This is one of the best interviews I have ever heard. The liked how he showed his vulnerability and that made him more relatable and eager to listen to him
@Elsie394094 жыл бұрын
What an awesome interview. Salama good questions directed to Ben. Thanks dear Ben for sharing your childhood and depression journey. By opening up you help other young people out there to bring their mental health stories to the table and eventually get help.
@ramadhaniabdi95304 жыл бұрын
Mungu ni Bingwa..! Nimekuelew sna Ben ume-hustle sna lazma wajue kua maisha sio rahisi kama wanavyoona wakitaka maigizo waende kwa wasanii wao vichwa mchungwa
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
Pole sana ben🙌🏽.... Iwe kwenye range au kwenye bajaji JITAHIDI KI VYOVYOTE USILIE🙌🏽 so powerful message
@hellenmawere92844 жыл бұрын
Daah! MUNGU BINGWA.. nimeipenda iyoo, ujue nni mwamba nakukubali sana#keepgoing brother
@ezekiambise25954 жыл бұрын
🔥,hii naisubiria Kwa hamu! Benwise! The guy is very humble and kind
@beatricetenywa43674 жыл бұрын
Pamoja na kipaji kutoka kwa ben pol..lakin pia nimtu mwenye bahat sana,watu watu wanamapito mmh🙌 🙌
@robertpraygod32564 жыл бұрын
Salama tunaomba interview yako we need to know you.
@oyay28214 жыл бұрын
Na ahojiwe na Baba Levo
@fra_nyuki4 жыл бұрын
Daaaaaaah.... Maisha ni safari yenye mengi sana. Mungu akulinde Ben. Please naomba kuufaham wimbo uliotumika mwishoni kabisa au link yake
@nicksonaudax11584 жыл бұрын
Macochali ft oneincledible Ngoma inaitwa Yeah
@esthermartine13784 жыл бұрын
awesome ben Pol
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Mashallah, good talk Benpol. Huu mziki mzuri, anaejua aniambie jina lake
@silveriomussa5204 жыл бұрын
Msanii Bora zaidi wa rnb tz
@oyay28214 жыл бұрын
True we need Salama's interview
@zeekumchaya42804 жыл бұрын
Depression ni tatizo kubwa sana coz kuna watu wanaweza kua na kila kitu but still akawa depressed nashauri kupata ushauri wa wataalam ili kupigana na hyo hali
@dullahmudy24644 жыл бұрын
Damn.....salama wish you know how much love i have for😍 love u to infinity😘😘😘
@alexshallom30944 жыл бұрын
HII interview nilivyoiona haikunivutia kabisa ndomana nimechelewa kuiangalia. Eeeeh kumbe ningeacha madini bonge moja la interview, like a movie
@noorkhamisi24904 жыл бұрын
Hata Mimi ndonaitazama Leo ninzur
@gwakisaeddie48564 жыл бұрын
Hata mimi nlikuwa naikwepa,kumbe bonge la interview
@dysamarcus84624 жыл бұрын
Daah kweli life is a long stream big up sana salama na benpol
@hytechworld5724 жыл бұрын
Unajua zile
@israelnirra33523 жыл бұрын
Ben Pol you can , uko poa sana
@israelnirra33523 жыл бұрын
Salama I appreciate your intelligence
@amirijosiah78974 жыл бұрын
Congratulations gal dam Saalaamaaa
@hassanmzee18074 жыл бұрын
Salama week hii Ben pol kazingua
@kisasarob7514 жыл бұрын
Uncle Magu tafadhali tunaomba wasaa na yeye kama vipi
@janethmaanga11304 жыл бұрын
Nimewaza siku salama amlete T-bway cjui itakuaje 😂😂
@sherrysalim504 жыл бұрын
Janeth Maanga 😂🤣
@amirijosiah78974 жыл бұрын
Keep up Salama wish could get a chance to have a word with you
@firstborn80864 жыл бұрын
Nice men
@ceciliapeter49954 жыл бұрын
Kabisa aitakiw kulia nikupambana tuuu
@amirijosiah78974 жыл бұрын
254 locked to the top
@fettymanyo4384 жыл бұрын
Nic
@sadiqrifay54484 жыл бұрын
Sasa huyu muhudumu naona habadilish nguo🤔🤔🤔
@mercijoganitrate86074 жыл бұрын
kwenye kuzaa hakunaga ubize.mimi hata niwe bize vipi, kwenye swala la ngono sinaga ubize.
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
weweee
@angelfelix79394 жыл бұрын
😀aiseeee
@abdimoha35144 жыл бұрын
salaama naomba maswali zako ongeza ewe nyengi na { exmple, what did u have or what did u make and ur future,those question u have to ask i f u don't mind .. } am ur fans sings kasi mpaka sahvi am proud u salaama
@frankmwaituka61574 жыл бұрын
Kipindi kiko pouwa sana
@esterzumo22984 жыл бұрын
Pole sana ben
@naheyaadam91914 жыл бұрын
👌🏽
@stevenmeless97344 жыл бұрын
Salama mwambieni Jesika abadile nguo kila kipindi yupo nayo hiyo hiyo . Ila jesika mzuri mwambieni nampenda.
@noxlosingida23694 жыл бұрын
Labda ni uniform ya kazini ndiyo maana habadilishi
@famitonawanda48314 жыл бұрын
Wabongo wengine akili zao zina mavi, hivi mtu kapiga uniform unataka akabadilishe daaa!!!, hivi wajinga wataisha lini?!!
@ceciliapeter49954 жыл бұрын
Hahaha ata mm nimewaza ilo nikaic itakua uniform
@noxlosingida23694 жыл бұрын
@@famitonawanda4831 ni kumuelewesha labda hakukundua kuwa ni uniform kwa sababu ni gauni ya kitenge uniform za hotelini mara nyingi utakuta za vitambaa alafu ina weupe aidha kwenye kola au mikononi sasa hiyo ya kitenge sio rahisi mtu kugundua kama ni uniform hadi ujiongeze na za kuzaliwa.
@musakaphu45814 жыл бұрын
NI UNIFORM wewe hio
@princemujuni98034 жыл бұрын
Salama naomba namba ya Jessica
@queennafsa22074 жыл бұрын
Yo I was waiting for this 😂
@jestinakanji81684 жыл бұрын
Jmn slama sasa uyo jesca kila siku nguo izo izo habadilishi jmn🙄🙄🙄
@celinekenedy8704 жыл бұрын
Huenda ni uniform.
@kevinhussein52294 жыл бұрын
Ndo uniform iyo
@mandyfitnesstv67384 жыл бұрын
Nice Interview! Karibu subscribe channel yetu kujifunza mazoezi ya viungo(gym)
@creymichael59864 жыл бұрын
Wazazi wako wapo au namaishayao yapoje kwa sasa
@zuumarley16464 жыл бұрын
, 😄
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Pesa ya mama mkikuyu
@keifatuke994 жыл бұрын
Jesicca abadilishe hiyo gauni pleaseee
@irenefaustine25794 жыл бұрын
Keifa Tuke hiyo ni uniform za samaki samaki 😀
@nurumwantika8584 жыл бұрын
Sory Ben Paul for losting your brother love you thanks salama.
@dansondaniel44544 жыл бұрын
Je unataka kujua Alikiba aliwafanyia nini cheed na killy hadi wakaonda kings music. Tafadhali gusa maneno haya ya blue ujue. kzbin.info/www/bejne/aGa5maVuftuemqc
@mshangaf17264 жыл бұрын
na wewe Salama sikumoja ufanyiwe interview na mtu mwingine! kuna maswali mengi yanahitaji majibu!!
@chinamilenas33754 жыл бұрын
Yn sawa kbs
@sherrysalim504 жыл бұрын
Mshanga F 🤣😂
@calvinkiluswa4392 жыл бұрын
😂😂😂
@jacobmwalituke89814 жыл бұрын
Worse interview ever ,salama umeniangusha,eti anakumbuka vitu kafanya ana miaka mitatu,upuuzi tu
@missdija49594 жыл бұрын
Wewe ni akili maji. Nenda kwanza katafute binadamu anaanza kuwa na memory katika umri gani. Wewe kama kuna moment hukumbuki ni ukiwa too young ni wewe na uduanzi wako😒
@israelnirra33523 жыл бұрын
Ben Pol you can , uko poa sana
@mandyfitnesstv67384 жыл бұрын
Nice Interview! Karibu subscribe channel yetu kujifunza mazoezi ya viungo(gym)
@dansondaniel44544 жыл бұрын
Je unataka kujua Alikiba aliwafanyia nini cheed na killy hadi wakaonda kings music. Tafadhali gusa maneno haya ya blue ujue. kzbin.info/www/bejne/aGa5maVuftuemqc