Ahsante Sana Salam SK This Interview Imenipa Mwanga Mkubwa Sana Kwenye Life ,Though Ur Really Like Me Karibu Kila Kitu Upo Real Sana !! Diamond Ana Management Bora Sana
@achawanunegervais89154 жыл бұрын
Tujuwane WADAU wangu kama na Wewe ni Shabiki wa WCB na unamkubali Salam Sk gonga like apa kwa kumpongeza 💪💪💪💪
@napster25584 жыл бұрын
Salamu ananyodo sana lkin fala tu
@mohamedpesambili94604 жыл бұрын
tujuwanu" ndo nin xax
@uncleelly45434 жыл бұрын
Huyu Dada anauliza maswali mazuri sana🔥🔥🔥 professional
@ellymakongo6564 жыл бұрын
Umeona ka mm wa jina
@aaa64sa134 жыл бұрын
Lazma iwe hivyo haswa kwa boss wako👍
@uncleelly45434 жыл бұрын
@@aaa64sa13 huyu Dada interview zake zote anauliza maswali yenye mantiki👍🔥
@hatwabiswalehe2624 жыл бұрын
Anajua xna uyo mdada
@richardedson4994 жыл бұрын
Vzr
@achawanunegervais89154 жыл бұрын
Kusoma zaidi nivizuri sana ila sio ndo kupata maisha mazuri tutafute hela kwa bidii ndugu zangu hata kama umesoma zaidi🙏🙏💪
@zeidytheislandgirl76164 жыл бұрын
Fact
@seifmohamedseif94674 жыл бұрын
Sk ana faham jinsi ya kuishi na wabongo ukweli wake na uwaz wake ndio uchangia kujenga chuki safi sk 👍
@silverman69304 жыл бұрын
SK is probably one of the best dude to interview, honestly speaking I have enjoyed the interview big time and the presenter she is good , some of you lo need to watch this and learn , big up to the show , it was incredible 🇬🇧🙏❤️
@mannabu93334 жыл бұрын
Uyu mtangazaji anafaaaa kua katka kipnd cha Block 89 akiwa na joonijo pale itakua poa sanaa babaako
@williamsesthony49514 жыл бұрын
Uko sawa na mm nimeliona hilooo
@husseinmillinga19204 жыл бұрын
Ya kweli
@stevengray27274 жыл бұрын
Kwer jamaa yang bor uyu kuliko wale ng'ombe aliokuw nao
@zoozhjhfddhuyy74694 жыл бұрын
Kabisa!akafanye na jonijo pale atoke bonge
@sadaally35564 жыл бұрын
Kweeli kbs atolewe mtu imara na calpso wanafujo wale
@ilynpayne74914 жыл бұрын
Yani tangu hapo Salaam SK alivyosema kwamba alipata division 4 nime jua ni mkweli wengine tunge sema ooh nli faulu sjui nini 😂😂 Big up kaka salaam
@managermipango28434 жыл бұрын
Dah, nimekuelewa kwa kulifafanua neno KUSAIDIA Watu wanalitumia vibaya Sana.eti unamfanyisha mtu kazi, unampa ela kisha unatangaza umemsaidia
@iamtimothyjackson53384 жыл бұрын
Hahah et simsindkizi m2 kwenye utajiri ...tunaenda pamoja kweny utajir
@fatmasaaed1444 жыл бұрын
😁😁😁😁
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Hata mimi nimeipenda hiyo
@akibarahamadi50584 жыл бұрын
mung zid kuibarik wasaf izid kusonga mbele wcb for life
@fakizotz17274 жыл бұрын
Dah kwel maixha nixafar ndef xana
@fatnahsaleh8604 жыл бұрын
Kwa kweli
@khannbizzoboy9744 жыл бұрын
Nqkubqliiiiiii
@negostv88494 жыл бұрын
Kama umegundua salam na mond sauti kama zinaendana gonga like
@jimmytaffylonie8104 жыл бұрын
Voice and talking style for really wanafanana
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Kabisa pia mm nimegundua hilo
@dadycool57434 жыл бұрын
wbc wanaiga weng wana sound ivi ata harmonize alikua ivo
@BYAMSALOYS4 жыл бұрын
Tazama video ya darassa na harmonize hapa Ni nomaaa kzbin.info/www/bejne/aZrOp3-Go5t0oJY
@philemonmgasha36704 жыл бұрын
Haaaaaa haaaaa
@fatnahsaleh8604 жыл бұрын
Ila watu wanabidi waone iyi interview ya Sallam SK. The guy is to real. Siyo wale wengine wanaulizwe enti no cmnt mxiiieew😏😏. Asante kutueleza A to Z ya bifu ya Wasafi na clouds.
Burnaboy is doing very well now on the world stage and Sallam knows it - Its good to acknowledge and hope Diamond achieves even better than him in 2020.
@wasafitvofficial52174 жыл бұрын
WEKA like kama unakubali SALAM sk alembe anafunguka waaaah
@davidreuben70834 жыл бұрын
Bwana nimekubali
@Pratnumzsimba4 жыл бұрын
ila kwangu mimi badala ya wao kusamehe inabdi wao ndo muwasamehe kwa hiyo kama ni msamaha inabd wao ndo waombe na wakiomba jaman wasameheni tu kama kujifunza watakua washajifunza wcb for life
@michaelpaschal22194 жыл бұрын
nkbl sana
@abdulliyudu40584 жыл бұрын
Good
@videlialabeka48994 жыл бұрын
This is how managers should be...be strong hivyo hivyo wcb hatutaki nyenyenye
@yascoguidezanzibar4 жыл бұрын
Wazee hii interview ya kufunga mwaka asee✅✅✅
@shadrackclement8184 жыл бұрын
Gonga like kama unamkubali sallam sk
@eddybayzor50724 жыл бұрын
Kumbe na harmonize msaliti kumbe chanzo cha bifu ni yeye mlikuwa mnatetea haki yake mmempa support mpaka katoboa alafu karudi tena clouds !!
@marrykisara31384 жыл бұрын
Ulikuwa hujui
@zenamadhan25174 жыл бұрын
Yule mmakonde ukiangalia kiumbali ni.mnafiki sana si ajabu kua anatoa siri za wasafi..na kujigamba cz simba alimuamini sana kumbe nyoka
@rkplatnumzrkplatnumz7294 жыл бұрын
Eddy Bayzor ulikua hujui mwamba
@DjRHINOInternational14 жыл бұрын
Harmonize ako biashara wacheni Ujinga. Anyone with a brain would take any support that comes his way
@allymackinga18234 жыл бұрын
@@zenamadhan2517 asikwambie mtu wamakonde c watu mm nililijua ilo mapem kabla ajatok wasaf wamakonde rohombay wanafki yaan kwakifp ucje muamn mmakonde yeyte at cku moja atakam ukimuon mwem kias gn kmbk uyo n nyok ipo cku t atakugeuk amiin ivyo mm nawajua vzr nmeyakut kwa rfk zng ndug zng yaan asili yao wamakonde wpo ivyo yaan namaansh wote wpo ivyo
@davidmachange41534 жыл бұрын
Huyu Dada yupo vizuri Sanaa kwenye kuendesha interview... She is the best...
@chrisantusmtanga19184 жыл бұрын
Another one bonge la interview ya mwaka 2019
@mubito64 жыл бұрын
kabisa
@fatmahassan91534 жыл бұрын
Baba mwenyenyumba kashasema ukweli wote ww ubishe km nani😂😂😂😂😂😂😂😂😂siwezi kumshindikiza mtu kwenye utajili lazima twende wotee👌🤘
@ramadhanlukindoa27104 жыл бұрын
Nc
@augustuscaesar28164 жыл бұрын
kabisa fatmA
@nurdinimndeme29124 жыл бұрын
huyu jamaa anajali Pesa kuliko mahusiano ' nafikiri Yuko na marafiki wachache sana !! haha duh ! mi siwezi is just like #robot ..ila matajiri wengi wako hivi Yote kabisa thanks ..unam-manage #diamond vizuri sana u'r so #Genius #WCB4LIFE
@famitoissanawanda62954 жыл бұрын
Ili asijali pesa na awe na marafiki wengi ulitaka afanye nini?!! Au ulitaka awe rafiki yake wewe?!! Acha roho mbaya
@francolesangwa76474 жыл бұрын
Daaaaah Interview Makini Sana Kama Umemwelewa Don Mendez Gonga Like Kama Zote Tujuane Tuliomwelewa Boss Sallam
@Majambo_Duniani_Tv4 жыл бұрын
Sallam Sk anafanana sana na P Funk Majani..
@mosesjnr84364 жыл бұрын
Sure
@mumbayeashata9934 жыл бұрын
True
@nicksonlwiwa1444 жыл бұрын
SALLAM SK, Nimtu ambaye namkubari sana ,hata mm nasema siwezi kumpeleka mtu kwenyeutajir
@mswattyking39524 жыл бұрын
Nickson Lwiwa sio kumpeleka n kumsindikiza kwenye utajir Tunapelekana kwenye utajir
@uncleelly45434 жыл бұрын
Regrann Don Mendez🔥🔥🔥🔥
@Mariam.kassiva4 жыл бұрын
I like that concept, let's not help each other BUT let's work together
@baloziwawcb82014 жыл бұрын
Don Mendez💥💥💥
@mwaulambo4 жыл бұрын
Biashara! Business! Biashara Kama unesikia maneno hayo mara nyingi gonga like
@mussaagrey56794 жыл бұрын
Martin Mwaulambo mjinga upo
@brownd63604 жыл бұрын
kama umeskia siwez kufany kazi ya kanisa like twende sawa
@asallymbwego59064 жыл бұрын
Huyo ndy Don Mendez km kuna asiye mjua TWENDE PAMOJA KWENYE UTAJIRI.
@msobijuior104 жыл бұрын
asally Mbwego 😂😂😂😂😂😂
@dr_godfrey4 жыл бұрын
Shabiki no 1 wa WCB gonga like
@babusaka39134 жыл бұрын
Nakupenda sana boss Mendez. You don't give a damn!!! You always speak the truth. Mob love from 254🙏
@dianajeremiah31804 жыл бұрын
Salaam is one of the best Managers in Africa
@mc_mrope4 жыл бұрын
Another best interview of the year
@davidmendrad47494 жыл бұрын
hii kauli ya simsindikizi mtu kwenye utajiri naipenda sana
@mohamedmuhajiri83484 жыл бұрын
Apo ndo ujue kwamb ucpo badilika kwa wakati bas wakati utakubadilish
@mohamedmuhajiri83484 жыл бұрын
Apo ndo ujue kwamb ucpo badilika kwa wakati bas wakati utakubadilish
@hassaniothumani55014 жыл бұрын
😂😂😂😂
@habibasallah81394 жыл бұрын
Mungu awazidishiye wasafi nyote kwajumla
@millardyleonardy30904 жыл бұрын
Naskiaa Dzzm niya sallam SK hapo anazungumz na mfanykazk wkee umetishs dada kwa kuongea vzriii na don Mendez
Guys kweli salaam ni manager real! He’s so humble! Kwa muonekano na mikazo yake diamond kushuka labda afe
@SalimSalim-ls9lg4 жыл бұрын
Wakitoa sababu tena public ndo mtawaruhusu wapige ngoma za wcb kama hawatasema kausheni
@kassimrajabu78054 жыл бұрын
Kwel kabisa
@zenamadhan25174 жыл бұрын
Kabsaa..umesema ukweli..watangaze peupe .
@abdalahassan25224 жыл бұрын
Duuuu🙄🙄🙄🙄🙄 kumbemboso.alizuiliwa intavyuu
@djgeorgekiller36174 жыл бұрын
Huyu jamaa nimemuelewa sana harmonize ulipo mungu anakuona
@finna59704 жыл бұрын
Huyu jamaa ni real, ana upeo wa ki western, sio Sisi waswahili tunaogopa kua wakweli, watu namna him hufika mbali Sana, well done SK
@hisanmwakijungu104 жыл бұрын
Yuko kama Mimi
@thelyrics51654 жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣tutajuaje
@hisanmwakijungu104 жыл бұрын
@@thelyrics5165 my dear si tuna assumed tu,,, Yaan iwe ivyo tu ata kama sio Hahahaha
@awazbange74734 жыл бұрын
Mendez you great manager
@josephkateti70304 жыл бұрын
Lugha inayotumika kwenye hii interview sana in kiswahili nimependa✔ Ila ingekuwa wa2 flan........
@edmboya77794 жыл бұрын
Salam SK huko straight and very educative. Looking forward to meet you brother.
@toney..4 жыл бұрын
Muhuni yuko confident kinoma! The guy is motivational by the way.... 🙌🙌
@tazamajefte4 жыл бұрын
huuu dada nimekubali kazi yake anajua kazi tena hana ujinga
@ahmedmahamudu41404 жыл бұрын
Huyu ni meneja wa Diamond platnumz Hivi meneja wa Ali kiba ni yule mdada anae chamba mashabiki?😂🤣🤣🤣
@msobijuior104 жыл бұрын
Ahmed Mahamudu 😂😂😂
@tuffahhappiness33574 жыл бұрын
Ahmed Mahamudu yule wa Ali Kiba ni meneja mbirimbi huyu wa WCB ni meneja asali 😂😂😂
@yahyamanaki4 жыл бұрын
😅😅😅😅
@aminsfadhili4794 жыл бұрын
Hahahahahaha
@jumahkipingu73394 жыл бұрын
Meneja wa alikiba mama ako wewe msenge
@ismaillegolas26324 жыл бұрын
Wasiokuwa na akili wataponda apa sallam wew 💪wcb mungu awazidishie sana tena sana sana sana shabiki wenu mm no 1 nawakubali saaaana 🙌
@hamzadimpoz3914 жыл бұрын
Kumbe chanzo ni harmonize hlf yy anazinguwa
@simbamsumeno63634 жыл бұрын
Si msindikizi mtu kwenye utajiri tunaenda nae
@buberwajohn13124 жыл бұрын
Jamaa yuko too straight yani hayumbagi respect man
@tazamajefte4 жыл бұрын
Huo ndio ukweli wa mambo ...wajuwe mziki ni biashra sio mambo ya kijinga kijinga ao mambo ya kiswazi
@emmanuelryoba56974 жыл бұрын
nc interview ever big up sk
@lusekelomwasanga28154 жыл бұрын
salam unajua ela ivyo ndo inavyo takiwa weka ela kazi ifanyike uwana ni umaku
@susanruo80874 жыл бұрын
Alafu sauti inaenda kufanana na ya Dai... Tena nimempenda bure tu
@hadijabebe51854 жыл бұрын
simsindikiz mtu kwenye utajiri daaa
@latifajanja23754 жыл бұрын
Sasa clouz walishindwa kumlipia harmoniz nguo jmn ugomv wa kitoto au kwasababu alikua back ground?ifikie kipindi tupendane life is too short hy yote dunian tuu na tutaviacha je mko tayar kufa na mkiwa amuongei na mna mabifuu?
@joxiahmendez13254 жыл бұрын
WCB sio NGO's...!! Kama umesikia kauli hi weka likes kwa Don Mendez!..
@likimaro64 жыл бұрын
NGO sio ENGO
@willeydavid21084 жыл бұрын
Kuanzia dakika 30:02 nimemuelwa vizur sana SKkwenye ufafanuz wakuomba kuandikiwa Barua daah clouds kumbe wanaroho zakorosho sana
@aaa64sa134 жыл бұрын
Boss kubwa safi sana nimekuelewa✌❤❤❤ Wcb 4life👊
@allysalim90094 жыл бұрын
Hao clouds waongee wao ukweli ni kwa nini walifungia nyimbo za wcb?
@streetview30454 жыл бұрын
is so col kabisa maana salam kasema mke wa kusaga anahisa wasafi sasa si wale wale tu wanatuchota tu
@TALLUBOY4 жыл бұрын
Big umetisha mzee Kaza sana muitengeneze Mipango ili musimame Zaid muwe na feza
@stephanothobiassimoni33924 жыл бұрын
Daaa aliye sababisha nyimbo zisipingwe leohii yeye yupo huko daa
@rubyshamlaha21814 жыл бұрын
Mchawi Hana jema mwache aende zake
@stephanothobiassimoni33924 жыл бұрын
Kweli ruby
@shaabanramadhan67704 жыл бұрын
Ndo nashangaa dah! Kweli mmakonde hana fadhila
@stephanothobiassimoni33924 жыл бұрын
Kweli shaaban maana walipo mtoa tofauti na malipo anayo walipa
@mariamjumaswalehe6354 жыл бұрын
Kumbe hana shukuran yule mmakonde
@alexmurithi13274 жыл бұрын
He's so technical with words and he mean business 24/7. You like him or not.
@eidkhan60244 жыл бұрын
Jamaa so smart
@young_prince_04684 жыл бұрын
Saidia saidia nimemsaidia Gonga like kama umeikubali hii interview
@valon13174 жыл бұрын
Silaha kubwa ni confidence 💪🙌🔥
@msobijuior104 жыл бұрын
Vii Sugar Boy Focus Focus Focus, must be do better
@michaelbinzi52554 жыл бұрын
Nimesoma comments zenu mpaka mwisho na interview hii inafundisha tuache uongo jamani
@LimbsoNMshmb4 жыл бұрын
😀😀😂😂
@marinamooh40554 жыл бұрын
Haya hakuna kusindikizana kwny utajili twende sote🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️ Bonge la Interview 👏🏻👏🏻
@theodorendikumana54334 жыл бұрын
It sounds as if WCB management isn't willing to Barry the past and let people enjoy music za wasani wote sio kuwagawanya. Ukidai that you have moved on, obviously you have nothing to loose ko vuta ni ku vute isn't a way forward.
@einsteinmboje47304 жыл бұрын
Theodore Ndikumana Its The Best Way To Solve Problem By The Way ....Salam Ana Akili Sana Diamond Amshukuru Sana Mungu Kupata Management Bora Kama Hii ...Huwezi Kusolve Tatizo Bila Kujua Tatizo Lilikuwa Ni Nini
@theodorendikumana54334 жыл бұрын
@@einsteinmboje4730 Hey Mr nadhani the root of this matter mwenyewe Salaam has pointet it out , so there is no need ya kutaka kujua why? And u can never be a good manager with a tone of arrogance, it's exactly what he has portrayed during hii interview.
@chicharitoronaldo59504 жыл бұрын
Clouds watoe sababu kwanini walifungia kupiga nyimbo za WCB thats all!!!!
@husseinkitingi81864 жыл бұрын
Majaji wanakazi ngumu sana maana kila unaemsikiliza yupo sahihi
@Bullah_tz4 жыл бұрын
Don mendez jamaa nakubal sana huyu ... apa kwel diamond ana maneger
@badmanno.16504 жыл бұрын
Dada mzuri sana Mashallah...
@thedoncomplex36794 жыл бұрын
Kama mjasiliamali nme jifunza kitu kwa interview hii!! Nmejifunza "Lete helaa & Unashingapii"😂😂😂😂
@videlialabeka48994 жыл бұрын
Married twice and divorced twice 😂😂😂😂😂😂😂😂azn it didn't work Salam oa 254
@videlialabeka48994 жыл бұрын
@Change Mindset yani huyu hata hatuna msaada.acha akae tu😅😅😅
@mahadsayyed74754 жыл бұрын
Simsindikiz mtu kwenye utajir tukae humoo!!
@magesatv96594 жыл бұрын
Nataka siku moja niwe Kama mendeziiii sk namkubali sana
@rogatusshineneko28964 жыл бұрын
Good interview by dizzimmedia
@leonardfasion11824 жыл бұрын
Usishangae huyu kila kitu hela yawezekana mwanamke alishndwa kumpa faida
@sharickjirani34404 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣we jamaa akili zako unazijua mwenyewe
@jenifersamwel89904 жыл бұрын
Sallam banah anavitukoo m nampendaa anajiamini af hapend kusaidiana n u Swahili 2 n kufanya biashara nmeipendaa hii😛
@walivyojuma70954 жыл бұрын
A Y heshima kwako hauna makuu bgp ay
@jaydon33614 жыл бұрын
Ila hili jamaa linaongea ukweli, maana Leo tumejua kuwa mke wa kusaga ana share WCB
@thomasmagoti15254 жыл бұрын
Unauhakika???
@shahamtindo4 жыл бұрын
@@thomasmagoti1525 Kwahyo aliposema hujasikia
@albertkadyanji97224 жыл бұрын
Kuwa na shea sio kumiliki broo watu wanashindwa kutofautisha apo tu
@jaydon33614 жыл бұрын
@@albertkadyanji9722 kumbe we huna akili Sasa nan amesema kwamba kuwa na share ndo kumiliki, au unafiri hatujui maana ya share
@shahamtindo4 жыл бұрын
@@albertkadyanji9722 kweli watu wengi hawana uelewa wa haya mambo
@rutihindakiuyajibu29184 жыл бұрын
Now i know why this guy is known as "THE DON"
@mwaramikaniki56364 жыл бұрын
Nakubali salamu mtuu makini sana ndo maana daimond anatoboaa sana yupo na mtuu makiniii
@albait52274 жыл бұрын
Saf sana mendez
@isdorspretre98513 жыл бұрын
Mendez 🙌🙌
@arnoldishengoma84584 жыл бұрын
Hapa ndipo unapotamani marehemu aamke aongee na yeye kwa upande wake!
@karimujuma20204 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀
@khadijakhadija62124 жыл бұрын
Jamani
@rodrickraymond4 жыл бұрын
Wasafi ni smart sana Ndo maana wanapasua mawimbi kla sku na kwa u smart huo akuna wa kuwashusha sabu wapinzani wao sio smart
@chiefkaitaba.m.94664 жыл бұрын
Huwezi kufanya bihashara kubwa mno peke yako hata hao hakina #Billgates walianza wakiwa partners hivyo #Diamond kuwa Partner na #mrskusaga siyo kosa huko nikuongoza nguvu ya bihashara 👍
@mussamwamoto82314 жыл бұрын
mr Serious,let call hm from now as mr Serous,wcb4life
@nansikilovele14244 жыл бұрын
Don mendez!!!pleaz muambukize hiyo roh mond ! Aache roh ya kusaidia halaf wanakuja kumletea ujeur na dharau aache kabisa,chibu,coz binadam hawana shukran! Fukuzen hata hao walobak washakua nao wasepe kabisa! Nishakasirika mie kama mwana w.c.b from ma heart!