wa kwanza amechanganyikiwa😂
WANA KIJIJI WA SARE NA MAHABA YAO JUU YA UISLAMU
58:31
Straight Path Dawah
Рет қаралды 1,7 М.
WAKRISTO WAKIRI KUWA YESU (AS) HAKUWA MKRISTO BALI MUISLAMU
51:48
Straight Path Dawah
Рет қаралды 39 М.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
MCHUNGAJI AMKIMBIA KONDOO WAKE KWA KUOGOPA AIBU
1:12:41
Straight Path Dawah
Рет қаралды 9 М.
BIBLIA YAFUNDISHA MSIKITI NI NYUMBA YA MWENYEZI MUNGU
1:17:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 16 М.
KITANZI !!! 🫣WACHUNGAJI WAKUBALI KUWA NABII ISA (YESU) NI KIUMBE CHA ALLAH.
1:02:20
WACHUNGAJI WAKIRI YESU SIO MUNGU BAADA YA KUNENA KWA LUGHA MPYA
1:36:45
Straight Path Dawah
Рет қаралды 28 М.
WACHUNGAJI WAPITIA WAKATI MGUMU
1:02:24
Straight Path Dawah
Рет қаралды 21 М.
WAKRISTO WASHANGAA SANA BAADA YA KUONA YESU WATATU KWENYE BIBLIA
1:08:27
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН