Huyu jamaa ana akili sana basi tu watu hawamzingatii
@HusseinChai-n4g4 ай бұрын
Upo sawa kaka chidi haja guswaaa wewe ulikuepooo😂😂😂😂
@edisonmjema26204 ай бұрын
😂 walio tuita watoe taarifa Benz akili kubw🎉🎉
@kingbonitv31163 ай бұрын
ASee huyu mwamba ni nomaaaa 👏
@HurumaeldaudMakala4 ай бұрын
Simba hawezi kufanyiwa ushenzi Kama huo sinba hawezi kuliwa na mtu Bali Simba anakula mtu...❤❤❤❤nakubali chidi benz
@NtakarutimanaHassan-q9l4 ай бұрын
Kwa nini yeye asiweze kupakwa mafuta
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
Ulikuwa nae ama unaropokwa tu😂😂😂😂
@LucyNgowi-r2o3 ай бұрын
Mtu mwenyewe hata ndani hawakuingia msikilize Lukamba aliyeenda naye
@AdamMohamedi4 ай бұрын
Chid una busara sana nakukubali chid nataman hata nikuone ana kwa ana
@DAMIAOAMANEDAMIAO3 ай бұрын
E VERDADE ESE SENHOR FALOU VERDADE 100%
@Aiuoex4 ай бұрын
CHID wallah amesha acana na bile bitu byake amesha pona na anafanana vizuli sana!! Na uyu Mwamba anahakili sana
@Cassidasilva4 ай бұрын
Nimependa sana majibo ya chidi Benz niko Mozambique
@georgemadevu44754 ай бұрын
aminia sana kaka chidi yaani bonge laakili
@maniamba.tz_4 ай бұрын
😂😂😂 Akili kubwa
@NasraSuleiman-g3y3 ай бұрын
He seems okay now…or he’s getting better!
@OmaryToba-qo5si4 ай бұрын
Sitaki bwana weeee😅😅😅😅
@Gsamir6944 ай бұрын
Kweli kabisa chidi
@RajabuKwangaya3 ай бұрын
Safiiii sana mwenye dar yake
@KingTega-d3k4 ай бұрын
umefanya niimbe nakubali mpaka leo cjaona rapper kama huyu mwamba
@Tanzaniasafari-D3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 chidii ni Megamaind
@husseinmbega42274 ай бұрын
Kafanywa chid siuende Kwa shemeji p Didi
@KingTega-d3k4 ай бұрын
ndo Chidi benz uyu mwana ilala chuma King Kong
@yasinmuona81984 ай бұрын
Jamaa bado anajitambua bas tu
@Chemba674 ай бұрын
Chidi anasema kuna wanaofanywa bure, kama mtu unafanywa alafu maisha yako yanabadirika yeye anaona sawa......DAH🤣🤣🤣🤣....
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 akili mtu wangu
@ThomasMmary-r7w4 ай бұрын
La familia 😢
@donlee99924 ай бұрын
Big point😂😂🙏
@KhamisMohammed-y9l4 ай бұрын
😂😂 chid msenge sana
@jlinux3 ай бұрын
Waandishi wa ovyo... ila Chidi Benz ni chuma kweli kweli
@SelemaniYahaya-v3w4 ай бұрын
Rashidi Abdallah anatmbulika kwa paspoti chidy benzi jina la kutafta uhali moto ana kipaji xnaaaa huyu jamaaa
@thomasnachenga7954 ай бұрын
UKIMYA PIA NI JIBU eeeh. PIGA MSTARI😂😂 chumaaaaa
@alphoncewilliam43254 ай бұрын
Chidi umetumia busala sana
@SoudFadhiliАй бұрын
😅😅😅😅😅 et bondia yoyote
@ROJAOMARY-ys7xb4 ай бұрын
Chichichichichi beenz braaaa
@D-Man.B-Free4 ай бұрын
Kuna wasani wasanii wa Mama😂😂😂
@hamzalikutwe4 ай бұрын
Wa knock nok wakusema mabaya
@RamadhanAthuman-d4c4 ай бұрын
Kama ni madawa kwa alivyo jieleza leo kidogo hajayazidisha naona anaongea vizuri ila angeacha kabisa ingependeza sana
@gregorybakuza57964 ай бұрын
Chid😂😂😂
@AllyBabu-kr6lg4 ай бұрын
Daimond kaguswa😅😅
@Mghaza-m164 ай бұрын
CHID BENZI MWENYEWE❤.MOB LUV FROM I.❤❤❤
@MkandamaChance4 ай бұрын
Nikweli bro atukukuwa jimbani tuhache ubeya 🫡
@husseinkonz51924 ай бұрын
Chid nakuaminia akili kubwa inaonekana
@MohBillo-t1f4 ай бұрын
Safi sana Chidi
@abdillahiabdallah4384 ай бұрын
Wewe mwenyewe ukishalamba utatafunwa tuu
@beatbyrich28913 ай бұрын
Msifikirie kupewa pesa inayoisha katika matumizi, fikirieni sheria za Hatimiliki zikaziwe. I really need to help these guys.
@MaulidShariff4 ай бұрын
Chidi kanyooka sana akili mingi mingi waandishi machoko baadhi yao wanna maswali ya kumtafutia mtu ubaya.
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
Kweli
@bobolino19514 ай бұрын
kesho ndo ntajua maana naweza nisiamke bur😂
@wilsonmalalo89374 ай бұрын
😂
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@husseinmbega42274 ай бұрын
Minaona huyu nae tayari
@mashramadhani19894 ай бұрын
Huyo muhuni usimuulize maswali ya kuchonganisha ETI diamond
@NeemaMollel-ck5wu3 ай бұрын
Diamond unakatwa
@emmanicko15354 ай бұрын
KUMBE WATU WENGI WANAFANYWA😂
@MarksevenTz3 ай бұрын
Jamaaa kaanza kujaaa. Mwili wake umeanza kurudi
@NAMANGABOE3 ай бұрын
Et bingwa yoyote
@DAMIAOAMANEDAMIAO3 ай бұрын
NAUA COMO DIAMOND E FAMOSO NAO VAO CONSEGUIR
@KidalosMafumbula4 ай бұрын
Wa andishi mandazi wa awajuwe kuoji mutu ni uchonganishi tu ju ya kutafuta contents
@NyamkindoKitare4 ай бұрын
Oioioiiiiii
@m-tatu10504 ай бұрын
Chidi anasema inawezekana wewe unaeongea dai kaguswa pengine unaguswa😂😂
@kazungukarisa-lp4yq3 ай бұрын
Watangazaji ndio wachochezi wa ujinga wote
@OmaryMpenta4 ай бұрын
Huyu jamaa yuko timamu sanaaaa ila anajichetua tu life style
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
Kweli
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm2 ай бұрын
Mtu kasahau hata nguo zake hajitambui huyo tafuteni watu wenye upeo
@amosnestory19212 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ZakariaNgwatu4 ай бұрын
MSEnge
@Guled33 ай бұрын
Wacha matusi
@lazymicet3 ай бұрын
Kukatwa kwenye mziki ipo kitambo wala haijaanza leo, shida nyie izo video wanazotoa mnaangalia tuu juu juu wala hamuoni signs?? Angalia mavazi na rangi wanazovaa wakati mwengine afu nyie mnaona fashion haha, huo ni ujumbee mazee!! Fungueni macho na kidunchu mjiulize wanaenda marekani kuimba tuu?? Hahaha ivi unafaham wakija kuimba uku kwamba wanajaza watu kama mnavyofkiria?? Hahaha, embu ninywe chai
@evaristandimubenya16474 ай бұрын
chidi acha madawa utakuwa msanii mkubwa sana
@halunimnenwa52244 ай бұрын
We madawa unavuta na nilisha wahi kukuona acha kuzingua lisemwalo lipo kweli unavuta na nilisha wah kukuona
@73chengosaro44 ай бұрын
story ya p diddy imepeana watu kazi -- hata mazuzu pia wanatoa elimu zao - eti uhuyu naye ni wa kusikilizwa
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
Acha unafki we mbwa
@benjohn943 ай бұрын
I have never met you butNajua in real life Ur not clever
@jafarrizaka32843 ай бұрын
Mbona s500 tv mwazungumza uongo jamani?😮sjaona chidi benz akimwanika diamond