Usisahau kusubscribe katika channel yetu. Tumsifu Yesu Kristo!
@nyanyimarwa26376 жыл бұрын
Milele amina
@jacksonndalo96206 жыл бұрын
naomba nitumie whatsap tafadhari naomba
@albertamligo13506 жыл бұрын
Biblia takatifu
@albertamligo13506 жыл бұрын
Inatupa uzima Wa milele tusome tuielewe vizur Biblia takatifu na mwalika kila mmoja binafsi Amina
@johntuhurumiesisinadunianz23186 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkristo
@godsonjustintarimotarimo2235 жыл бұрын
Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima Tumsifu Yesu Kristu amina
@arttilioemiliam24193 жыл бұрын
KWAAJILI YA MATESO MAKALI YA YESU UTUHURUMIE MIMI NA FAMILOA YANGU NA NCHI YANGU NA DUNIA NZIMA. AMINA
@stanleyraphael7145 жыл бұрын
Utuhurumie sisi na Dunia nzima, hakika baraka zako Mungu zipo ndani ya Rosari takatifu... Amina
@phijoma1025 жыл бұрын
Hii sala inanipa amani sana,inanguvu inanitendea miujiza kila nikiisikiliza usiku..... Kwaajili ya mateso makali ya Yesu,.. utuhurumie sisi na dunia nzima..Amina
@rebbecalundu31194 жыл бұрын
Amen pia mimi inanipa moyo Kwa ajili ya mateso makali ya yesu hutuurumie Sisi🙏🙏
@jovitakakulu64594 жыл бұрын
Amina
@hannahndichu14154 жыл бұрын
Thanks amen
@maggiemaish657 Жыл бұрын
Who else when listens to this ,gets instant peace of mind 😢😢
@johnkiragumwangi48165 ай бұрын
Me here,I used to listen when I was soo down in 2019-2020,it was giving alot
@elizabethkatamba21196 жыл бұрын
Najivunia UKATOLIKI wangu. Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na dunia nzima. Amina
@yustinabubinza3648Ай бұрын
Kwaajili ya mateso makali ya Yesu nihurumie mimi na familia yangu na dunia nzima, uwaponye wazazi wangu katika kifungo cha Magonjwa na nipate kibali na nafasi kazini
@laivethlazaro38496 жыл бұрын
Kwa ajili ya mateso makali ya YESU... Utuhurumie sisi na dunia nzima. Amina
@agnesmichael88375 жыл бұрын
Amin
@pilisamiruna93985 жыл бұрын
prisca mlali kwaajili ya mateso ya makali yesu utuhurumie sisi na dunia nzima
@faithmueni47475 жыл бұрын
Laiveth Lazaro 7
@salhaheko34125 жыл бұрын
Utuurumie sisinadunia zima🙏😚😚
@carolmaina14474 жыл бұрын
Utuhurumie sisi na dunia nzima🙏
@laurachepwogen80024 жыл бұрын
during this time when we are in fear because of corona virus kwa ajili ya mateso makali ya yesu utuhurumie sisi na dunia nzima please God have mearcy the whole world is crying
@gloriahmutuku42116 жыл бұрын
Amen. i felt like I was already in heaven with angels when reciting the rosary. Hongera to all those who came up with it,,blessings
@irenekinyashi63015 жыл бұрын
gloriah mutu
@janicemuthoni95765 жыл бұрын
Well said. Thanks to all hold and teach the catholic faith in all Nations and Communities.
@KevinSila4 жыл бұрын
Imagine we tell God "Kwa ajili ya mateso makali ya yesu, uturuhumie sisi na dunia mzima." God is real.
@sillaasiemapesa53064 жыл бұрын
Same to me
@battyomabene4824 жыл бұрын
All come with me pleeeeeese enter all the world in heaven there is alot of room for you to be successful first except the father, son and the holy spirit 🥂❤️👋🙏🙏👋
@angelanikalenga47575 жыл бұрын
EWE YESU KRISTU Mwenyeuruma unihurumiye naunikumbuke siku ya kiyama amina
@pascalinahkapinga90725 жыл бұрын
Kwaajili ya mateso makali ya Yesu Kristu utuhurumie sisi na Dunia nzima..Amina
@felisterligwa4 жыл бұрын
Yesu ninakutumainia,Huruma yako ituepushe na janga la Korona Amina
@mukethamutembei95935 жыл бұрын
I CANNOT HOLD MY TEARS ...KWA AJILI YA MATESO MAKALI YA YESU..UTUHURUMIE SISI NA DUNIA NZIMA..DIVINE MERCY
@davidkuria67795 жыл бұрын
Yesu mwenye huruma tuhurumie
@edwardmaivaji12355 жыл бұрын
@@davidkuria6779 nimefurah xana kuixikia salav
@josephmremi13355 жыл бұрын
i proud to be a catholic GOD BLESS ALL CATHOLICS IN ALL OVER THE WORLD
@br.bonaventurejndyanabo8085 жыл бұрын
Huruma ya Mungu ni kuu mno kwetu na Mungu ndiye huruma yenyewe kwani bila huruma yake tungekwishateketezwa wala asingesalia hata mmoja. Ee Mungu,Utuonee Huruma sisi viumbe wako dhaifu,wanyonge na wadhambi sana.
@PaulineWanyoike-ir4lz Жыл бұрын
Amina
@victormtenga63485 жыл бұрын
KWAAJILI YA MATESO MAKALI YA YESU, UTUHURUMIE SISI NA DUNIA NZIMA
@carolineruguru52945 жыл бұрын
Hongera sana kwa VIncentian priests and Nuns Waliounda hii rosari kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu......The Vincentian Ministries All over the World...
@santusmystica75374 жыл бұрын
Aliyeunda hii rosari ni Kristu mwenyewe kupitia St Faustina.
@kokokamba94244 жыл бұрын
On
@marlenezaina21966 жыл бұрын
Mungu bariki wakatoliki wote duniani pia wape uvumilivu kwa mateso wanayopitia ktk baadhi ya nchi. AMEN
@marlenezaina21966 жыл бұрын
Amina
@judithmoraa96815 жыл бұрын
Amen
@jessembai1695 жыл бұрын
Amen
@veronicaalfred57394 жыл бұрын
Amina
@veronicaalfred57394 жыл бұрын
Amina
@rachelranyawa54584 жыл бұрын
Kwa ajili ya makosa yetu ...yesu utuhurumie ...Amina...na Kenya yetu utuhurumie yesu ...twakuomba..Amina
@sisisisilia48986 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki hakika Mungu wetu ni mwema
@emmabukuku85976 жыл бұрын
Hongera sana
@kelvinasengaforgeneo62656 жыл бұрын
Mungu yu mwema
@doreengatwiri32766 жыл бұрын
Kila wakati
@deogratiasmlacha90476 жыл бұрын
Aminaa
@emanueljonh40995 жыл бұрын
Sisi Sisilia ➕➕🅰🅰🅰➕➕ 🍀🍀😊😊😊🍀🍀 📖📖🙏🙏🙏📖📖
@gratienrushari24714 жыл бұрын
Aksanti sana Mungu wa Huruma tele. Ukumbuke Jimbo la Goma na mtaa wa Rutshuru. Huruma yako ishuke juu yetu sisi na duniani kote.
@evamringo23314 жыл бұрын
Yesu ndie njia ya kweli .. tumpokee awe Bwana na Mwokozi wa maisha yetu ili atuokoe amen
@TheMshockey6 жыл бұрын
Hili ni sala ya kila saa tisa na inasaidia pakubwa sana kukuwa kii imani, Nafurahi sana kuwa mkatoliki.... Tumsifu Yesu Kristu
@chancebirebocottv61504 жыл бұрын
tunaisali kwa kuimba ama?
@battyomabene4823 жыл бұрын
Amen uor lord Jesus christ is amazing and ready to take care everywhere and the holy spirit love, 👋🥰➕💕❤️💟
@carodmtonyi25062 жыл бұрын
I love u jesus Amen 🙏🙏
@elizabethmassawe69411 ай бұрын
Amina
@cassianbuwa1085 жыл бұрын
Eeeeeeh!!! Mungu baba wabarriki wakatoliki wte dunian
@abibaassani96922 жыл бұрын
Thank You,Lord Jesus,for diying for my sins,the sins of my family members and for all the world. I love You,Lord Jesus Christ.Amen !❤❤❤🙏🙏🙏😍
@battyomabene4823 жыл бұрын
God is Amezing to all over the world together with our enemy the name of the father and the son and the holy spirit together with mercy, love oneather, joy, peace, humble, joy, freedom, forgiveness, respect, humble, harmony together 🙏👋➕👨👩👦💪👋🙏💐💟😇Together Amen
@gracekanyingi14064 жыл бұрын
Praying for my brother John who's is fighting his life in the ICU lord your mercy is enough whisper a word of healing in his sick bed surround him with your Angel's at this hour calling for devine mercy
@samsonhenerco2684 жыл бұрын
Mungu wetu nimwingi warehema tumsifu SKU zote za maisha yetu,amina
@gosbertrwezahura36453 жыл бұрын
Tunamuombea. Bikira Maria msaada wa wagonjwa, utuombee.
@maggiemwangi7965 Жыл бұрын
Isaiah 53:5 But he was pierced for our transgressions, he was crushed for our iniquities; the punishment that brought us peace was on him, and by his wounds we are healed
@carolinemuteti4926 Жыл бұрын
Lord have mercy on me and my family
@carolineruguru52945 жыл бұрын
Kwa Ajili Ya Mateso Makali Ya yesu,utuhurumie Sisi Na dunia nzimaaaaaa...Amen..
@catherinenjambi82663 жыл бұрын
The kind of peace am feeling right now thank you Mother Mary..thank you Jesus...thank you all saints thank Mother Teresa of Calcutta...this rosary is peace peace
@peterodhiambo13044 жыл бұрын
What a touching catholic prayer! B blessed. Amen.
@gosbertrwezahura36453 жыл бұрын
Whoever composed this masterpiece is blessed indeed. The song is heavenly and angelic!
@battyomabene4823 жыл бұрын
God loves all the world even our enemies together Amen trust the name of the father and the son and the holy spirit together 😇👋🥰🙏➕💜🤑
@esterwilliam69774 жыл бұрын
Kwa jina la Baba,mwana na Roho mtakatifu.Ameen.
@jacklinekawiramuthomi13314 жыл бұрын
Watuzi wq hii wimbo mbarikiwe saana so nice Maria mtakatifu mama was mungu utuombee sisi wakosefu sasaxna saa ya kufa kwetu amina pround to be catholic
@mariamgachie164 жыл бұрын
Am proud to be catholic.
@annlemiso33835 жыл бұрын
I love my faith,For the sake of sorrowful passion have mercy on us and on the whole world. AMEN.
@njeshkarisnjeri25275 жыл бұрын
Nashukuru kupata hii sala you tube hua naskiza waumini sala ya 8:30 ,9:00 usiku proud to be Catholic mungu tuhurumie sisi sote yesu ulikufa kwa ajili yetu tusamehewe acheni tuzidi kuomba mungu wetu ni wadhamani hakuna mwengine
@siliviamushi41193 жыл бұрын
Amina Wana wa Mungu mnanibariki sanaaa🙏
@gracekagaruki89704 жыл бұрын
Jesus I trust in you
@michaellimu23325 жыл бұрын
Huruma ya mungu izidi kuwa na sisi wakosefu siku zote, Amina.
@levinawalegwa84424 жыл бұрын
Amen amen, proud to be a Catholic
@matthewmwangi35204 жыл бұрын
Kwa ajili ya mateso makali ya yesu utuhurumie na utuepusha na virusi vya corona amina
@gatoromuchee23674 жыл бұрын
Lord have mercy on us and on the whole world 🙏💔
@paulnalika77413 жыл бұрын
Lord have mercy on us and of the whole world Amen.
@annamusembi98855 жыл бұрын
Proud to be a Catholic. Amen and Amen
@lydiamutindi77874 жыл бұрын
Ee yesu utuhurumie Sisi na dunia mzima🙏🙏🙏🙏🙏
@stevenmajogolo59763 жыл бұрын
Atukuzwe baba na mwana na loho mtakatifu kama mwanzo nasikuzote namilele amina mubalikiwe
@brandyjohn50143 жыл бұрын
Amen..Mungu tunahitaji huruma yako..AMINA
@paulondiek13454 жыл бұрын
For the shake of its sorrowful person have mercy on us and the whole world.
@mwongelimuinde59942 жыл бұрын
I knew this song through sister linither when I used to work with in a certain dental clinic
@enatharutha76105 жыл бұрын
Kwa akili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na dunia nzima. Kupitia rozari hii fungus vifungo vyte Mungu wngu vilivyo fungwa kwangu niwe huru na nishudie ushindi wngu
@lucienjeri20483 жыл бұрын
Waow I love the song be blessed all
@nicholaskungu98605 жыл бұрын
kwa ajili ya mateso makali ya yesu , utuhurumie sisi na dunia nzima
@Capt_Willy5 жыл бұрын
Am proud to be Roman Catholic
@rosefidelis3836 жыл бұрын
amina najivunia ukristo wangu
@EmiliaKasalila8 ай бұрын
Kwa ajili ya mateso makaliya yesu kristo utuhurumie sisi na dunia nzima🙏🙏🙏
@Tabitharugongo3 жыл бұрын
Praying for my future life my God let my star ⭐ shine now I have suffered financially alot amen
@battyomabene4823 жыл бұрын
God our father forgive us our sins and cover with the blood of Jesus 2gether all over the world even our enemies 😇👋🙏🤑➕❤️💗💕Amen together with my lovely lord Jesus christ and my family ➕👋🙏
@trizagithinji42384 жыл бұрын
Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na dunia nzima.
@fridahmgani60344 жыл бұрын
Kwa ajili ya mateso makali ya Bwana wetu Yesu Kristu, Ee Mungu utuhurumie sisi na dunia nzima. Amina
@everlynkivondo96254 жыл бұрын
Baba wa milele tazama roho za Wana wako utuhurumie na utuondolee vikwazo maishani mwetu
@amonchalamila20316 жыл бұрын
Hakika sala hii ya huruma ya Mungu ni nzuri kweli hunifanya kila saa 9:00 usiku kuungana na radio maria kusali sala hii.Najivunia ukatoriki wangu
@majaliwajoseph1035 жыл бұрын
asante Eee munguwangu
@sylvestermbalazi95485 жыл бұрын
Kupitia sala hii hakika mm ni kiumbe dhaifu, mungu nihurumie.
@emmanuelmarko87765 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki mungu akapate kunibariki baada ya kumaliza novena hii. Nimeanza tar 5april to 13april2019 thanks AMENU UTUHURUMIE SISI NA DUNIA NZIMA
@sabinacarolyne38754 жыл бұрын
Mungu nihurumie Nile neema niwe na huruma kwa wengine.
@sarahosoro68533 жыл бұрын
Perfect prayer
@wilfredkimanthi75094 жыл бұрын
Mungu tusamehe sisi wanao ndunia yote kwa hili janga la corona virus ,tumekubali tumekosa ,we mungu twa kusihi uyasikie maombi yetu ...
@debzdeb84524 жыл бұрын
Huu uwimbo inanikubusha mbali😭😭😭 rest in peace dad, please God have mercy on my mum and the all of my family, please God heal my mum
@beatricewakio47253 жыл бұрын
Jesus ,I trust in you.Amen.
@leodgadimassawe59546 жыл бұрын
Najivunia Kuwa Mkristo Mkatoli
@angelkikoito49835 жыл бұрын
Kwa ajil ya mateso makali yako bwana Yesu, uturumie sisi na dunia nzima 🙏
@liberatusmwalongo96444 жыл бұрын
Amina sana
@battyomabene4823 жыл бұрын
Our father is in heaven will forgive and healing every disease all over the world even our enemies 🌹👋💟🤑➕🥰😇💐♥️👋🙏💐💪🙇♀️In the name of the father and the son and the holy spirit together 🙏Amen
@getruda8384 Жыл бұрын
Kwaajili ya mateso makali ya bwana wetu yesu Kristi utuhurumie Mimi na adui zangu Kisha tukapendane kwa uwezo wetu MUNGU nakuomba
@richelrachael16833 жыл бұрын
Amina,mungu tuongoze katika hii safari ya kwenda mbinguni
@mariaemilian58396 жыл бұрын
Kwa ajili ya Mateso makali ya Yesu ,Utuhurumie sisi , na Dunia nzima, hakika huu wimbo unatoa machoz, Mungu awabariki sana,
@gudluckmmarry25594 жыл бұрын
Mungu mtakatifu mtakatifu mwenyew ezi utuhurumie sisi na dunia nzima
@corneliusmaiyo56984 жыл бұрын
It's indeed satisfy the soul. We get spiritual nourishment through this prayer. It brings one close and have a personal reflection with God. The ectasy is maintained and brings that solemn mood to the heart when one meditate the death and finally we were saved from Jesus' suffering. Truly Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu, utuhurumie sisi na dunia nzima.
@engomokapelo68983 жыл бұрын
It nourishes the soul n heals
@battyomabene4823 жыл бұрын
God is good all the time Dear lord bless all over the world together👋➕🙏😇💪🚿👨👩👦💐through the name of the father and the son and the holy spirit together
@fabianmabano84006 жыл бұрын
Asanteni sana kwa kutuongoza kwa sala hii.Mbarikiwe sana.
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na dunia nzima! 🙏🏻
@sharonkalumu72093 жыл бұрын
Love the song may God have Mercy on us
@heltrudahbruno20686 жыл бұрын
mungu tubariki wakatolik wote na utuimarishie ktk imani yetu milele na milele...Amina kubwa
@emmaculateathiambo39196 жыл бұрын
Amina
@richardpetro62245 жыл бұрын
Aimina
@faithbaha27734 жыл бұрын
Amina
@mariakimario89025 жыл бұрын
Kwaajili yamateso makali ya yesu utuhurumie sisi na dunia nzima 🙏🙏🙏
@mwangimbuti10784 жыл бұрын
Am proud to be a Roman Catholic. Please say the rosary every evening as directed by the church.
@achiengnyarsuba82434 жыл бұрын
I usually recite at 3 in the morning is that wrong
@queenelizabeth53344 жыл бұрын
I love my Jesus hapanilipo ni kwaneema tu thank thank you j
@themoderntutor26085 жыл бұрын
Najivunia kuwa Mkatoliki... Kwa ajili ya Mateso Makali ya yesu utuhurumie sisi na dunia nzima 🙏🙏
@lucypancras35066 жыл бұрын
Sala hii ni nzuri sana najivunia kua mkatoliki
@dimososelafini24635 жыл бұрын
Sala nzuli sana
@elizabethmwangimaina74185 жыл бұрын
Sala hii nzuri sana najiviniya Kay mukatoliki 🙏🙏
@alphonseliguori4 жыл бұрын
Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu katika sala hii,tujaliwe uponyaji na tuepushwe kutokana na janga na coronavirus.
@salomisalmi77364 жыл бұрын
Kwaajili ya mateso makari ya bwana wetu Yesu Amin
@johnkiragumwangi48165 ай бұрын
I remember 2020 when I used to listen to this prayer
@omamoam94024 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatolika mimi nafamilia ngangu yesu kritsu nambenda ekrezia katolika
@omamoam94024 жыл бұрын
Utuulumie sisi nadunianzima yesu kritsu
@paulinevincent4846 жыл бұрын
Ameeen.
@fetty15713 жыл бұрын
Utuhurumie Ee Bwana Yesu
@gmial8074 жыл бұрын
Nimefurai sana kusikia salamu maria
@wellingtonokilla55798 ай бұрын
🙏🙏
@EggyMiguel5 ай бұрын
Amina yesu tuhurumie sisi na dunia nzima ukatulinde na kila mabaya
@jasmanjeri63143 жыл бұрын
Amen and Amen,,,Am happy tu be a Catholic....
@agathaphoteen11786 жыл бұрын
Kwaajili ya mateso makali ya yesu utuhurumie sisi na dunia Nzima.Amina