Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 2

  Рет қаралды 62,209

YahStoneTown

YahStoneTown

Күн бұрын

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪KZbin Link bit.ly/KZbinS...
Riyama Seleman Ally, malkia wa kazi aifanyayo na kila alitilialo msisitizo hulifanya kwa asilimia 100, hata kama akichelewa kama pengine alivyochelewa kupata heshima yake na malipo yake anayostahili, kama ambavyo anapata sasa au ambayo anapata maana safari bado ni ndefu. Na kwa mazungumzo haya nilofanya naye huo ndo muelekeo na ndo nia na madhumuni. Sote tunajua PENYE NIA PANA NJIA, so kazi ni kwetu.
Mzaliwa wa Unguja Tanzania, kakua katika familia ya kidini na malezi bora ila kwa mujibu wa maongezi yetu haya yeye alipenda zaidi kuwa muimbaji, kitu ambacho Mwenyezi Mungu mtoa vipaji hakumjaalia kipaji hicho na uzuri ni kwamba aligundua mapema na akafanya ustaarabu wa kutafuta kitu chengine cha kusogeza maisha yake.
Ule usemi wa Mungu anakupa unachostahili na sio unachotaka hapa umetulia mahala pake. Imagine kutoka kutaka kulazimisha kuwa Khadija Kopa (ndo muimbaji anayempenda zaidi) na kuwa mmoja wa wasanii wa filamu hodaaari kabisa hapa kwetu na kama SI NDIO MUIGIJAZI BORA WA KIKE WA FILAMU hapa Tanzania.
Heshima zangu za dhati zinaenda kwake kwa kukubali kuja kuongea nami na kunielezea kinaga ubaga juu ya ukuaji wake, maamuzi fulani fulani ambayo ashawahi kufanya maishani mwake. Elimu yake, alisoma? Shule ipi? Alikua mwanafunzi wa aina gani? Kuhusu familia? Ana mtoto? Na pia tulizungumzia filamu na maisha yake kama kioo cha jamii. Majibu yalikua mazuri na marefu na kwa hilo namshkuru sana yeye kwa kuweza kuja na kuongea nami huku mume wake mpendwa akiwa anamgojea kwenye parking lot.
Yangu matumaini uta enjoy maongezi haya kama nami nilivyo enjoy kuongea naye.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Пікірлер: 128
@oscarruhasha2169
@oscarruhasha2169 2 жыл бұрын
We mwenyewe SALAMA una part 2.....! Unatumalizia bando
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 4 жыл бұрын
Mashallah huyu Riyama anajielewa sana na kujihishimu asante Salama
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 4 жыл бұрын
Mungu aendelee kumlinda hyu dada riyama😊
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 4 жыл бұрын
Una hekima saaana Rihama 😍😍😍 love from UK in Newcastle
@allymatilda7519
@allymatilda7519 4 жыл бұрын
My best actor of all the time..your the best riyama ally mm kama shabiki yako nakupenda na nakusupport sanaa
@vailethalabama8255
@vailethalabama8255 4 жыл бұрын
Not actor n actress
@suleimanfaki2740
@suleimanfaki2740 4 жыл бұрын
Rehama umeongea kwa hisia sana,umeongea ya moyoni,Dunia ningekuwa ni sehemu salama sana kuishi kama kuna watu kama wewe
@salumruambo7066
@salumruambo7066 4 жыл бұрын
Ukitumwa sana haimaanishi utashukuliwa sana bali utadharauliwa sana nitafanya kaz zangu nimechoka kutumwa nafanya yangu
@nurudovino288
@nurudovino288 4 жыл бұрын
Uko sahihi sana tunayaona
@mariajackson5960
@mariajackson5960 4 жыл бұрын
Ni kwel
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 4 жыл бұрын
This is the best show of the year .. welcome . Riyama..we're glad to see you here ..🙌❤️
@davidtumwesigye7340
@davidtumwesigye7340 3 жыл бұрын
Excellent actress.
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 жыл бұрын
Nawapenda sana salama na riyama nime enjoy kwa majiano yenu
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 4 жыл бұрын
Hifadhini vichwa vyenu enyi wanawake wa kiislamu
@florenceholmen8304
@florenceholmen8304 4 жыл бұрын
mtulivuuuu na hekima. afanye kazi ya ukungwi .
@babybhalo8723
@babybhalo8723 4 жыл бұрын
Nawapenda wote Salama na Rihama
@medruango1628
@medruango1628 4 жыл бұрын
Riyama nakupenda.. Hakika umefurahisha kipindi
@mussamsella5801
@mussamsella5801 4 жыл бұрын
Nampenda sana mtu ambae anawezakuniambia ukweri hivi kama ambavo amefanya Riyama Ally
@raymondmsuya7127
@raymondmsuya7127 4 жыл бұрын
Yan kumsikiliza riyama Raha Sana asee 😂😂
@zamamuuhamisi6654
@zamamuuhamisi6654 4 жыл бұрын
Yaan da riyama nakupenda mpk basi uko vizur na kazi zako nzuri hongera sanaaa
@zeekumchaya4280
@zeekumchaya4280 4 жыл бұрын
Yani am full of anger ila after kuwasikiliza nyie it feels like things will get better as long as u fighting for wat u love nawaheshimu sana and na nawashukuru bt al in all nawaheshimu u guys are the best
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 2 жыл бұрын
I love dada wa michambo Da RIYAMA❤❤❤
@kassidpandu866
@kassidpandu866 4 жыл бұрын
Sijapenda style ya nywele ya Salama ni mwenokano mbaya kwa jamii abadilike Yuko live watu na watoto Wana muona
@mariabora1358
@mariabora1358 4 жыл бұрын
Nakupenda Sana Ryama
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Riyama ally 🥰🥰🥰ni kweli shida hazishii.ndo mana matajiri hawatoshekagi.salama umemtania jescaa 🤣riyama ukipata mkemweza ataondka mwenyewe..et unakaba mpka kivuli
@hassanrupapuro4339
@hassanrupapuro4339 4 жыл бұрын
anafanya kazi nzuri sana mungu amuweke inshaalllahh
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 4 жыл бұрын
Asante sana dada Riyama
@emanueltito1069
@emanueltito1069 3 жыл бұрын
Ahsante mama unaongea point saaaana.
@crewsonchacha8959
@crewsonchacha8959 4 жыл бұрын
Riyama kanikosha Dada hongera upo vzr pia nawe salama uko vzr mdada
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 4 жыл бұрын
Mbona wewe unaweka yeah Stone tawn party 2 unatuibia eh@salama
@hassanrupapuro4339
@hassanrupapuro4339 4 жыл бұрын
daaaah aiseeee riyama ni mnoma sana imenifanya niende kuiangalia tena fungu la kukosa ......ni hatari sana riyama alikua wamoto sana mule
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, Riyama nakukubali sana mpenzi 😘
@mwanaidiissa488
@mwanaidiissa488 3 жыл бұрын
Nimeipenda sn bt hajaongelea baba ake.
@TheMastertz
@TheMastertz 4 жыл бұрын
Hi Riyama, wewe ni mwema na unayejua kumthamini sana mtu. Huna hiyana. Napenda pia staha yako. Ila...naomba nikurejeshe kwenye maji...mazoezi mazuriiiii 😁. Kuna kiota kipya kitakufaa!!
@mjsaidkeya822
@mjsaidkeya822 4 жыл бұрын
Big up Sana salama, na kukubali sana
@sweetmeena5970
@sweetmeena5970 4 жыл бұрын
Dada Salama utuletee Musa Banzi kitambo hatujamuona
@mwananimezipendaasantxaana1516
@mwananimezipendaasantxaana1516 4 жыл бұрын
Nampendraaa huy dd jomon 💕💕💕💕💕 mung amp maish maref
@immaculeensabimana2097
@immaculeensabimana2097 4 жыл бұрын
Nakukubalisana salam kwakazizako hujakoseaga 🙌🏾
@lucymathias3700
@lucymathias3700 10 ай бұрын
❤❤❤
@naimamwambe8083
@naimamwambe8083 4 жыл бұрын
Salam please naomba kipindi tafadhali umetusahau wanaharakati wa huku Ughaibuni please
@rosemarymaokola7239
@rosemarymaokola7239 2 ай бұрын
Riyama napenda unapomchamba mtu😂😂😂
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 4 жыл бұрын
Kipind kizur big up @salama @rihama
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Love u rihama
@agnesyona7996
@agnesyona7996 4 жыл бұрын
Huyu dada kwenye movie na maisha ya kawaida ni tofauti sana Yaani kule kwenye movie mjanja kweli ila maisha ya kawaida ni muoga haswa
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 жыл бұрын
Is it me au interview imepoa tofauti na matarajio ya wengi? Yaan hadi Salama anasema me nimemaliza kama una lolote jieleze duuh!
@babayoria9181
@babayoria9181 4 жыл бұрын
LIKED
@lakimdiu2547
@lakimdiu2547 4 жыл бұрын
Nawapenda sana nyie watu😍
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 4 жыл бұрын
Wapi my Darling jamani , sikitiko langu lanipata oooh mimi oooh ooohoo kwakumpoteza yule wangu, dah! Nilikuwa nairudia kuangalia mpaka basi, ila riyama uko vizuri
@zhaujiakashindi6617
@zhaujiakashindi6617 4 жыл бұрын
Salama Love you jamani😩😩
@abuuahusa6459
@abuuahusa6459 4 жыл бұрын
Mwambie asiwe analia wengine tunalia pia
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nadhimanadhima4031
@nadhimanadhima4031 4 жыл бұрын
Mbona hujacheka kile kicheko chako???
@Shirlmay
@Shirlmay 4 жыл бұрын
Namuelewa Sana Riyama hasa michambo😂
@yondutv3253
@yondutv3253 4 жыл бұрын
Ndugu mliopo humu ndani na mm pia ni mwanafamilia , kijana mwenzenu nahangaika kupata walau chochote mm pia nina chanel yangu ambayo ni hii niliyotumia kuweka coment naombeni mnisaidie na mm ku subscribe KZbin chanel yangu nitashukuru sana kwa akaye guswa mungu awabariki sana 🙏🏻🙏🏻🤝🏻 link hii hapa kzbin.info/door/9bmFciI9T_C4FIsDXMUJ4A
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 4 жыл бұрын
Tayari nisha subscribe .barikiwa
@yondutv3253
@yondutv3253 4 жыл бұрын
@@pastorteddywaziri5754 mungu akubariki dada angu ee
@firdausgreen1391
@firdausgreen1391 4 жыл бұрын
Inahusu nini before cja subscribe
@ashasiaga3197
@ashasiaga3197 4 жыл бұрын
Mpo vizur nawapenda ila hakujachangamka km tunamvyomjua riyama
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 жыл бұрын
Mtuletee Juma Nature na Chidy Benz plz
@davidtumwesigye7340
@davidtumwesigye7340 3 жыл бұрын
Thanks.Those 2 guys are my all time favorites.Cant wait for their interviews. Greetings from Kampala
@firdausgreen1391
@firdausgreen1391 4 жыл бұрын
Nipo full charge na full bandoooooo
@babayoria9181
@babayoria9181 4 жыл бұрын
My darling ni bonge la movie hadi leo naitafuta hata yutube siioni
@ujudiabdull9442
@ujudiabdull9442 4 жыл бұрын
Nimecheka kama fala ,eti nipo pekeangu,kabana mpk kivuli...
@agneschaula5121
@agneschaula5121 4 жыл бұрын
Jamani salama kipindi chako kizuli
@jacobgaganija867
@jacobgaganija867 4 жыл бұрын
Safi
@fatumamohamed7410
@fatumamohamed7410 4 жыл бұрын
Kipindi pendwa ninachokipenda
@manbonge3015
@manbonge3015 4 жыл бұрын
Riyama kama nakuona wataka kuanza usanii wako 😂😂usije ukaanza kulia thuu
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Umeonaee uyu nae anaweza kulia kweli
@manbonge3015
@manbonge3015 4 жыл бұрын
@@babyhamisi5331 😅😅😅hachelewi
@hurumalazima3434
@hurumalazima3434 4 жыл бұрын
Hahahaaaa nimecheka Salama anaogopa kuambiwa mbele ya kamera mweee hahaaaa
@mohammedbakari3519
@mohammedbakari3519 4 жыл бұрын
Hiki Kipindi changu pendwa. Wewe je? ♥️♥️ Next time unialike hapo c*
@rahmakindamba7778
@rahmakindamba7778 4 жыл бұрын
Nakupenda sana riyama Allah akuongoze ktk njia iliyonyooka.
@jeniphalyimo5385
@jeniphalyimo5385 4 жыл бұрын
Pia
@ndabadugitsefuraha7835
@ndabadugitsefuraha7835 4 жыл бұрын
Riama na salama kama nyie niwa islam ifadhini vichwa vyenu Allah atuongoze sotee na wapenda sana
@firdausgreen1391
@firdausgreen1391 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu humuongoa amtakae.....waombee dua nawe utaombewa na malaika biidhllah
@samiraali1632
@samiraali1632 4 жыл бұрын
@@firdausgreen1391 Amin Yarabi 🤲
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Hichi chakula huliwa kikiwa baridi? Sababu ya kuleta chakula kwenye maongezi ni nini? Kuongea na kula haviendani jaribuni kufanya kwa namna nyingine kha.
@firdausgreen1391
@firdausgreen1391 4 жыл бұрын
Tupatie aya au hadith inayosema haifai kula uku mnaongea tafadhal
@barwani890
@barwani890 4 жыл бұрын
Habibtiy riyama tunaomba baadhi ya filam zako hutumalizii kutuletea mm nafatiliza saana michezo yko nakupenda mm Niko mbali my no 96057451 omani
@davidnchoji
@davidnchoji 3 жыл бұрын
Riyama😂😂😂😂😂
@albertjackson7586
@albertjackson7586 4 жыл бұрын
Mtafute na musa banz tumsikilize
@elizalwakatare8070
@elizalwakatare8070 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥👌
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
Salama tuletee joti plz
@JamallyHMlela
@JamallyHMlela 4 жыл бұрын
No 1 iko wapi?
@ruhjanangulukuta1356
@ruhjanangulukuta1356 4 жыл бұрын
😍😍😍😍
@balegadaffi4472
@balegadaffi4472 3 жыл бұрын
Jesca 😂😂😂😂😂😂
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
🤗🤗🤗🤗 from,🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@glorianishimwe1587
@glorianishimwe1587 4 жыл бұрын
Part 1 iko wam
@ashashabani4989
@ashashabani4989 4 жыл бұрын
😂😂😂 Riyama anakaba mpka kivuli
@johnwafula5092
@johnwafula5092 4 жыл бұрын
Maongezi yake elimu tosha.
@asiajuma5784
@asiajuma5784 4 жыл бұрын
Jamani huyu dada anaongea taratibu kama sio yeye mchambaji
@fatmaabdulla9518
@fatmaabdulla9518 4 жыл бұрын
Hhhh Riama bana
@charlesmichael5921
@charlesmichael5921 4 жыл бұрын
Daah mwambie Rihama nampenda sana...naomba hata niongee nae tu 0675628850 salama nisaidie
@husseinbigga8021
@husseinbigga8021 4 жыл бұрын
NA WEWE SALAMA PIA UNATUIBIA KW NIN UCMALIZE EPIPOD NZMA UNAKATAKATA KWA PART 1&2...
@Agatee01
@Agatee01 4 жыл бұрын
jamaa😂😂😂
@CheupeEceJay
@CheupeEceJay 4 жыл бұрын
Nikikulipisha je?Acha choyo!
@bintsultan3605
@bintsultan3605 4 жыл бұрын
Wamekutana hhhhhhhh
@hubertanthony7846
@hubertanthony7846 4 жыл бұрын
Salama napenda sana hiki kipindi chako ila nikuombe uwe Unaweza subtitle ya English ili niwe naelewa mchoongea maana mimi sifahamu Kiswahili kabisa
@kojahelly9165
@kojahelly9165 4 жыл бұрын
Hubert umewezaje kuandikaaa
@hamimsiwali3919
@hamimsiwali3919 4 жыл бұрын
Tetetetete
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
Heeeej Hhhhhe mbombo jilipo
@asmintambwe9547
@asmintambwe9547 4 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣
@babayoria9181
@babayoria9181 4 жыл бұрын
jesca ameamua kurudi kwa ajuli ya sisi watazamaji haaa haaaa haaa
@worldcuisine9102
@worldcuisine9102 4 жыл бұрын
Too much ads🙄
@CheupeEceJay
@CheupeEceJay 4 жыл бұрын
You want us to die with hunger?
@hadijagere
@hadijagere 4 жыл бұрын
Namba 1 imefutwa kwanini
@mbuyutv8271
@mbuyutv8271 4 жыл бұрын
Kwa nini?
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Mbona ipo mie nimetoka huko kwenye no 1 nimekuja hapa
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Jmn next mumualike Hemed jmn
@zainab4yo945
@zainab4yo945 4 жыл бұрын
Mmmhhh
@aishafransic8749
@aishafransic8749 4 жыл бұрын
💖💖💖💖💖❤
@taysonlukinja2778
@taysonlukinja2778 4 жыл бұрын
Nakupendasana we nakazi zako
@aminaussi265
@aminaussi265 4 жыл бұрын
hhhhhhhhhh
@flavianaatilio2119
@flavianaatilio2119 4 жыл бұрын
hajapaka make up amekua kama ana mgwira😁😁😁😁
@zahraally4328
@zahraally4328 4 жыл бұрын
😂😂
@sherrysalim50
@sherrysalim50 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@khaykaw
@khaykaw 4 жыл бұрын
😈 hana haja ya kupaka makeup kajiamini na katoka fresh
@flavianaatilio2119
@flavianaatilio2119 4 жыл бұрын
@@khaykaw yaa amependeza ila sura imefanania na mama mgwira sio kwa ubaya coz hata mama mgwira ni mzuri 😊😊
Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 1
34:34
YahStoneTown
Рет қаралды 182 М.
HE MADE ME KNOW GOD AND LEFT ME IN CHURCH, #SEMANAJG
1:02:58
Sema na JG
Рет қаралды 375 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН
Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1
43:34
Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 2
14:57
YahStoneTown
Рет қаралды 51 М.
Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1
26:24
YahStoneTown
Рет қаралды 320 М.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
YahStoneTown
Рет қаралды 360 М.
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
YahStoneTown
Рет қаралды 334 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН