Kutana na Salha Munnar rubani wa Kike kutoka shirika la Ndege la Tanzania mwenye umri mdogo aliyeamua kuacha kazi benki na kwenda kusomea masomo ya Urubani ambayo yalikuwa ndoto yake tangu akiwa mtoto.
Пікірлер
@BoraAmosi29 күн бұрын
❤❤❤❤❤ na mimi na penda
@KhadijaKallaghe3 ай бұрын
Ma shaa Allah
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Hongera Dada jitahidi na endelea na bidii yako
@brendapeter2937 Жыл бұрын
Living testimony congrats Salha
@stellamanda4466 Жыл бұрын
Nsha panda ndege anayendesha yupo vizuuuuri saana
@samsonsamwel8782 Жыл бұрын
Anafata sheria,za angan vzur
@vincosmeticsmarvin Жыл бұрын
Tutakuaminije ?
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Congratulations my dear.A strong woman ❤
@vickystellah3194 Жыл бұрын
Be blessed lovely daughter ❤
@ednakessy5636 Жыл бұрын
Congratulations daughter
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Hongera salha
@AlfredCyprian Жыл бұрын
Hongera sana
@aishakondo5434 Жыл бұрын
Jamani mtoto wangu aliniambia atakua rubani nikamkatisha tamaa kisa niwakike nasisi kipato chetu nikidogo mwisho kaishia uwalimu namume😢
@prosperulungi2998 Жыл бұрын
Sima ukweli2 pesa za kumlipia ulikuwa huna Ila sio kuwa mtoto wa kike ndio sababu kwani wewe hujui Kuna wanawake malubqni
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Hizo ndege zidumu msifanye kama ndege za zamani mlivyozifilisi mtazitapika😂
@mikidadymohammedy7603 Жыл бұрын
Kwa mungu madogo
@sophiamwema334 Жыл бұрын
❤
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Elimu za sasa ni tangu wadogo wanasomea,sio kuwa mkubwa..
@BachuSalim Жыл бұрын
tunaomba number yake
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Tumushukuru saaana JPM kununua ndege ndg zetu wanapata ajira tuombe tu zidumu
@zuhurakhasimu969 Жыл бұрын
Nataman hata omani iwe inakuja Air Tanzania 🇹🇿😢
@NassoroHaji-i8k Жыл бұрын
Itakuja tu inshaallah itakapopata usajili tu kupitia maombi ya Mama yetu Raisi Samia