Dah! Safi sana kila sekta viongozi wetu wawe Macho, hakika uhalifu utaisha.
@kuchimillionaire66836 жыл бұрын
Saumu Hassan umo hapa tena!
@saumuhassan63656 жыл бұрын
@@kuchimillionaire6683 kila kona my dear
@sammabula73596 жыл бұрын
kama ushawahi fundishwa na huyu mwalimu like apa😂
@makoyemihambo56796 жыл бұрын
Daah! Mwalim wangu kafel pakubwa sana ,ila basi tu!!
@tumainimikina88076 жыл бұрын
aibu sana
@goldensparrow15076 жыл бұрын
Dah Mungu atustiri.. hili lazma raisi awaonye walimu wa vyuo na shule.. maana hii imezidi...!
@hongeramgaya7146 жыл бұрын
# me too please
@dominickdiwani2056 жыл бұрын
kuna muda biashara inakuwa mbaya kuna muda inakuwa nzuri basi ndio hivyo
@jizokharid13726 жыл бұрын
Nyangusi kabambwa leo zam yako kupata tabu sana umefanya GPA zetu ziwe down 😂😂😂
@thadeimlowe7866 жыл бұрын
pole sana ndg
@jizokharid13726 жыл бұрын
😂😂😂
@daudimitimingi69506 жыл бұрын
duu! hatari sana
@frankvenus40166 жыл бұрын
Hii tabia ni mbaya sana mm mwenyewe niliwai kukumbana nalo nilipo kuwa chuo kisa girlfriend wngu,IPO siku nikiwa maarufu ntalizungumzia.
@ilovejesus93036 жыл бұрын
😁😁😁 pole Sanaa. So what was the end? Aliolewa nae nao bado unae? Am curious
@rasheedmuslih31426 жыл бұрын
😂😂😂block M 125 haahhahahhahhhaah 7
@malkiabintmfalme86826 жыл бұрын
Hahahaaaaaa umenitoa gia
@thadeimlowe7866 жыл бұрын
watu walikugongea demu wako poleeeeee
@thadeimlowe7866 жыл бұрын
walimwengu wabaya
@ambrosdavid32396 жыл бұрын
haya mambo yapo sana vyuoni inabidi lifanyiwe kazi hili swala
@frankrowland28846 жыл бұрын
Duu kwel kaka demu Wang alikuw anasoma masters hapo UDOM alisumbuliw sana na supervisor wake ambae alikuw ni mhindi,tena doctor kabisa,yani wanakera na ni wahuni.
@mwajumahassan66566 жыл бұрын
pole
@doctorjuniour94596 жыл бұрын
The same to ma wife .... MWALIM NYERERE MEMORIAL.... Sitasahau
@kuchimillionaire66836 жыл бұрын
Frank Rowland wahindi hawana uhuni hasa wa Udom. Demu wako kilaza.
@frankrowland28846 жыл бұрын
@@kuchimillionaire6683 sasa wew unapobisha ulikuwepo yani kuna mijitu mingine cjui mna laana ya ubishi,hivi unajua nilivyohangaika na hilo jambo,,,,achen ubishi wa kisenge.
@kuchimillionaire66836 жыл бұрын
Frank Rowland kwa nini asikatae? shida mabinti wa Udom wanapenda sana ngono. Chuo ana mtu back home anaye. wanatombana hao kaka! siyo mchezo.
@zainabumasudi6736 жыл бұрын
kweli kabisa tunaiomba serikali ishikilie swala hili kiukweli kunabaadhi yawakufunzi sio kabisa Yani wanatuvuruga nakutuharibia ndoto zetu
@tomjohn95876 жыл бұрын
Kiukweli wadada wanamenyeka sana chuoni kwa malecture wakiwatishia kuwaharibia matokeo yao
@sadathlemula63836 жыл бұрын
duhhh jauuuu
@kabilayangu40566 жыл бұрын
kiukweli rushwa ya ngono katkika vyuo vikuu na vyuo vya kati limekua tatizo kubwa hasa kwa mabinti zetu,wizara ya elimu kushirikiana na wadau wanakuswa kuungana kulikomesha tatzo hili.
@bjzee19816 жыл бұрын
Atolewe sehem zake za siri
@awadhiabdallah64546 жыл бұрын
DUH HATARI!!!!!!!!!!!
@benjamininyambaso50416 жыл бұрын
Asantee#TAKUKuRU
@edwardmgaya33026 жыл бұрын
....
@concykimoi10846 жыл бұрын
Duuuh
@concykimoi10846 жыл бұрын
Duuuh
@marygaspar64296 жыл бұрын
Jina lenyewe nyamgusii,
@salvatorymogesi87816 жыл бұрын
Tabia za wadada na mabinti walio wengi huko vyuoni (hasa kwenye uvaaji mavazi) ni za hovyo sana kiasi cha kuwa vichocheo kwa hayo yanayowakuta.
@sophiamwema3346 жыл бұрын
salvatory mogesi mwanamme jirali hababaishwi na vicheo. hizo ni tabia za mbwa tu. so dont justfy
@salumumwinyi32716 жыл бұрын
Ni ww kaka
@joycemashikolo90966 жыл бұрын
Sophia Mwema 😃😃😃umeniua mbavu mwenzio.je ukitembelea uraya wakati wa summer si unajishawishi ata mpaka wewe mwenyewe sasa
@Mamatonny20656 жыл бұрын
Mmmmmh ndiyo KAZI zao hao wahuni.wanaonea wanawake tu. Eti kupata maendeleo mpaka uvue chupi daaa!?..akafanye wanaume wenzake huko..
@Dalaman106 жыл бұрын
Naona tzee inataka kuwa india sasa.
@mustaphahassan5896 жыл бұрын
rushwa ya ngono ni kupewa noti za ngono
@thadeimlowe7866 жыл бұрын
Unavua chupi jamaaa anagonga like
@bahatimatiku42946 жыл бұрын
Hivi kweli kabsa inaboa sana huyu mbwa afungwe tuu na kaz apoteze watu wako.mitaan nateseka wanawatafutia ada watot wao zen mjinga mmoja nakatsha ndoto za kjana wao
Nilicarry course nusu nicarry...ndio nn sasa kha!🙁
@rashidpweka43256 жыл бұрын
Hili swala serikali wangetengeneza kamati yani kila chuo limeenea wanashusha elimu yetu na wadada wengi wanapata magonjwa kwa njia hii serikali mfatilie chuo ad chuo kwa kina
@johnaskishimbo99246 жыл бұрын
Acha wapasuliweee wanajifanyaga wanajua sana bata ukirudi kwenye suala la shulee wanakutana na kwaree sasa hapo ndo utaelewa nani anambioo acha kumkimbiza unakula ka sap kako kazuuriii kasaaafi alafu ndo unakutana na mshantaa ticha anakusubiriaa September wacha nyama zitafunweee😂😂😂
@luomusicchannelfromtanzani56506 жыл бұрын
Duuuh makuubwaa
@fatmakombo75846 жыл бұрын
Duuu wazee kama hawa ndio wao sambaza virus vya ukimwi
@georgenshashi13086 жыл бұрын
duuu..,
@emmanueljuvieh43166 жыл бұрын
Tusubiri nawao watakavyo naswa na ma lecture picha ndo linaanza
@marrymaria96776 жыл бұрын
duuh nyangusi spatial organization
@komboomar82756 жыл бұрын
Mafataki kama hayo ndio yanafaa kupewa adhabu kaaali
@goldensparrow15076 жыл бұрын
Na huyu apewe adhabu iwe funzo kwa wengine
@ezekielmwadomba46756 жыл бұрын
AFUNGWE MPAKA ANYONGWEEE! HATA WANAO HUSIKA NA KUTOA MUKOPO,NAO HUFANYA VIVYO HIVYO.KUNA MAMA MMOJA ALIMPIA BINTI YAKE MPAKA ALIPO MALIZA CHUO, BAADA YA BINTI YAKE KUMPA TAARIFA KWAMBA ANATAKIWA AFANYE NGONO NA WATOA MIKOPO HAPO UDOM.INA UDHI SANA!!!!!! NA INATIA HASIRA KUBWA SANA!!!!
@february28666 жыл бұрын
Sap nyingine wanazitengeneza kusudi ili wavue watu chupi kirahisi
@issaupdates27526 жыл бұрын
Nyangusi kadisco 🤣🤣🤣
@helenampewa95826 жыл бұрын
nikwel kbxa tyunanyanyapaliwa san wanawake kushus ilo suala na sio mashuln tyu hata maofsn