SAKATA LA WAMASAI WA LOLIONDO KUHAMISHI LACHUKUA SURA MPYA, MAHAKAMA YATOA MAAMUZI HAYA

  Рет қаралды 5,390

HABARI 24

HABARI 24

Күн бұрын

Пікірлер: 8
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 Жыл бұрын
Hawa ukweli wanatumiwa,,iweje watu Wanapelekwa kwenye neema wao wanaotaka kukaa kusiko na huduma yoyote ya kijamii,,,,hebu tujaribu kufikiri Kuna Nini nyuma ya pazia ????tujuzane faida na hasara zake badala ya matusi,,,
@FestoMunishi
@FestoMunishi Жыл бұрын
Wewe skrepa tu eti wanapelekwa kwenye Neema hwatki cz we umeona hiyo Neema acha ushoga unasema kitu hujajua madhara yak wap cz haujiulz kwa nini wahamishe walt mipaka yote ndo maisha yaliko
@jeromejosia-zp7gr
@jeromejosia-zp7gr Жыл бұрын
Hv hilo eneo lina nn mbona hii nchi hapo nyuma haikuwa hv
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Жыл бұрын
Kaka Samia nimama wakambo nakukumbusha tu
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Жыл бұрын
Munapata tabu bure tu dawa yake asipigiwe kula tu yeye na chama chake cha CCM
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Жыл бұрын
Tena huyu si mzanzi
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Жыл бұрын
Kwani mama anataka kuwaweka wapi Jamii ya Wamasai?. Mbona sielewi?. Wacha tumwamini Mungu mkuu mtetezi wa haki. Amen.
@sansidaonline7919
@sansidaonline7919 Жыл бұрын
kulikoni apo
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Agreement with the U.S. / Ukraine’s Statement on Ending the War
13:26