MAJERUHI WA AJALI ILIYOUA WATU 12 MBEYA, WAELEZA ILIVYOKUWA "TULISIKIA VITU VINAANGUKA"

  Рет қаралды 36,633

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 9 күн бұрын
Niliwah kutoka mbeya kwenda dsm kwenye gari nilikua na lalamika mim tu japo dereva alitukosakosa ajal mara 3. Sometimes unakosa support unaonekana kama hujui magari au mshamba
@Heniryahaz
@Heniryahaz 9 күн бұрын
ABILIA ndo TUNASABABISHA AJALI
@lymsannouncement2321
@lymsannouncement2321 9 күн бұрын
Hii iliwai kunikuta Mimi ila nilisimama nikamfwata DEREVA nikamkabaa
@CynthiaMokiwa
@CynthiaMokiwa 9 күн бұрын
Uwe unalalamika tu me huwa sijali nasema hata niwe peke yangu nikiona yananizidia nipo radhi wanishushe tu kwanini tukatishane uhai
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 9 күн бұрын
Na unaonekan una kidomo Domo san
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d 8 күн бұрын
​Hutaki kutangulia kufa?
@JechaMakameIssa-gs2bl
@JechaMakameIssa-gs2bl 9 күн бұрын
Gari anavikia kuangusha hasi mizigo kwa mwendo kasi mnaokota mnaulizwa na Polisi vp mnajibu salama tu mnarudi kwenye gari dereva anaondoka mwendo kushinda ule mko kimyaa tu kweli siku yko ikifika alokupngia Allah hata ufanyeje utarud kwa muumba tu muwe pole wafiwa na majeruh wte
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 күн бұрын
Allahu Akbaru siku ilifika ajali hainakinga kila siku zinzungumzawa naHaziishi
@christaoman8890
@christaoman8890 9 күн бұрын
Kuna baadhi ya abiria ni washenzi sana wanaona dereva anaendesha mwendo kasi wametulia ili wafike haraka wamekaa km mizigo mwisho wa siku ajali inatokea ndio utasikia mwendo ulikuwa wakasi mbona hamkupiga kelele dereva punguza mwendo loooh pole kwa familia mliopoteza ndug zenu
@gabrielsagikwa3305
@gabrielsagikwa3305 9 күн бұрын
Wajinga hawa
@jacksonjohn5686
@jacksonjohn5686 9 күн бұрын
Kwenye gari ukiongea au kulalamika kuhusu mwendo hakuna atakayekisapoti na utaonekana wwe ni mchawi
@leokamil6284
@leokamil6284 9 күн бұрын
Kweli kabisa
@richytarimo4656
@richytarimo4656 9 күн бұрын
kwel kabisa
@theprincejr1417
@theprincejr1417 9 күн бұрын
Mimi mwendo km ni mkali lazima nipige kelele kwa driver , jpo kuna baadhi ya abiria watakwambia Acha tunawahi
@marcokatigula2126
@marcokatigula2126 9 күн бұрын
Poleni sana majeruhi wa ajali Mungu awape wepesi mpone haraka na pia azipumzishe Kwa amani roho za wenzetu waliotangulia mbele ya haki
@JeeyAmanzi
@JeeyAmanzi 9 күн бұрын
Abiria wengine sijui mpoje,maana kipindi polisi wamefika kwann msimseme dereva kwa mwendo anaoendesha
@christaoman8890
@christaoman8890 9 күн бұрын
Hata mimi nashangaa yaani wametulia km mizigo
@hapi6113
@hapi6113 9 күн бұрын
Abiria ni wanafiki sana in short mm siwapendi
@leokamil6284
@leokamil6284 9 күн бұрын
Itikadi na uoga wetu watanzania utadhani tumepumbazwa kusema ukweli kwetu ni mwiko .Kila mmoja anaogopa kuanza kusema ukweli na kunadesturi akitokea wa kusema ukweli utasikia nyamaza wewe sisi tunaharaka zetu kama huwezi shuka yote hiyo wakidhani wapo salama.
@theprincejr1417
@theprincejr1417 9 күн бұрын
Mimi lazim niseme asee😢😢 bas tu nasafirg na private
@drdd774
@drdd774 9 күн бұрын
Dereva alikuwa kwenye mwendo mkali, Kwa nini msitoe taarifa police? Mpaka mnasubiri tatizo linatokea
@nancyg8664
@nancyg8664 9 күн бұрын
wape pole sio muda wa kuwalaumu
@drdd774
@drdd774 9 күн бұрын
Unajua maana ya kulaumu? Mimi sijalaumu but, ninashangaa mnaendeshwa Kwa mwendo mkali na hanchukui action yeyote kwa dereva
@nancyg8664
@nancyg8664 8 күн бұрын
@@drdd774 siwezi kuandika kitu nisichojua maana yake. kikubwa kuwaombea waliofariki pia majeruhi
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii 9 күн бұрын
Me ndo maana nafokewa na madereva ila ukweli huwa nawambia,, mmebeba watu siyo mawe.. speed ya Nini?? Khaaaa
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 9 күн бұрын
Yani mtu anawapeleka mpelampela Abiria mmekaa kimya,hadi mizigo inaanguka,Huo ni uzembe wa abiria wala si Dereva tena
@MeshackLoripo
@MeshackLoripo 6 күн бұрын
Poleni sana
@MwanahamisNyenzi
@MwanahamisNyenzi 9 күн бұрын
Mama sema chochote ajali ubakaji, ulawiti
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 9 күн бұрын
Duh poleni Sana kwa woteuliopata ajali
@user-bl6rd4pq4k
@user-bl6rd4pq4k 8 күн бұрын
😭😭😭😭😭 serikali yetu mko wapi mbona mmewapa uhuru sana waendesha magari watatumaliza jamani
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 2 сағат бұрын
Madarali wa kubeti ndio chanzo Cha Aj
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im 9 күн бұрын
Mimi mwenyewe binafisi abiliya tuache unafiki wengi wenu ndo utasikia yaani saa saba tu tupo sehemu furani kumkandamiza dereva cyo powa kwani namba za police zipo za ratira zipo
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 8 күн бұрын
Shida sisi abiria tukiona dereva anaendesha mwendo Kasi hatusemi ikitokea ajali ndiyo tunashuhudia haya.
@RenoceMweli
@RenoceMweli 9 күн бұрын
Poleni sana wote mungu awaponye majeruhi wote
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 Сағат бұрын
Ndio tatizo lenu habiria
@emmanuelsikamkono
@emmanuelsikamkono 8 күн бұрын
hawa madeleva wa mabasi wanakuwaga wanazalau sana na ndomana wanapigwa na nondo za kichwa
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 8 күн бұрын
Siku ikifika imefika haina kipengamizi Maanalipoulizwa vipi mngejibu dereva anakimbiza gari hatari
@JustinMwashilindi
@JustinMwashilindi 9 күн бұрын
Polen sana madereva hawasikii jaman duullh
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys 9 күн бұрын
Tujifunze kuheshimu sheria, leo kuna yatima yarabi watoto wadogo kisa mtu mzima anatafuta sifa.
@inviolatamalifa6871
@inviolatamalifa6871 9 күн бұрын
Pole sana baba .
@aishahaji3128
@aishahaji3128 9 күн бұрын
Huo ulikua uzembe wenu Polisi waliuliza wakatimiza wajibu wao mukome nashukuru angalau hamukjwapa lawama polisi
@gervaslukaya
@gervaslukaya 9 күн бұрын
Wazili aweke sheria kali kama inchi ya Ruanda wenzentu wanamilima mikali na miteremko mikali akuna ajali lakini sisi kila kukicha speed 100 na akamatwi pita wa Lori ukikamatwa na unaambiwa wewe moja kwa moja maakamani
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 9 күн бұрын
Here we go
@StaphelyMganji
@StaphelyMganji 21 сағат бұрын
Polen San
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 8 күн бұрын
Abiria tujifunze kukemea mwendo kasi
@user-yv3wh3on8h
@user-yv3wh3on8h 9 күн бұрын
Polen san
@johngasto4154
@johngasto4154 9 күн бұрын
Abiria wengi waga hatujitambui uoga wa kusema apa dereva sio kama ivo Sasa had polisi wamepita wameuliza Nini shida mtu unasema salama tu dah
@AnnaMwantende
@AnnaMwantende 9 күн бұрын
Pole jamn
@LaizerSaitoty
@LaizerSaitoty 9 күн бұрын
Poleni sn kwa ajali
@gabrielsagikwa3305
@gabrielsagikwa3305 9 күн бұрын
Kwa nini mlikaa kimya?
@angelaminde1247
@angelaminde1247 9 күн бұрын
Poleni sana jamn. RIP
@harounsaid580
@harounsaid580 9 күн бұрын
Cjui huwa wanawahi wapi
@Sidewanaman
@Sidewanaman 8 күн бұрын
Peleni sana
@AljuhaniAllyy-dg4ld
@AljuhaniAllyy-dg4ld 9 күн бұрын
Mbeya kila cku ajali kulikoni mbeya? Juzi tu ajali imeua watu tisa leo tena 12 du!
@leokamil6284
@leokamil6284 9 күн бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa na majeruhi
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 9 күн бұрын
Hv dereva alikuwa ndo mwenye basi
@SarahMaganga-g1n
@SarahMaganga-g1n 9 күн бұрын
Ajali imetokea lini
@hapi6113
@hapi6113 9 күн бұрын
Kiukwel ABILIA MNAMATATIZO NYIE WENYEWE HUWA MANASEMA TUNAWACHELESHA GARI ZIKIKIMBIA MADEREVA WANAONEKANA WABAYA KWANN HAMKUWAAMBIA POLICE????
@FmYiu-vx2cs
@FmYiu-vx2cs 9 күн бұрын
Madereva mnatumaliza mnakatisha ndoto za wat
@norobo205
@norobo205 9 күн бұрын
Nakwann hamkumkemea dereva
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 9 күн бұрын
Tatizo la abiria dereva akiwa na mwendo kasi hamsemi hadi ajari inapotokea Ndiyo tunasema sasa haisaidii
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 9 күн бұрын
Apo nikushukuru mungu tu kwasababu ata ukisema dereva alikuwa sipidi aisaidi kwenye basi apo mbele Kuna namba ya police 🚓 why ukuoigia police
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 9 күн бұрын
Mara wa2 12 mara 14,mwandishi boya
@successfulyoutubersyt
@successfulyoutubersyt 9 күн бұрын
Konaa za mkoa ni mbaya sana😢😢
@TrustElbashil
@TrustElbashil 9 күн бұрын
Abiri siku zote yakitokea ndipo mnaanza kulaumu madreva mlikuwa wapi kwanini
@MalitiniLubeni
@MalitiniLubeni 9 күн бұрын
Polen wapendwa 2:21
@hamisliguta588
@hamisliguta588 9 күн бұрын
Palen
@Heniryahaz
@Heniryahaz 9 күн бұрын
ABILIA WENYEWE HUWA TUNAKUWANWAJINGA UNAKUTA DREVA YUPO MWENDONILA UKIONGEA TUUU ABILIA WOTE WANAKUAMBIA ACHA KBELEMBE. ABILIA TUNASABABISHA AJALI NA SISI
@eloybaraka5899
@eloybaraka5899 9 күн бұрын
Fact
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 9 күн бұрын
Naibu mganga 😳.....ama me ndio sijaona vizuri,kwani neno mganga huko TZ linamaanisha nini
@Hamy1109
@Hamy1109 9 күн бұрын
Daktari wa Binadamu (Medical Doctor). Mganga wa Kienyeji ni witch doctor. Mitishamba ni Herbalist.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 9 күн бұрын
Dereva mzuka ulipanda
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 9 күн бұрын
Huyo dereva alipona kweli
@Hamy1109
@Hamy1109 9 күн бұрын
Kadanja
@JeeyAmanzi
@JeeyAmanzi 9 күн бұрын
Abiria wengine sijui mpoje,maana kipindi polisi wamefika kwann msimseme dereva kwa mwendo anaoendesha
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 9 күн бұрын
Waga tunasubilia yatupate majanga ndiyo tuseme eti
@CynthiaMokiwa
@CynthiaMokiwa 9 күн бұрын
Angetokea hata mmoja tu wa kuongea pengine ingesaidia ona sasa mtu mmoja kakatisha ndoto za watu wengi
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 50 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 53 МЛН
Why Egypt’s Economy Is (Still) Getting Worse
10:37
TLDR News Global
Рет қаралды 175 М.
YATIMA AMLIZA SHEIKH KISHK/AMWAGA CHOZI HADHARANI/ASHINDWA KUONGEA
6:51
Kishki Online TV
Рет қаралды 25 М.
Katrine Kielos: Draghis rapport om EU:s konkurrenskraft väger tungt
8:28
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 1,3 М.
Tre svenska techutmanare
22:42
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 1,7 М.