PASCHAL AMLILIA MWESHIMWA RAISI AMESHIMDWA KUVUMILIA MOYO UNAUMA

  Рет қаралды 49,807

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

#call0688199370 #0766998994 #paschalcassian 0788871769

Пікірлер: 425
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 Жыл бұрын
Mtumishi paschal usijali na comment za watu wa matusi wengi wametumwa lkn ukiona zinakuumiza ndugu yangu funga ,,,usiumizwe na shetani na wachawi +wafwasi wao,,,nakupenda sana na unanipa motisha ya kuchukia maovu,,, you are my prayer point brother 💕💖💓💖💖💓💕💕💞💞💞
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 Жыл бұрын
Tunaomuelewa mtumishi wa mungu tujuane kwa like 🙏
@daudinelsonmwamruku2133
@daudinelsonmwamruku2133 Жыл бұрын
Mambo
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 Жыл бұрын
@@daudinelsonmwamruku2133 bwana yesu kristo asifiwe mpendwa
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Huyo casian Ni muongo tu hajui Neno la MUNGU,ametumwa kuwasema vibaya watumishi wa MUNGU
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 Жыл бұрын
@@patsonkyando1732 pole kaka mbona povu mwenye macho hambiwi ona muombe mungu akufungue kumjua mungu wa kweli basi hawa watumishi wote ni binadamu kama wew
@dubai8594
@dubai8594 Жыл бұрын
@@patsonkyando1732 KATUMWA NA NANI KWANI
@maryfonga2200
@maryfonga2200 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Pascal Cassian nakufunika kwa damu ya Yesu Kristo wa Nazareth, mahali popote ulipo Bwana Yesu Kristo akuatamie, akulinde na kukuepusha na macho na mitego ya adui zako, kila baya watakalo lipanga dhidi yako liwarudie wenyewe kwa jina la YESU KRISTO aliye hai milele amen....ujumbe huu ukafike mahali husika na kupatiwa majibu sawa sawa na mapenzi ya Bwana wetu Yesu Kristo amen, Bwana wa majeshi uliye Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho nakusihi mlinde mtumishi wako Pascal Cassian, uso wako uwe kwake milele mpaka atakapomaliza kazi uliyomtuma, nakusihi muondolee vikwazo na changamoto zote katika huduma yake, zidi kumtia nguvu na ujasiri katika kuipigania kweli yako, kwani umesema mwenyewe katika maandiko yako (Ufunuo wa Yohana 21:8) kuwa "waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauwaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti" mtie nguvu asitetereshwe na chochote eee Bwana Mungu wangu, amen.
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 Жыл бұрын
JAMANI, NINAVOJUA, KILA MTU ATAUBEBA MSALABA WAKE. KITU KINGINE, WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU ANAYE KWENDA KATIKA KWELI YA MUNGU. SASA SI UWAOMBEE MAANA WEWE UNANGUVU YA MUNGU? KAMA UNA NGUVU NZURI YA MUNGU NA NAAMINI MUNGU ANA KUTUMIA. SASA LIOMBEE HILO TUIONE NGUVU YAKO. HALAFU, SHUSHA JAZBA. WATU WA MUNGU WA NAOMBA KWA AMANI.
@apostlepetermwakyusa-jbfmi5124
@apostlepetermwakyusa-jbfmi5124 Жыл бұрын
Wewe sii juu yako kuingilia Imani za watu na utapeli uko kwenye maeneo mengine unaweza kufikiri unajua kila kitu kumbe ufahamu wako bado ni mdogo Imani ni kitu binafsi na hayo mambo hayakuanza leo ndio maana maandiko yako wazi maana Yesu alijua yatakuwepo ndiyo maana alisema yaacheni magugu na ngano vimee pamoja Yesu alijua hayo kwamba yatakuwepo. Kazi inayoifanya ni sawa na ya Herode aliyeamuru watoto wote wauawe sababu tu kuzaliwa Yesu, Mimi siungi mkono manabii wa uongo ila ukweli wapo na kumbuka serikali haina kipimo cha mambo ya rohoni na wewe huna kipimo cha mambo ya sababu unatakiwa maandiko tu lakini Mungu wa kweli bado hujui . Mungu wetu anatania ya kujitetea mwenyewe wasiliana nani nitakupa Elimu zaidi ubarikiwe shalom
@eliaskatemangila4331
@eliaskatemangila4331 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mr Cassian kwa kunena injili ya kweli kama maagizo ya Mungu wetu aliye hai yanavyosema, Soma kitabu cha Issaya chasema usiogope Mungu yu pamoja nawe, Amen
@lamerckmsuya5513
@lamerckmsuya5513 Жыл бұрын
Hayo yote yalishatabiriwa ili neno litimie.sasa ukitaka yasitokee utakuwa unazuia neno lisitimie (ata Yesu amwambia Petro unataka kikombe alichonipa Baba nisikinywe).iyo nguvu unayotumia n heri ukaitumia kuwaomba wazanzibar wasichome makanisa,na kuwaomba wanaigeria wasiue wapendwa wenzetu kule. Ahsante
@milcentachando1142
@milcentachando1142 Жыл бұрын
Nina yote Cassian,🇹🇿🇹🇿🇹🇿 viongozi n wanaojiita manabi wamepotosha nchi kabisa,haswa wachungaji ambieni wa injili y ukwli🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko n wewe kimaombi Cassian keep going#no turning back canani lazima tufiki
@veronicakiganga4547
@veronicakiganga4547 Жыл бұрын
Fanya kazi ya Bwana bila kukatishwa tamaa. Songa mbele/aluta continua. Mungu yupo pamoja na wewe kukutia nguvu. Be blessed my son. Amen.
@apostlepetermwakyusa-jbfmi5124
@apostlepetermwakyusa-jbfmi5124 Жыл бұрын
Shalom Mtumishi wa Bwana nimekusikiliza kwa muda mrefu lakini ninachokiona ni uwelewa mdogo juu ya Mungu unaye mtumikia kwa maana maandiko yanasema siku za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo nao watafanya ishara nyingi na yamkini kuwapotosha hata wateule hizi ni nyakati na siku za mwisho hivyo ni lazima maandiko yatimie sasa wewe ni nani uzuie maandiko yasitimie? Ndiyo maana Yesu aliyaona akasema si wote wanitao Bwana Bwana watakaingia ktk Ufalme Mungu bali ni wale watendao mapenzi ya Baba yangu wa mbinguni tena alisema acha magugu na ngano vikue pamoja yatajulikana siku za mwisho ni vigumu kuiambia serikali yetu ingilie Imani za watu wakati serikali haina kipimo cha kupima imani za watu kwa jinsi ya rohon wana mambo mengi ya kutufanyia wananchi wake wao wana vipimo vyao vya kisheria. Hapo naona unataka kuipa serikali kazi ya Mfalme Herode ya kuamuru huduma zote zizuiwe kisa mtu mmoja anayewachukia Mitume na manabii wa uongo hata Mimi nawachukia lakini sijafika huko ulikofika wewe maana kwa kufanya hivyo ni kuwaua watoto wote kisa unamsaka Yesu auawe na kumbe Yesu amekimbilia Misri, usiingize vilio kwa wasio na hatia weka akili yako sawasawa Unaweza wewe mwenyewe kutumiwa na shetani ukazani unamtetea Yesu kamlize Petro alipojaribu kumtetea Yesu aliambiwaje?.Kikubwa huwezi kumtetea Mungu wa Israel(wa kweli) anajitosheleza wanaofanya hivyo anawaona lakini yuko kimya maana yeye ni Upendo halafu ni mstarabu je wewe ungekuwa nafasi ya Mungu hao Mitume na Manabii wa uongo ungewafanyaje? hilo unatakiwa ulijibu . Kwa sababu ya nafasi yako Mitandaoni unaweza kuwa unaongea kwamba unamjua Mungu kumbe humjui wala ukuu wake na uweza wake huujui kikubwa hubiri injili watu wamgeukie Mungu badala ya kufanya mambo usiyo na ufahamu nayo ni ushauri wangu kwako na Kanisa bila Mitume na Manabii siyo kanisa maana Kanisa linajengwa kwenye Misingi ya Mitume na Manabii ni kweli Mitume, Manabii, Wainjilisti, Wachungaji na Walimu wa uongo wapo wengi lakini wa ukweli nao wapo wengi tu sasa wewe unakipimo gani? usihukumu hukumu ya macho usije ukahukumiwa Yesu alisema Mimi sikuja kuhukumu ulimwengu bali lile Neno walilolisikia ndiyo litakalo fanya hukumu bado naona ufahamu wako ni mdogo katika kuyapambanua mambo ya rohoni. Kuoa au kuolewa siyo kigezo cha kumtumikia Mungu Paulo hakuoa lakini alimtumikia Mungu kwa uaminifu Nimeandika hayo machache ila kumbuka na mimi ni Mtumishi hata mimi siwapendi Manabii wa uongo lakini Mungu na maandiko yanasema siku za mwisho watakuwepo wewe huwezi kuzuia wasiwepo. Kama watu kutapeliwa hata kwa Waganga wa kienyeji wanatapeliwa na kwenye upatu na kamali watu wanaliwa na kutapeliwa mbona husemi huko kama wewe ni mtetezi wa watu? Kuna mambo mengi sana ya kufanya ili kuujenga mwili wa Kristo kuliko hili na hayo unayo yaongea. Nakutakia utumishi mwema ila jifunze bado hujamjua Mungu na njia zake na ukuu wake ubarikiwe shalom
@maryfonga2200
@maryfonga2200 Жыл бұрын
Apostle Peter, uliyonena sikupingi ni Imani na mtazamo wako, lakini unachonishangaza ni kitu kimoja tu, ni hivi najiuliza kama kweli wewe ni mtumishi mwaminifu wa Yesu Kristo aliye hai, anayekutazama hata sasa hivi unapousoma huu ujumbe kwanini kama unaona mtumishi mwenzio anapotoka au bado mchanga kiimani kwanini usimwite ukamshauri jambo kwa uwezo wa Roho Mtakatifu naye akakusikia? Au kama kumwita ni ngumu sana kwako sawa, basi wewe ni mtumishi wa Mungu si umwombee kwa Bwana wa majeshi aseme naye? Ili kama anachokihubiri kwa mataifa ni kibaya na kinapingana na utabiri wa Bwana Yesu Kristo, umwombee rehema na Yesu mwenyewe atasema naye na kumweka wazi kuwa anachokihubiri ni kinyume na mapenzi yake hivyo aachane na mahubiri hayo. Unapoonyesha kupingana nae wazi wazi unatia mashaka sana, kwani siku zote mafundi wanaojenga nyumba moja hawagombei fito, ukiona wanagombea fito ujue ni falme mbili tofauti. Sasa je? Na wewe ni miongoni mwa hao watumishi wa uongo anaowapngelea mtumishi Pascal Cassian? Kama si hivyo, basi usimbeze, ikiwezekana mwite umshauri njia unayoiona itampendeza Bwana Mungu wa mbinguni. Ni kweli serikali haiamini mambo yasiyoonekana lakini inaendeshwa kwa misingi ya kikatiba na sheria, hivyo hata watumishi wanaokwenda kuomba kusajili huduma zao za kiroho kuna vigezo na masharti wanatakiwa wawe navyo ili wasajiliwe, na kwa namna nilivyomuelewa mtumishi Pascal Cassian ni kuwa "anatoa ushauri kwa rais wa nchi kufuatilia kwa karibu usajili wa huduma hizi na kuhakikisha kuwa kila anayeomba kusajili huduma ya kitumishi awe ametimiza vigezo na masharti, sio kama sasa hivi watu wanavyosajiliwa ovyo ovyo tu, Kuna ubaya gani hapo? Au katika hilo amekugusa na wewe? Au na wewe ndio wale wale wanaojiita watumishi wa Mungu kumbe ni wa shetani?
@suzanafussy6734
@suzanafussy6734 Жыл бұрын
Yaani mtumishi ubarikiwe sana kwa maneno uliyosema ,kweli kuna manabii na mitume wengi waongo lakini na waukweli wapo 🙏
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 Жыл бұрын
Balikiwa Sana mtu wa Mungu nyie ndo watu tunao wataka katika Cristo siyo huyu Paschal Cassian naona hata Mungu anae mtumikia hamjui anatafta sifa kwa kazi ya Mungu haiko Ivo na Mungu amsaidie Sana hujawa jicho la ubaguzi na kuhukumu kwenye kazi ya Mungu. Usije ukamkosea Mungu Mwombe Sana Mungu akupe ufunuo utajuwa Wala huto hukumu. Kama unavohukumu tambua siyo nyavu tuu inayo vua samaki tambua kuna ndoano na Mungu hatotumia njia moja Bali ananjia zake n nyingi Sana muombe Sana Roho mtakatifu akupe ufunuo utajuwa Mungu tunae muomba Hana njia moja. Anawatu wake Tena n wengi na wakubwa. Wa kuitenda kazi yake bila sifa
@apostlepetermwakyusa-jbfmi5124
@apostlepetermwakyusa-jbfmi5124 Жыл бұрын
@@sautiyamunguduniani4620 Barikiwa sauti ya Mungu utumishi tunahitaji Elimu sana tena ya rohoni siyo ya maandiko watu wengi wanapenda kumtumikia Mungu lakini ukweli watu wengi hatumjui Mungu wala shetani ndiyo maana tunakuwa wepesi wa kuongea mambo ya juju tu bila ufahamu wa Kimungu. Huyu mtumishi amewahi kutumikia fremasson sasa baada ya kuondoka amehama tu kimwili lakini bado fremasson bado wameshikilia nafsi yake kwa hiyo kwa namna moja au nyingine wanaitumia nafsi bila yeye kujua sababu wanajua hamjui Mungu sawasawa anahitaji msaada yeye anafikiri analisaidia kanisa kumbe anapingana na maandiko bila yeye kujua kuwa anatumiwa na upande wa pili Mungu hajawahi kutetewa na mwanadamu ila Mungu ndio hututetea Ubarikiwe Mtumishi shalom
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 Жыл бұрын
@@apostlepetermwakyusa-jbfmi5124 God bless you mtumishi wa Mungu
@stiveshirima8465
@stiveshirima8465 Жыл бұрын
Hubiri yesu achana na fitina napenda nyimbo zako lakini unatufundisha chuki katika taifa letu nakukemea kwa jina la yesu hubiri yesu achana na maimani za watu
@godrivernicholous3536
@godrivernicholous3536 Жыл бұрын
Umenena Ukweli kwbisa anafundisha chuki maana Mungu ni pendo na anasrma anawajua walio wakwake ahubilie Watu Ukweli aache uchonganishi
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Yesu mwenyewe alikuja kuokoa watu kwenye imani izo izo pasipo hivyo yesu asingekufa msalabani
@kuhaninamtumesamwelimalema5073
@kuhaninamtumesamwelimalema5073 Жыл бұрын
Kabisa
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 Жыл бұрын
Huyo anasema kweli Matapeli wengi wajifichia kwenye utume na unabii Sasa Baada wahubiri kweli watu waone ufalme wa Mungu sasa Ukristo unatumika kutapeli watu Inasikitisha Sana
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
Utapeli ni sawa na wizi tu lazima serikali iingilie watu wasiibiwe
@mchekesimwangundo496
@mchekesimwangundo496 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu tuko pamoja na wewe hapa Kenya Mungu azidi kukulinda.
@darajabovuy2054
@darajabovuy2054 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU niwakati Sasa wakuisema kweli iliyo katika kristo Yesu Ili watu waijue na MUNGU yupo pamoja na wewe
@jeanefelix70
@jeanefelix70 Жыл бұрын
Kidume cha Bwana wetu YESU KRISTO unaye tetea imana, Mungu akubariki sana 👏
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 Жыл бұрын
Haleluya,anayoongea nikweli kabisa,huu niwakati wa Roho Mtakatifu Yohana 16:7-15 Mtu anaambiwa atoe hela ndipo AOMBEWE niwapi Yesu alifanya hayo ktk Biblia.
@jacksonndayubaha637
@jacksonndayubaha637 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana man of God 🙏 we are following you, very strong 💪
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV Жыл бұрын
Pascal unachemka sana, unazema na serikali kwamba inaweza ku control habari za kanisa??? Unapoelekea ni pabaya ssna, kanisa haliwezi likazuiliwa na serikali kwa namna yoyote, rudi tu kwa Mungu uliombee kanisa na sio hvyo usemavyo!!!!!
@jessicahonore
@jessicahonore Жыл бұрын
Barikiwaa mtu wa Mungu , kafuta Comment yangu ila akikaa akitafakari ataelewa, hili afanyalo, shetani akilipa nguvu, litamuathiri hata yeye kama mtumishi, Haita liacha kanisa kwa ujumla salama!
@victorianyange9281
@victorianyange9281 Жыл бұрын
Warumi 13:1-2 [1]Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. [2]Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu. MUNGU AMEWEKA SERIKALI KWA AJILI YA KUSUDI LAKE. KANISA KIMWILI LIKO CHINI YA SERIKALI LAKINI SERIKALI KIROHO IKO CHINI YA KANISA.
@catherinengombe4886
@catherinengombe4886 Жыл бұрын
Wala hachemki anasema ukweli! Mungu anasema tuheshimu mamlaka zilizowekwa! Kwa maana kama viongozi wanaenda kinyume na neno la Mungu yani viongozi w Dini lazima serikali iingilie! Ndo mana hta ZuMARiDI alikamatwa! Na Suguye amefungiwa c serikali ndo imefanya!!! Acha aongee ukweli!!
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 Жыл бұрын
Ni naona hajakosea kusema hivyo kasema kwa niaba ya wale ambao hawawezi kupaza sauti zao zikafika sehemu husika na Yesu mwenyewe alisema lieni na wanaolia serika ikisikia inaweza jua cha kufanya ,jana nimeona kuna wadada ni wa kenya wanafanya kazi Saudi wameliwa pesa zao na hao manabii na mapastor wakisema panda mbegu miaka yote miwili wamewatumikia hao wanaojiita manabii hii inaumiza na vile kazi zilivyongumu sasa hawa watu wakipiga kelele kama wao nani atawasaidia ,acha aseme watu wameliwa mamilioni ata ukienda kumwambia habari za Yesu hawezi kukuelewa tena .
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 Жыл бұрын
Pascal kasian Mungu akubariki endelea mpaka Uchafu huu Ukomeshwe.Hakuna mwenye nguvu za kumshinda Mungu
@happey2878
@happey2878 Жыл бұрын
Songa mbele mtumishi...God bless you Pascal
@CecileNgendapasi
@CecileNgendapasi 6 ай бұрын
uyu nimwendawazimu wa neno la bwana wetu yesu christo akika mtumishi nakupenda kupita makamo mwalimu nakufata sana kutoka Congo DRC
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 Жыл бұрын
achana na maisha ya watu Biblia inasema usihukumu na wewe ucjekuhukumia mwenye kazi ya kuhukumu ni Mungu peke yake achana na maisha ya watu kaka uwezi pingana na Biblia!!Biblia ilisema wote hayo atatokea yasipo tokea Mungu atakua msema uongo
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
Hata Yesu alisema nyumba yangu sio pango la wezi na majambazi
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
Lazima serkali ikamate wezi wa stairi zote iwe kwenye mtandao ,kanisani,msikitini,nk
@eppiemodest
@eppiemodest Жыл бұрын
Ni kweli. Nakumbuka marehem kaka yangu aliambiwa na mchungaji kuwa ametumwa na Mungu ampatie milion 3 ili madhabahu ya Mungu ijengwe. Badala ya mchango kwa wote kachukua kwake tu. Ilibidi auze kiwanja apate pesa ampe. Aliuza na akapewa. Hata alipofariki kaka yangu mwaka juzi hakuja hata kwenye kilio. 😭😭😭😭😭😭😭😭
@maryeer6392
@maryeer6392 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah 🔥 Moto 🔥🔥 hakika wewe ni nuru ya Dunia, sio ww unanena ni Roho mtakatifu anasema ndani yako,uinuliwe pakubwa🙏🙏🇰🇪🇰🇪.
@josephtemu2633
@josephtemu2633 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wangu kwa kuliona hilo na kulisema bila wongo viongozi wa dini mbona munakaa kimya munaogopa nini?
@godfreymuruda8136
@godfreymuruda8136 Жыл бұрын
GOD give you strength,be blessed SHALOM
@emmanuelmateru2190
@emmanuelmateru2190 Жыл бұрын
Na wewe ni mmoja wa hao unaowasema, hujapata fursa tu.
@godfreymuruda8136
@godfreymuruda8136 Жыл бұрын
@@emmanuelmateru2190 BEFORE ANYBODY COMMENTS ,LETS GO TO THE BIBLE Matthew 21:13 And He declared to them, "It is written: 'My house will be called a house of prayer.' But you are making it 'a den of robbers.'"
@yohanalongo5230
@yohanalongo5230 Жыл бұрын
Hakika
@shungulotv.6016
@shungulotv.6016 Жыл бұрын
@@emmanuelmateru2190 we kuzim imeshakushika fikra zako.
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV Жыл бұрын
Hakuna serikali yoyote duniani ya kuzuia mambo ya kiroho, bali mambo ya kiroho ndiyo yanaiendesha serikali.....that's all....
@jessicahonore
@jessicahonore Жыл бұрын
MAMBO YA ROHONI HUTAMBULIKANA NA KUSHUGHURIKIWA KWA JINSI YA ROHONI. BARIKIWA
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
Huyu yuko mwilin Leo ndo nimemuelewa rais aingilie kaz ya Mungu kweli kwan kanisa nila Mungu au selikal
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 Жыл бұрын
Rais Ruto mwenyewe kasema kanisani ni mahali pa kumhubiri Yesu Kristo, kasema wanao uza mbegu kanisani waje tuwasajili kwenye idala ya kilimo na wanaouza maji waende wawasajiri kwenye idala ya maji huko ndiko wauze na siyo kanisani 😊nimependa alivyosema ,rais anawajibu wa kulinda raia wake
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
@@doricemrema2177 sasa anataka wote wafanane namawazo yake wakat kila mtu anawito wake jins yakutumika
@eliapetro7250
@eliapetro7250 Жыл бұрын
@@prophetislael5265 we nimwehu
@stephensikazwe7805
@stephensikazwe7805 Жыл бұрын
God bless you in Jesus mighty name 🙏
@gastondofra9151
@gastondofra9151 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana na kwa imani Mungu atawakilisha ombi lako serekalini kama estha kwa mfalme
@kefaogwankwa5493
@kefaogwankwa5493 Жыл бұрын
Mtumishi amina
@geofleyfreenwelluka
@geofleyfreenwelluka Жыл бұрын
Aaaa inatia huluma sana mtumishi Mungu akulinde najua kwamaneno hayo sio wewe umeongea namuona mungu ameongea na Tanzania 🇹🇿 uo niukweli mungu akulinde katka jina LA yesu kristo mungu mwenye nguvu amen 📖📖📖🏹🔥🔥
@chazycheche3375
@chazycheche3375 Жыл бұрын
Umenena vyema Mungu awe nawe Hii nikwaniaba ya wengi wengi tunatamani kuyanena haya asante kwakutuwakilisha mtumishi
@aysherkitoi5507
@aysherkitoi5507 Жыл бұрын
Kazi ya kuhukumu ni ya mungu cyo yko ni vzr ungesimamia ulichoitiwa na mungu kuliko kufatilia watu kwa sababu hata wewe cyo mkamilifu lkn unachokitafuta utakipata unamanisha unataka wasipewe kibali cyo ungetafuta kanisa ukawa unafanya IBADA hiyo unayo oita ya kweli kuliko kushinda yutubu kukosoa wewe cyo mungu acha kaxi ya mungu atafanya mwenyewe unakera sanaaaa
@ErickiSanga-mm2ko
@ErickiSanga-mm2ko 4 ай бұрын
Lqzima tuseme ukwer
@juliuskisambale1028
@juliuskisambale1028 Жыл бұрын
Hakika uliyoyasema Mungu akayabariki ,,,,,yakaguse viongozi ili waone jambo hilo kwa undani
@donaldyusuphu1879
@donaldyusuphu1879 Жыл бұрын
Amen Mungu akubarik
@nathan4bliberty237
@nathan4bliberty237 Жыл бұрын
Kabisa kabisa mtumishi
@elwinsimumba8356
@elwinsimumba8356 Жыл бұрын
Amen Mungu akuwezeshe kwakazi ulio pewa
@pameladavid9299
@pameladavid9299 Жыл бұрын
Mtumish cha msing na ushauri wangu mdogo fanya huduma au wito uliyoitiwa, kazi ya mungu ipo hiv matunda yao tutayatambua. Acha kuvuruga kazi ya kristo. Muhukum ni mungu sio wewe
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Hiyo ndiyo aliyoitiwa,kuonya kukemea uovu,kama nabii Eliya, Mikaya,Yohana mbatizaji nk (Zab:11:3)
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
@@japhetdaudmaneno8440 kwahyo Mungu kashindwa ndoraisi aweze maana had kumlilia mwanadamu akusaidie nikwamba Mungu kashindwa
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
@@prophetislael5265 Mungu hufanya kazi na watu(Zab:115:16)
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
@@japhetdaudmaneno8440 hao watu sindomnao shindana nao tena mkiwaita waongo makanisa yote yanaongozwa nawatu sasa Mungu ashindwe kutumia kanisa amtumie rais kwel
@ericmsemwa874
@ericmsemwa874 Жыл бұрын
prophet jaribu kusoma vizur msitari wa Zaburi 115 :6 na siyouongee tu, Mungu anafanya kazi na watu na ndiyo maana akawaweka manabii wake
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 Жыл бұрын
Waliochelewa kuokoka walidharau Neema sasa wakitapeliwa kwao ni sawa tu! Mbona Makanisa yanayohubiri kweli yapo kote nchini!?Hizi ni siku za mwisho ukweli upo na uongo upo! Mimi ni Mchungaji na nimetembea na Mungu tangu 1987 nikiwa na miaka 17 ! Hebu fanya utafiti vizuri
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Жыл бұрын
Wapo lakini sio kwa ukubwa huo kwani kumbuka selikali inanjia zake za kufatilia wala sio kwa shinikizo la mtu bro but nakushaur tafuta njia zuli kufikisha ujumbe bila kutengeneza bifu na watu ili uibrand chanali yako vyema tunajua bro P,
@mwlsittarichardmajani8846
@mwlsittarichardmajani8846 Жыл бұрын
Umesema kweli Mpendwa..
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
Ujambazi haumalizwi kwa hekima lazima serikali iingilie kati
@CecileNgendapasi
@CecileNgendapasi 6 ай бұрын
kama wapagani wanajifanya wendAwazimu kwajili yashetani nasisi wa christo lazima tuwe Wenda wazimu kwajili ya yesu
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 Жыл бұрын
Samia atajuaje mambo ya rohoni ya ufalme wa Mungu! Yeye ni mkristo! Labda kamati ya maaskofu wa Makanisa yote wakae na wanasheria!Kama wengine wanavyosema wewe ungehubiri Uinjilisti ulioitiwa! Ili watu waokoke
@nillyjos1203
@nillyjos1203 Жыл бұрын
Amen kama umependa hii video like hii comment yang
@mbithejustus246
@mbithejustus246 Жыл бұрын
Paul anasema kwa umbaya au kwa uzuri yesu bado anaubiriwa
@dismashaule8756
@dismashaule8756 Жыл бұрын
Ni kweli hayo yanafanyika na mengine magumu kuliko hayo ni vema ufuatiliaji uwepo ili kama utaratibu wa awali haufuatwi wawajibishwe. Matapeli wa kiimani ni wengi wamegundua udhaifu tulionao sisi wa Tanzania maana tunapenda sana vya rahisi tumesahau msemo wa wenzetu usemao; cheap is expensive!
@amiwitu1445
@amiwitu1445 Жыл бұрын
Ubarikiwe na Mungu akulinde. Kwenda kumuona tu nabii, mtume NK watu wanalipia hela kubwa tu. Sasa nauliza kama watu wanaoenda kumuona Raïs, je! Nao pia huwa wanalipia hela ili waweze kumuona Raïs??
@siporajemes773
@siporajemes773 Жыл бұрын
Ushishidane kwa maneno onyesha kazi
@VenanceMwaisanga
@VenanceMwaisanga 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 Жыл бұрын
Acha Mungu achukue nafasi na si mwanadamu,macho Yako na moyo wako uelekeze Kwa Mungu na si Kwa mwanadamu,kumbuka kulikuwepo na farao pia kulikua na Musa, Musa alitenda Kwa nguvu ya Mungu si Kwa nguvu ya farao, Na usimnyooshee mtumishi wa Mungu kidole kwani hujui huduma hiyo aliipataje, na ni nani alithibitisha,vivo hivo huduma Yako umeitoa wapi na nani kathibitisha,
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
Nyumba Yangu Sio pango la wezi. Yesu alichukua fimbo akatandika wezi wote na kuziharibu mali zao ni kwanini asiwaombee tu? Yesu anachukia wizi hatari wala hana huruma na mwizi
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 Жыл бұрын
Nami namuombea Sana kwa Mungu amsaidie Sana 🙏
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
2 Timotheo 3-2 Leo ndo nimekuelewa Mungu kashindwa sasa unaomba msaada kwamwanadamu tena mwanamke halafu wadin nyingine 1wafalme 18 -30 ELIA ANAMBIA MANABII WABAHALI ONESHENI MUNGU WENU NAMM NTAONESHA WANGU lakin Leo Mungu amekuwa selikali duuuuuuuuuuuuuu mwenye sikio asikie neno hili wanamacho lakn haowaon
@lydiayothamu9902
@lydiayothamu9902 Жыл бұрын
Yaani hatari Sasa mama yake huyo na mitume na manabii Kuna uhusiano Gani?yaani solution hiyo ni ya kiroho na siyo kuomba msaada Kwa mwanadamu..ingia rohoni omba Mungu atafanya jambo siyo kuongea Kwa namna hyo.
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
@@lydiayothamu9902 kuna jinsi sasa hvi watu wanatafuta kusikilizwa kwenyemitandao ila sio kwajiili yaMungu ukidoma biblia wafalme wakuu wanch wanapo shindwa wanatafuta watumishi waMungu sasa hivi watumishi ndo wanawatafuta wakuu wa nch
@lydiayothamu9902
@lydiayothamu9902 Жыл бұрын
Biblia inasae zijaribuni hizo roho Sasa nashangaa mtu unamuomba raisi atatue mambo ya kiroho kweli halafu kama kweli wewe ni mtumishi wa Mungu una mandate Gani ya kuhukumu wenzako badala ya kuwaombea wageuke kama kweli unaona hawako sawa hyo itatengeneza mazingira ya sisi waamini kuonekana tunapingana sisi Kwa sisi.kitu ambacho ni aibu Kwa kanisa angeenda mlimani akamwambie Mungu na sio kumwambia raisi.
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
@@lydiayothamu9902 maombi yake ndo amesha wakilisha kwa rais biblia inasema tubebeane mizigo laki mtu anapata nguvu yakuwasema watumish kuwa wanakosea yeye yuko vizur nahana washilika zaid ya washabiki wamitandao wasio jua nini maana ya injiri habali njema
@allykoti4341
@allykoti4341 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu uendelee kusema ukweli
@jessicahonore
@jessicahonore Жыл бұрын
Sawa umefuta comment yangu, ila thank God umesoma. Na asomae afahamu. Hila za shetani ni Pana mno, mtu anaweza tumikia kusudi la adui bila kujua. God bless you
@godrivernicholous3536
@godrivernicholous3536 Жыл бұрын
Huyu wanamtumikisha BADO hajui
@stevennjingo5262
@stevennjingo5262 Жыл бұрын
Mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mema, ni kipi katika huduma yake umeona kinampa shetani utukufu
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
Eti anashtaki kwa raisi Mungu ameshindwa kwel kuwafukuza wanao halibut kanisa anashtak tena rais nimuislamu
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 Жыл бұрын
@@stevennjingo5262 God bless you my brother
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
Yesu anawachapaga wezi wa kanisani na kuwaaribia mali zao na wala si kuwaombea na anasemaga hivi nyumba yangu sio pango la wanyanganyi
@margaretmkangala7774
@margaretmkangala7774 Жыл бұрын
Usiseme wameumizwa na watumishi wa Mungu sema wameumizwa na matapeli
@richardmtuku9767
@richardmtuku9767 Жыл бұрын
Yesu diwe Bwana pekee kwa maana pekeeee shalom@@@@@.
@SYAVUYIRWA_SYAYIPUMA
@SYAVUYIRWA_SYAYIPUMA Жыл бұрын
amen l'homme de Dieu 🙏🇨🇩
@askariwayesu460
@askariwayesu460 Жыл бұрын
Mimi ninaomb Moja kuwa wale wote waliotapeliw wajitokeze waseme kupitia clip hii huku wakio esha walivyoliizwa ili taasis inayosajil ijiridhishe
@AYUBU.MSANGAWALE
@AYUBU.MSANGAWALE Жыл бұрын
Kila neno lako hujawahi niangusha mutumishi wa mungu ubalikiwe sana my brother
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Kweli mungu,afanye. Janbo Ju,yataifa🔥💘🙆
@hamisijohn4798
@hamisijohn4798 Жыл бұрын
Nyakati za mwisho
@janengaga2928
@janengaga2928 Жыл бұрын
MUNGU sio mungu
@sarahezekiel5170
@sarahezekiel5170 Жыл бұрын
Mungu walinde watumishi wasemao ukweli.Mtumishi usemayo tumeshuhudiwa na kushuhudia aina za sadaka zinazoundwa makanisani,watu wamefadhaika,wamechanganyikiwa,hata watumishi binafsi,baadhi,Hyundai sadaka.Mungu atuwezeshe sawa na maagizo ya Mungu.
@academicrings769
@academicrings769 Жыл бұрын
Okoka Kwanza wewe, badilika kabisa, usicomment tu okoka Ni mwisho wa dunia hata picha uliyo weka sio sawa tafta Yesu kijana utapotea
@benjaminomar46
@benjaminomar46 Жыл бұрын
Mchungaji wa Mungu ubarikiwe sana kwa ukweli huu , na Mungu akufiche didhi ya maadui zako Unachoongea nikweli sababu siku hizi unapo mwambia mtu twende kanisani atakwambia kanisa za sikuhizi ni za uongo . Huku Kenya 🇰🇪 tunakupenda sana
@everlynenanjala9747
@everlynenanjala9747 Жыл бұрын
Kweli kabisa tunampenda 🇰🇪🇰🇪
@AnjlinaAfricia
@AnjlinaAfricia Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@lilianndete1735
@lilianndete1735 Жыл бұрын
Tunakupenda sana 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 mtumishi wa Mungu.
@obinasimbeye5450
@obinasimbeye5450 Жыл бұрын
Rais mwenyewe ndio anawategemea mitume na manabii wewe unasema nini
@godfreymuruda8136
@godfreymuruda8136 Жыл бұрын
BEFORE ANYBODY COMMENTS ,LETS GO TO THE BIBLE Matthew 21:13 And He declared to them, "It is written: 'My house will be called a house of prayer.' But you are making it 'a den of robbers.'"
@hildamhina5305
@hildamhina5305 Жыл бұрын
Yote hay halisha tabiliwa ndan ya bibilia so niwakati wake umeshafik napia hiyo hiyo bibilia inatuonya kwamba mkisikia YEHOVA yuko kule mbagara au kawe au kivule au mwenge msiende
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
UTAPELI ni sawa na WIZI na UJAMBAZI
@mbithejustus246
@mbithejustus246 Жыл бұрын
Imeandikwa neno ikae kwa wingi ndani yenu, pia umchunguze hizo roho (sasa mama samia awachunguzie hizo roho
@estherynyagawa6839
@estherynyagawa6839 Жыл бұрын
Laiti ungejua taratibu za kusajili kanisa/huduma usingesema Serikali haifuatilii, Wizara ya Mambo ya Ndani inafuatilia kwa ukaribu mno. Tofauti ya mitazamo, maono, na tafsiri ya Neno la Mungu ipo na itaendelea kuwepo. Kama kuna watu wanatapeliwa vyombo vya dola vipo. Watanzania si wajinga kiasi hicho wanajua wanachokifanya, sidhani kuna mtu analazimishwa kuabudu kanisa fulani. Neno la Mungu latutaka kuonyana kwa hekima - hekima ya kutosha inahitajika.
@kuhaninamtumesamwelimalema5073
@kuhaninamtumesamwelimalema5073 Жыл бұрын
Kabisa
@amissmuss7122
@amissmuss7122 Жыл бұрын
Sema mtumishi ili tupone
@jonathanmwakai2821
@jonathanmwakai2821 Жыл бұрын
Mungu akubari na asimame nawe Amen .
@bigmandubesamuelndetsa268
@bigmandubesamuelndetsa268 Жыл бұрын
Asante kwa huu ujumbe kali siyo tu Tanzania 🇹🇿 ni Africa mzima hata kwetu congo 🇨🇩 ni hatari zahidi. Wa kristo fanye piya angalisho ku amini kila mutu , anaye Kuja katika jina LA yesu . Kwa nini muna wapa pesa zenu Hawa wa mwizi ambao wame fichama ju ya jina la yesu. Huu mumishi Mungu amu tiye nguvu zaidi.
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Piga kazi Cassiani unaeleweka,kuwa na moyo mkuu 📖💪🏹🔥(ISAYA:58:1, ISAYA:60:1)
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 Жыл бұрын
Ubiri Habari Njema sio machungu yako kwa watu
@kuhaninamtumesamwelimalema5073
@kuhaninamtumesamwelimalema5073 Жыл бұрын
Kabisa
@joshualeonard1375
@joshualeonard1375 Жыл бұрын
Nyumba ya Baba yangu sio pango la wezi . Na yesu hakuwaombea wezi bali aliwatandika viboko na kuharibu mali zao .Ujambazi hata Yesu haupendi aliamua kutumia nguvu za mwilini kupambana na wala sio za Rohoni
@Akinyisafi
@Akinyisafi Жыл бұрын
AMEN 🙏 🙏 MWINJILISTI MUNGU AKUONGOZE HATUA ZAIDI AMENA
@veronicakayungi
@veronicakayungi Жыл бұрын
Mtumishi ni vema ukahubiri injili lkn kuna wakati najiuliza kwanini unataka kufanya kazi ya Mungu? Vita na watumishi wenzio vinatoka wapi,sasa ikiwa wewe ni mtumishi ni vema unaanza kuwasema watumishi wenzio badala ya kuwaombea?
@zionembassytv5672
@zionembassytv5672 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana,jitahd ku stick katika ulichoitiwa,lakini Kuna uhuru wa kuabudu kwann usianze na waganga wanaoabudu shetani,kingne wewe ni mpiga deal kwasababu mwsho wa siku unaomba watu wakuchangie pesa ..mwizi tu nawe
@antonyluvanga6362
@antonyluvanga6362 Жыл бұрын
Laaa pole uliaza na mwamposa nyeye amenyamaza kimya unamana wale watu wote niwajinga wakaibiwe nakwmbia ukweli hapo umeenda kimwiki
@tinnerphillip615
@tinnerphillip615 Жыл бұрын
Kwa Mungu hakuna Mashindano,wote tuna haki sawa,wewe hubiri kwastaili Yako uwavute wateja wako,siyo utafute umaarufu kwakuwachafua wengine!!!Mungu hapendi pia,Yaani mtu atumie chumvi,mafuta ugali au chochote kile kinachofanya kazi niimani,ukiwa naimani thabiti Kwa Mungu utapokea hitaji lamoyo wako!!! So usituvuruge nawivu zako NAROHO MBAYA
@academicrings769
@academicrings769 Жыл бұрын
Yaan chumvi ,vitambaa Ni ushetani Kama huelewi we bisha tu utaona mbele yako Kama na wewe Ni wake wale Rudi uokoke
@agathajohn5358
@agathajohn5358 Жыл бұрын
Sema shida y'ako acha Maneno mengi
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 Жыл бұрын
Kweli kabisa. Mungu akubariki sana mtumish wa Mungu.
@barakamasanja6728
@barakamasanja6728 Жыл бұрын
Kweli kabsa mtumishi wa MUNGU ALIE HAI ubarikiwe sana MUNGU AKULINDE NA AKUONGEZE ZAIDI
@everlynenanjala9747
@everlynenanjala9747 Жыл бұрын
Hakika mungu anamtumia pascal Kama vile Yona kwa inchi ya ,ninawi, kwa Bible , enyi manabii na mitume muyasikie haya na mtubu MUNGU ni warehema atawasamehe msibadilike, mulianza na roho munamaliza mwili ,,mafuta , maji, chumvi, vitambaa, vilitokea wapii kwa wapendecote, ole ole ole wenu,,,,
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@bibishemartha4378
@bibishemartha4378 Жыл бұрын
Upewe ulinzo pastor umejitoa sana 🙏🙏
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ulinzi anatoa Mungu akifa si basi atakuwa amemaliza Kazi
@mayamonabeatrice6823
@mayamonabeatrice6823 Жыл бұрын
Very very true ubarikiwe sana mtumishi
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 Жыл бұрын
Ubarikiwe kweli hapo unafanya KAZI ya Mungu kweli endelea Mbele hakuna wa kukuzuia mpaka mwisho wa matepeli wa injili ufike mwisho hakuna wa kukutisha Songa Mbele Mtumishi
@williamagondo4376
@williamagondo4376 Жыл бұрын
Vumiliya mtumish wa Mungu nilazima Yesu afanye kitu ,kwakuwa bwana Yesu hashindwi lolote nilazima aingiliye Kati ya hilo jambo,na utashinda
@shubimuta1972
@shubimuta1972 Жыл бұрын
Amen mtu wa Mungu Pascal ninajua jambo hili linakukela ata mimi pia lakini hili jambo sio la raisi la kulitekeleza na serikali yaka bali jambo hili ni la Mungu kulitekeleza ukisoma kitabu cha Mathayo 13:24-30 hili maandiko yatimie. MATHAYO 1324-30 "(24. AKAWATOLEA MFAANO MWINGINE,AKISEMA, UFALME WA MBINGUNI UMEFANANA NA MTU ALIYEPANDA MBEGU NJEMA KATIKA KONDE LAKR; 25. LAKINI WATU WALIPOLALA AKAJA ADUI YAKE AKAPANDA MAGUGU KATIKATI YA NGANO AKAENDA ZAKE. 26. BAADAYE MAJANI YA NGANO YALIPOMEA NA KUZAA YAKAKAONEKANA NA MAGUGU. 27. WATUMWA WA MWENYE MYUMBA WAKAENDA WAKAMWAMBIA, BWANA, HUKUPANDA MBEGU NJEMA KATIKA KONDE LAKO? LIMEPATA WAPI BASI MAGUGU? 28. AKAMWAMBIA ADUI MDIYE ALIYETENDA HIVI. WATUMWA WAKAMWAMBIA, BASI, WATAKA TWENDE TUKAYAKUSANYE? 29. AKASEMA, LA, MSIJE MKAKUSANYA MAGUGU, NA KUZINGOA NGANO PAMOJA MAYO. 30. VIACHENI VYOTE VIKUE HATA WAKATI WA MAVUNO; NA WAKATI WA MAVUNO NITAWAAMBIA WAVUNOA, YAKUSANYENI KWANZA MAGUGU, MYAFUNGE MATITA MATITA MKAYACHOME; BALI NGANO IKUSANYENI GHALANI MWANGU. Maelezo: MAGUGU NI WANA WA YULE MUOVU IBILISI AMBAO NI MITUME WA UONGO,NABII WA UONGO, WAIJILISTI WA UONGO NA WACHUNGAJI WA UONGO LAKINI NGANO NI WANA WA MUNGU AMBAO NI WATIMISHI WA MUNGU WA KWELI.
@tinnerphillip615
@tinnerphillip615 Жыл бұрын
Nani katapeliwa,anaekudikiliza hajui maana yaimani,endelea kuhangaika nachuki Yako nafitina zako.Unachokifanya niaibu kama mkristo,haiwezekani muumane nyie Kwa nyie wakristo.Siri yaimani ndiyo humsaidia mtu,wewe nadhani unachuki zako tu nawivu,unatamani kuwa kama Fulani uwe maarufu naunashindwa unabaki kuhangaika nakupika majungu,pole sana wewe Baki naimani Yako nauwaache wengine wabaki naimani Yao,Wewe siyo Mungu nahata uanze kuwahukumu wengine!!!!ACHA WIVU NAROHO MBAYA YAKUTOPENDA MAFANIKIO YAWENZAKO !!KWAMUNGU HAPANA MADHINDANO!!!
@kavirajanine4893
@kavirajanine4893 3 ай бұрын
Kweli kabisa wanasema Letapesa nambaiyi Nitumiye nitakuombeya Niwamwizi nihatari kabisa Wtapeli wamekuwa wamwizi Mujinala kristo
@kaburachristella1118
@kaburachristella1118 Жыл бұрын
Barikiwa
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Жыл бұрын
ONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU,UMENENA KAMA BWANA ALIVYO KUAMURU,UMEPELEKA UJUMBE KAMA EZEKIEL ROHO IZO HAZITADAIWA MIKONONI MWAKO,UMENENA HILA HILI JAMBO LIKO ROHONI NA MWILINI KWAIYO HAPA INAGITAJIKA WATU WA ROHONI SANA KULIELEWA,LAKINI PIA HATA MWILINI LIMEELEWEKA.MUNGU AKULINDE
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Tupe neno Paso Fanya kazi yako pia siku ya mwisho kila mtu mbele ya Mungu atatoa yesabu yake mwenyewe
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Hawa matapeli 🤣🤣 wamefanya ,watu wale wanatenda dthambi , hata hawana haja ya kuokoka ,,wapashe kanisa mtumishi 🔥
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
UKISOMA BIBLIA WAFLME NA WAKUU WA NCHI WANAPO SHINDWA WANAWATAFUTA WATUMISHI WAMUNGU WATATUE JAMBO HILO DANIELI 4:1-37 MWANZO 41:1-57 LEO WATUMISHI NDIO WANAO TAFUTA WAKUU WANCH wawasaidie HATARII sasa HII
@eunicebahati2542
@eunicebahati2542 Жыл бұрын
Usiogope midomo ya wanadam wewe muogope MUNGU peke yake hubiri usichoke tunakuombea
@leonardsamson2845
@leonardsamson2845 Жыл бұрын
Ulitakiwa kuwasaidia waliyotapeliwa kufika kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondo wake. Nje ya hapo unabwbwaja. Unadhani serikali mpaka inatoa usajili hwajiridhishi? Unataka watu wote waendeshe ibada kwa mfumo wa EAGT?
@danieliagustinotz
@danieliagustinotz Жыл бұрын
Sema tuponi mtumishi
@yusuphusaimoni4182
@yusuphusaimoni4182 Жыл бұрын
Mmmmmmmm sijakuelewa sanaaaa ninachoona ndani yako ni wivu tu
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu Жыл бұрын
Pascal .kaisali aiwezi kwa sababu yesu alitabili yatatokea. MATHAYO 24.1 lazima yatimie yote Ndipo yesu anarudi.
@susumilakasainekasaine7214
@susumilakasainekasaine7214 Жыл бұрын
Amen
@MwakaSichone
@MwakaSichone 4 ай бұрын
Mungu atakulinda kivyovyote vile , tunajua juu yaukwer kuna vita Kali sana. Lakn Kama Mimi nakuombeya kwa mungu. Alie umba mbingu na nnch akulinde Maisha yako yote.
@michaelmwadete8078
@michaelmwadete8078 Жыл бұрын
Ajidhaniae kuwa amesimama aangalie asianguke,simama kutangaza dhambi mtumishi,makanisa kuongezeka ni mpango was MUNGU ,hats selikari iingilie kama watu wasipolijua neno ni kazi Bure,bibilia yasema watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa,kazi tuliyonayo ni kutangaza maarifa na kuomba MUNGU awalinde watu dhidi ya manabii was uongo
@siporajemes773
@siporajemes773 Жыл бұрын
Mungu akuhurumie sana pasichal km unaona wako vibaya niwatumishi wa shetani waombee hata ukishitakia unapoteza mda soma Efeso 6=12
@GeorgeSebatian
@GeorgeSebatian Жыл бұрын
Namuelewa sana naomba tumuombee sana kwani anakazikubwa sana na nikazi bola san
@lazarokakanyionline
@lazarokakanyionline Жыл бұрын
Mtumishi nakusalim kwa jina la yesu mungu akupe nguvu ya kuendelea kuhubiri lakini ninalo ombi kwako naomba namba yako ya WhatsApp Nina shida na wewe kuhusu ondoa hofu ma a na nipo pmoja na wewe tafadhali nope🙏🙏🙏
@jameskatumbi9791
@jameskatumbi9791 Жыл бұрын
# ubarikiwe mtumishi tuko pamoja apa south Africa
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 Жыл бұрын
Lakini pia watu waache uvivu wasome Biblia watajua Yesu alisaidiaje watu.
@HawaOman
@HawaOman 21 күн бұрын
Wewe siulisema kiboko nitapeli nawakati watumishe wengine wanapokea milio moja na nusu kiboko laki tano imekua shiad
@emilychuol3125
@emilychuol3125 Жыл бұрын
Mwinjilisti pascal kilichoandikwa kwenye biblia lazima itimiea hayo ni maandiko, kwa hivyo kama umesoma bible vema omba sana mwenyezi mungu atawaweka wazi kwa wakati wake omba omba sana maana Mtumishi hata kwa agano la kale walikuepo .please get on your knees and pray for your nation rather than complaining on media. Be blessed.
@chancealimasi1946
@chancealimasi1946 Жыл бұрын
MUNGU akupe nguvu usonge mbele bila wonga ,MUNGU afanye kazi ka mama yetu huu ujumbe umufikiye na ahufanyiye kazi, ujumbe huu uende na nguvu za MUNGU
@chancealimasi1946
@chancealimasi1946 Жыл бұрын
Kwa mama yetu sorry
@augustinokahinda3939
@augustinokahinda3939 Жыл бұрын
@@chancealimasi1946 nimekuelewa 🤣🤣🤣
@jamespeter882
@jamespeter882 Жыл бұрын
Casian umekua mjinga sana wewe unataka nini kiongezeke bar au vilinge vya waganga.unatoa puvu bure tutafungu makanisa hadi nyumba kwa nyumba.waliokuajiri wameferi
@fangavenascosmas4956
@fangavenascosmas4956 Жыл бұрын
Poa kabisa kwa ujumbe wako
@piusjuma7384
@piusjuma7384 5 ай бұрын
Hacha wivu....kwa kuwa hauna wito ndyo maana unabweka..wew unakuuma nini kama wenyewe hawalalamiki
ORODHA YA WAIMBAJI WALIO MEZWA NA KUZIM TAYALI EV PASCHAL CASSIAN
38:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
KUHANI MSA NI MWALIM WA UONGO. NA NABII JODEVI NABII MKUU EV PASCHAL CASSIAN
30:26
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 67 М.
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
CASSIAN AMGEUKIA MBARIKIWA NI MJINGA SANA HUYU MCHUNGAJI
1:24:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 29 М.
CASSIAN AWAEKA WAZI MACHAFU YA PIDIDI NA DAIMONDO EV PASCHAL CASSIAN
43:07
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 29 М.
PASCHAL CASSIAN- MWANAUME NI MWANAUME TU!
5:22
Joakim work production
Рет қаралды 1,6 М.
WASIKUTAPELI. NA KUKU IBIA UKWELI HUU EV. PASCHAL CASSIAN
34:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 39 М.
CASSIAN AWAGEUKIA&ROZI  NA PASTA EZEKIELHAKUNA ALIE KAMILIKA EV PASCHAL CASSIAN
39:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2,7 М.
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Wasafi Media
Рет қаралды 664 М.
SIRI YA FICHUKA NABI MKUU ANAVYO IBA KUUWA WAUMINI WAKE KATIKA ROHO  EV PASCHAL CASSIAN
48:32
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 25 М.
MKE WANGU ALIOLEWA NA MWANAUME MWINGINE KISA UMASIKINI WANGU EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 47 М.