KUTANA NA BINTI MWENYE UMRI MDOGO ANAERUSHA NDEGE ZA KIVITA KAFUNGUKA TUSIYOYAJUA

  Рет қаралды 470,817

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 412
@azizamvungi6409
@azizamvungi6409 2 жыл бұрын
mashaallah ulipambanaa ndio maana mungu naye akakufanikisha..songa mbele mdogo wangu mungu atakulinda
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
Hongera sana Kamanda kupata kazi katika umri mdogo ni neema kubwa sana mshukuru Mungu wako toa sadaka fanya ibada, ili Mungu akupe ulinzi katika kazi yako !! Mara nyingi watu wanaopata kazi katika umri mdogo wanakuwa na maadui wengi wapinga maendeleo !!
@abdulaabdula2631
@abdulaabdula2631 2 жыл бұрын
Fact
@allahisone6386
@allahisone6386 2 жыл бұрын
@@abdulaabdula2631 Zaid ya fact 💯%🤝
@kessyantoy6223
@kessyantoy6223 2 жыл бұрын
So Proud Sister, Endelea kukaza and be Example kwa madada wote na usiache kuwa na kipindi online kuwaimiza madada Tanzania watumie vichwa vyao vizuri Tuwe na Taifa lenye Wanawake Wengi Wenye Revolution ya Maendeleo katika Taifa kama Ngao Ya Taifa ilivyo na Meaning ya Bibi na Bwana...Karibu Tena Cape Town
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 2 жыл бұрын
Tatizo la tz kazi zote hizo zinapatikana ki familia kama huna ndugu jeshini utaombakazi utachoka na si jeshini tu mahala popote utachaguliwa kutokana na ndugu uliyenaye ndani ya taasisi sio uwezo wako. Sisi wengine tumesomesha tumechoka no job. Baraka ya ma degree ndani na application tumefanya kibao tunarukwa tu. Ndio nchi yetu hiyo
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
umesema kwl
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 2 жыл бұрын
@@martinmaryogo3676 ndio ivo ndugu yangu
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Nakuombea kwa Mungu upate mdani ya huu mwaka kwa jina la Yesu ... kama unaamini sema amina
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 2 жыл бұрын
@@rithadonatus8110 amina
@tatumhogo5742
@tatumhogo5742 2 жыл бұрын
Umesema ukweli ndani ya ukweli kabisa bado mfumo uleule mtoto wa mjomba na shangazi unaendelea
@JustKassim
@JustKassim 2 жыл бұрын
Masha'Allah, mabrouq ukhty HR Akbar.
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 жыл бұрын
Mrembooo Mno MUNGU Azidi Kumuongoza Kwa kila Hatua 😍😘
@kulthummzee3903
@kulthummzee3903 2 жыл бұрын
Well done my dear sister Allah azid kukuongoza katk maisha yko
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Nakufahamu vizur Sanaa kipindi tupo South Africa Hongera Sanaaa umetusua 🙏
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo EU i9
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 2 жыл бұрын
South ya mtwara?
@NuruKanyenye
@NuruKanyenye Ай бұрын
@@shaurimtanda8285 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiiii
@lovenessitiku6293
@lovenessitiku6293 2 жыл бұрын
Nani ambae alisema eti hakuna wanajeshi wazuri weee wazuri wako jeshini na akazi kama kawaida znaendlea safi sana mungu aendlee kutupa nguvu cku zote za maisha yetu inshallah
@stellapazzi1001
@stellapazzi1001 2 жыл бұрын
Hongera sanaaaaaaa mrembo wetu Mungu akupandishe viwango vya juuu zaidi wanawake tunaweza
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah vita ni vita😇😇😇😙
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo EU 8
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 2 жыл бұрын
Ngoja nikusaidie kumalzia MURA
@godfreymwaluja2808
@godfreymwaluja2808 2 жыл бұрын
@@eunicejohn5520 . h L
@nyundomaster1541
@nyundomaster1541 2 жыл бұрын
All jet fighters must have these ages. Hakuna kuwaza mtoto nyumban
@bartondidas849
@bartondidas849 10 ай бұрын
hongeraaa sana dada Mungu akutie nguvu na akuzidishie baraka
@ananiamtewele9272
@ananiamtewele9272 2 жыл бұрын
Wacha mi niendelee kichoma chipsi mana kwa sasaiv maisha connection mtuwang
@salmamohammed4904
@salmamohammed4904 2 жыл бұрын
Dah hongera zake nyingi nyingi sasa yaani maneno yameniishia
@joanithamwaudama9928
@joanithamwaudama9928 2 жыл бұрын
Hongera mtoto mzuri you're strong lady!
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah mdogo wangu, hongera sana kwako ❤️😘
@mohamedimyombo7778
@mohamedimyombo7778 2 жыл бұрын
Hellow
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo tuu 9
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo tuu 9
@mustaafabapumia6006
@mustaafabapumia6006 2 жыл бұрын
Well done your confidence make you unique. You are not just a pilot but a combat pilot.👌
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo ty
@darweshk7342
@darweshk7342 2 жыл бұрын
Exactly dr
@markshoo1474
@markshoo1474 2 жыл бұрын
hongera sana rubani.milard ayo ,afande ruban akbar hajaacha namba maana nahisi tutafaana nahitaji kuish chini ya utawala wa kijeshi wa rubani huyu mrembo.
@pendokissatu937
@pendokissatu937 2 жыл бұрын
Mrembo sana Mungu azidii kuku pandisha viwango vya juu
@celestinengala923
@celestinengala923 2 жыл бұрын
Nice too good work 🥰 mungu akuzidishie cute girl be strong ever dear
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Ni neema luteni mtoto mdogo hivyo hongeraaa sana
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 жыл бұрын
Sio Luten ni Luten Usu
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 2 жыл бұрын
Hongera ila umefanana na muheshimiwa Rashidi kamwil ka shangaz Devota hadi kuongea .Allah akutangulie akuweken mama enu Amrehem mzee Rashid Ajali akbaru
@frankcosta4986
@frankcosta4986 2 жыл бұрын
Hongela sana mungu awe na ww
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 жыл бұрын
Naona wengi mmejawa na wivu kumbe mnaipenda hii kazi mbona hua mnainyanyapaa ,eti Mara bila kua na ndugu hupati ajira wewe ulisikia wapiiiiiii kama ipo ipo tu acheni kukufuru 🤣🙌🙏👏
@mariej6962
@mariej6962 2 жыл бұрын
Akitoka hapo anaenda kuendesha mandege makubwa kwenye makampuni makubwa ya commercial airline duniani. The future is very bright for you girl.
@magdalenabenard4208
@magdalenabenard4208 2 жыл бұрын
Mungu aebdelee kukutunza mwanangu utimize ndiyo yako
@massoudmassoud
@massoudmassoud 2 жыл бұрын
Wow! Hata uongeaji wake anaonekana yupo makini sana Masha Allah
@mosesmsafiri4795
@mosesmsafiri4795 2 жыл бұрын
Mungu akujalie afya nguvu furaha aman na upendo wake katika maisha yako
@yunusbakari6916
@yunusbakari6916 2 жыл бұрын
The confidence is the only thing which I had notice from a girl But also we should understand that these opportunities are few for those who have in their hands It doesn't matter whom you know but who knows you
@tunnymgaza9326
@tunnymgaza9326 2 жыл бұрын
Iam so proud of you girl
@daudimagendero4694
@daudimagendero4694 2 жыл бұрын
Hongera usna mungu akuongoze
@successmbio878
@successmbio878 2 жыл бұрын
Honger dear,Mungu akubariki,akuzidishe kwenye kazi yako n trauma yako,,,,,
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Hongera sana mama mungu akupe nguvu binti mzuri
@thomassedo5012
@thomassedo5012 2 жыл бұрын
Duh na me naweza taka kupaa na uyo wa blue na uyu jmn 😍😍
@amirimahadhi1062
@amirimahadhi1062 2 жыл бұрын
She is so cute 🥰
@suwedinamga581
@suwedinamga581 2 жыл бұрын
Na anashep
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo EU 9
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 жыл бұрын
Contributions gal...👏👏👏👏 what an inspiration to the upcoming ones.
@jrm9448
@jrm9448 2 жыл бұрын
Contribution tena??? Mchango wa nini?
@magdalenabenard4208
@magdalenabenard4208 2 жыл бұрын
Gingers mwanangu mungu aebdelee kukutunza ifikie ndiyo zako
@veronicamwanisenga5120
@veronicamwanisenga5120 2 жыл бұрын
hongera Mungu akutangurie
@taturashid4167
@taturashid4167 2 жыл бұрын
Manshaalah,wanawake tuna uwezo pia wapatiwe nafasi tu kama wana sifa
@sweetysilvester3431
@sweetysilvester3431 2 жыл бұрын
Hongera asnat
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 2 жыл бұрын
Hongera mdogo wetu
@gaspermoko9122
@gaspermoko9122 2 жыл бұрын
Mungu akubari na uendelee na huo moyo bila kukata tamaa
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
Nawakumbusha tuu wabongo, ukitaka kufanikiwa jifunze kukikubali anachokifanya mwenzio, hizi roho mbaya za baadhi ya watu wanao comment mtazamo wao hasi juu ya huyu binti, hizo ni roho mbaya za kichawi !! Usiumizwe na hatua anayoipiga mtu, bali hatua yake ukufikirishe na wewe kuondoka hapo ulipo ili na wewe ujipongeze siku moja !!
@himidijenga535
@himidijenga535 2 жыл бұрын
Hongera msichana wangu
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 жыл бұрын
kwa msiojua hiyo helkopta ni rahisi sana kurusha hata mtu yeyote anaweza kurusha bongo tuko na ushamba mwingi sana norway kuna zile ndege ndogo za taxi wana wanapeana deiwaka kama boda boda wala ganja kibao wanasukuma hizo 👏👏👏
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
Dah !! Wabongo 😂😂 kubali hata kidogo alichonacho mwenzako !! Ni mwanzo mzuri kwake
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 2 жыл бұрын
😆😆😆😆
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 жыл бұрын
@@gooddeeds162 ndio maana inakuwa kazi sana sisi kuendelea !! Hizi mbegu za chuki ndogo ndogo zipo hata maofisini, huu ndio uthibitisho kwamba watu wanalogana sababu tuu fulani asisonge mbele !! Na uchawi sio lazima uwe ule wa kuloga, hata mtu anayechukizwa na maendeleo ya mwingine na kushindwa kumpongeza huo nao ni uchawi 😁😁😁
@dianamdaku9802
@dianamdaku9802 2 жыл бұрын
😂😂😂we sema ukwel!?
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 жыл бұрын
Daaah!nimecheeka
@johnmangaga4949
@johnmangaga4949 2 жыл бұрын
Hongera sana mama!; MUNGU akutangulie;'
@maalimchiba5656
@maalimchiba5656 2 жыл бұрын
MashaAllah
@fatmaahamad633
@fatmaahamad633 2 жыл бұрын
Hongereni sana na mungu awe nanyi kila hatua
@dn.n4983
@dn.n4983 2 жыл бұрын
Hongera sana sana ubarikiwe wote
@delphenusmalambi
@delphenusmalambi 2 жыл бұрын
To more many titles Hasnat #RESPECT
@lusajokafuko3450
@lusajokafuko3450 2 жыл бұрын
Keep up girl....am so happy for you dear
@filbertrobert1141
@filbertrobert1141 2 жыл бұрын
Big up sana kamanda
@hilalhamoodaltooqialtooqi62
@hilalhamoodaltooqialtooqi62 Жыл бұрын
Mashalah kbs pongezi
@katendedonprince9153
@katendedonprince9153 2 жыл бұрын
What an inspiration to the
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 жыл бұрын
Hongera sana
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
Namm ngoja nikaze kuosha vya warabu niwasomeshe wanangu wakike wasonge mbere👩‍🦯👩‍🦯ndio maana tunaambiwa tusidharau wtt...mtt ni mtt tu🙌🙌au wakike au wakiume
@olympiamtenga8761
@olympiamtenga8761 2 жыл бұрын
Congratulations 👏
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo EU 7
@emiliamulaki3600
@emiliamulaki3600 2 жыл бұрын
Hongereni sana.
@bahatirehani7741
@bahatirehani7741 2 жыл бұрын
Congratulations classmate😍
@mariahmartin3848
@mariahmartin3848 2 жыл бұрын
I'm proud of you my friend ❤️❤️
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo EU
@Igwetz
@Igwetz 2 жыл бұрын
Weee
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 2 жыл бұрын
Maashaallah maashaalaa
@mwajumaibrahim8330
@mwajumaibrahim8330 2 жыл бұрын
Hongera sana Allah akutangulie mdada
@derickkomory3022
@derickkomory3022 2 жыл бұрын
Hongera bibie
@zachariakonyanza2259
@zachariakonyanza2259 2 жыл бұрын
Nakujjua vizuri well done sir
@OnlineEarningTz
@OnlineEarningTz 6 ай бұрын
Kasoma wapi seco huyu au ni yule amesoma Feza?
@oscarmsuri8479
@oscarmsuri8479 2 жыл бұрын
Hongera sana yuko na confidence yake nimeipenda.
@rehemasaid6876
@rehemasaid6876 2 жыл бұрын
Safi sana super woman
@christophergeorge5490
@christophergeorge5490 2 жыл бұрын
Hapo kuna ujomba na u baba mdogo ndo unafanya kazi kama hauna ndugu mwenye cheo sehem yyte mbona utachoka😃😃
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Hongera mwaya
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Wala hana mbwembwe nyingi binti wa IFM mwaka wa kwanza u know zingeshafika 600
@enickosanga4921
@enickosanga4921 2 жыл бұрын
Nikajua mafunzo ni hapa hapa kumbe nje eeehhh kazi kweli kweli
@nyakundihellen6822
@nyakundihellen6822 2 жыл бұрын
Keep going gal,,,I love it
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Hongela sana mtoto mzuri
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Hongera ila ni kweli tz kila kitu uwe na ndugu akusaidie sio uwezo tu
@stevek8318
@stevek8318 2 жыл бұрын
From USA hapa nakusaluti dadangu mdogo
@gezaulole7501
@gezaulole7501 2 жыл бұрын
Ana mzigo huyo nimempenda ila kazi za mchongo izo
@msanumedia
@msanumedia 2 жыл бұрын
Congrats 👏
@maryamalhabsi4364
@maryamalhabsi4364 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@chabuchulu6144
@chabuchulu6144 2 жыл бұрын
hii sasa haileweki nihabari ya vita ya huko au ni kutujulisha watu walio vudhu elimu zao miladi ayo mnakwama wap
@dinagod173
@dinagod173 2 жыл бұрын
Hongera sana dear
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Tatizo Tanzania nafasi nzuri mfano kazi au scholarship ni kujuana, aidha ni mtoto wa mkubwa au ndugu yako ni mkubwa, au sehemu hiyo kuna watu wa kabila lako , na hiyo ipo pia kwa scholarships za maana wakubwa wanawapa kwanza watoto zao na ndugu zao, ndio maana watoto wengi wa wakubwa wako nje wakila maisha tu
@bukuruphilibert8658
@bukuruphilibert8658 2 жыл бұрын
Jeshin hawafanyi hvyo kama una sifa uanenda popote Sasa wew una d mbili zero brain unategemea ukarushe ndege
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
@@bukuruphilibert8658 acha uongo wewe unafikiri sijui mambo ya corruption ya Tanzania sehemu zote ajira Tz ni kuonga, ukabila au mtu awe ndugu yako , nafasi zote wanapeana tu hata huyo female pilot ukiiuliza ni mtoto wa mkubwa
@abdulazizmohamed2805
@abdulazizmohamed2805 7 ай бұрын
Namimi Nina ndenge Zango Cape Town name hitaji huyu rababani na cape Town hakuna wazulu Kuna wakasa huyobiti ni Mungo,
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 жыл бұрын
Bravo salute
@web2.095
@web2.095 2 жыл бұрын
Mashaaaallah😍
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Mnaoeana tu kindugu ndugu izo nafas
@ashaissa8813
@ashaissa8813 2 жыл бұрын
Congratulations❤❤❤
@habarinyetitv5670
@habarinyetitv5670 2 жыл бұрын
Waooo Kaza Buti Ndugu
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 2 жыл бұрын
Congrats to her👏👏👏
@amanmalima940
@amanmalima940 Жыл бұрын
Sasa ya WOKOVU ni SASA hebu Mwamini Yesu na uokoke na Ulithi uzima WA milele na uende mbinguni.(Yohana14:6,Warumi10:9-10,2Kor6:2).
@is-hakaomar2118
@is-hakaomar2118 2 жыл бұрын
Hongra comrade
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane 2 жыл бұрын
Wakati sisi Tunapambana tupate ata izo post za uprivate tu no shida mpaka uwe na mtu wakupiga tafu Unahaso kumtafuta mtu wakukusaidia unaadhirika Mpaka unasema umemkosea nini mungu hizi ajira wanspeana kwa kujuana
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 2 жыл бұрын
Umenitia nguvu mdogo wangu..nimepata nafasi naomba kuitumia..
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
Unajua nimecheka mpka basi ifike kuna mda watanzania wenzangu tuache roho z husda wivu n majungu n sikusema kapata connection any time kapata connection ifikie hatua tujitambue tambua ktk hizo connection kuna kazi nyingine kuna sifa watazitaka,kuna interview ili watambue uelewa wako so watakupeleka vip sometime huna hizo sifa kwa sababu hata jeshi wanataka mtu at least uwe umemaliza form four uwe n cheti cha form four n kuna vigezo vya umri or jesh l wasomi uwe n elimu y juu n kun vigezo vy umri but ukute ww huna hizo sifa watakupeleka wapi utsema n connection ok waweza pata connection y kazi n kwenye kazi kuna interview hujafanya vizuri kwenye interview unazani watakupa kzi tusipende kumlaumu tu dogo oooh kapata connection but hata km alipta connection lakin s alikua anasoma n alifanya mitihani n akafuzu vizuri ndo mn wakampa arushe ndege hta km nyie mnasema n ki helikopta siyo mbaya ndo kafuzu luteni anakula mshahara kuliko wengine mnasubiri kuuza miili yenu mtandaoni kwa mabwana w wenyew acheni wivu tu kwanza bint mdogo akili nyingi anakula mshahara kwa jasho lake la kurusha ki ndege chake bila buguza yyte kila connection yyte lazima upitie usaili ufanye interview vigezo utimize ndo wakupe ajira vigezo huna watakupa nin hata kazi y usafi now uwe umesomea huna sifa interview hujafanya vizur unawekwa wapi tusipende kukariri maisha siyo kila kazi ni connection juhudi zako n jitihada zako ingekua hivyo ni connection bs kila mwenye ndugu mwenye vyeo sekta mbalimbali angejaza ukoo mzima si connection kwanini anakupeleka shule kwanza ukasome hawaweki vilaza mnyonge mnyongeni haki yake mpeni dogo n kichwa coz jeshin yenyew ukitaka cheo chochote lazima upitie kozi n kufanya paper n ukifaulu wanakuongezea cheo ingekua hivyo basi me kaka angu wangempa wangembeba yye ni kuruti kuingia koplo alifeli mitihani akashindwa ingia koplo basi wangempa coz baba ake ana cheo ni meja kwanin walimnyima hakuna kitu cha nmn hyo unawez pata connection kma akili yko kilaza unaishia njiani tumpeni sifa zake dogo kafuzu vizuri kiukweli me nikutakie kheri kwanza congratulations dogo Allah akupe kila hitaji la moyo wako akuepushe n wenye husda za roho
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Getrudi sana waambie hao mabinti kusoma ndiyo mpango mzima
@daudiamimu4074
@daudiamimu4074 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2qoc5R5qaydhJo EU i9
@dr.mgungo1429
@dr.mgungo1429 2 жыл бұрын
Hizi ni nafasi huwa zinatoka Kwa wanaoenda JKT Kwa mujibu wa Sheria baada ya Kuhitimu kidato Cha sita wanaingizwa katika jeshi kuandaliwa kuwa Maafisa wa jeshi
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 жыл бұрын
@@dr.mgungo1429 teenaa ingezea wenye ufauru mzur maana mdogoangu yuko palee TMS
@dr.mgungo1429
@dr.mgungo1429 2 жыл бұрын
@@ramsikhamis7083 yah iko hivyo
@martinmarco6922
@martinmarco6922 2 жыл бұрын
Good job
@hamadiabdallah3906
@hamadiabdallah3906 2 жыл бұрын
Mashallah binti
@drbunnyrabbitempire2910
@drbunnyrabbitempire2910 Жыл бұрын
Mwanamke bomba kweli
@charlesjanuary1798
@charlesjanuary1798 2 жыл бұрын
Mimi nilijua Yupo. vitani Ukrayn
@hawahawa4442
@hawahawa4442 2 жыл бұрын
Kuwa ndo yupo anapambana au😂😂😂😂
@deus8629
@deus8629 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mgasa_tz5527
@mgasa_tz5527 2 жыл бұрын
Hata Mimi nilijua hivyo kumbe Mmh! 🥴🥴
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Hongeraaa luten
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 2 жыл бұрын
Congratulations
@mariammkwabi7101
@mariammkwabi7101 2 жыл бұрын
💪💪proud of u
@levisdiamond4797
@levisdiamond4797 2 жыл бұрын
Unaonekana mtu mzuri unae penda maendeleo ya wengine nimependa hiyo sio wengine wivu tu
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Жыл бұрын
mbona ni mrembo anajitesa na mambo hayo njoo nikuweke ndani mama nikufungulie biashara achana na hizo kazi za kitumwa
@edwinemrod3933
@edwinemrod3933 2 жыл бұрын
Air force soldier unaitaji kuzoea chakula kweli 😂C'mon
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 2 жыл бұрын
Katako kapo kwenye combat congrats girl....
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 56 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 511 М.
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 56 МЛН