Allah amrehem sheikh Muhammad Iddy, Ampe kauli thabit,amsameh, amuondoshee adhabu za Kabur, Ajaalie kaburi lake kua miongoni mwa viwanja vya Pep, wala asilifanye kua ktk mashimo ya moto. Nasi atupe mwisho mwema. Aamiin
@omarkhamys98187 күн бұрын
Allah amsamehe madhamb yake shk wetu
@AswilaSeif7 күн бұрын
Innalillah wainnailah rajiun mungu amlaze peponi🤲🤲
Muhamedi idi alikuwampambanaji sana wa mawahabi na masalafifeki
@AmeJuma-l2f5 күн бұрын
Pia usisahau alikua ni mtetezi wa bidaa mbalimbali ,,, ila kubwa tumuombee dua ni muislamu mwezetu Allah amsamehe makosa yake na amjalie kabri lake liwe ni miongoni mwa bustan ya pepon. Amiin
@hassanmpwepwe38267 күн бұрын
Inna lillahy wainna ilahy rajiuun
@noot-oe2mw7 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family
@frankmwinuka62982 күн бұрын
Kizuri hakidumu
@ASMAOMAR-p8m6 күн бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
@FatemaFf-wj8oo6 күн бұрын
أمين
@SaliminSwalehe6 күн бұрын
❤❤mungu amrahamu aminii😅😅😅
@Ayuminchasi7 күн бұрын
😢😢😢 inalillah wainaillah rajiun
@AdamClassic-uj9ed6 күн бұрын
Inna Lillah Wainna Ilah Raj'uun
@latifamangula67987 күн бұрын
Innalilah wainnailah rajiun
@DjumaRetourdage6 күн бұрын
Innalilah wainalilah rajiuni,kwaukweli nasisi watu wa BURUNDI msiba huyo umetugusi moyoni mwetu
@AmeJuma-l2f5 күн бұрын
We mjinga sana mwandish unauliza swala la iblisi et alikua mpenz wa timu gan?
@ggv8666 күн бұрын
Innalilahi Wainnah ileyhi Rajiun .Allah Rahma
@ziadasalimu17306 күн бұрын
Huyu mwandishi arudi tena shule maswali yake ni ya kipuuzi kabisa ha!
@AbuuFarhaan-ri2yj4 күн бұрын
Huyu mwandishi kama vile haeleweki
@MwaidiJuma-t5d6 күн бұрын
Mbele yake nyuma yetuu
@StiveWad5 күн бұрын
Alla amlipe kheli zake ili amekufa katka mzushi
@HASSANBAKARI-q9c4 күн бұрын
Stori zake ni za kidini tu
@issaibrahim87967 күн бұрын
Waandishi mbona waongo sana Sasa huyu Ustadh ni mtoto wa Sheikh Muhammad Idd tokea lini?
@misskivuyo47017 күн бұрын
Ndo nilikua nashangaa hapa mana naona kama wanataka kulingana tuu
@khamisjakusimai69257 күн бұрын
Basi alimzaa akiwa na miaka 10 @@misskivuyo4701
@Catherine-mh8sw7 күн бұрын
@@misskivuyo4701tena huyu anaonekana mkubwa
@marcynhumbi35347 күн бұрын
Yaan hadi yanakera
@kifandenabil7 күн бұрын
😢😢😂😂mtoto umri umeenda zaidi kuliko baba.
@yusufmohamed88747 күн бұрын
Mbona anaonekana mzee kushinda babake
@Catherine-mh8sw7 күн бұрын
Kabisa
@mohamedisimai7 күн бұрын
Sio mtoto wa kumzaa nwanafunzi wake pia ni kama mtoto mlezi
Nyie mawahabi sijui akili zenu zinamatope,tatizo ufahamu wenu mdogo wa elimu mungu atuongoze mnalopoka tu hata hamfikirii halafu mnajiita watu wa sunna hata mtume صلى الله عليه وسلم hakuwa hivi mlivyo nyie halafu eti mnafwata sunna labda shaitwani siyo sunnna.
@hamisirajab43077 күн бұрын
Innalillahi wainna ileyhi rajiun jeneza inaongea ama ni maiti inaongea
@AkramIbrahim-m6x7 күн бұрын
We Mtangaji Huna Akili Unaulza Maswali Km Umekunywa Kisungura Unauliza Eti Shekh Alikuwa Timu Gani Hy Shekh Sio Shehena Hy Mambo Yk Ni Kumjua Allah Na Mtume Wake
@HilmiHilal-g8j7 күн бұрын
Anailiza maswali ya kijinga sana
@istambulahmed66647 күн бұрын
اللهم اعرف له ورخمه واسكنه في الجنة واجعل فبره روضة من رياضة الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار
@AlexMkwama7 күн бұрын
Kakamata mic, kamtoa haraka. Poleni wafiwa wote
@jamillahkheir65367 күн бұрын
😂😂😂😂
@sskondopoleani96166 күн бұрын
Hivi pale ni Manyanya?
@HadijaMasare7 күн бұрын
Inalilah wainna ilah rajiun
@MwanaFatima6 күн бұрын
Inna lilahi wa inna ilaihi rajiun hakika mwamba umevunjika
@fatmafatu11287 күн бұрын
Eti muwamedi taja jina la mtu vizur we mtangazaji wa magoma
@HamisiMwalimu-pp9ci3 күн бұрын
Uo ni usia batwili engezikwq apa apa da ndio mafunzi ya mtume
@TumainiMbati4 күн бұрын
Sauti kama ya raisi wa zanzibar
@RashidChamola3 күн бұрын
Huyo alikuwa anadanganya watu kwa masilahi ya dunia
@bakarimusa62976 күн бұрын
Innalillahi wainnailaiyhi raajiun
@IssaAbdallah-r9z7 күн бұрын
Swadakta sheikh said sheikh wa kata
@KassimuNjama6 күн бұрын
Lakini alifeli
@HuseinYusuph4 күн бұрын
Kabila apo la nini tena mwandish kuwa mbunifu wa maswal kdogo
@Tzmamy7 күн бұрын
Allah amlaze pema
@safiaothman51757 күн бұрын
Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin
@FemidaJuma7 күн бұрын
Innalilah wainailaih rajiuun sote niwaja wa allah nakwake
@omarikipingu82995 күн бұрын
Waandishi semeni ukweli, huyo si mtoto wa marehemu bali ni mtoto kwa wanafamilia. Msitupotoshe.
@hamisi-d4p7 күн бұрын
Mungu amsamehe zambi zake kuhusu maulidinamuandamo wa mwezi hmmm mitihani Allah asamehe
@bakarimusa62976 күн бұрын
Kwaiyo wew upo sahihi kuhusu maulidi na muandamo wa mwezi .mbona atukusikii ukielimisha?
@hamisiramadhani144 күн бұрын
Hujawa na elimu ya mpaka kujua hukmu ya hayo mambo mawili, siku zote jifunze kukaa kimya
@frankmwinuka62982 күн бұрын
Huyu Hamisi ajielewi
@drankskhally70196 күн бұрын
Mtangazaji ni mpumbavu Sali la kijinga hivyo Kama hujasoma boya ww
@FadhiliIsssa4 күн бұрын
6:
@jumaajambiamusa82143 күн бұрын
watangazaj mafala snaaa sasa mambo na mpra niwap na wap
@SuleimaniHamadi-z6c3 күн бұрын
Mawahabi nyote wapumbavu
@KhalidIdrisa-x4z4 күн бұрын
Hawa waandishi niwapuuziii tuu
@jamilashabani85804 күн бұрын
Ni mwanafunzi wake na sio mwanae huoni hata jina halifanani
@Ahmadasshii-raazy88887 күн бұрын
اللهم اغفر له وارحمه وأسكنه في الجنة
@AkramIbrahim-m6x7 күн бұрын
Mambo Hy Hy Alikuwa Mashabiki Wa Timu Gani Subiri Afe Mwanamuziki Ndio Uulize Alikuwa Timu Gani Hilo Swali Usilirudie Tena Anapokufa Shekh Kuuliza Huwo Ujinga
@KalicKaguz7 күн бұрын
Timu Gani ndo nini
@fatmafatu11287 күн бұрын
Inna lilahiy wainna ilayhi rajiun
@RashidChamola3 күн бұрын
Xxx ivi yuko maisha ya barizaki huyu alikuwa anataka masilahi ya dunia kazi anayo
@saidalnaamani12337 күн бұрын
Innallilahi wainna ilahi rajuuni wewe mwandishi wahabari ilo ni swali lakuuliza mtu sheikh wadini kuwa anapenda timu ya pira yeye marhem alikuwa anamoenda Allah na mtume wake
@MohamefMullah7 күн бұрын
Mawahabi musiwe wajinga juu ya kumsema vibaya maiti
@swahilitherapytv38467 күн бұрын
MUHAMMAD IDDI ADUI WA SUNNAH TANZANIA.
@YaziduIddy-j2t7 күн бұрын
Sunna Gani mbona mnakosa adabu nyie mawahabi
@solomomadej7 күн бұрын
Huwenda ukawa unazungumza na asiye muislam akhii
@darajanida7 күн бұрын
aduwi ws sunah ninyinyi manao furahia kufa kwa muislam mwezako
@abughaneem92207 күн бұрын
Aghyi hajasema uongo IDD Alikuwa adui wa sunnah katika ummah ya uislamu
@darajanida7 күн бұрын
@@abughaneem9220 suna ipi unayozungumza wewe au suna ya mawahabi wanafurahia vifo.vya waislamu wenzao pole ya jahil