No video

RUTO kuvunja baraza la mawaziri amefanyia kazi ushauri wa Mbarikiwa? Penye miti hapana wajenzi

  Рет қаралды 1,724

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Edited by VideoGuru:videoguru.page...

Пікірлер: 45
@isaacsanga9707
@isaacsanga9707 Ай бұрын
Hongera sana pastor endelea kutuonesha njia. Kwanza kuthubutu kutoa ushauri hadharani na muhusika kuchukua hatua hizo hizo hatakama hakukusikia wewe (wapo wengine) basi hii inatupa kujua wewe ni miongoni mwa watu wenye akili na ufahamu na moyo mzuri sana. Mwanadamu aliye na akili timamu na mwenye kuthamini utu hata kama haamini Mungu atakubaliana na kupongeza kwa kazi yako. Mungu wa mbinguni akushike sana kama nabii Yeremia japo hata yeye alidhihakiwa na waliodhaniwa wanahekima na kumjua Mungu sana Lakini hata hivyo hakuna jipya chini ya jua jambo moja nilijualo wote tutakufa na matendo yetu yatatufuata. BWANA asema waambie watu wangu makosa yao na dhambi zao!! MARANATHA...
@user-gi3io1ew8e
@user-gi3io1ew8e Ай бұрын
,😂❤🇰🇪🥰 Amina 🙏👋 pst mubarikiwe Tanzania ❤🙏
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr Ай бұрын
Watu Wana kulupuka bira kupima mbalikiwa mwakipesile ameshuli vizuri kabisa Naruto amemtii mungu
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 Ай бұрын
Hapa Ni injili tu na injili iendelee Amina!
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Kweli kabisa Mungu amsadiye
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
Big Up Mtumishi Wa Kweli Mbarikiwa Kwa Kuwa Mtumishi Wa Kweli Uliyenyooka na Mpenda Haki na Mungu Akujalie Uendelee Kusimama imara Hii itasaidia Hata Hawa Wa Hapa Kwetu Kama Watakuwa Wanajielewa na Kujitambua Hata Mama Abdul na Wenzie Wanaweza Wakafanyia Kazi Pia "
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 Ай бұрын
Niliwahi kusema Mbarikiwa Mwakipesile alitumwa na Mungu. Ushauri wake umekubalika heshima kwako mtumishi wa Mungu aliye hai.
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp Ай бұрын
mungu yupi nawewe mmejaza ujunga na upumbavu tu?
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 Ай бұрын
@@BarakaMwakalinga-sn5sp umesema vizuri mungu, kama ungeliuliza Mungu wawapi? Ndo ningekujibu ila umeuliza mungu yupi. Kuna mungu = miungu na Mungu = Jehovah Mungu wetu.
@Magufuli.
@Magufuli. Ай бұрын
Vizuri sana, huu ni ushauri mzuri kutoka kwenye moyo wa MUNGU🙏
@miriamwangari7417
@miriamwangari7417 Ай бұрын
Mtumishi, ruto amelelewa kwenye maisha ya shida sana. Kitambo ajiunge na siasa, alikuwa muuzaji wa kuku kando kando ya barabara mle sokoni kwao. Alisoma kwa shida kubwa sababu wazazi wake walikuwa maskini. Mungu alimtoa mavumbini muuza kuku..
@miriamwangari7417
@miriamwangari7417 Ай бұрын
Alikuwa mwijilsti pia katika kijijini mwao wakati wa ujana wake.
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Ай бұрын
Sasa ikawaje kawasaliti maskini
@Njiayahakiniyamachozi
@Njiayahakiniyamachozi Ай бұрын
Ameeeni
@nathanizebedayo6561
@nathanizebedayo6561 Ай бұрын
Ameni
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Ай бұрын
Hakuna upendo hizi siku za mwisho.
@JohnNgambeki
@JohnNgambeki Ай бұрын
Ukosawa mtumisi wamungu
@elishasaimon9502
@elishasaimon9502 Ай бұрын
HUBIRI INJILI USITAFUTE UMAARUFU KWA KUJIKUTA MSHAURI WA VIONGOZI WA JUU KATIKA MATAIFA MBALIMBALI
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Ай бұрын
Hiyo injili wewe imekushinda? Hubiri wewe
@AberhartNdauka-nu3do
@AberhartNdauka-nu3do Ай бұрын
Tahira mkubwa wewe wafurahia wakenya wanavyoteseka umaarufu humfuata mtu huna akili kabila
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Ай бұрын
We ndo huna akili kaka umeona ujinga wa mbarikiwa ndo unawatesa wakenya na kushindwa kwa ruto
@AberhartNdauka-nu3do
@AberhartNdauka-nu3do Ай бұрын
@@user-wi8og3sv4j idiot kumbe
@AberhartNdauka-nu3do
@AberhartNdauka-nu3do Ай бұрын
@@user-wi8og3sv4j huez sema mwakipesile anatafuta umaarufu kwa kusema ukweli mtu ametoa ushaur wewe wasema anahtaji umaarufu tafuta nawe huo umaarufu kama ni rahsi tukuoneee
@elishasaimon9502
@elishasaimon9502 Ай бұрын
MBARIKIWA UMEKUWA NA SIFA SASA, UNA NGUVU IPI YA KUSEMA UMEMSHAURI WEWE RUTO? UNATAKA USEME UNA AKILI KUSHINDA WOTE KENYA HATA USEME RAIS AMEFANYIA USHAURI WAKO ZAIDI YAKO?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Ай бұрын
Akili unazo wewe
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
Mbalikiwa Mwakipesile, wewe unapenda kushauri watu, na unapenda watu wafanyie kazi ushauri wako. Wewe lini utasikiliza ushauri kutoka kwa wanaokushauri na ufanyie kazi? Umemwbia President RUTO acha kuzulula brother, Nami nakuambia kwa upendo wa christo yesu, acha kuongea ongea kwenye mitandao na kutaja majina ya watu ukiwa humiliate brother 😊😅😊😊😊
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Ай бұрын
Hakuna mtu mwenye ushawishi katika jamii ambaye hashauliki. Mbarikiwa asingekuwa anashaurika usingekuwa unamsikiliza. Ila hatusikilizi makenge ambao wanakataza kutaja jina wakati wewe mwenyewe umetaja.
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Umejionea live kama malimbukeni wa kikosi kazi? Unajua effect ya kutaja jina la mtu live? Nyie mazuzu ndio maana watu hawajibu mnajifanya mnajua, kumbe mnajisumbua tu. Kazaneni kuja live na majina ya watu midomoni mwenu, ipo siku mtaki tana na D…. Zy mtajuta. Mnachokoza watu mkichukukiwa sheria mnajifanya mnaonewa au mnaumwa. Simameni imala wakati wote kama mnavyojitoa ufahamu kuongea watu mitandaoni eti mnashauri’ mmmmm!!!!!!, jifunzeni kumind you’re business, achaneni na mambo ya watu. Mtajifunza kwa ugumu siku moja. You will meet with right one someday
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Nani amempa kazi ya kushauri watu? Alichaguliwa lini? Na wapi? Don’t miss use the media for your personal gain. No one asked you to advise anyone. Endeleeni ila msitumie sypath kwenye community mnapopata magumu yaliyosababuswa na midomo iliyokataa kunyamaza na kufanya yanao wahusu
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Namsikiliza kwa kumchira , sio kwamba nafaidika au kujifunza chochote kwa fool who chose to destroyed his life for his on mouth. Watu wananyamaza kwasababu wamewaweka kwenye group la mental R…. Watu kama nyie ndio mnafanya ukrusto uonekane haufai. It doesn’t hurt to shut your mouth once in while.
@isaacsanga9707
@isaacsanga9707 Ай бұрын
@@Maryc2G ushauri wako ni mwema machoni pako tu LAKINI sio kwa wenye hekima ya Mungu muumabaji. Pia ahsante kwa kiingereza chako aisee maana hicho ndio unaonekana unakiweza.
@e-songbeats6453
@e-songbeats6453 Ай бұрын
Jaman Mbarikiwa unahubiri nchi badala ya kuhubiri injili😂😅
@Furahamwasyika
@Furahamwasyika Ай бұрын
Hubiri wewe badala ya mbarikiwa mtu wa mungu.
@MALAFYALETata
@MALAFYALETata Ай бұрын
Wazungu waliwavuruga. Yaani waliwambia injili ni kusema mambo yalofanya na watu wa zamani.yaani ukizungumzia maisha ya wetu wnaoumia sasa ni kupotea. Sawa hubiri wewe hiyo injili yaishe.
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Ай бұрын
Iyo nchi unayosema inakaliwa na watu ama unaamana gani,??na wewe si ungefwatilia iyo nchi kusikiliza ,mbona unamsikiliza mtumishi wa MUNGU,,,
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
Kuna neno moja ulisema hewani kuwa, watu kama wewe kwa level uliyofikia uwezi kuomba msamaha, nisaidie hiyo sentence inapatikana ktk kitabu gani cha biblia. Nakuuliza hilo swali kwa kuwa nyie mnajifanya watatifu sana mnaofuatilia bibilia kikamilifu. Wapi Mungu alisema ukifika level furani huwezi kuomba msamaha. Kibuli tu, na wengi wenye tabia kama zako wamepotea na kuharibu huduma zao. Sijawahi kuona mwenye kibuli aliyefanikiwa kiroho au kimwili. Nakufatilia sana ili nione watu wenye tabia kama zako uishia wapi? Wengi niwajuo wakiishia pabaya, nataka kuona kwako itakuaje. I spoke my peace ☮️ itakuwa muda mrefu kuona comment yangu, kwani nimejifunza kuwa na kiasi.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Ай бұрын
Hiyo ulisikia kuzimu unakoishi. Ila kwenye clip za Mbarikiwa hamna na sehemu moja.
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile maneno yako mwenyewe unashidwa kutadhibitisha, lakini unalojua ni kukosoa watu na wakujifanya wakiroho sana. Wewe acha, usisumbue watu una lolote zaidi ya maendeleo ya waliokuzidi uza ndizi na vitunguue huko. Umemuona Dr. Tulia akiwa Urusi anamwaga kingereza cha hali ya juu unekalia kukosoa barabara, kituto kwenye ku- deal na D….Crezy’s.unajiona wewe ndio unamjua mungu kuliko kila mtu. Achana na watu wanawachungaji wa kuwashauri usitafute kiki kwenye brand za watu wamejitengenezea heshima kwa muda mrefu.
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile ohh watu kama sisi hatuwezi kuomba msamaa tumefika level furani, nyie mna level gani? Wenye level wako kimya, pangu pakavu tia mchuzi wanajibinua na kubwabwanya kila siku na kuongea pointless everyday.go sit down and drink cold iced water so you can cool down negative spirit wewe.👿
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp Ай бұрын
Ujinga ndio unakusumbua. Ruto anachanganywa na kushawishiwa na maandamano ya genz eti wewe leo unajinasibu eti kasikiliza ushahiri wako. Yani kuna vitu ili useme lazima uwe mpumbavu wa kiwango cha lami.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Ай бұрын
Imekuumaaaaaa panyarodi!
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp Ай бұрын
@Mbarikiwa_Mwakipesile kama unavyopenda kukosoa wengine na kujuona wewe uko sahihi, hivyo hivyo na sisi tunaona madhaifu yako mengi sana kuliko hata ya hao unaowakosoa na kujiona wewe mkamilifu. Tulia dawa ikuingie, unahangaika kutaka kuwatoa vibanzi wengine wakati una gu politi jichoni mwako na hulioni. Brother huna sifa njema mbinguni na duniani. Ulikurupuka sana kuanza kupingana na serekali bila kutafuta hekima na busara ya kufikisha ujumbe wako kwa serekali. Ulimwiga gwajima wakati mwenzako ana maarifa na akili ya hali ya juu sana ndiyo mana kila mtego aliowekewa alinasuka. Sssa wewe roporopo ulijua ni kuropoka tu na wakaheshimu mchungaji wa kakanisa chako cha wajinga mbumbumbu wakati hana usajili tu huna. Uliona wapi wakosoaji wa serekali wanakuwaga salama.? Alafu ukifinywa kidogo tu unapigakeleleeeeeee na vingenge vyako ulivyojitengenezea. GENGE LAKO LA WAHUNI UNALOLIITA KANISA NIMETAWALIA NA WATU WA DARASA LA PILI NA LA SABA FELIA KAZI YAO NIKUKUSIKILIZA TU NA KUTEKELEZA UJINGA WAKO.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
Mch. Mbarikiwa amshauri Rais RUTO kwa UPENDO njia bora ya kutuliza HASIRA ZA WAKENYA.
12:57
Mbarikiwa awashukuru TLS, CLUB House, DIASPORA, SAUTI YA WATANZANIA, CCM, CHADEMA, NK.
15:24
MGOGORO WA ELIMU. ISHARA ZA UNABII WA RAISI SAMIA WAZIDI KUTIMIA.
16:03
huduma ya kristo
Рет қаралды 19 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 464 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН