Kujinga na mafunzo ya ufugaji wa kuku kibiashara,wasiliana nasi 0764 148 221
@maryamsuleiman63402 ай бұрын
Hongera mwanangu Mungu azidi kukupa nguvu na Moyo ulionao ,mana vijanawengi wanasubiri Serikali iwaajiri ,nahulojambo siorahis , hatamimi mamaako napendasana mifugo ila ninashindwa naulishaji mana uwezosina
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Ahsante Sana kwa Elimu, Mfugaji mtarajiwa Nipo njiani🙏.
@annamwinuka5898 Жыл бұрын
Namaliza chuo soon nitafanya hvo bro big up 😊🙏
@ZaitunSaiddy3 ай бұрын
Nakubali nimejifunza kila kitu kinawezekana ata nami nina ndoto izo
@emilianabernard42407 ай бұрын
Asante kaka Kwa elim, Niko njiani kufuga kuku na mm, subiri mrejesho wangu
@RubabaTv7 ай бұрын
Wasiliana nasi tukusaidie 0764 148 221
@kibibimimi3927 Жыл бұрын
Mungu akutunze kijana Amiiiin
@user-sy6jr8oz5m5 ай бұрын
Bigg up xan kjan uskate tamaa nataman nkutan nawe maan hat me nataman xana kufuga npo mwanza kwimba
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Ufugaji ni mzuri ila changamoto yetu huku kwetu ni pamoja na wizi sijui wenzetu mnalishughulikiaje
@ReginaMasogo5 ай бұрын
Asante kwaelim hii ya ufugaji
@ubworozibugezweho7985 Жыл бұрын
Asante sana nawapenda kutoka🇷🇼
@RubabaTv Жыл бұрын
Asante tunakupenda pia
@RizikJoseph17 күн бұрын
Je ulianza namtaji wa shilingi ngap
@aidanfrancis7209 Жыл бұрын
Kaka hongera Sana! Naomba kupata namba zako mwezi August nikija mwanza nifike kujifunza kwako kwa kuona.
@johnmuna7428 Жыл бұрын
Good boy
@ualimuwakiroho5716 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na elim uliyotupa
@FatinaLose Жыл бұрын
Hongera sn kjana mpambabaji
@dionisiamvungi2 ай бұрын
Naomba mnijuze aina gani jaman
@dieukingman26533 ай бұрын
Mimi nipo usa 🇺🇸 na ninahitaji kufuga ila sina elimu kuhusu ufugaji na sijui ni wapi sehemu sahii ya kufugiya usa au Africa kama tz Kenya na burundi
@RubabaTv3 ай бұрын
Wasiliana nasi tukusaidie kwa kila hatua +255764148221 whatsup