Ee mwenyez MUNGU naomba kibali cha kukubaliwa kila sehem naomba kibali cha kuketishwa na wakuu Amen 🙏
@DicksonMasukuma12 күн бұрын
Amen kibali changu kilichoibiwa kazini na katika jamii kilejeshwe leo kwa jina la yesu kristo
@RachelEphrele3 ай бұрын
Amen 🙏 Napokea kibali kwa Jina la Yesu krito wanazareti🙏🙏🙏
@christinemoranga75982 ай бұрын
Mungu wangu naomba maombie ya kibakili kwa jina la yesu 🙏🏽🙏🏽
@doreenemmanuel98009 ай бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu naomba kibali kutoka kwa Mungu kila eneo la maisha Yangu biashara Yangu na kila eneo Mungu wangu.
@dorismatias51708 ай бұрын
Amina mtumishi munguakafungue nyumba zangu kwa Jina LA yesu
@dorismatias51708 ай бұрын
Amina mtumishi wamungu akabariki kazi za mikono yetu
@اال-خ2ت10 ай бұрын
Amen nisa hidi ye apo kwa ma ombi. yakibali. Mm ni Ann. lnga ni ko sa udia mm ni mukenya Amen,🙏🏻🙏🙏🏻
@ADESANDREA4 ай бұрын
Ee Bwana naomba kibali changu kirudishwe Kwa jina la yesu aminaa
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Naitwa Elisha athuma mfuru Niko mwanza naomba maobezi ya kibali Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏
@MaguyYosia3 ай бұрын
Napokea kibali cha kufungua maisha yangu milango yangu ya baraka ikafunguke ktk jina la yesu kristo wa nazareth uliye hai aaamen
@joycesariki5196 ай бұрын
Naomba kibali changu kirudishwe katika jina la yesu
@creopatrajoshuaАй бұрын
amina napokea kibali Cha maombi yangu yote niombayo Kwa mungu kupitia jina la yesu kristo aliye hai
@marthandomba6664 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana nana maombi haya yamemgusa mtoto wangu Thomas Menradi kwa jina la yesu
@dafrosaEdward5 ай бұрын
Napokea kibali kwenye Kila eneo la maisha yangu kwa jina la YESU
@DativaMassawe-wk2nzАй бұрын
Baba Mungu naomba kibali kila eneo la maisha yangu Kea Jina Yesu
@Kaylynnlynn2 ай бұрын
Naomba kibali katika maisha yangu ee mungu nifungulie kazi amen
@TeresiaWabuko10 ай бұрын
Amen mtoto wangu ange akaitue kazi
@agnessamini8266Ай бұрын
Mungu niodoshe roho yakukataliwa yaaibu napokea kabalileo
@Leonard-jl8gt5 ай бұрын
Amen napokea kibali cha yesu ndani yangu
@annawambura5175 Жыл бұрын
Mungu ni mwema nimepokea kwa Jina la Yesu Ubarikiwe Sana
@Christianchazinho3 ай бұрын
Naomba kibali na Mungu anitendee nipate kibari kwa watu wote kirahisi katika jina la yesu kristo Amen 🙏
@RukiaKipenzi-k9f11 ай бұрын
Amen mtumishi na ubarikiwe mahali ulipo
@rehemasilasi2985 Жыл бұрын
Amen napokea kibali changu kwa jina la yesu napokea kila kilicho changu kwa maombi haya amen
@rebbyyonah3 ай бұрын
Asante yesu Napokea🙏🏾
@josephinamuganda1855 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Pastor Ndelwa, haya maombi yananigusa sana, Bwana Yesu asifiwe sana.🙏🙏🙏
@ADESANDREA7 ай бұрын
Ameni napokea kibali Cha mafanikio yangu kwanzia Sasa mungu ni muweza yote🙏🙏🤫
@agathakatumba42289 ай бұрын
Amen mtumishi nimepokea kwa jina la yesu
@FransiskaJohn-fq1nf11 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na maombi haya 🙏🙏
@RachaelMnyaka4 ай бұрын
Amen naomba katika jina la yesu
@catherinenaipasai58103 ай бұрын
Eeh Bwana Yesu naomba Kibali yangu irudishe
@fridamnyuki-bt2yu11 ай бұрын
Mungu naomba kibali ktk kazi ulionihitia naomba kibali
@HalimaKisanduАй бұрын
Ameeen napokea kwa jina la yesu
@NeemaRajabu-t9y5 ай бұрын
Naitwa Neema nipo Omani kila ninachofany hakiend Eemungu naomba kibari juu ya mambo yangu yote ninayo Fanya Kwa jina la YESU Amen🙏🙏
@WafulaKhisa-ko2qn7 ай бұрын
Amen baba naomba Kabali ya ndoa
@catherinemagori5959 ай бұрын
Amen mungu baba naomba kibali nijenge.nipate biashara kubwa Kwa uwezi wa mungu
@FroridaKihega8 ай бұрын
Amina mtumishi ssante owsmaombi
@YustaThomasNachilima8 ай бұрын
Amina barikiwa sana mtumishi
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Naomba maobezi ya kibali Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏
@jescaokido5580 Жыл бұрын
I receive
@TullaGodwin8 ай бұрын
Amen napokea kibali cha mafanikio kuanzia sasa
@lovenessmbatta31248 ай бұрын
Napokea kibali Kila eneo kwenye biashara kwenye ndoa yangu kwenye familia yangu na kwenye jamii pia Kwa jina la YESU
@fatumasultan43157 ай бұрын
Napokea kibali kaka atakapo simama mahakamani asikilizwe na kushinda kesi yake by mary dominick.
@aminamzawa56303 ай бұрын
Mungu naomba kibalii kila sehemu katika maisha yangu
@SalmaSa-f3x3 ай бұрын
Napokea kibali changu kwakila sehemu ya maisha yangu kwa jina la yesu kristo
@QueenJuma-z4r2 ай бұрын
Amina napokea kibali mara mbili.
@annambilinyi14194 ай бұрын
Ee mungu napokea kibali changu kazini🙏🏻
@NeemaMbena-u1e5 ай бұрын
Naomba mungu anilejeshee kibari kwa mume wangu martin tuweze kufunga ndoa
@NeemaMbena-u1e5 ай бұрын
Amen napokea kibari katika kazi yangu biashara na kibari cha kukbaliwa na bosi wangu niendelee kufanya kazi kwake
@EmmanueliKabula3 ай бұрын
Ameni poster napokea kibani kwenye biashara zangu na Kaz zangu na family yangu inapokea kibali
@neemamustafa Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@Angel-rx7pg8 ай бұрын
Naomba mungu anirejeshee kibali kwenye maisha yangu pia kibal cha ndoa Ramia awe mume wangu sahii
@rehemakilembe-e2x8 ай бұрын
Napokea kibali Kwa Jina la Yesu🙏🙏
@GiftMboma-w5d3 ай бұрын
Ameeeen napokeya kibari
@blaciachiunga82719 ай бұрын
Naomba kibali changukirejeshwe kwa jina la Yesu Kristo
@agnessamini8266Ай бұрын
Napokea kibali chakumutumikia mungu kasi namegine ninayo yahitaji mungu wagu nijalienamimi nakibalileo
@maureenmgeni Жыл бұрын
Amina na AMINA kubwaa
@LamlathAmdani8 ай бұрын
Napokea kibali chana biashara na kazi yangu ya opital na familia yangu na ndoa mungu napokea kibali kutoka kwako
@KamwiraKakule-gt3hv2 ай бұрын
Asante ee bwana wangu
@eunicekimaro96466 ай бұрын
Napokea kibali kwa damu ya Yesu Kristu..
@MelisaJamesy-je6fw10 ай бұрын
Amen mtumishi
@HildaSonga Жыл бұрын
Ubarikiwe pasts
@asteriashios18527 ай бұрын
Naomba kibali Kwa Kila ninachokifanya kikangae kazi biashara yangu ndoa yangu kazi ya watoto wangu. Shule mungu ukaonekane naomba wateja kwenye kazi yangu upendo nyota yangu ikangae
@AdijahAbudi10 ай бұрын
Amen mungu kubariki
@gasperyuster84237 ай бұрын
Ee Mungu mwenyezi nakuomba kibali mbele zako nami nikumbukwe kwenye ongezeko la Mshahara peeke yangu siwe bila wewe naomba kibali baba .
@jacklinembithe295111 ай бұрын
Ubarikiwe sana Amen
@loreamusanga71458 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen and amen 💖💖💖💖💖
@davidson9684 Жыл бұрын
Amen mungu akubariki
@dynesdaud56410 ай бұрын
Mungu naomba unipe kibali kazin kwangu kwa wagen
@FlavianaNgugo9 ай бұрын
I receive in JESUS name
@AdelheidTomas4 ай бұрын
Amen and Amen 🙏 🙌
@dynesdaud56410 ай бұрын
Napokea kibali kwa jina la yesu 🙏
@tausimwinuka Жыл бұрын
Nashukuru 🙏 sana
@MariamHussein-rt8dz3 ай бұрын
Mungu naomba kibali changu kipone magojwa yote
@UpendoEmanuel-cu5zu9 ай бұрын
Nmepokea kwa damu ya yesu kristo
@AnjelaCharles3 ай бұрын
Napokea kibali Kila eneo kwa jina la Yesu kristo
@roseoscar16877 ай бұрын
Naomba kibali mungu nipatiwe visa ya kwenda denmark
@CHRISTINAJUMA-z8x5 ай бұрын
Napokea kibali changu ee mungu nisaidie Naenda kupokea kibali changu
@AshaMbaga-m3z3 ай бұрын
Napokea kipali katika maisha yangu.
@AsanteKubonya10 ай бұрын
Amina 🙏
@Verah-p7d Жыл бұрын
Amen pastor
@EvetMachuki6 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@anastaciamwangangi1488 Жыл бұрын
I receive in Jesus name Ameeen
@AnnEmanuel-f8d4 ай бұрын
Sina aman roho aitak Kaz pia nawaza mme wangu tunagombana Kila siku nakimbia kwetu yangu nizae mtot nae mapenz yameisha akilala na mm kimoja alala mpka leo amesema ukweli kuwa aliziki na mm mpka anatoka inje mungu nisaidie
@MarieMakiwa2 ай бұрын
Nahomba kibali changu kirudi kwa Jina la Yesu
@AdelphinaMwiko-do8ne Жыл бұрын
Naitwa Adelphina mamba Kigali cha kazi
@peterfredrick15204 ай бұрын
Amina
@ÑancykwqmbokqАй бұрын
Smeeeeeeen❤❤❤❤❤😊
@brigittekitandala548610 ай бұрын
Amen 🙏
@lydiamakenge5613 Жыл бұрын
I receive inJesus name
@catherinenaipasai58103 ай бұрын
I received my favour
@PriscaKaishozi10 ай бұрын
Napokea kibali kwa jina last Yesu
@mercylineAwino-p1t5 ай бұрын
I received it
@BarekeTumaini5 ай бұрын
Napokea kibali katika safari yangu Mimi nafamilia yangu
@aminamzawa56303 ай бұрын
Kila roho y kukataliwa leo tokaaaa
@Ñancykwqmbokq9 ай бұрын
AMEEEEN❤❤🎉🎉🎉❤❤
@catherinenaipasai58103 ай бұрын
Napokea kibali yangu
@kachiraeliya8377 ай бұрын
Leo naomba nipokee kibali cha kufaulu vizuri mitihani yangu niliyomaliza jana Tarehe 22/05/2024,, Napokea kibali kwa ndoa yangu,napokea kibali cha watoto wangu,,napokea kibali cha masomo yangu,,napokea kibali cha wazazi wangu,,napokea kibali cha kuaminika na walimu wangu,,napokea kibali cha nyota yangu,, napokea kibali cha biashara,,,napokea kibali cha kukubalika ktk jamii
@SuraiyaMsangi Жыл бұрын
Amiina
@sylviamkanyikakenya624 Жыл бұрын
Amen asante Sana mtumishi Mungu akubariki,naamini Mungu anarudisha kila kilichoibiwa
@fatumahassan6369 ай бұрын
Amina
@aminamzawa56303 ай бұрын
Amenii
@nellykadenyi3 ай бұрын
amen
@bethstanford984011 ай бұрын
Jana nimefatilia maombi acha Leo nimefunguliwa na nitaendelea had kieleweke