BABA YAKE ALI KAMWE AMVAA MANARA "MNAFIKI, SHIDA YAKE CHEO CHA MWANANGU " ANATAKA KIKI

  Рет қаралды 22,773

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@GaudensiaKanza
@GaudensiaKanza 18 сағат бұрын
Mzee upo vizuri kabisa na inakomesha watu wanaodhani utamkana mwanzo Bigap Mzee
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Күн бұрын
Safi sana mzee na unavyoonekana hutaki ujnga ujnga
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 11 сағат бұрын
Mzee Yuko sahihi sana
@shabanimkasi5804
@shabanimkasi5804 16 сағат бұрын
Kabisaaaaaa.... Manara ni mnafki na kama anaijuwa dini kwann kaja kwenye vyombo vya habari... Angefunga safari kwenda uso kwa uso kwa Sanda... Big up Mzee Kamwe kumbe umeweza kugundua hilo mapemaa..
@FemidaYahaya
@FemidaYahaya 12 сағат бұрын
Ahsante Baba kwa kumpambania Kijana wetu...yaan mzee umemchana live...Bugatti mnafiki tu.
@FloraMwanjala-p4q
@FloraMwanjala-p4q 10 сағат бұрын
Hongera baba
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 13 сағат бұрын
Bongo watu wote waigizaji mnapenda mijadala ya kipuuzi sana
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 сағат бұрын
Ajifunze kutokutaja majina kiukweli ali hakujua risk ya kutaja majina
@shadrackhelemani346
@shadrackhelemani346 20 сағат бұрын
Mzee upo vizur manara ni mnafiki mm ni mwnachama wa yanga anataka cheo tu
@MariaMboko-o2r
@MariaMboko-o2r 22 сағат бұрын
Ni kweli mzee huyo mzu gu ana lake moyoni umeona mbali sana
@muzneali4747
@muzneali4747 20 сағат бұрын
HAPO Mzee umekosea Sana
@MasoudSaid87Tz
@MasoudSaid87Tz 23 сағат бұрын
Haji manara mzinguaji
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 11 сағат бұрын
WE MZEE SHABIKIA TIMU YA MWANAO,,USIJIFANYE SIGARA KALI APA
@TwalibumsaaMusharaba
@TwalibumsaaMusharaba 19 сағат бұрын
Manara wameshakukataa shida mbona unakuwa kupe kiki za nn unajivua nguo acha ukenge mbona ubadiliki😊😊😊
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 Күн бұрын
Nikweli anatafuta kiki hata mm Jana nimepost anatafuta kiki cheo Kwa GSM.
@JeremiahKanyoloku
@JeremiahKanyoloku Күн бұрын
Hakika unamaarifa sana mzee kwenye ukweli hauhami. Ama kweli mwenye haki ataishi kwa imani.
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 14 сағат бұрын
Pia unajinasibu umetangaza bidhaa za sandalendi kweli anatafuta kik
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 20 сағат бұрын
😅😅😅😅mzee kamua jipu huyo nimnafiki anamuombea msamaha kama nani mzee kataa upuuzi
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w Күн бұрын
Msamaha unarekodiwa ili tugundue nini. Baba Kamwe uko sahihi uyu Mzungu Anashobo Anatafta tenshen ya Mashabik.
@KamgishaIsaya
@KamgishaIsaya 18 сағат бұрын
KAKA NINA KUPA BIG,UP KWA MTAZAMO WAKO UKO SAWA JAMBO JINGINE HATA SHIDA YA YANGA CHANZO NI MANARA.???
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Күн бұрын
UPO SAHIHI SANA MZEE KAMWE
@JAIROSMLIMILA-cl1wp
@JAIROSMLIMILA-cl1wp 12 сағат бұрын
Manara mnafiki kupitiliza Hana jipya anatafuta kick mitandaoni. Akae pembeni watoto wachape kazi.
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 14 сағат бұрын
Mzee unaakili sana
@DhahiriHamisi
@DhahiriHamisi Күн бұрын
Tuliosoma kiuba tumekuelewa manara ww kweli mzalamo duh
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi Күн бұрын
😂😂😂😂
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 19 сағат бұрын
Upande mwema, upande mnafiki
@AbdulrahamanBakari-s6k
@AbdulrahamanBakari-s6k Күн бұрын
Uko sahihi father kama family umeongea point sana atuachie ally kamwe wetu.kwa hili manara amekosea sana tena sana
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 20 сағат бұрын
Kabisa! Yy yakwake ameyasahau Yale ya mo ukwaju, mo sabuni, mo juice Leo ya Ally Kamwe anajifanya mshauri huku moyoni anafurahia akae kushoto Ally hana kosa apo, Manara usiyakuze mambo.
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 21 сағат бұрын
Upo sahihi kwa. Asilimia 100 anatafuta kiki kwa Nini asimfuate sandalendi yeye yupo na media
@MartinMwombeki-kr5iz
@MartinMwombeki-kr5iz Күн бұрын
Mzeee umeongea point sana ubalikiwe sana
@saidkhamismasai1204
@saidkhamismasai1204 21 сағат бұрын
MANARA MENGINE YAKUPITE BRO HUKUTAKIWA KUSEMA LOLOTE JUU YA ISHU HIYO LAZIMA UTAONEKANA MNAFKI KWA HALI ILIVYO KAA KIMYA
@marrymwinuka3105
@marrymwinuka3105 Күн бұрын
Uyu anapenda sna kudandia mambo yasiyomuhusu.hta kwa Mayele ilikuwa hvhv.km yy nimkweli asingeongea kwenye mitandao.mnafiki uyuuuuu
@HamisHemed-yl5ke
@HamisHemed-yl5ke 23 сағат бұрын
Mtangazaji unarudia maneno hoji vitu vya maana umeshikilia unafiki tu mda wote unatak kuchochea
@mohamedkisenga6654
@mohamedkisenga6654 Күн бұрын
Kiki hiyo kwann asimfate private kma wanajuana fala huyo manara sasa kma una swali swala tano ndo nn
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Күн бұрын
Huyo Manara alipatta kuzungumza Mashabiki wa yanga wote hawana akili ispokuwa baba yake na Rais kikwete nani alimshitaki sisi hatuoni la ajabu na hakuna cha kututisha.
@AmosMagembe
@AmosMagembe 23 сағат бұрын
Mzee tumekuelewa uko sahihi
@pendomariki
@pendomariki 21 сағат бұрын
Mim napenda utan wa ally kamwe na ahmed ally mpira sio vita hawa wakiongea naamin yameisha ila akiongea manara nikama kuchochea moto
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 Күн бұрын
Huyo anachochea moto sio kumuombea msamaha.
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 21 сағат бұрын
Manara kwa Nini asiende kumuombea msamaha kwa bosi Sasa sisi anaetwambia kwa media ndio Nani? Manara mnafiki asilimia zote
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Күн бұрын
Ni kweli Mimi ni Simba lakini Haj hakutakiwa kuingilia hili suala.ila Ali kamwe ajifunze lugha za kuongea na vyombo vya habari
@HadijaOman
@HadijaOman 21 сағат бұрын
Kama kweli jezi ni mbaya asiseme mbona nyinyi mlisema yanga anavaa vitenge kwahiyo mliona sifa Kwendeni mtajuwa hamjui
@lamecksebyiga1630
@lamecksebyiga1630 Күн бұрын
ALI KAMWE NA BABA MSTAARABU SANA, NIMEPENDEZWA SANA NA USHAURI NA MAONI YA HUYU KAMA MZAZI
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 23 сағат бұрын
WAANDISHI WANAFIQ WANAANGALI PAHALA PENYE MIKWARUZANO NDIO WANACHONGANISHA. HAKUKOSEA MANARA
@mamohamed1252
@mamohamed1252 22 сағат бұрын
Wewe mwandishi uwezo wako ndogo sana. Maswali yakijinga, unauliza halafu unajijipu, ushabik hapo hapo.
@CyprianMichael-j6q
@CyprianMichael-j6q Күн бұрын
Tumezoe kuwaona wanahabari wa hii nchi wachongashi hawapendi kuona watu wakiyamaliza mamboyao salama lazima watembeze unafki wakiwa upandehuu anachokonoa akiwa na huyu anachokonoa mkome na tabiazenu za kugombanisha watu kengenyie
@nth3512
@nth3512 21 сағат бұрын
Ila kusema ukwel haji pale haikuwa vizur saana kuongea, maana inaleta fitina. Ni kweli matajiri wanaweza sema kamwe hauna busara kwa kuongea hivyo tunamrudisha manara.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 7 сағат бұрын
Mwandishi mnafiki mchonganishi
@saidizuber8831
@saidizuber8831 19 сағат бұрын
Hyo zelu zelu mnafki sana
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Күн бұрын
Manara amefulia anajipendekeza kw UTOPOLO na kutafuta kiki kupitia hili sakata
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e Күн бұрын
MANARA MNAFKI KWELI ,MANARA YUPO KAMA WAMAREKANI ANAMLIA HUKU ANATAKA UGONVI UENDELEE
@juniorsteve7582
@juniorsteve7582 22 сағат бұрын
hapa makolo wengi watakuwa upande wa babake na kamwe ila Kuna sehem ukikaa ukaifikiria hii interview inaonekana ni ya kupangwa direct kumchana Haji manara kwann swali lianzie hapo
@SaidJumanne-j1e
@SaidJumanne-j1e 12 сағат бұрын
Na hapa utopolo wengi watakuwa upande wa manara au
@FrenkAbdallah
@FrenkAbdallah 18 сағат бұрын
Mwambie mwanao aheshim watu hiyo itamsaidia
@romimwalu
@romimwalu 17 сағат бұрын
Mzee ni mshabiki wa Simba lazima aumie Kwa manara kuomba msamaha, pia mzee jana umemuombea msamaha vipi na wewe mnafiki ama
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 16 сағат бұрын
Yeye ni mzazi
@charlessomeke8992
@charlessomeke8992 Күн бұрын
Yaani uwe simba alafu usitaniwe mbona hajataniwa kwenye jez za taifa? Simba na yanga ni watani wa jadi
@LUCASSANGARUFU
@LUCASSANGARUFU Күн бұрын
Hujui unachosema, shida siyo utani bali Ally kamwe ameisema vibaya brand ya sandaland,kibiashara brand ni kitu kikubwa huwezi kukubali mtu aichafue ndiyo maana wenzetu ulaya na marekani ukichezea brand yake anaweza kukufunga Ally kamwe aombe msamaha maisha yaendelee,ila ajifunze kupunguza kuropoka, hata kama ni utani uwe na mipaka
@carlosn_tz
@carlosn_tz 17 сағат бұрын
Mzee alikamwe achana na hako kaandishi.Nako ni kanafki
@kachoboytz9572
@kachoboytz9572 23 сағат бұрын
Uyo manara ahache unafiki
@vaxminja9053
@vaxminja9053 18 сағат бұрын
Kwani SANDA ana kesi na Ally Kamwe? Hakuna kesi yoyote, ni utoto mtupu. Huyo SANDA amekosa cha kufanya
@SalmaSonga
@SalmaSonga 23 сағат бұрын
Wewe mzee mkubwa mzima lakini choko
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Күн бұрын
Na nyie watangazaji sometime mnkuwa kama matako
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 12 сағат бұрын
Acha ujinga wewe baba yani mbona mnachuki na manara na mwanao
@MirhaMrisho
@MirhaMrisho Күн бұрын
Wewe mzee huna busara
@MusaStephano-s9c
@MusaStephano-s9c 22 сағат бұрын
Mtoto wako hafanye kazi aache porojo, ww simba una ujasiri gani wa kujadili interest za yanga. Mtoto wako aache porojo na ubabaishaji anakuwa kama muuza kaya. Viatu vinapwaya kwa uswahili na porojo zake. lakini taasisi haitakiwi kuchafuliwa na akili za kitoto, nyie mnaangalia pesa. Mfunde mwanao aache kuropoka.
@robertkikuli6663
@robertkikuli6663 18 сағат бұрын
Kwani Simba Na Yanga Ni Maadui Au Watani.
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 21 сағат бұрын
Njia ya mnafiki ni fupi!
@RobsonLugomi
@RobsonLugomi 18 сағат бұрын
Mnatafuta view kwa nguvu sana😂😂😂😂
@AbdallahSunta-l4e
@AbdallahSunta-l4e 22 сағат бұрын
Sas manara anatafuta kiki Gani alipo mpk sas yeye ni kiki tosha tu.ww mzee huna maono mazr na unachonganisha tu watu
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 21 сағат бұрын
@@AbdallahSunta-l4eana kiki gn kaishiwa porojo huyo . Alisema yeye na mpira bc mbn anaongelea mnafiki sana huyo jamaa . Aendelee kubadilisha wanawake kwenye mpira haana cheke tena. Boda anawivu na Ali kamwe huyo tunamjua vizuri anaumia sana inside his instincts.
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx 22 сағат бұрын
ww mzee mpumbavu sana ww manara ni
@GodfreyEzekia-g5x
@GodfreyEzekia-g5x Күн бұрын
Manara mnafiki2
@SalimHassan-d4s
@SalimHassan-d4s Күн бұрын
Mzee uko sahihi. Manara anatafuta kiki.
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 сағат бұрын
Mzee huyu Hana busara anataja jina kupalia makaa
@MasoudSaid87Tz
@MasoudSaid87Tz 23 сағат бұрын
Niunafki tu Haji atulie
@juniorsteve7582
@juniorsteve7582 22 сағат бұрын
Leo hii Haji atafute Kiki kwenye familia yako we bila Haji manara kufungiwa iyo nafasi mwanao angeipata wapi 😂😂😂 neno kuombewa msamaha tena Haji ameongea kiutu umzima kumchana Sunderland xo kosa liko wapi na hii interview inaandamana na mtangazaji wanaonekana lengo lao kumponda tu Haji fatilien vema uyo mtangazaji anavichomekea maneno ya uchochezi
@AminaAwadhi-f5m
@AminaAwadhi-f5m Күн бұрын
Exactry
@RobsonLugomi
@RobsonLugomi 18 сағат бұрын
Unafiki tuuu
@laurianopius2411
@laurianopius2411 Күн бұрын
Manara lazima atetee matendo kama hayo kwasabab yeye mwenyewe amekua mtu wakutumikia adhabu kisa kuropoka ropoka maneno yakuwachafua watu, na mkosaji sku zote lazima aone anaonewa! Yote kwa yote ingependeza Club ya Yanga ndio wajihusishe zaid katika kuyamalza hayo
@errydeo8865
@errydeo8865 17 сағат бұрын
Mzee Yuko sahihi kabisa! Nani hajui manara mnafiki? Nani hajui hampendi Ali kwasababu alichukua nafasi aipendayo? Leo hii amuombee MSAMAHA ALI? TANGIA LINI!? Manara anajua Hana lake YANGA! Asieona Hilo mpumbavu! Manara siku zote anapenda AWE CENTRE OF ATTENTION YA KILA KITU! MANARA ATUPISHE YANGA ! HE IS A SNAKE! NA ANAMUOMBEA ALLY AS WHO? KAFANYA KOSA GANI?!
@ShaniaShania-x8i
@ShaniaShania-x8i 19 сағат бұрын
Tutajua baadae
@AmosMagembe
@AmosMagembe 23 сағат бұрын
Mzee kamwe uko sawa
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi Күн бұрын
Huyu mzee ni mpumbavu kabisa et haji anatokwa roho na kaz ambayo anayo mwanangu
@mussaelias3535
@mussaelias3535 Күн бұрын
Ww mzee huna busara manara ameongea maneno ya msingi kabisa na siyo kiki unachoongea siyo kweli una chuki tu na haji acha hivyo mzee
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
Kwan hana namb ya sandland??kwann asingempigia??manara mnafk sana mbwa yule,,halafu namshangaa Sanaa manara hajui kukataliwa ovyooo kbsaa
@DeniceTesha-du2fs
@DeniceTesha-du2fs 23 сағат бұрын
Bro manara ni manafki mnafki mnafki mnoooo , ww endelea kumtetea jau sana yule Mzee n mnafki bro acha tyu... Hataman Ali kamwe awe msemaji pia kafukuzisha wasemaj wengi pale Yanga
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 23 сағат бұрын
Bingwa nyamaza hakuna unachokijua, manara ww humjui mnafki kinoma, kulikuwa na haja gani ya kujilekodi kuweka mtandaoni kwani sandaled hamjui!? Unafikili itakuaje Kila atakae taka kumuombea msamaha Ali kamwe aji record na kuweka mtandaoni km sio kiki na unafki ni Nini!?
@shukurukomba5663
@shukurukomba5663 22 сағат бұрын
Baba yuko sahihi haji mnafiki zaidi ya kiki
@juniorsteve7582
@juniorsteve7582 22 сағат бұрын
yeye mzee Hana namba ya Haji manara kwann hakumpigia amchane live ​@@LindaMbilinyi-n3n
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Күн бұрын
Madunduka jezi z yamedoda
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 34 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,4 МЛН
BABA LEVO ATAMBA "NIMENUNUA VIWANJA 19, NYUMBA 3 MWAKA HUU"
3:54
Wasafi Media
Рет қаралды 3,4 М.