@@RukiaLaltia Asante Sana mungu akubariki Dada kunijibu nafuatilia mapishi nikiadika kwa kitabu Asante
@Quilant7494 жыл бұрын
Mchicha😋😋😋😋😋😋😋🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️I want to go back home
@sarahneema33764 жыл бұрын
Safi sana,ila nauliza ukishatumia royco,ni lazima utie hiyo cube?ama hiyo cube sinaona yatosha?
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Noo sio lazma
@sarahneema33764 жыл бұрын
@@RukiaLaltia thanx alafu me nimeona ujichanganya currypwder na tummeric,can I use one of it instead ya kuchanga?
@musarmosony35004 жыл бұрын
Da ruki m naomb majin y hzo spices zot unatumiag plz km hutojal
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Nitaweka video za spices
@musarmosony35004 жыл бұрын
@@RukiaLaltia asante
@imanmohamed22154 жыл бұрын
MashaAllah
@alsam48814 жыл бұрын
Mchicha hautakiwi kupikwa kwa muda mrefu hivyo sababu unaondoa virutubisho vyake vyote, na pia ukiweka kitunguu thoum kwenye mchicha hautapata ladha asilia ya mboga za majani,Kwahiyo ni vizuri kupika mboga za majani bila ya kuweka thoum au viuongo vitakavyoondoa ladha asilia ya mboga.
@helamamohd73184 жыл бұрын
Big up
@simplestrecipeschannel83664 жыл бұрын
Wengine wetu hatuelewi iyo kiswahili ya mombasani ukiexplain viungo try ueke na kizungu pliz napenda upishi wako sanaa
@siriyangu47244 жыл бұрын
Limau lasaidia nni kwenye kabichi?da rux
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Mm huwa napenda kuweka limau ama ndimu katika mchuzi wangu ni tabia tu naita kikolezo 🙈🙈
@marymwongeri99894 жыл бұрын
Tui ni nini? Mimi nimetoka Nairobi 😀
@veilamichiraqatar51844 жыл бұрын
Maji ya nazi yake ya kwanza yalio mazito bila kuwe maji
@annahkyalo70452 жыл бұрын
coconut water
@musarmosony35004 жыл бұрын
Hz za ung unga huw znanichngny san
@joslyjojo2214 жыл бұрын
Hasante sanaaaaaaaaaa
@fakhrayahya34604 жыл бұрын
Dania ya unga cjaijua plz?
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Kotmiri ya unga in English coriander powder
@sarahneema33764 жыл бұрын
Alafu inawezekana maharagwe ukapika kwa Nazi na hoho,kitunguu bila kukaanga?
@wairimundichu59734 жыл бұрын
Hiyo kiswahili joh..jegere
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Hehe minji kwa watu wa bara 😉we have to use perfect swahili not Sheng
@joslyjojo2214 жыл бұрын
Please tuonyesh jisi yakupika wali wanazi please
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Next upcoming videos
@rahmatysalim59474 жыл бұрын
Maisha Allah ila mahitaj yako mengi mno
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Sio lazma kuweka zote
@devothafredrick39114 жыл бұрын
Njegele ziwe zimeshachemxhwa au zikiwa mbichi
@annahkyalo70452 жыл бұрын
zimechemshwa
@nailathkhalidi56324 жыл бұрын
M
@queenbhanji72234 жыл бұрын
Magi cube ndio nn jmn
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Vidonge vya supu
@nururamadhan4224 жыл бұрын
Na ikiwa natumia nazi ya mkebe, tui jepesi ntapata vpi...
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Waeka kidogo kwa kikombe wachanganya na maji na zito usiweke maji
@nururamadhan4224 жыл бұрын
Rukia Laltia asante sana Dada
@shamykidoti96614 жыл бұрын
Masha Allah..ni tamu kweli ila hiyo jumbo ni gani?mi cjaijua rukaiya