ROHO YA MAUTI NA UHARIBIFU (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 13,746

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Roho ya mauti na roho ya uharibifu ni roho kamili zinazofanya kazi pamoja.Kabla mauti haijafika uharibifu hutangulia kwanza.Mtu akiwa makini kuhusu kuchunguza kama kuna uharibifu kwenye maisha yake ni rahisi zaidi kuepuka mauti kutokea.
Karibu usikilize somo hili kutoka kwa Pastor Sunbella Kyando ambalo limeambatana pia na maombezi.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....

Пікірлер: 27
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi 11 ай бұрын
Tunahitaji watumishi wa Mungu kama hawa kwa kizazi hiki chenye kinahitaji miujiza wala sio neno 😭😭😭😭🙌🙌🙌Mungu turehemu.
@happinesspatrick3902
@happinesspatrick3902 2 жыл бұрын
Nakushukuru Mungu kwa ajili ya Mtumishi wako.Kupitia somo hili na maombi haya naomba Mungu unifungue.🙏🙏
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 3 жыл бұрын
Asante sana mtumishi ...jopo nilichelewa kulipata somo hili lkni Mungu alikua na kushudi na mimi umeongea nami....Mungu akubariki sana baba nakufatilia nkiwa saudia
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 2 жыл бұрын
Ahsante BWANA YESU, Ubarikiwe sana MTUMISHI WA BWANA 🙏
@ryeidaupendo4834
@ryeidaupendo4834 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Baba nakufatilia sana niko Bukoba nahamin ipo siku ntafika apo kanisani kwa ajili ya maombezi,ubarikiwe kwa neno la Mungu unalotuletea unatupa ufaham sana
@davidshauritanga1204
@davidshauritanga1204 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana, mimi nakuelewa af kwenye simu naona ninapona, na ninatoka nilipo kwama
@mamaneemia9233
@mamaneemia9233 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki mtumishi Mimi naponana kupitia simu yangu
@magrethhaule4765
@magrethhaule4765 3 жыл бұрын
ubarikiwe baba Mungu azidi kukupa neema yakua pamoja nasi
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@filbertmwakatapa7245
@filbertmwakatapa7245 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana mtumishi naona kama unayagusa maisha yangu Mungu nisaidie nitoke gizani
@FLORENCEMAJANIONE
@FLORENCEMAJANIONE 2 жыл бұрын
Nimeguswa sana
@luckyvitalis7235
@luckyvitalis7235 3 жыл бұрын
Sina lakusema ila namrudishia Yesu sifa na utukufu maana this was meant to me and am free i will send my sacrifice to clear this in Jesus name amen 🙏 🙌
@luckyvitalis7235
@luckyvitalis7235 3 жыл бұрын
Father God shall use you more the day I saw this clip it was the days i was going through spirit of death but suddenly when I was such for prayers in you tube then I met this clip it was so late that I knew that I had a spirit of distraction before but I didn't know that so sad now I see death in the dream but thanks God I still can pray please papa pray for me to get out of this spirit of death my namebis Epifania Vitaliy shayo thank you God bless you
@mightytan3844
@mightytan3844 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi nimefunguliwa
@manaseluhumbika5354
@manaseluhumbika5354 3 жыл бұрын
This has been very helpful to me. Be blessed Minister
@neemakimaro3470
@neemakimaro3470 3 жыл бұрын
Nimepokea kwa jina la YESU KRISTO
@lilyfelix5959
@lilyfelix5959 3 жыл бұрын
Amen baba kwa somo hili
@luckyvitalis7235
@luckyvitalis7235 3 жыл бұрын
I was the oss of a big company with my husband but now after this spirit of distraction we have nothing anymore thanks God we are still alive 🙏
@janeochanda2481
@janeochanda2481 2 жыл бұрын
Amazing teaching.
@joedaud7061
@joedaud7061 3 жыл бұрын
Neno zuri nimebarikiwa, nina imani Mungu ameleta neno lake linivushe
@sikujuasteven4323
@sikujuasteven4323 3 жыл бұрын
Najiunganisha na madhabahu hii kira roho ya mauti na uharibifu isambaratike kuwanzia sasa kwa jina la Yesu
@newgeneration9524
@newgeneration9524 3 жыл бұрын
Jamani Arusha mnakuja lini
@husnakibwana6944
@husnakibwana6944 3 жыл бұрын
Amen
@aquilineanthony1115
@aquilineanthony1115 3 жыл бұрын
shaloom maombi haya yalifanyika lini? je kuna mwendelezo wa siku ya tatu naomba kufahamu ili niendelee nalo kwa kuwa limenibareiki sana
@evalynedenis
@evalynedenis 3 жыл бұрын
Muendelezo ni jumapili hii ijayo
@rehemamatemba6233
@rehemamatemba6233 3 жыл бұрын
karibu leo ni muendelezo.
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 3 жыл бұрын
Naamin MUNGU atoniacha nilivyo ktk NENO hili
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 3,3 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:21:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 31 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 7 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,9 МЛН
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 126 МЛН
NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:15
Reality of Christ Church
Рет қаралды 49 М.
NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 2
1:46:53
Reality of Christ Church
Рет қаралды 90 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 21 М.
NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
52:58
Reality of Christ Church
Рет қаралды 35 М.
HOFU INAVYOWEZA KUWA MLANGO WA KUSHINDWA KWAKO - MIN.SUNBELLA KYANDO
1:01:30
Reality of Christ Church
Рет қаралды 100 М.
MAADUI TUNAO PAMBANA NAO
1:12:04
Reality of Christ Church
Рет қаралды 62 М.
LEO YAKO NI MATOKEO YA JANA. (SEHEMU YA KWANZA) BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 13 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 45 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 7 МЛН