SADAKA YA FUNGU LA KUMI KWENYE AGANO JIPYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 14,283

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Sadaka ni kitu cha kiroho ambacho kinaweza kuleta baraka kwenye maisha ya mtu au kikaleta laana.Sadaka iendayo na uaminifu huleta baraka lakini iendayo na udanganyifu huleta laana na hata mauti katika vitu vingi.Kama mtu unajua nadhiri uliyoweka hutoweza kuiondoa ni afadhali kutokuweka maana hugeuka na kuwa dhambi ikiwa haikutekelezwa.
Karibu ujifunze namna sadaka ya fungu la kumi inavyofanya kazi katika maisha yetu.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: kzbin.info/door/67L...

Пікірлер: 21
@bishopjohnrudin5753
@bishopjohnrudin5753 2 жыл бұрын
somo nzur sana mtumishi niliona matokeo ya sadaka ya nadhiri
@samanthamueni6322
@samanthamueni6322 Жыл бұрын
Mafunzo yamenibariki kweli nashukuru Mungu kwa sababu ya mtumishi wake Bella God bless you so much Sir 🙏🙏🙏
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@marymachete9152
@marymachete9152 3 жыл бұрын
Asenta mungu kwa majungu ambaye mume aliyenipetishia na shukuru ulikuwa na sababu kunijenga.imani yangu
@sarahwaswa5819
@sarahwaswa5819 2 жыл бұрын
Asante sana mafunfundisho mazuri
@jansidorkas2749
@jansidorkas2749 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe watumishi wa mungu bella na sambatwa mekuwa wa msaada sana kwangu
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 жыл бұрын
tuned
@jansidorkas2749
@jansidorkas2749 3 жыл бұрын
Na asante kwa kuto delete ibada ya jumapili juu huwa nafatilia sana kila kipindi mungu awabariki
@zitashio7920
@zitashio7920 2 жыл бұрын
Nataka nijuwe namna ya kutengeneza spiritual network kwenye nyumba ninayoishi
@angumbwikeanangisye9766
@angumbwikeanangisye9766 3 жыл бұрын
Amina! Some zuri, nimepata uelewa zaidi
@nagheshio3174
@nagheshio3174 2 жыл бұрын
Bwna azidi kuachilia maarifa ndani yako uzidi kutudundisha ili tuziangamizwe.
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 жыл бұрын
Amen
@marymachete9152
@marymachete9152 3 жыл бұрын
Amen amen
@ismaelmwangemi1617
@ismaelmwangemi1617 3 жыл бұрын
mafundisho mazuri
@kingwiseman6631
@kingwiseman6631 3 жыл бұрын
So great lesson man of God
@mildredwekesa5844
@mildredwekesa5844 2 жыл бұрын
Ameen,nmebarikiwa zaidi na pia nmejua nitamtolea Mungu kwa upendo nadhiri yangu eMungu nipe ngugu maishani
@samwelchilijila
@samwelchilijila Жыл бұрын
HII NDIYO NEEMA,NI SEHEMU YA MAISHA YOTE
@bajbernad2284
@bajbernad2284 10 ай бұрын
Nikuwa sjui Ila sasa nimeelewa mchungaj
@zitashio7920
@zitashio7920 2 жыл бұрын
Mchungaji nisaidie
@davidmweni5523
@davidmweni5523 2 жыл бұрын
Kuna Ni David Maitha kutoka Kenya nimekuwa nikisumbukia Hali ya afya ya mamangu bila fanaka.Tumeomba,tumefunga tumeenda hospitali Ila Hali yke haija improv hata baadae yakutoa sadaka nakutekeleza masharti ya waombezi.Shida ynyewe nkama mamangu akili yake ilipotea
MADHABAHU INAPOJIBU - BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:34:36
Reality of Christ Church
Рет қаралды 13 М.
ZAKA (fungu la kumi) HATUTOI ILI TUBARIKIWE
1:31:36
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 52 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 36 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 58 МЛН
FUNGU LA KUMI KATIKA AGANO JIPYA - MWL. HURUMA GADI
22:11
Mwalimu Huruma Gadi
Рет қаралды 18 М.
ROHO YA MAUTI NA UHARIBIFU (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:28:22
Reality of Christ Church
Рет қаралды 13 М.
NAVUKA   PASTOR JOHN SEMBATWA MWANZA
1:24:51
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 282
Zaka / Fungu La Kumi Na Sadaka - Sehemu 1
12:58
IDHAA YA UKWELI
Рет қаралды 13 М.
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
JUA NAMNA YA KUVUKA VIZUIZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA
1:46:11
Reality of Christ Church
Рет қаралды 58 М.
IJUE FAIDA YA KOTOA SADAKA YA FUNGU LA KUMI-Pastor Myamba
21:40
Pastor Myamba
Рет қаралды 8 М.
SADAKA YA AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:04:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 18 М.