ROHO ZIZUIAZO MATOKEO (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 13,765

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Waamuzi 16:21
[21]Wafilisti wakamkamata, wakamng’oa macho; wakatelemka naye mpaka Gaza, wakamfunga kwa vifungo vya shaba; naye alikuwa akisaga ngano katika gereza.
Wakati wafilisti wamemkamata Samsoni kitu cha kwanza walichofanya ni kumuondolea uwezo wa kuona.Macho hukuonesha mahali unapotakiwa kwenda(maono yako),kitu ambacho shetani hufanya ni kukuzuia usiweze kuona ile hatma ambayo Mungu amekuitia.Na huwa haishii hapo,huwa anahakikisha anakutoa kabisa kwenye kusudi ambalo Mungu amekuumbia.Samsoni alikuwa na kusudi la kuwatoa wana wa Israeli katika mikono ya wafilisti,lakini kwa kuwa walimtoboa macho(kuua maono) wakamfanya awe anasaga ngano tena gerezani.
Kuna watu kazi mnazofanya sizo Mungu alizowaitia,unafanya tu kwa sababu ndio inakupa mkate wa kila siku ila huifurahii,na sio hivyo tu hata matunda ya kazi yako huyaoni.Unaweza ukawa unapata pesa nzuri sana lakini ukikaa chini na kutazama ni maendeleo gani umeyapata kutokana na pesa hizo utakuja kuona kuwa hakuna maendeleo yoyote.
Wafilisti walipomkamata Samsoni walisahau kuwa nywele zitaota tena na kile alichokipoteza kitarudi tena.Shetani alipokutesa alisahau kuwa bado hajakuziba mdomo,utaomba na Mungu atasikia.Na atakupeleka katika hatua kubwa ambayo hawakuifikiria.
Hii ni sehemu ya kwanza ya maombezi,utakapojumuika nasi katika maombezi haya kama ambavyo Mungu amewafungua hawa akakufungue na wewe pia
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Пікірлер: 15
@heriethkitururu4401
@heriethkitururu4401 2 жыл бұрын
Mungu tufanyie wepesi
@adammsuka214
@adammsuka214 3 жыл бұрын
Asante sana Pastor Sunbella Mavundisho yako yananisogeza Seem moja kwenda nyingine Amen
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Holy Spirit 🙏🔥uko hapa.Mtumishi Mungu akubariki sana kwa huu ufunuo.
@leahtitiha2445
@leahtitiha2445 6 ай бұрын
Amina, barikiwa Mtumishi wa Mungu kwa mafunzo ya kuelimisha.
@everlineeva594
@everlineeva594 3 жыл бұрын
Be blessed mtumishi ,hili somo limenilenga mimi ,,nikijaribu kufanya kitu hakifiki mbali ooh my GOD 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@gedeonkabeshakabesha769
@gedeonkabeshakabesha769 3 жыл бұрын
Amen
@El9a
@El9a 3 жыл бұрын
Annointing and the glory of God is like consuming fire, be blessed Man of God and Your Ministry @Reality of Christ
@irenefraterin8081
@irenefraterin8081 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukupaka mafuta,akuinue,akupe maisha marefu tuzidi kulisikia neno lake
@petermunuo1657
@petermunuo1657 10 ай бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@violethkibwana7855
@violethkibwana7855 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@gracekahinga9018
@gracekahinga9018 2 жыл бұрын
Ameeen
@tessamaguni6891
@tessamaguni6891 2 жыл бұрын
Amen
@a.k.astudio5351
@a.k.astudio5351 3 жыл бұрын
Asante san mwalim wangu kwa mafudisho mazuri
@amosjblack9614
@amosjblack9614 3 жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana mtumishi wa mungu
@dr.sarahbusongo
@dr.sarahbusongo 3 жыл бұрын
Glory to my living God. Asante baba Kyando
ROHO ZIZUIAZO MATOKEO (IV) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:23:43
Reality of Christ Church
Рет қаралды 12 М.
ROHO ZIZUIAZO MATOKEO (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA
1:39:54
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 69 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:22:23
Reality of Christ Church
Рет қаралды 21 М.
Mch Moses Magembe - KUGEUZWA KUWA MTU MWINGINE
2:15:16
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 27 М.
ROHO NYUMA YA MSAMAHA PART 2
1:18:06
ADM Ministries
Рет қаралды 102
NAMNA YA KUFANYA KAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO  ( I ) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:11:01
Reality of Christ Church
Рет қаралды 27 М.
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 6 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 43 М.
MAOMBI YA KUONDOA VIPINGAMIZI VINAVYOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
40:32
Reality of Christ Church
Рет қаралды 11 М.
ROHO YA MAUTI NA UHARIBIFU (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:55:42
Reality of Christ Church
Рет қаралды 27 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:21:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 31 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 69 МЛН