Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : / gospeltvshow Instagram : / chomozanews KZbin : www.youtube.com... #ChomozaTv#GospelUpdates#2020
Пікірлер: 3
@salomekombo61663 жыл бұрын
Amen!mtumishi naamin nimepokea uponyaji ubarikiwe sanaa
@abbyadams86913 жыл бұрын
Tatizo la ajira,kupenda pesa kupitiliza kumewafanya matapeli wengi kukimbilia dini km sehemu ya kujipatia pesa kirahisi rahisi. Mwaka juzi kuna video ya unabii feki ilivuja ya huyu dada na wengi tuliiona."Piga kelele". Nashangaa hadi leo anaendelea na utapeli.lazima serikali iwadhibiti hawa wezi wasiopenda kujipatia kipato halali kwa mikono yao wenyewe. Huyu dada ni muhuni km walivyo wahuni wengine. Siwezi kumuonea aibu mtu anaechezea jina la Yesu kwa manufaa yake binafsi. Wewe dada acha utapeli tubu umrudie Mungu wa kweli.