Rose Muhando - Masekete (Official Music Video)

  Рет қаралды 3,633,805

Rose Muhando Official

Rose Muhando Official

3 жыл бұрын

Ni wakati wa kumchezea Yesu kwa sababu yeye ni mwema katika maisha yetu hakuna aliye kama yeye chukua muda wako kuungana na mimi kumuimbia yeye.#RoseMuhando#Masekete#MusicVideo.

Пікірлер: 1 600
@chefbriankenya8328
@chefbriankenya8328 3 жыл бұрын
Congratulations mom hio dancing stly yawa ...trm wapi likes zangu na kenyans wenzangu pitieni hapa
@daudionyiego8673
@daudionyiego8673 3 жыл бұрын
Uchezaji wa muziki wa injili usiwe kama ule wa kidunia hii ni hatari sana. Wimbo mzuri tatizo vinakatwa viuno kama kwamba siyo injili hiyo.
@rosesiena5824
@rosesiena5824 3 жыл бұрын
@@daudionyiego8673 Who Told You, Before You judge does the bible give instruction on dancing. Because I Wanna Know
@cbkbrownkenya
@cbkbrownkenya 3 жыл бұрын
Uko trm wapi Niko nyuma ya tent ⛺
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
🙄🙄🙄 Upagani huo
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Background 0 Decor 0
@krishnamwangi1899
@krishnamwangi1899 3 жыл бұрын
Kenya. Let's show love to Rose as we have always done. Amen?
@aashirumargaretchege6527
@aashirumargaretchege6527 3 жыл бұрын
Hapo sasa 👌 👌👌👌💃💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
@juliusmunyambu9209
@juliusmunyambu9209 3 жыл бұрын
@@aashirumargaretchege6527 Moto kama baz
@gilbertndaira5438
@gilbertndaira5438 3 жыл бұрын
Zvakanaka zvakadaro
@basilisaleonce4514
@basilisaleonce4514 3 жыл бұрын
Nakukubali Rozi MUNGU akubariki Sana.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
No no noooooooooooooo
@judybarasa7386
@judybarasa7386 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥yesu nibebe,wachawi,waganga masekete,wafukuzwe Kwa Jina la yesu
@manyaramanyara8872
@manyaramanyara8872 3 жыл бұрын
I love the Song. From Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi like Sangu?
@masekete
@masekete 3 жыл бұрын
Kama unajua #MASEKETE kutoka kwa jack piga like...... Rose never fails
@rispathequeen
@rispathequeen 3 жыл бұрын
Kwa kweli dada Rose wewe ni begu ya Mungu na neno linasema bengu ya mungu kwame hitapotelea chini Yesu haxindi kukumbeba.like umbalikiwe
@DM_15
@DM_15 3 жыл бұрын
Mama kaua du! Mungu akikupa kakuptuu.
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 3 жыл бұрын
Maneno mengi yanaleta Joto! Uuiiiiiii Yesu nibebe!!🥳🥳🔥🔥🔥🔥#TRM
@matthewanatory8077
@matthewanatory8077 3 жыл бұрын
Mashabiki wa Rose Tujuane sasa hapa kwa like naanza Mimi 😍😍😍😍
@NyabokeIrene84
@NyabokeIrene84 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mIvRqaZmnbWsnrM
@wakoliwakhungu1617
@wakoliwakhungu1617 2 жыл бұрын
It's nice
@bimariaakila7535
@bimariaakila7535 2 жыл бұрын
Wow 🙏🙏🔥❤️🌹
@serahnyevu9307
@serahnyevu9307 Жыл бұрын
Wooow huyu mum ni nurber
@neemamdee-mb5jr
@neemamdee-mb5jr Жыл бұрын
​@@serahnyevu9307 Mimi neema mdee ujumbe naomba kuwa rafiki Yako na nakupenda rozi sanaaaaa
@jograce1534
@jograce1534 3 жыл бұрын
Wakenya mko wap??be blessed you never dissapoint rose
@evangelistnicolassagero8051
@evangelistnicolassagero8051 3 жыл бұрын
Sure shetani masekete.... Aaaaaah Glory to jehova allelujah.
@collinsmercy3971
@collinsmercy3971 3 жыл бұрын
God is able kwa kweli waliomcheka rozi kipindi anaugua saa hii wenyewe wameaibika sana .much luv from kenya
@leahmollel3753
@leahmollel3753 2 жыл бұрын
Yesu huyuu nampenda sanaaaa
@helenasufii1152
@helenasufii1152 3 жыл бұрын
More 🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Moto zaidi ya pasi. Mungu azidi kukuinua mom. New energy, new style, new everything.🔥🔥🔥nipewe likes hata kama ni kumi za those dancers
@mohamedjuma6755
@mohamedjuma6755 3 жыл бұрын
Huu 🔥🔥🔥 uliorud nao so wakawaida mwakahuu wataelewa tu nimwendo wa masekete
@janiffermueni4114
@janiffermueni4114 3 жыл бұрын
If u want to know the real artist from GOD nikama rose every time they never disapoint..I mean begu ya MUNGU haikufi..bali ya shetani inavuma kidoho inaisha...wapi shangwe na duru kwa MUNGU kutupea shujaa wa mziki rose muhado 🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉hata maadui wakimuua kwa midomo MUNGU anamuogezea hekima ya uimbaji 🎉🎉🎉🎉🎉💃💃💃💃💃💃💯💯💯🔥🔥
@hannahkanga5931
@hannahkanga5931 Жыл бұрын
Ubarikiwe na timu yako rose muhando wacha mungu akuinue juu juu sana
@isabellahnyakundi7543
@isabellahnyakundi7543 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🙏🙏🙏My favorite gospel artist#Rosemuhando
@kasongokhensol2991
@kasongokhensol2991 2 жыл бұрын
Be blessed servante of God for talking one of our language drc I mean lingala we love you🇨🇩🇨🇩
@zuwenajuma2927
@zuwenajuma2927 3 жыл бұрын
Bwana yesu nimekuja kwako nagonga mlango unifungulie ,daaaah,sebene languvu lzm tumuimbie Mungu kwa furaha jmn
@kamugishalaurian8942
@kamugishalaurian8942 2 жыл бұрын
Waooooooooo Jembe letu piga kazi ya Mungu. Nitakutafuta Rose tufanye pamoja kazi one day. Barikiwa sana. Sebene hatareee
@alistairmutisya4741
@alistairmutisya4741 3 жыл бұрын
God bless whoever reads this. Amen. God lift me in the ministry just like this minister.
@wanyamapeninnah9976
@wanyamapeninnah9976 3 жыл бұрын
AMEN
@lucyngaske9551
@lucyngaske9551 3 жыл бұрын
Amen
@kayitabadride1185
@kayitabadride1185 3 жыл бұрын
Cm nm nm
@lydiahnafuna8320
@lydiahnafuna8320 3 жыл бұрын
In JESUS name 🙏🙏🙏
@zama684channel9
@zama684channel9 2 жыл бұрын
Amen
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 3 жыл бұрын
Nguvu za Shetani aja! aja!aja! Yesu fuguzaaa!!#TRM🔥🔥💪
@nellyshivere4267
@nellyshivere4267 3 жыл бұрын
We love you mama Rose.. Team Kenya Yesu atubebe❤️❤️❤️❤️
@magdalinekaruma6482
@magdalinekaruma6482 Жыл бұрын
Rose you are gifted Love From Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊😊
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 3 жыл бұрын
Naongopa Masekete Yesu nibebe !!!! Mashetani Masekete wananiletea Joto,Joto Yesu nibebe uuuuuiiii! Uiiiiii! 🔥🔥🔥🔥🔥#TRM
@duncanmulu2450
@duncanmulu2450 3 жыл бұрын
Woyooooooo ..#Trm
@shemaiahclowers8060
@shemaiahclowers8060 3 жыл бұрын
Kenyans we love Rose Muhando..... Wapi za Kenya 🔥🔥🔥👏🏾👏🏾👏🏾
@hautzaire3854
@hautzaire3854 3 жыл бұрын
Eh eh eh eh maman iyi Iko nguvu sana shetani ana kimbiya ndombolo ya yesu que Dieu te benisse maman rose felicitation
@ianbruno6926
@ianbruno6926 3 жыл бұрын
Waaaaaawoooooo that's wonderful songs wapi likes za rose mohando
@mariammwamlima6694
@mariammwamlima6694 3 жыл бұрын
Yani huyu nadada ameshushwa kuja kumtukuza mungu ubarikiwe Sana😍😍😍😍😍😍😍
@curiosidadesefactosdeangol8060
@curiosidadesefactosdeangol8060 Жыл бұрын
We need Rose Mohando sister in Angola🇦🇴🇦🇴🇦🇴🇦🇴🇦🇴💥💥💥💥💥
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 3 жыл бұрын
Kwanza nashukuru Mungu kukurejeshea afya yako,, dhidi kutubariki na nyimbo zako Malkia
@dominickvitus4665
@dominickvitus4665 3 жыл бұрын
Musically I feel the vibe OMG, listen to the BASE UUUUUUUUUUUUWI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@lukheleportia7387
@lukheleportia7387 2 жыл бұрын
💪💪💪💪
@otienoidaphrose
@otienoidaphrose 3 жыл бұрын
Now this is worth 50k...leta till Number 🤜♥️🤛
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 3 жыл бұрын
Rose muhando ni shujaaa wa YESU! Champion, strong machine of God💪#TRM
@raphaelzama4748
@raphaelzama4748 3 жыл бұрын
Wapi shangweeeeeeee za Yesu Kristo utukufu kwake
@aissatanignan7786
@aissatanignan7786 3 жыл бұрын
Ah ouiiii !!! Yassu nipépé ! vous avez assuré depuis le BURKINA FASO
@ntirampebapascal8222
@ntirampebapascal8222 2 жыл бұрын
Yesu nibebe ( jésus porte moi)
@bestmedia_tz
@bestmedia_tz 3 жыл бұрын
Mlioukubali huu wimbo wa marikia wa gospel naitaji like 100
@uniktrust5984
@uniktrust5984 3 жыл бұрын
Sinashakaaa nakazi za nguli rose muhandoo watasubili..sanaaaaaaa... I am dancer ... Kwahinyimboo simchezoooo... Love good music
@pchab1966
@pchab1966 2 жыл бұрын
Mama Rose Muhando, Yesu yupo nawe milele na milele!
@restitutamichaelshirimamic9103
@restitutamichaelshirimamic9103 3 жыл бұрын
Yesu unipepee na mimi unibebe.... Ya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Sana masekete. Dancing yenyew imenibamba Sana..ubarikiwe Sana mama kwa kazi yako njema Mungu aendelee kukubariki zaidi na zaid wenye wivu washangae
@deffencemtagwa9795
@deffencemtagwa9795 3 жыл бұрын
Gwiji wa gospel mpakwa mafuta wa yesu mama rose muhando love from Kenya 😘😘😘😍😍😍😍
@kambuatitus896
@kambuatitus896 3 жыл бұрын
What a lingala dance.....thumb up Rose....
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 3 жыл бұрын
Masekete Wana mapengo,wengine wana miiba kwenye migongo uuuuiiiii! Yesu nibebe!!🔥🔥🔥🔥!! Love u Malkia ! #TRM
@husnahomar5133
@husnahomar5133 3 жыл бұрын
Revived, restored, reenergized Rose,,,wapi kelele ya da rozzy😘😘😘
@dorcasmoseti5948
@dorcasmoseti5948 3 жыл бұрын
Rose remembers where she was and how Jesus didn't fail her she gets crazy for Jesus.Mungu akuzidishie mama
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 3 жыл бұрын
Power from God!! Rose muhando ☝️☝️🔥🔥🔥🔥🔥Nywele zimemea tena Masekete mutakipataaa!!!!🔥🔥#TRM🙌🙌🙌🙌🙌🙌😍
@Gabrisluigi9
@Gabrisluigi9 3 жыл бұрын
Kweli hii energy sio mchezo,🙏🙏
@alicetheuri629
@alicetheuri629 3 жыл бұрын
Rose sing,,sing,,sing,,imba Rose.uimbaji wako unatisha kuzima.nakupenda Rose natamani nikutane nawe siku moja.
@michelleakinyi6098
@michelleakinyi6098 3 жыл бұрын
Naamini kazi yako mama Rose kweli kweli, umerudi kwa mpigoooo😍TRM
@duncanmulu2450
@duncanmulu2450 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿😁
@abediemuema2843
@abediemuema2843 3 жыл бұрын
Tumerundi kwenye zamu yetu; Trm oyeee
@nancykaguiri1525
@nancykaguiri1525 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Mama🙏🏽 🇰🇪🔥🔥
@lameckbinigo2897
@lameckbinigo2897 3 жыл бұрын
Sijawai kukupinga mamayetu rose Mhando barikiwa mno
@jay-bshujaboyofficie3201
@jay-bshujaboyofficie3201 3 жыл бұрын
Hmmm hongeza maman @Rose_muhando ila dance kama...🕺💃🕺💃🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👀💥
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 3 жыл бұрын
I love this,Mrenbo of Jesus Rose muhando nimejengeka pakubwa kupitia yeye! Hallelujah!!💃💃💃🔥🔥☝️#TRM🙌🙌
@doreenhazoron2646
@doreenhazoron2646 3 жыл бұрын
Naogopa kuvunjwa shingo👏👏😀😀,God bless you.
@eunicegathiru1377
@eunicegathiru1377 Жыл бұрын
Waaah... na sasa ndo watajua hawajui... she is back with a bang!!! Our Jesus reigns...God is supreme.. Jesus the name above all other names.
@kennedyosiago3802
@kennedyosiago3802 2 жыл бұрын
The songs of Rose muhando makes me to love the word of out Lord keep on Rose
@joshuamungai6749
@joshuamungai6749 3 жыл бұрын
Masekete Uchawi Nice wòrķ Ròse
@mauricemuteti7557
@mauricemuteti7557 3 жыл бұрын
Always waiting for new songs from rose and all are in another level. Those who love her songs, piga like hapa ukipita
@phellowmmbuni2841
@phellowmmbuni2841 3 жыл бұрын
Tuko wengi
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 3 жыл бұрын
Baba nimekuja kwako nagonga mlango unifungulie naongopa Masekete!! Madanga madanga !!!!!!! Weziiiiii!!!!! Yesu fuguza!!🔥🔥🔥🔥#TRM
@duncanmulu2450
@duncanmulu2450 3 жыл бұрын
Trm
@zuwenajuma2927
@zuwenajuma2927 3 жыл бұрын
Ukimtegemea Mungu kunafaida,Mungu ameshakufungulia Rose wangu
@rajabmugo3882
@rajabmugo3882 3 жыл бұрын
Masekete, masekete naogopa masekete, Fukuza shetani, fukuza wachawi, wapi likes za rose Muhando Kenya..,.......
@Kissmy.freckles
@Kissmy.freckles Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qnqZaISgdrNra6M
@duncanmulu2450
@duncanmulu2450 3 жыл бұрын
Mambo ni Motooo🔥🔥🔥🔥 TRM Oyeeeeee!
@benmichaels3175
@benmichaels3175 6 ай бұрын
One of my favorite songs among this great team,every time I sing Msanii songs I get blessed 🎉❤
@moraakelly1191
@moraakelly1191 3 жыл бұрын
WEEEEEEEEEEEE ONCE A WINNER ALWAYS A WINNER KWA YESU KUNA RAHA JAMANI, MAKOFI KWA SIMBA WA JUDAH JAMANI
@brettavilita5972
@brettavilita5972 2 жыл бұрын
Mama Rose is alive and at higher level of glory. Glory to God
@Kissmy.freckles
@Kissmy.freckles Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qnqZaISgdrNra6M
@SandersonSiska-km7kv
@SandersonSiska-km7kv Жыл бұрын
nakupendasana mama mi stella malawi nifundishe na mimi napendasana kuimba
@mangaletarcisius1562
@mangaletarcisius1562 Жыл бұрын
Iyo dance nimeipenda sana, Mungu akutie nguvu my role model
@janicejayk7106
@janicejayk7106 3 жыл бұрын
Queen of Gospel 😘😘😘 Ma Africa Mungu akujalie maisha marefu uzidi kubariki nafsi za wengi kila wakati enyewe ndani ya Yesu hapana zeeka...penda wewe Sana mama🥰🥰🥰🥰❤️❤️
@billymuluhya608
@billymuluhya608 2 жыл бұрын
Hahahahahahahaha..... Whaat a talent!!!! May God continue showing you the right path. God bless you Rose 🙏
@cliffordotieno2574
@cliffordotieno2574 3 жыл бұрын
Rose Muhando........you're just out of this world when it comes to gospel 👌👌👌 The day I will attend a live concert of you mama sijui ni nini itanifanyikia juu kwanza ile furaha nitakuwa nayo 😀 wacha tu.
@charlottejoy8507
@charlottejoy8507 3 жыл бұрын
blessings, hizo vocals na lyrics.... Mungu ni wa uregesho kweli.
@maggiekavai
@maggiekavai 3 жыл бұрын
Mamaaa tunaongopa masekete pamoja..washindwe kabisa....yesu atubebe🙏💕❤
@lydiabrown2664
@lydiabrown2664 3 жыл бұрын
I just love your energy ata magonjwa anaweza nyanyuka aka dance
@jonathanonyinkwa3326
@jonathanonyinkwa3326 3 жыл бұрын
We bless God for you rose... Wenye wanadislike waendelee hivyo hivyo divyo mtaenda tu chini kama hio kidole👎
@annewakevo2634
@annewakevo2634 3 жыл бұрын
Yaani am happy coz hakuna Masekete wamedislike this video till now.Mama Rose 🌹 💘
@samsonmwanji1940
@samsonmwanji1940 3 жыл бұрын
Wachawi wote masekete,more 🔥
@reginamajesi1182
@reginamajesi1182 2 жыл бұрын
Raha Sana Mungu akutie nguvu usijali piga kazi mama 🔥🔥🔥🔥
@Babyzay178
@Babyzay178 3 жыл бұрын
Naisubiri hapa! Mama 🕺💃
@mwalimu960
@mwalimu960 3 жыл бұрын
Nyimbo tamu Sana mama ubarkiwe Sana...You are a golden star that shine from the West 🙏🙏
@dralfred7937
@dralfred7937 3 жыл бұрын
Yesu saidia watoto wako.
@florahmwacharo7553
@florahmwacharo7553 3 жыл бұрын
Wow!!very nice song,..Malkia wa Muziki,barikiwa sana mamaa
@emmanuelmauki2938
@emmanuelmauki2938 3 жыл бұрын
Watasubiri Sana Hujawahi Kosea Queen Wa Gosple
@Jonah854
@Jonah854 3 жыл бұрын
More faya🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌💯
@vincem1714
@vincem1714 3 жыл бұрын
It's been a minute,and its agreat year for you Rose muhando. ... Nairobi -kenya
@toyosiokechulue3664
@toyosiokechulue3664 3 жыл бұрын
Definitely
@mercymbithe7340
@mercymbithe7340 3 жыл бұрын
Wow!Ni Raha sana kudancia Mungu...izo moves I must try
@rachelmuduwa484
@rachelmuduwa484 2 жыл бұрын
Wow Much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬 Love you so much dear God bless you.
@benrickske7926
@benrickske7926 3 жыл бұрын
Finally, it is with us.. Gonga like hapa bila chuki #Masekete
@ildephonsimtitu4742
@ildephonsimtitu4742 3 жыл бұрын
Emeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@calistusmurunga5003
@calistusmurunga5003 3 жыл бұрын
Am happy to see her back on her feet again. Our God is om e of restoration. Nampemda sana huyu mama. Been listening to her music since class 4
@yesayasongelaeli2240
@yesayasongelaeli2240 3 жыл бұрын
Nakukubali San Rose masenke imefuni wacha kabisa
@upendogospelreaching6380
@upendogospelreaching6380 3 жыл бұрын
Duuuu yaani sjui huu UCHEZAJI daudi angefufuka angesemaje duu na Mungu sijui inakuajee
@jackieleemo655
@jackieleemo655 3 жыл бұрын
fungola matoyi oyoka liloba ya nzambe, --lingala to the world nzambe apambola yo ndeko rose.
@lukheleportia7387
@lukheleportia7387 3 жыл бұрын
💪💪💪💪💪😁 And Please Share
@georgeosumba316
@georgeosumba316 3 жыл бұрын
Lingala To The World
@gracemwakyoma383
@gracemwakyoma383 3 жыл бұрын
I don't know if I will ever see another lady who can dance for Jesus like mom.
@lukheleportia7387
@lukheleportia7387 3 жыл бұрын
Me Too
@jenniferchoge4793
@jenniferchoge4793 2 жыл бұрын
I love her she is a real inspiration so talented God always protect you Rose
@neemamassame8183
@neemamassame8183 3 жыл бұрын
Hongera na usiogope wala usihofu momenti kwa sababu biblia haijaandika namna ya kucheza endelea madame nyimbo zako zina mafundisho
@sendwekabwe2246
@sendwekabwe2246 2 жыл бұрын
Dada Rose WeWe ni we wetu 😀👍👍👍👍👍😀
@edwinmichitah9595
@edwinmichitah9595 3 жыл бұрын
This industry is blessed to have you you, long live muhando
@taitanicbway525
@taitanicbway525 3 жыл бұрын
Mama 🌹 Rose muhando wewe n motooo yaan 🔥🔥🔥 Moto umuunguzao shetani,
@jobgeorge1947
@jobgeorge1947 3 жыл бұрын
Rose muhando acha michezo na jina Kuu ya Yesu
@kennedybarasa1727
@kennedybarasa1727 3 жыл бұрын
God bless u mum Rose mbingu inene mema kwa ajili yako na mafanikio yawe sehumu yako
@anitabaker8662
@anitabaker8662 3 жыл бұрын
IT'S TRULY BEEN A GREAT YEAR FOR YOU MAMA MALKIA
@Beywa
@Beywa 3 жыл бұрын
Rose keep up madam,wanijenga sana na hizo nyimbo sako ubarikiwe sana na nakuombea uishimiaka Mingi.
@marynjokimacharia4005
@marynjokimacharia4005 3 жыл бұрын
💃💃💃💃 Rose penda wewe sana,,,🇰🇪
@aureliebiayipmofficial8239
@aureliebiayipmofficial8239 2 жыл бұрын
Love You rose from DRC, YOU ARE THE ONE WHO INSPIRED ME TO BE A STRONG SINGER BY YOUR STYL
Rose Muhando - Kimbembe (Official Video) SKIZA SMS 7636519 TO 811
6:54
Rose Muhando Official
Рет қаралды 5 МЛН
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 565 М.
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,6 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 43 МЛН
Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Music Video)
8:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,7 МЛН
Rose Muhando - Tuipakue (Official Video) SMS SKIZA  5966923 TO 811
5:15
Rose Muhando Official
Рет қаралды 1,4 МЛН
Rose Muhando Jipange Sawa Sawa
7:54
Africha Entertainment
Рет қаралды 4,7 МЛН
William Yilima-Hii siyo ndoto yangu {Official Video HD}
8:50
Muhubiri Production
Рет қаралды 20 МЛН
Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
7:20
Rose Muhando Official
Рет қаралды 27 МЛН
FENNY KERUBO X ROSE MUHANDO -MBWEHA  (OFFICIAL VIDEO) DIAL *875*505#
6:32
Fenny Kerubo Music
Рет қаралды 885 М.
Rose Muhando - Pombe (Official Video)  SKIZA *811*402#  #POMBE #ROSEMUHANDO
5:38
Rose Muhando Official
Рет қаралды 4,5 МЛН
Rose Muhando Ee Mungu Nitakushukuru
9:34
Africha Entertainment
Рет қаралды 6 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 745 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 15 МЛН
Әділет Жауғашар & SUNDET MUSLIM - Бір оқиға [M/V]
3:05
Әділет Жауғашар
Рет қаралды 101 М.
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 521 М.