Ukisikia Ufugaji UNATAJIRISHA Nikweli Usibishe! Alianza Kufuga Samaki Akiwa Chuo Amewekeza MAMILIONI

  Рет қаралды 2,660

RUBABA TV

RUBABA TV

Күн бұрын

#shambadarasa #rubabatv
Leo Tumetembelea Project ya Ufugaji Wa Samaki katika Vizimba, inayofanya na MY FISH TANZANIA, Kampuni inayojihusisha na Ufugaji wa samaki. Tupo na Mkurugenzi Ndugu ELIPIDIUS MPANJU Na ametuelezea mwa Kina.

Пікірлер: 9
@aftapat5365
@aftapat5365 Жыл бұрын
bro huwa nakubaro sana harakati zako kiukweli
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
One love
@marychuwa8159
@marychuwa8159 3 ай бұрын
Wow nimeona vizimba Ghana Leo naona Tanzania yaani nimefurahi
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Жыл бұрын
Hongera Sana ndugu kwa makala hii ya ufugaji wa samaki,imeniongezea motisha kuelekea mbele kutimiza ndoto hii. Hongera pia kwa ubora wa picha na drones. Pongezi pia kwa mwekezaji mzawa kutoa ukarimu wa mwaliko wa kujifunza.
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Asante kwa kuendelea kua nasi
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Asante Sana kaka Najitaidi Sana kukufatilia 🙏Sana kwa habari njema.
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Asante sana kwa kua nasi
@jamesmwasha9009
@jamesmwasha9009 10 ай бұрын
@@RubabaTv natamani hii biashara ila sijui nianzie wap
@MrEscober
@MrEscober Жыл бұрын
🔥🔥🔥
UFUGAJI WA SAMAKI: MACHINGA ALIYEFANIKIWA KUFUGA SAMAKI
21:35
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 858 М.
MAAJABU! SAMAKI  WANAFUGWA KWENYE TENKI (SUMAPONICS)  MBWENI JKT.
27:04
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 10 М.
Ufugaji wa samaki Kwa namna rahisi
11:24
Yaliyojiri Online
Рет қаралды 7 М.