Roho Ni Nani Ama Ni Nini?+254705602959

  Рет қаралды 8,283

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Join this channel to access its benefits:
/ @biblianuruyadunia

Пікірлер: 81
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
Praise God sir Ndacha 🙏🏼keep the ride it's not easy to follow Jesus just take heart we are here to support this ministry
@emilyshooga6319
@emilyshooga6319 2 жыл бұрын
Mimi nimekuelewa sana pia nimekufuatilia katika somo la utatu nimeelewa ni nilikuwa sifahamu kabla ubarikiwe
@monicabh1668
@monicabh1668 2 жыл бұрын
Tunang’oa na kupoteza hii trinity makanisani katika jina la Yesu 🔥🔥🔥🔥
@ezekielmwamba9106
@ezekielmwamba9106 2 жыл бұрын
Shalom Surely today I have understood this teaching of trinity. Now I have started to teach people to come from this darkness of trinity.
@benrecsonlct1822
@benrecsonlct1822 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa kuniletea Mwalimu Ndacha. Amenitoa mbali. I feel free 😁😀.
@stevekimani7954
@stevekimani7954 2 жыл бұрын
Don't be exited, read your' bible, Mathew 3 .16,the. Voice of the father from heaven,, Jesus,was there ready to be baptized John, the Spirit descend from heaven, John anasema aliona Roho, mbona tunasisimuka msisimuko utaisha the truth will stand,
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe wewe ndie kiboko ya waislamu East Africa. Karibu Tanzania
@danchaz7236
@danchaz7236 2 күн бұрын
Ujumbe ni wenyewe kabisa ila angalizo usiongee sanaa maneno yako unaonekana unashawishi watu waamini unacho sema sasa basi soma sana maandiko maneno yako yawe machache toa ujumbe km ulivyo na Mungu akubariki sana
@kabojamaluku7894
@kabojamaluku7894 2 жыл бұрын
Mimi naitwa kaboja malugu nipo Tanzania geita wewe uposawa tupo pamoja na upo sahihi kabisaa
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 2 жыл бұрын
Huyu jamaa Yuko Sawa
@johnsonmtambala4471
@johnsonmtambala4471 2 жыл бұрын
Kabsa
@monicabh1668
@monicabh1668 2 жыл бұрын
Amen 🙏 Mwalimu wangu Francis Ndacha achana nao hao wanaokupinga.
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 2 жыл бұрын
Tupo pamoja nawe tunakusikiliza kutoka Belgium
@anacretsindabaha9395
@anacretsindabaha9395 2 жыл бұрын
Mwalimu ndacha karibu Tanzania tunahitaji huu moto
@anacretsindabaha9395
@anacretsindabaha9395 2 жыл бұрын
We are here brother to support true Gospel
@JoviniFaida-uj5qb
@JoviniFaida-uj5qb 2 ай бұрын
Mwalimu mzuri sana barikwa kwa jina la yesu
@robenmassawe4125
@robenmassawe4125 2 жыл бұрын
Reuben kutoka Kilimanjaro Tanzania ndacha uposahihi hufuati mapokeo yawatu Bali unafuata kweli ambayo nineno lamungu nipopamoja nawe mwalim
@douglasnishimwe6566
@douglasnishimwe6566 2 жыл бұрын
Mungu aendeye kukufunulia awe na wewe
@justinmguluka4385
@justinmguluka4385 2 жыл бұрын
Ndy Ndacha hili vuguvugu lilianza miaka mingi iliyopita, watu wengi walifutwa ushirika na wachungaji wakasimamishwa kazi,hivyo tukopamoja mana umeuamsha na kuuwasha moto uliozimika,napenda tuwepamoja tuifanye hii kazi mana wakati umeisha Mungu atusaidie
@elibarikijohson7694
@elibarikijohson7694 Жыл бұрын
Je ubatizo ni upi man of God Pia nisaidie mean ya Mathayo 28:16-20
@estermbogo7172
@estermbogo7172 2 жыл бұрын
Trinity ni upagani mkubwa sana .....sasa tukifika mbinguni tutawaona wote watu Mungu baba Mungu mwana Mungu roho msiba mkubwa sana!
@AgnesKasayaMigiro
@AgnesKasayaMigiro 25 күн бұрын
Mwalim uho ndiyo ukweli mtu hawezi kuwasa taa nakuiweka chini ya kiango 🏖️la hasa lasima uiweke juu ya kiango imlike hata inje ya mipaka🔥
@anacretsindabaha9395
@anacretsindabaha9395 2 жыл бұрын
Ndacha unao marafiki wengi mi ni mmoja wao
@iannyaundi715
@iannyaundi715 2 жыл бұрын
Wewe Ndacha unaposema roho mtakatifu ni nguvu ya Baba na Mwana unafunza kama wafunzavyo wakatoliki...hiyo no Trinity ya wakatoliki
@mtumishielijah.9054
@mtumishielijah.9054 9 ай бұрын
Good job
@kateonases1413
@kateonases1413 Жыл бұрын
1John 5:7, Acts 2:33 support Trinity.
@edwinelyone3100
@edwinelyone3100 2 жыл бұрын
Good morning
@mariannenyiranazemonie1731
@mariannenyiranazemonie1731 2 жыл бұрын
Hawashirinawewe ukomupotevu muongo
@dorcasonsando5740
@dorcasonsando5740 2 жыл бұрын
Haleluhyia Praise God
@douglasnishimwe6566
@douglasnishimwe6566 2 жыл бұрын
Go on
@thelastwarning5032
@thelastwarning5032 2 жыл бұрын
Good morning too Mwalimu
@mcndege9724
@mcndege9724 10 ай бұрын
Sasa huyo roho Mungu Ako na roho pia? Understand the bible
@Chisumomark
@Chisumomark 2 ай бұрын
ACHA KUDANGANYA WATU
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 2 ай бұрын
Yohana 1:14
@user-wv6jw9qw8c
@user-wv6jw9qw8c 3 ай бұрын
Uje kwetu
@alydjuma3082
@alydjuma3082 2 жыл бұрын
Amina
@robenmassawe4125
@robenmassawe4125 2 жыл бұрын
Mimi nimeona watuwengi wanaokupinga nikwasababu wanatumia maandiko kudanganya watu ilikusudi kupata masilahiyao
@susanayabei3846
@susanayabei3846 2 жыл бұрын
Lakini mbona utoi mahandigo,??
@antonyochieng6741
@antonyochieng6741 10 ай бұрын
*You are baptized in the name of the Father, of the Son, and of the Holy Ghost. You are raised up out of the water to live henceforth in newness of life-to live a new life. **_You are born unto God, and you stand under the sanction and the power of the three holiest beings in heaven,_** who are able to keep you from falling. 21LtMs, Ms 95, 1906, par. 29*
@fridahnyambura3423
@fridahnyambura3423 2 жыл бұрын
You cannot limit God, He can be everywhere. He was in Jesus and also in heaven.
@iannyaundi715
@iannyaundi715 2 жыл бұрын
Ndacha ili kupata jumla ya yote lazima uunganishe maandiko
@danielnyabuto6997
@danielnyabuto6997 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na mafundisho ya roho
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 2 жыл бұрын
Amen
@johnsonmtambala4471
@johnsonmtambala4471 2 жыл бұрын
Amina
@raphaelmkota9047
@raphaelmkota9047 2 жыл бұрын
Nsomba usome yohana sura ya kwanza hapo. AnamzungumIaje yesu kwamba Ni Nani maana anasema Ni yeye yule yule si mwngne tena
@mariannenyiranazemonie1731
@mariannenyiranazemonie1731 2 жыл бұрын
Yesu mwenyewe akisema katika matayo 28:18-20 yesu anazungumuziya utatu utakatifu
@johnsonmtambala4471
@johnsonmtambala4471 2 жыл бұрын
Tatzo klamtu ana tafsr vile anavyo jua tusome biblia jaman tus mulaumu huyu nakingine tussome biblia tu nakuiacha Bali tusome biblia nakuitafakari ili tuelewe biblia inavyo sema
@kareemsukri3256
@kareemsukri3256 2 жыл бұрын
Muogope mungu ndacha wacha kuwapotosha watu kwa tamaa ya dunia utakufa ujue one day na ukweli unajua ww usimtumikie binadamu mtumikie mungu
@johnsonmtambala4471
@johnsonmtambala4471 2 жыл бұрын
Hakuna mnacho kijua ndiomaana mnashindana na ukweli huu polen sana
@evansmogusu8113
@evansmogusu8113 2 жыл бұрын
Sisi atukupewa roho ya uoga. Nakubali SoMo na ni kweli.
@GilesKhamis
@GilesKhamis 11 ай бұрын
We! Mnafiki ,ww mwenyewe utakufa lakin ukweli utabaki kuwa ukwel ,acha upagani wewe
@iannyaundi715
@iannyaundi715 2 жыл бұрын
Usilalamike eti wanatrinity wamekutenga tunaamrishwa na kujitenga na wale watakaokuja na mafundisho ya kuchanganya ukweli na uongo yapasa kuwadanganya hata wateule Kwa hivyo ndacha jifunze vizuri somo la Trinity kabla uliweke mbele ya umma
@iannyaundi715
@iannyaundi715 2 жыл бұрын
2 Corinthians 13:14 Agains the Trinity is clearly mentioned
@truthlightmedia
@truthlightmedia 2 жыл бұрын
Do you understand the theology of trinity. Let me remind you. According to Trinity theology... We have three being that form one being that is the thing which is out of Biblical concern. They say Jesus is not a son is just a label
@innocentabae1118
@innocentabae1118 Жыл бұрын
How many Gods were mentioned in that verse? It mentions, 1. Lord Jesus Christ. 2. Love of God. 3. Communion of Holy Ghost. So we see that God is one, The Father. ...love of God, Who? The Father of Course.
@marcbanyankirubusa135
@marcbanyankirubusa135 2 жыл бұрын
MUNGU sikama Sisi wana damu, Mungu akisema mimi ni Mumoja hakuna musayidizi nikweli, zaidi ya kauli hio ni ushilikina. Ndiyo maana madini mumepotea mukapoteza kwa kutumia akili zenu, Bali kanisa la MUNGU limejengwa kwa mwamba wa kufunuliwa Ndivyo yesu aliambia petro. Bila kufunuliwa maandiko , hauta jua mambo ya MUNGU utabaki katika tafusili zako.
@johnsonmtambala4471
@johnsonmtambala4471 2 жыл бұрын
Nikweli kabsa tatzo watu hawasomi biblia wengine wanasoma Ila hawalitafakali neno la MUNGU ndiomaana wana shindana na ukweli
@iannyaundi715
@iannyaundi715 2 жыл бұрын
Acts 5:4-9 ,Acts 13:2 the holy spirit is separate from Christ
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 2 жыл бұрын
2 Corinthians 3:17 [17]Now the Lord is that Spirit: and where the Spirit of the Lord is, there is liberty. Basi “Bwana” ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru.
@raphaelmkota9047
@raphaelmkota9047 2 жыл бұрын
Hapo nimeelewa kuwa utatu sio fundisho la biblia Bali la kipagani niliposoma vitabu fulani nikapata ukwel wa mafungu mengi yanayomweleza Mungu
@iannyaundi715
@iannyaundi715 2 жыл бұрын
At Christ's Baptism the holy spirit is clearly a different being with Christ and The Father
@antonyochieng6741
@antonyochieng6741 10 ай бұрын
Very true..and he is a person just as the father is a person
@mariannenyiranazemonie1731
@mariannenyiranazemonie1731 2 жыл бұрын
Ndungu umepoteaya Sana kwa ulimiwako umeonekana umeongeya kamamutuwakweli kakini ukomuongo usipoteze watu wewe
@GilesKhamis
@GilesKhamis 11 ай бұрын
Hakuna uongo hapa we ni mmoja na ibilis na shetan, mafundisho ya utatu mtakatifu mnayatowa wapi? Soma maandiko na utowe mstar umja tu! Mungu roho mtakatifu lete
@mariannenyiranazemonie1731
@mariannenyiranazemonie1731 2 жыл бұрын
Bobi wa uongo wewe dasha
@GilesKhamis
@GilesKhamis 11 ай бұрын
Mwongo mwenyewe,uongo uko wapi ktk somo hili kaongo mwenyee ww
@mariannenyiranazemonie1731
@mariannenyiranazemonie1731 2 жыл бұрын
Ukomuongo mungu akusamehe
@johnsonmtambala4471
@johnsonmtambala4471 2 жыл бұрын
Msseme muongo tatzo watu waskuizi tumekua na haraka na maisha na pia tunachanganya haraka ya mahangaiko ya dunia hii na kitu kinacho itwa neno wengi hatusomi biblia na pia tunapo fundishwa Kama hiv tunakua na haraka yakuskiliza bar hatuw na uturfu na utafakar kwahayo tufundishwayo kwhy msmtolee maneno machafu mwalim lakn hata ivyo hatushangai kwahayo sababu hata manabii wa wakati ule walikataliwa Kama nyinyi mnavyo mkataa ndasha
@innocentabae1118
@innocentabae1118 Жыл бұрын
Soma bibilia kwa unyenyevu Mungu akufungue macho dada. Ndacha yuko sawa, pinga Bibilia usipinge Ndacha.
@estermbogo7172
@estermbogo7172 2 жыл бұрын
Watu waliingia kwa kanisa la SDA wakafikilia wamefika mbinguni hakuna jambo la uongo lolote la weza penya ndani,juu ni kanisa la ukweli .....sasa ata kama utawaabia trinity haiko waweza kukupiga vita ..🤔
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 2 жыл бұрын
shetani amekaa kwaroho zenu wakirsto-kila mtu akonaroho..shetan ndacha amepagawa namepepo hajui aendako ..acheni ukafiri njooni kwauislam
@stevekimani7954
@stevekimani7954 2 жыл бұрын
Ndacha is misleading the people of God, but time will tell,just give it time brothers and sisters,
@estermbogo7172
@estermbogo7172 2 жыл бұрын
Mpira ni kwa SDA sasa ukweli umewekwa wazi.... Mutatukana mkisema ndacha amepotoka lakini ata vitabu vyenu vina kili hakuna UTATU mumekaa kanisani mkinyosha wengine vidole .....sasa lazima muonywe .
@estermbogo7172
@estermbogo7172 2 жыл бұрын
@@sulehassanshall6140 mimi na shangaa sana shetani wenu analala ndani ya mapua yenu
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 2 жыл бұрын
uislam pekeake yake ndio dini yamungu,dini nyengine zote nizashetan
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 2 жыл бұрын
shetan ndacha umepagawa namapepo .utaenda jahannam yamilelenamile kwahuo ukafiri wako uliopita kiasi..Mungu hana haraka nawewe siku yako ikifika utajuta kwanini ulizaliwa
@GilesKhamis
@GilesKhamis 11 ай бұрын
Majini ni waislam pamoja na ww ,na majin ni shetan ,acha kutukana mhubiri wa kwel
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 2 жыл бұрын
makafiri mukifa makazi yenu itakua nijahannam yamilele
BIBLIA NURU YA DUNIA | LIVE 2021/01/14
2:17:33
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 2,7 М.
ROHO NI NANI NI R0HO WA MUNGU AMA NI MUNGU ROHO
4:51:15
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 1,7 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 22 МЛН
JE WASOMAJE: ROHO MTAKATIFU NI NANI?
58:27
ORIONe TV
Рет қаралды 1,9 М.
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 3 М.
UNABII WA DANIELI 2,7 NA UFUNUO 17 BY FRANCIS NDACHA MUJINI NAKURU
1:49:16
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 85 М.
YESU NI NANI SEHEMU YA PILI..NDACHA NA RAMADHANI KUIA
2:26:58
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 7 М.
ROHO MTAKATIFU NI NANI? || Brown Mwakipesile
1:25:54
eagtmlimwawest
Рет қаралды 4,2 М.
Kipidi Cha Unabii By Frank Onyango
1:21:37
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 2,3 М.
Pastor Maina Vs Mwalimu Ndacha..Mada: Trinity!
2:38:50
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 32 М.
Mjini kisii
1:35:14
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 10 М.
NDACHA JUU YA UTATU MTAKATIFU PART 01
1:20:18
Advent Sound TV
Рет қаралды 1,7 М.