"Once upon a time" zilipendwa zikapendwa nikiwa Primary school 70's Old is gold na kiswahili sanifu khasa sio lugha za vijana wa sasa , greetings from Adelaide Western Australia
@ayoubabdull12655 жыл бұрын
Nchi zetu kweli zimevamiwa na viongoz hatujui watokako inanikumbusha zama zile ikipigwa wakti wa sikukuu ya Idd kweny viwanja vya kidongo chekundu Dar es salaam miaka ya 1972 ... niko nasoma shule ya msingi Kisarawe primary school Gerezan leo niko uhaibun miaka na miaka inahuzunisha sana ...mtu kwao .
@emmanueledsonmwambuga28498 жыл бұрын
Bi shakila mwenyezi mungu akurehemu ustarehe kwa amani uko uliko,tunazikumbukz sana nyimbo zako nahisi machozi wimbo unaniingia mpaka kumoyo
@abuuyoga6736 Жыл бұрын
Huyu bi mwanahela sio shakira
@rahatmontana28622 жыл бұрын
Napatwa kutokwa machozi huu wimbo alikua akinipigia simu rafiki yangu toka Mombasa huku akiniimbia huu wimbo.. Mungu akurehemu Mohsine Alwi!!!! Micng u so much!!!!!Daima Nitaku enzi!!
@fababindawood58427 жыл бұрын
Naam naam huu ndo utamu na siyo ule waloimba Aslay na Nandy wameuharibu hii nyimbo.
@TheFettish6 жыл бұрын
nime replay sasa mara kumi...........rangi yako ya samawi kama sufi ngozi yako..........raha sana Wallah
@hassanabdalla27415 жыл бұрын
Zanzibar is beautiful island will be forever brightened and no one will sink it.
@rahimaally64715 жыл бұрын
Hii nyimbo always iko tamu 😍 2019 bado wapo na mie wanaosikiliza tujuwane hapa🧘
@hawamarouf8825 жыл бұрын
Amaiziing voice
@nasseralhabsi14834 жыл бұрын
Nyimbo ya zamani sana, lakini haiishi utamu wake ❤️
@sakinaabd58989 жыл бұрын
Mungu akurehemu oncle Machaprala pale ulipolala peponi ichallah nyimbo bado haitopato kuzeeka ahsante Zanzibar
@utaani17 жыл бұрын
Sakina ABD kwani huyu mwanamme ni machaprala pia ?
@fatmafatmah7657 жыл бұрын
Punguza mapepe ukisali omba duwaa mungu akutulize babe kumtu nakwambia acha world oky
@edwinpaul31127 жыл бұрын
Daah na penda sana huu wimboo umenikumbusha mbali mnoo subha la kheri mpenzii 26/12018
@calvinceodhiambo13449 жыл бұрын
I luv it. Huo wimbo yanirudisha miaka za utotoni naipenda sana
@hasinaahmad93468 жыл бұрын
Calvince Odhiambo me 2
@hassanmpwepwe38265 жыл бұрын
mungu akuzdishie umri mlefu mama ye2 Iz ndio taarab za kusikiriza
huu muziki ni muziki wa mwambao utaendelea kusuuza mioyo ya wengi
@beastmasteraloha72148 жыл бұрын
my Unguja, my memories long long time ago; time really flies by Alhamdulilah ONE LOVE FROM SAMOA ISLANDS
@fu43086 жыл бұрын
Beastmaster Aloha Any chance you are S.Pongwa?Please msg me you might have an information about my lost Uncle...He was there in Samoa Island.There was a time he was a football coach there.
@apocalypsematrix92523 жыл бұрын
@@fu4308 sorry I tired my very best but to no avail any results!
@sangomamourice32515 жыл бұрын
nimeanza kusikiliza nikiwa mdogo nikaupenda ukanipenda zenji yetu ni poa atakaye na aje mis Home land
@WANAMBOJO12 жыл бұрын
Nakumbuka shuleni tulikua tukihangaika kuandika hizi nyimbo katika madaftari ili tuweze kuimba sambasamba hasa inachezwa katika redio. Na ukweli nyibo hii ilinifanya nipende Taarabu na kuanza kuzikiza kwa makini. I remember those good golden days Shukran jazila kenyaprince
@mariamkimwaga45967 жыл бұрын
WANAMBOJO 😂😂😂😂 umeona yani ukiisikia kwenye radio mbio na daftari lako kuandika
@tadeikerreti83127 жыл бұрын
Ochestra veve
@tadeikerreti83127 жыл бұрын
Mwana mawA by grand piza
@swaumuhenji13506 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali
@darweshk73426 жыл бұрын
Hahahha sanà
@beautyone77376 жыл бұрын
"kibaya ckivumbui ndani ya maumbo yako Na mm cmvumbui wallah si jichukui mgonjwa kwa raha zako" jmn huu wimbo mm haunitoshi cjui kwann jmn
@amosfredrick45997 жыл бұрын
unanikumbusha Tanga na Zanzibar enzi hizo. safi sana
@fatmafatmah7657 жыл бұрын
Jins nakupenda me u mungu ndo anajua .u no still kwangu mbona utatulia umefika rakini utulivu nikulizisha na me unilizishe use,avyo .ingawa siwez kufikia kiwango lakin happy
@stanslausmteme84554 жыл бұрын
Bonge la wimbo tena Hii original version ndo yenyewe nakumbuka kipindi narudi shule saa sita mchana Radio Tanzania nakutana na kipindi cha muziki wa mwambao
@susandoctora81496 жыл бұрын
Aslay bravo.Umenipeleka mbali
@hajichakusaga73368 жыл бұрын
hizi ndio Taarabu bwana sio vijembe vya vijana wa leo
@fatmaaly96865 жыл бұрын
Hakika
@mohdmalik36134 жыл бұрын
Kweli unachosem vijan wa ss hawaimbi Wana tukan
@zahramunir85968 жыл бұрын
Ama kweli... umenitoa Majonzi... i love old song...
@amiribakari83476 жыл бұрын
Nice song zinakumbusha mbali nyimbo hizi
@abdulazizmohamed2805 Жыл бұрын
Mzuri Sana Sana kuliko zote tz,
@fatmafatmah7657 жыл бұрын
Laz nafeell umenidatiza
@paulassenga75274 жыл бұрын
Hahahaaaa,,,this is a good music,,,unanifanya ni enjoy sana napokuwa board
@Khalidsong2 жыл бұрын
Cultural riches of the East African coast is gold
@saidmasoud45505 жыл бұрын
Allah aziweke roho zao pema peponi amina
@nyaamajengo58615 жыл бұрын
Sabal kher azizi waonaje yako
@ahmedyoung73007 жыл бұрын
nice 🎶 from Zanzibar tz sabal kher
@saidbakari81974 жыл бұрын
ni nyimbo naitumia kumueleweesha mke wang pale anahisi nachepuka 🤣🤣🤣
@davidmitei386310 жыл бұрын
wimbo mtamu kweli,na kumbukumbu ya zama jameni
@blacksonismael25017 жыл бұрын
Dah Zanzibar kweli Zanzibar mziki upo
@declanofficial9748 жыл бұрын
Ukichoka, ukiwa na mawazo basi sikiriza huu wimbo kila kitu kitakaa sawa.
@hasinaahmad93468 жыл бұрын
Declan slapy c vrai
@jafaripaje53664 жыл бұрын
I came a cross to this song in early 90's in primary school. One girl in our class wrote me lovely letter with this lyrics, surprisingly i reported her to the authority............Looh!!!
@stanslausmteme84552 жыл бұрын
So sad! Big memory my brother
@felistamuema44712 жыл бұрын
😂 😂
@shamisalmahruqi15279 жыл бұрын
hu mwimbo unanikumbusha wakati mdogo nilikuwa Niki silica Kartika radio Tanzania Dares lam
@gabrielpaul10827 жыл бұрын
nyimbo ilitoka nilikua na miaka 45 wajuukuuu zangu. nakumbuka cku namtorosha bibi yenu tulipita kilabuni ilipigwa nyimbo hii. adi nimelia. Leo Nina miaka 89.
@abuuarushadawg71587 жыл бұрын
Gabriel Paul kwendraaaaa 😂😂😂😂😂
@نجمهالعلي-د5ض7 жыл бұрын
Gabriel Paul maa sha Allah
@khadijamgambo68747 жыл бұрын
Gabriel Paul wow
@lilylilian87296 жыл бұрын
😂😂😂😂😘
@tmuanamartins22286 жыл бұрын
Nyimbo mzuri sana
@suleimansuleiman54987 жыл бұрын
maisha yangu mimi na mke wangu raha raha tuu
@Abdalla2010able13 жыл бұрын
nice1 inanikumbusha mbali dis taarab..
@hasinaahmad93468 жыл бұрын
Abdallah Habsy moi aussi
@jumasalumu97417 жыл бұрын
Sabal heri twaipenda sana tunaomba video yake
@zainabashraff87546 жыл бұрын
Aslay na Nandi ... Wameuharibu sana huu wimbo
@nyekingobwire47986 жыл бұрын
Zainab Ashraff sokweri
@RioIpo3 жыл бұрын
Wallah tena wameuharibu sana
@abdulazizmohamed28052 жыл бұрын
This is very very strongest swahili and nice songs,
@SpizesMuzik3 жыл бұрын
Wangapi kaelekezwa na aslay na nandy hapa
@Rugemeleza13 жыл бұрын
Inanikumbusha mbali sana nikiwa mtoto mdogo huko Musoma mwanzoni mwa miaka ya sabini.
@mosaidi26334 жыл бұрын
Kismayo wakti huo mimi naskiza wimbo huu
@joycejasson11207 жыл бұрын
kweli kapatia ila kaimba kibongo bongo zaidi
@agustinopaulo76716 жыл бұрын
imetulia hiyo asley part2
@ramadhaniathumanimlenge66417 жыл бұрын
daaaah nzuri
@abdulazizmohamed2805 Жыл бұрын
Hahina mpinzani hadi Sasa hivi, hahipitwi na wakati,
@nobertnebo2126 жыл бұрын
Kam nawew upo hapa baada ya nandy ×aslay
@abdulazizmohamed28052 жыл бұрын
Nyimbo mzuri Sana Sana,
@karamahussein69575 жыл бұрын
Maneno yake yanaingia mpaka rohoni
@salumahmadasalum43947 жыл бұрын
Enzi za kuandikiana kwenye karatasi
@jumamkwelengala59227 жыл бұрын
Ni tamu osiyo kwisha hamu Mille
@burudaninamatukio7077 жыл бұрын
Nzuri show love kama mkenya
@edeba01haji667 жыл бұрын
Aslay amenileta huku.😚😘😙
@powldavid2457 жыл бұрын
Edeba 01 Haji Me too 😂😂😂
@burudaninamatukio7077 жыл бұрын
Edeba 01 Haji ogy
@bakariselemani75805 жыл бұрын
Safi
@bakariselemani75805 жыл бұрын
Safi sana
@adamuyohana57355 жыл бұрын
naomba huu wimbo whatssp ,,,
@mwesigapaschal77333 жыл бұрын
2021 still enjoying 💪💪
@masirahosman65177 жыл бұрын
I love this one its brilliant since I was kid I remember this
@nassiralwardi18647 жыл бұрын
Nzuri sana old songs
@yussufmussa51857 жыл бұрын
old is gold nice song love it
@kwasimutokalondon-nafreddy52786 жыл бұрын
Nani mtunzi wa huu wimbo?
@kaningoacerp62643 жыл бұрын
Nami napenda sana kumjua
@shakirnongwa63045 жыл бұрын
daima nitakuezi siptp pezi lako
@nyotaamadi83896 жыл бұрын
Yani nimeisaka hii nyimbo nihakikishe
@saumhajj4798 Жыл бұрын
❤❤👌😚😚 am inlove with this
@ahmeidyoung24107 жыл бұрын
Viva Zanzibar 😦
@abdulazizmohamed2805 Жыл бұрын
Is song never the can be old,
@godwinmsigwa70377 жыл бұрын
Wimbo bora wa Karne ya 19
@abdulazizmohamed28052 жыл бұрын
In the eastern frica power full song you try to listen, nice songs,
@bziegnewmugogo49622 жыл бұрын
Great story about the two!
@farijalakhalid5558 Жыл бұрын
Muimbaji nani?
@ramadhaniakram38816 жыл бұрын
Ones again. My favorite
@omanair123omanair27 жыл бұрын
Zanzibar old is gold
@rushurenatus18204 жыл бұрын
Haha vyakaledhaabukwer haviishi utam
@wesalinkcyber42376 жыл бұрын
aslay u broght me hear.....
@rahimajuma6887 жыл бұрын
hivi hii nyimbo si kaimba aslay au
@m-barukhamad27346 жыл бұрын
Rahima Juma Dada rahima Asley amekopi huuwimbo aliyeimbahuu mzee kutoka Zanzibar name shaman cilia mbeleyahaki
@erickhaule86807 жыл бұрын
naipenda Sana hii tarehe 21 mwezi wa 9 2017
@khadijamajala27207 жыл бұрын
Alikiba
@khadijamajala27207 жыл бұрын
Khadija majala
@erickhaule86807 жыл бұрын
alikiba kafanyaje
@rashidijulius65118 жыл бұрын
waooooooo mashaallah
@abdulazizmohamed28052 жыл бұрын
I diyo taharabu unatigisha kichwa tu,
@fadhilihussein6580 Жыл бұрын
Mashallah!¡!!!!
@abdulazizmohamed28052 жыл бұрын
Very very nice songs,
@KIMSwahili6 жыл бұрын
nimekuja kuchukua uharisia
@gabistan20076 жыл бұрын
Nice
@aminaabuu7557 жыл бұрын
ahaa kumbe
@ibrahimaboker9086 Жыл бұрын
This Songs is NOT from Kenya, its originated from Zanzibar.
@abdul-rahmanabdullah76265 жыл бұрын
Mashaallah
@abuuarushadawg71587 жыл бұрын
nmekuja kuhakikisha kama aslay kapatia au vipi 😝😝
@batuli94697 жыл бұрын
Abuu Arushadawg hahahah
@zennahalhabibi96817 жыл бұрын
+batuli 94 hahaa😂😂😂aslay bana kiboko
@نجمهالعلي-د5ض7 жыл бұрын
Abuu Arushadawg 😁😁😁😁😁
@irenemumbiofficial22827 жыл бұрын
Abuu Arushadawg kabisa ata sijaelewa
@lisakelvin30337 жыл бұрын
Abuu Arushadawg ata mmm...hahahaaaa
@fatmafatmah7657 жыл бұрын
Nakutamanbmeans hby sin me u tutombane nkutajil
@omarabideenato1604 Жыл бұрын
In those dayz
@saidsaid94637 жыл бұрын
Zilipendwa safi
@burudaninamatukio7077 жыл бұрын
Said Said ogy
@lebekajackson97335 жыл бұрын
fatuma mucharko
@emmanuelzao4 жыл бұрын
😎
@andromedagalaxy86272 жыл бұрын
Paulo siria
@salamasengo2337 жыл бұрын
old is gold
@kenyomarion56057 жыл бұрын
Kama nawewe umekuja huku kwasababu ya Dogo Aslay gonga like
@kerryivana16786 жыл бұрын
Who was the original singer of this song ambayo aslay amekuja kuiimba na nandy