Halleluyah hongereni sana, team nzima ya Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa mfululizo wa vipindi bora kabisa kwa ajili ya Mwili wa Kristo!! Halleluyah Kristo ametukuzwa
@israelollotu4396 ай бұрын
Amen 💯
@machageorge90836 ай бұрын
Asante sana Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa kipindi hiki. Tunawapenda❤
@kijiweninarohomtakatifutv88266 ай бұрын
❤️❤️
@josephinemaeda46076 ай бұрын
Amen
@wilbertmaridadi61056 ай бұрын
Mwana hufanya lile amuonalo Baba yake anafanya
@machageorge90836 ай бұрын
Roho Mtakatifu ratiba ya Mwana wa Mungu✍🏾 Swali la Roho Mtakatifu kwa Mhojwaji kwamba kazini unaenda kufanya nini, ni muhimu kwetu vijana ndani ya Kristu na katika Taifa la Tanzania kujiuliza, Je tunataka nini katika tunachofanya? Je hicho ndicho chenye thamani? ✍🏾