Darasa kichwa imetulia sana. Unachukulia kila kitu in a positive way. Mungu akuinue zaidi.
@khalifasaid11314 жыл бұрын
Sisi tuliopitia katika malezi ya aina ya darasa tunayajua maimivu anayoyafeel darasa na huwezi kufeel hiyo pain kama hujapitia hii situation. interview ya darasa inaamsha mambo mengi yaliyo ndani ya mioyo yetu..Ndio maana sitokaa hata siku moja nimkatae mtoto wangu.Na ndio faraja pekee ya kukufariji kama umepitia haya maisha ni watoto wako kama umejaliwa kuwapata na sio kitu kingine chochote..I love my kids so much kilichotokea kwangu watoto wangu kiwaepuke.
@harunayussuf68663 жыл бұрын
True🙌🙌 true🙌🙌
@kijangapeter51354 жыл бұрын
Huyu mwamba noma sana aisee, sidhani km anabifu na boya yeyote,,a very humble guy aisee, Big up bro 👊👊
@زيتونتنزانيا3 жыл бұрын
Tangu tukuwe mtamani hajawahi gombana namtu sisi mabinti mpaka vijana wenzie
@mangib524 жыл бұрын
Leo siku yangu haijaenda bure hata nisipopata pesa nilichojifunza kinatosha......big up darasa ✌
@samoocoolingsystem934 жыл бұрын
Nimemuelewa Pale Aliposema Sasa Niongee Nini Na Nyinyi Si Watu Wangu Ni Bora Niwasikilize Nyie 🔥🔥🔥🔥🔥
@rehemarwanda60394 жыл бұрын
Darasa.....hongera kwa kuthamini ulichosaidiwa na dada yako na wengine pia.....U real appreciate them ni wachache kama wewe wanaokumbuka fadhila#God bless U
@زيتونتنزانيا3 жыл бұрын
Yani kanifanya nimkumbuke alikuwa pisi sana mama Salumu namsiba wake. Ulijaza balaaa. Vizuri havidumu😢
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
Kuna watu wana akili uku dunian 🙌🏽 one of them.......! Nilichojifunza ni kwamba unaweza ukawa na jina kubwa na pia ukawa na kazi zako nyingi uko mtaani but u get nothing 🙌🏽 so inataka akili kufanya hiyo i work out la sivyo unakuwa na jina kubwa then u have nothing 🙌🏽 darasa🙌🏽
@rufijionline36854 жыл бұрын
Hdf
@mathiaslyamunda25264 жыл бұрын
Leo ndo nimeelewa kwanini alijiita darasa. Nilikuwa class kwa dakika zote hizi na nimejifunza mengi sana kwa kukusikiliza. Thanks Salana na Darasa.
@shomarywawa62274 жыл бұрын
DARASSA Champion BOY! Big Mentality Sasa Hii Ndio Elimu Mtaani Ya D Knob
@TheAlternativeVoice4 жыл бұрын
Isikize apa >>> kzbin.info/www/bejne/j17MkIpvj9N8mNE
@btylove18704 жыл бұрын
Please wazazi waleeni watoto kwa pamoja na kwa mapenzi! Darassa ni mama's boy amekosa mapenzi ya baba yake kwa ajili ya ubinafsi wa wazee wake tu. Na mtoto wa kiume anae lelewa na mama tu, aah acha tu. Big up Darassa kwa kutupa music mzuri. Blessed Up🙏
@gonta25534 жыл бұрын
Hakuna msanii yuko smart mentaly kama darasa tz hii..Darasa akiongea anakushawishi uendelee kumsikiliza..keep it up bro
@DeborahSichone-b9c2 ай бұрын
Kabisa
@naimamwambe80834 жыл бұрын
He learn more to the street than in the class big up kaka and you have big heart.
@TheAlesry4 жыл бұрын
Very true
@africanyoung54104 жыл бұрын
Salaama ongeza kipindi cha huyu mtu ni hatari Sana huyu mnyama noma saana hii interview.
@hancymarin70814 жыл бұрын
Salama through this interview darasa na muadd among watu wangu nao wakubal coz jamaa anaupeo mkubwa sana kiukwel anazid kuniongezea vtu ambavyo nilkuwa sija experience appreciate u darasa allah azid kukuongezea upeo ukue zaid ya hpo
@happymacha32354 жыл бұрын
Humble, smart and mkwelii Nmpenda napenda kaz zake
@juliusngowi9524 жыл бұрын
Mwana yupo humble,real and smart..the last time we me was kitambo sana Moro kwenye mishe za harusi kifamilia flani,still humble and smart..imetulia!
@TamuzaKale4 жыл бұрын
Umekuja hadi huku? Umetajiwa Kiwalani yenu tena akili inakuruka! Hataaaaaaaaaaaa!
@juliusngowi9524 жыл бұрын
Hahahaha Kiw@side ndio home babu!😀
@TamuzaKale4 жыл бұрын
@@juliusngowi952 Tisha sana!
@mossesjonathan57664 жыл бұрын
Yaani hii interview imetulia uchoki hata kusikiliza na kuangalia big up sana aisee
@dysamarcus84624 жыл бұрын
natamani ningekuwa na akili kama za darassa jaman daah jah bless man ur gentleman realman wallah mkeo ajivunie
@hendricksaugustine69674 жыл бұрын
The best interview inaanza ya mwana fa inafuata hii ya darassa "vice versa is true"
@shabbyammacy93824 жыл бұрын
Nmefurah the way anavyojiwa anajenga hoja positively with smile hatari. Safi sana. Najifunza sana haya maisha ni kuwa mtulivu na kujiamini na kukubali uwezo wako then nidhamu pia. Kila kitu mbele bila kusahau m/mungu.
@pendondossy21584 жыл бұрын
Yes dalasa yuko vzr asant kwa kila maswali na umenijuZa ving
@othumanomary40324 жыл бұрын
Hiiii interview nimeipnd sana watu wko na smle za ktshaaaa salaaaaama n darasa
@ludaclaude95774 жыл бұрын
Hakikaa mkl unawapaa watu weng matumain ujuiii tuuu mr usiekataa tamaa daimaaaa Nmependa amesemaa Mungu yuko rip sista yetuuu
@ingabireritha37404 жыл бұрын
Woohoo nimepanda sana interview yake very smart wish him the best and you my sister Salam love you more more Good job
@joeandres97444 жыл бұрын
Huyu jamaa anaakili sana na Busara nàhisi kujiweka karibu nà dini kuna mchañgo katika hili pia
@salehemganga10814 жыл бұрын
I didnt expect this, A man is smart upstairs , cool and well mannered.
@emmyramadhan26754 жыл бұрын
Sijawahi kujua hy Jamaa Yuko Powa hv
@hassansunday98644 жыл бұрын
Ngoma zake zina sema kuwa uyu jamaa ana akili nyingi na nidhamu pia
@ngomanagwa99404 жыл бұрын
Saa nyingine unaacha mjinga ajione mshindi #Fact @darassacmg
@princemujuni98034 жыл бұрын
Wale mliokua mkisema education is better than money habari za huko Havvard. Mr Burudani anasema ana cha kujutia
@TheAlesry4 жыл бұрын
CMG akili sana
@amiriramadhan77534 жыл бұрын
The guy is humble ,he know how he do, very very Mentality man
@daniellepari45254 жыл бұрын
Ahsante sana da salama kwa kipindi chako una tufundisaha sana mungu akupe maisha marefu 🤞
@ibrahimuramadhan5264 жыл бұрын
Hii interview ilikuwa inanidai sasa nimemalizana nayo,🙏
@hamiskamba5574 жыл бұрын
Man what an interview kila salama na you will learn something shukran kwa salama jaabir
@lyidiaamani58074 жыл бұрын
Dah jamaa ana hekima sana.
@mercijoganitrate86074 жыл бұрын
kwakweli nimeipenda interview,imenijenga ki akili sana.mtu akikupa nafasi ya kutengeneza maisha yako usijifanye kile kitu anacho ni chako.kuwa mtulivu fanya maisha yako mpaka utakapo jitegemeya wewe mwenyewe.
@sirajshelali62094 жыл бұрын
Darassa!!nakukubali sana..one of a great artist big up urself bro
@Wachuoni4 жыл бұрын
... success its a road always under construction ... ur show its like "University of Success" big up to ol ya
@AfiSoul1034 жыл бұрын
Darasa Ana aibu anaonekana eee! Nice salama you're real 🤗
@chunanachu25294 жыл бұрын
Ntaskiliza sana kuliko kuongea thanks darasa
@rosejohn4684 жыл бұрын
Ila salama maswali yako mm nakupendaga tu darassa upo vzur bro
@ibnrashadmammytashi71674 жыл бұрын
Salam love you siz napenda kipindi chako sn
@willysamuel36554 жыл бұрын
BEST #SalamaNa interview of all till this point Madini ya Darasa ni hatar
@jjmwampambemwakaguo93704 жыл бұрын
The Biggest Interview
@nwntz4 жыл бұрын
hii part ya pili ni darasa tosha kuna mbwiga hawaelewi
@suleimanrashid96904 жыл бұрын
Hii ndo interview bora sana kwangu mimi big up sana drarasa akili mingi
@kaulimbiu1814 жыл бұрын
Salama galbi, na hii naicheki, adverts naichezesha in full hata za 5 minutes. Nafarijika kukuona na kukuskia mpenzi wangu, ustadi wako unani~khalas shununa. Love u today, tomorrow and forever more 💞😘😍😘💝