SAMAHANI ASANTE |epi 12|

  Рет қаралды 9,458

KitaleMkudeSimba

KitaleMkudeSimba

Күн бұрын

Пікірлер: 280
@KitaleMkudeSimba
@KitaleMkudeSimba 4 сағат бұрын
Maoni Yenu Tafadhal 0733 999 999
@sumakijaji4547
@sumakijaji4547 4 сағат бұрын
Movie Kali ila ongeza dakika
@rehemajulias-p9c
@rehemajulias-p9c 4 сағат бұрын
Muvi kali sema nn kitale mm nangojea kukuona😂❤
@dianamushi-j9e
@dianamushi-j9e 4 сағат бұрын
Movie nzur sanaa tuuh tatizo mnachelewesha kutoa hzo episode mpk tunasahau tulipo ishia at least muwe mna range after two days jmny😢
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 4 сағат бұрын
Move mzur kak ongeza muda
@MwanengoMbogo
@MwanengoMbogo 4 сағат бұрын
@@KitaleMkudeSimba mlete bakari na stani bakora
@NuhuAdam-re9tz
@NuhuAdam-re9tz 4 сағат бұрын
Wanaomkubali Mzee kama wekezeni apa like zenu
@NamuinjidyaNhamueziBoytuga
@NamuinjidyaNhamueziBoytuga 52 минут бұрын
Kitale ww mdio King wa sasaivi. Naipenda sana ii movie, from 🇲🇿🇲🇿
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi Сағат бұрын
Kitale mkude simba,❤❤❤❤congratulation mungu akutoe kiwango hiki hadi kingine kwa kazi nzuri.
@hemedykayonko4109
@hemedykayonko4109 Сағат бұрын
Yaani mimi hata mmgenipigia nyimbo2 ya ahsante ningeridhika ❤
@NajatRajab-x1k
@NajatRajab-x1k 2 сағат бұрын
😭😭😭😭😭😭 mzee ramadhani siwezi ishi bila weye rudi babaaa😭😭😭😭😭
@vailethmtawa3478
@vailethmtawa3478 2 сағат бұрын
😢😢😢😢
@NajatRajab-x1k
@NajatRajab-x1k 2 сағат бұрын
Mpaka nimelia mwenzangu kwa melina​@@vailethmtawa3478
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu Сағат бұрын
Achaa aende ili Aisha na mama ake yamkute mazito man awasikii wamenikera sanaa japo movie mama Aisha wakufurahia baba ake kuondoka 😢
@Casmirors
@Casmirors 3 сағат бұрын
Kuna samahani asante na mission impossible Hizi kazi ni hatariii🎉🎉🎉🎉
@salhatphidelis8884
@salhatphidelis8884 Сағат бұрын
Na dunia
@TiffarStima
@TiffarStima 42 минут бұрын
Dah namkubali sana babu yale aisha
@JulianaMwilongo-o7y
@JulianaMwilongo-o7y 2 сағат бұрын
Yaan toka nimeaza kuangalia leo ndo nimetishika mwenywe😂😂😂😂 kwani mnataka tulale tukikumbuka Samahani Asante😢😢😢😮
@vailethkecha
@vailethkecha Сағат бұрын
weacha yani wanatutisha
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 4 сағат бұрын
Nawaombea Dua wote kwa uwezo wa allah tuuvuke mwaka salama Insha'Allah Allah atufanyie wepes na baraka tele🎉🎉❤ samahani Asante
@MwacheoHanzada
@MwacheoHanzada 3 сағат бұрын
Amiin
@HappyNass-mu3lu
@HappyNass-mu3lu 3 сағат бұрын
Ameen 🙏
@hamissahamissa105
@hamissahamissa105 2 сағат бұрын
Amiina
@biimumwinyi4310
@biimumwinyi4310 2 сағат бұрын
Amiin Ya Rabby
@AuntfudeHatounwajay
@AuntfudeHatounwajay 46 минут бұрын
AllhumathumaAmina🙏
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie Сағат бұрын
Utamkumbuka Baba yako mama Aisha 😢😢😢🎉
@jumaluaga7092
@jumaluaga7092 4 сағат бұрын
Naona kabisa mwisho wa hii kazi mama aisha atakuja kumuambia mzee kama samahani alf Asante baba(samahani asante)
@WardyMkamate
@WardyMkamate 3 сағат бұрын
Kwelii kabisa lakn atakua kashachelewa
@Subra-d5y
@Subra-d5y 3 сағат бұрын
​@@WardyMkamate we mzee kama tunae bhana
@ScolaNalle
@ScolaNalle 3 сағат бұрын
Mama Aisha weweeh😢 utajuta wewe
@noninmaduhu3476
@noninmaduhu3476 2 сағат бұрын
Tunaoamin Mama Aisha atajutia kuondoka kwa mzee #Ramadhan Kama tujuae
@One_5_l
@One_5_l Сағат бұрын
Huyo sauda nae hajui chochote
@josephinajoachim3552
@josephinajoachim3552 Сағат бұрын
Jaman nimeumia mzee kama kuondoka
@estermtai5491
@estermtai5491 2 сағат бұрын
Mimi namuogopa Merina et, akitokea nastuka kidogo niangushe sim😅
@Malyunsaidisaidi
@Malyunsaidisaidi Сағат бұрын
🤣🗣️🤣🗣️🤣🤣🤣😊
@rosepiere1857
@rosepiere1857 Сағат бұрын
Tuko wote ndugu yangu naogopaaaaaaa mimi
@jumaluaga7092
@jumaluaga7092 4 сағат бұрын
Nilidhani mzee kama atamuuliza aisha nywele ziko wapi😂😂😂
@rehemajulias-p9c
@rehemajulias-p9c 4 сағат бұрын
Akiri zako hazina akir 😂😂😂😂😂
@AuntfudeHatounwajay
@AuntfudeHatounwajay 44 минут бұрын
😂😂😂
@darlenedada651
@darlenedada651 3 сағат бұрын
Jamani tunauzuni kuona mzee kaondoka
@VanessaVcent
@VanessaVcent 2 сағат бұрын
Kaenda kutuchukulia dawa tuwakomeshe wale wachawi sugu😂😂😂
@hamissahamissa105
@hamissahamissa105 2 сағат бұрын
Weachatu tena uzuni haswa
@saidali4371
@saidali4371 Сағат бұрын
Mzee hajaondoka kajikomelea ndani weee ngoja tu😂😂
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 2 сағат бұрын
Kumbe Mzee Kama Ramadan Kama, alikuwa yuasema kweli kafukuzwa maana si Kwa Raha aliyo nayo Mmke Aisha
@KasimuKanti
@KasimuKanti Сағат бұрын
Mwendelezo tafazali tumalizane nayo mambo nimengi yakufanyaaa😢😮
@MohamedSalum-l5y
@MohamedSalum-l5y 20 минут бұрын
Kaka sijawai kukupinga nasitokuponga mm nakuombea duwaaa uzidikutupa buludani ❤❤❤🎉🎉🎉
@KareemJuma-n7b
@KareemJuma-n7b 3 сағат бұрын
Daah hongerez zako kitale na kwamtuzi💯👏
@mamaaanmar1261
@mamaaanmar1261 4 сағат бұрын
Mama. Aisha. Utajuta. Sana. Unaona umeweza. Mwenyewe. Ss. Tunakuzoom tuu. 😂😂😂😂😂
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi Сағат бұрын
Vipi mzee kama😢mbona wanimaliza wataka nilie au😢 mbona sasa waenda,lakini sioni harusi hapo.
@josephinajoachim3552
@josephinajoachim3552 51 минут бұрын
Ongezen dakk jamn mbn kidogo sana
@danielmoses9263
@danielmoses9263 4 сағат бұрын
Kuna watu mnawahi aise 😂 utadhan kitale kawastua kuwa anachia goma🙌🙌
@efrahimtadeo5965
@efrahimtadeo5965 3 сағат бұрын
Alafu Kuna watu ata shule walikuwa Awa wahi iv😅
@danielmoses9263
@danielmoses9263 Сағат бұрын
@@efrahimtadeo5965 🤣🤣🤣 so poaa huku wanatisha
@KmssKkss
@KmssKkss 3 сағат бұрын
Mama aishaaa unampoteza mtt jmn daaah mskilizee baba ako
@KasidikaGrace
@KasidikaGrace 3 сағат бұрын
Mimi ni mugeni leo njo nimeanza kufatiliya movie munikaribishe basi na like mashabiki wenzangu 😢 🇨🇩❤❤🎉🎉🎉
@mushrafuahamadi8676
@mushrafuahamadi8676 2 сағат бұрын
Team mzee kama Ramadhan kama sheria ni moja tu like hapa
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 2 сағат бұрын
Ndio Kufika sasa nipeni kiti Nimechelewa kidogo kisa Usafiri
@kingcicero1708
@kingcicero1708 4 сағат бұрын
Team mzee Kama Ramadhani Kama, sheria yetu ni ile ile ya kudondosha like za kutosha
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 2 сағат бұрын
Aloo Dah Rahaaa si utuweke kila baada ya siku moja ikimaliza tutairudia upya tuu ❤❤❤❤
@shafiichusi1897
@shafiichusi1897 4 сағат бұрын
Kama Ramadhani kama...🙌🙌🙌🙏🙏
@WAHIDAMWALIMu
@WAHIDAMWALIMu 4 сағат бұрын
Unaweza sana kaka chukuwa mauwa yako
@SanjerSaimon
@SanjerSaimon Сағат бұрын
Mbn naogpa jmn 😢 nitalala kweli
@IntareYumuryango
@IntareYumuryango 4 сағат бұрын
Jameni mbona mim hamjawai nipea like
@omankafa1555
@omankafa1555 3 сағат бұрын
Jamani hii move tunaomba iwe inawahi jaman ni nzuri sana ❤🎉
@MwanengoMbogo
@MwanengoMbogo 4 сағат бұрын
Kama kawaida mm ndo wakwanza Kuona hii ila mnaninyima like sijui shida ni nini majirani zetu
@harunamuhode
@harunamuhode 4 сағат бұрын
Sasa nawe wa kiume like za nn
@AbdallahSaidi-s2v
@AbdallahSaidi-s2v 4 сағат бұрын
Kuwa wa kwanza sio muhim san comment cha maana watu wata like kutokana na point utakayo comment
@swalehtole4507
@swalehtole4507 3 сағат бұрын
Leo nmewai kwa dakika 56..na mm kuona
@swalehtole4507
@swalehtole4507 3 сағат бұрын
Jamani Melina....😮😮😮😮😮😢😢😢😢
@Official-sj6kw
@Official-sj6kw 50 минут бұрын
Unyama ni mwingi Aya mm ndo yule funga dimba
@AshaLazaro-u9m
@AshaLazaro-u9m 4 сағат бұрын
Dakika ya 37 daaaah naipenda hii movie hatar ina mafunzo yanayohusiana na maisha ya kweli katika jamii zetu inatufundisha saan mauwa yako mtunzi ma wasanii maana wamacheza uhalisiaa 🎉🎉🎉🎉
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 3 сағат бұрын
Tunaoitaji kufaamu hutokaji wake hii movie tujuane kwa Iikee 🎉🎉🎉🎉🎉
@SafiaAlawi08
@SafiaAlawi08 25 минут бұрын
Mtu mzima dawa mama aisha utajuta 😢😢 , ila kuna wakati kuzingatia ndoto nimuhimu kulipo kupuuza ndoto niujumbe wa mafumbo allah atujaalie mwisho mwema
@SwaumuJuma-k6y
@SwaumuJuma-k6y Сағат бұрын
Mov kila siku inazdi kua zur tunaomb mue mnawaish
@Mariamsalim-u7t
@Mariamsalim-u7t 2 сағат бұрын
Tulio kuwa tuna subili kwa hamu tujuwane
@UmmukulithumuKuluthumu
@UmmukulithumuKuluthumu 2 сағат бұрын
Daaaah.jamani Babu mienakupenda
@sylivesterdauson2204
@sylivesterdauson2204 2 сағат бұрын
Dah kaka ongeza juhudi kaz nzur San
@SafiRashid-q4x
@SafiRashid-q4x Сағат бұрын
Nakupend Sana babu ramadhan
@Alhajikobelo
@Alhajikobelo 4 минут бұрын
Hii move ni moto aisee hapa nimeitangaz hii move mpak nimefany watu wengi wanaifuatilia ila napata shida xana na haw wadau maan muendelezo wake unachelew sana kaz ni moto
@NajmaMgallah-g8x
@NajmaMgallah-g8x 2 сағат бұрын
Mtoto akililia wembe mpe, mzee kasusaa anajuwa likiwakut ndo mtaftfta
@vitalisieligi4158
@vitalisieligi4158 Сағат бұрын
Halafu hili suala la kuweka cast dakika tano achana nalo washajulikana kuanzia siku ya kwanza pitisha haraka mambo yaishe
@ElinaIbrahimu
@ElinaIbrahimu 3 сағат бұрын
Noma sana kitale lkn tuongezee muda kdg jaman
@mariammchiu3826
@mariammchiu3826 2 сағат бұрын
Babu tyr siwez kuishi bila ww😂😂 unajua🔥
@josephinajoachim3552
@josephinajoachim3552 Сағат бұрын
Yaan mama aisha namchukia kama kubwa jinga
@AdamClassic-uj9ed
@AdamClassic-uj9ed 2 сағат бұрын
Pameanza Kuchangamka Sasa Uku Mzee Kama Na Mjukuu Wake Uku Melina
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 2 сағат бұрын
Ila Mama Aisha unajitafutia majanga 😢😢😢
@magangamasele1171
@magangamasele1171 2 сағат бұрын
Story ya Melina imenitoa machozi 😢😢😢😢😢😢
@juliuslameck
@juliuslameck 2 сағат бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@yonaasyon5063
@yonaasyon5063 4 сағат бұрын
Move nzuri san inafundisha😊
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 2 сағат бұрын
Kweli huyu mama Aisha hakumbuki wakati alifugwa mvundo kwenye kile kitenge wakati mwanaye anauchugu mzee kama aka mwambiya amfuguwe daa mh subiri mtamtamani badaye duu
@peterkija2603
@peterkija2603 3 сағат бұрын
Oya nipen likes na mm mchelewaji 😃😃
@MwacheoHanzada
@MwacheoHanzada 3 сағат бұрын
Mwaka jana alitolewa melina sadaka mwaka huu ni aisha cz wewe na mmko mukiambiwa hamusikii
@VanessaVcent
@VanessaVcent 3 сағат бұрын
Tunamtaka merina wetu jmn 😢😢 kaka usichelewe kutoa ep 13 please 🥺🥺
@zainakidile3826
@zainakidile3826 Сағат бұрын
Movie nzur
@AshuraKhalid-m7h
@AshuraKhalid-m7h 4 сағат бұрын
Naomba basi usichelewe kutoa,jamani naioenda sana samahani Asante ❤ kutoka kwenye damu yani toeni ata mara tatu au nne per week jaman ,nawapenda
@heriethgodfreyhegoxa5551
@heriethgodfreyhegoxa5551 3 сағат бұрын
KUMEANZA KUCHANGAMKA NA MELINA SASA😢😢 ILA SASA NAONA INAANZA KUTISHA M NAOGOPA😢😢😢
@AishaKhamis-gs6qc
@AishaKhamis-gs6qc 2 сағат бұрын
Mipia naogopa sasa uyo melina katokea wapi😢😢
@Petitmahuzo
@Petitmahuzo 4 сағат бұрын
Huyu ndo nilie kua na msubiria jini fetty ❤😅
@abdulihalili7227
@abdulihalili7227 3 сағат бұрын
Kumbe tupo pmj😂😂
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 сағат бұрын
Mzee kama ameenda kijijin kuongeza nguvu nasubiria makombora yaruke chap waaibike😂😂
@BOB17_OJO
@BOB17_OJO 4 сағат бұрын
Kitale this movie if you don't finish it I will catch you there in Tanzania 😂 am BAY OMAR BAY 17 from Tajikistan
@LoiceLoice-c1b
@LoiceLoice-c1b 2 сағат бұрын
Mama Aisha kita kuramba sio kitambo😢😢
@TiffarStima
@TiffarStima 37 минут бұрын
Mama aisha atakuja kujutia we mwacheni tu
@godfreykabigi6300
@godfreykabigi6300 8 минут бұрын
Sauda utakuja kujutraaaaa maji utaita mmaaaa
@OmaryAyubu-fi7jz
@OmaryAyubu-fi7jz 4 сағат бұрын
Hii Scene ya huyo alokufa kuonekana imekujaje tena hatujui alikufa Lini aliuliwa na Nini🥺
@zainabalex9810
@zainabalex9810 2 сағат бұрын
Kabisa
@hildachiboti6080
@hildachiboti6080 2 сағат бұрын
Labda aliuliwa na hao wachawi kama ambavo wanataka kumuua aisha
@OmaryAyubu-fi7jz
@OmaryAyubu-fi7jz 2 сағат бұрын
@hildachiboti6080 Sndowangeanza naiyo Scene tukaona wanavyo muuwa tukaelewa
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 Сағат бұрын
Sasa move si ndo inaendelea
@AmisseBuraimoCanamo
@AmisseBuraimoCanamo 2 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉Musa from Moçambique
@SapnaKhan-k3r
@SapnaKhan-k3r 3 сағат бұрын
Kazi nzuli
@ghaithasabour7476
@ghaithasabour7476 4 сағат бұрын
Mama Aisha hujui utendalo 😢😢.....
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 сағат бұрын
Atakumbuka kumeshaharibika
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 4 сағат бұрын
Kumbe mama Aisha ni mjinga namana hii !? 😢 sasa ngoja kiwarambe watajua hawajui. 😢
@MohammedAbdalla-i3g
@MohammedAbdalla-i3g 6 минут бұрын
Huu mchezo mkali balaaa lazm uwe na D mbili nd uelew
@HeriChitonaga-u9z
@HeriChitonaga-u9z Сағат бұрын
Mzee ongeza dk
@WAHIDAMWALIMu
@WAHIDAMWALIMu 4 сағат бұрын
Jamani nilikuwa naisubir kwa hamu zote. Asante brother kitale
@حليمهالبلوشي-ز5ث
@حليمهالبلوشي-ز5ث 4 сағат бұрын
❤❤❤❤😂😂😂 Mzee kama kasusa arusi😂😂😂😂😂
@KIDNESS1178
@KIDNESS1178 4 сағат бұрын
Ime anza kuwa tamu 😋😋
@kingidrisaathumani48
@kingidrisaathumani48 Сағат бұрын
Haka kakipande Cha ripoti ya Melina nusu namm nilie s nikasahau Ni movie 😅
@OmaryAyubu-fi7jz
@OmaryAyubu-fi7jz 4 сағат бұрын
Ivi hicho Kijiji siwatakuwa wanajua rais Bado ni uncle magu😎
@dismapayovela
@dismapayovela 2 сағат бұрын
Mzee ramadhan nimemkubali
@NawaliKassimu
@NawaliKassimu 4 сағат бұрын
❤❤❤ kazi nzuri
@MwanatumuBwata
@MwanatumuBwata 2 сағат бұрын
Mama aisha utakuja kulia ww
@HamisJinda
@HamisJinda 19 минут бұрын
Yatakukuta mambo
@katsopolechonyiboy4896
@katsopolechonyiboy4896 Сағат бұрын
Mzee kama Ramadan kaenda wangapi imetuuma tujuwane
@One_5_l
@One_5_l Сағат бұрын
Nimechelewa tujuane tulochelewa
@yehoshafatisuhuzwa4399
@yehoshafatisuhuzwa4399 4 минут бұрын
Kipande cha dada yake Melina jinsi anavyomhadisia mama yake. Kinaboa sana. Analudia tuliyoyaona
@jdjdhhdhdh7099
@jdjdhhdhdh7099 2 сағат бұрын
Nani amegundua Melina ni jini feiti 😂😂
@musahamza5172
@musahamza5172 4 сағат бұрын
Jamani leoo mimi ninewahi kila mara niko online kusubiri,naomba like zenu tunao mkubali babu yake Aisha
@maryamoganda623
@maryamoganda623 4 сағат бұрын
Mzuri sana ❤
@attkaally8891
@attkaally8891 4 сағат бұрын
Alaf mnaiweka usku ili tuote au😢😢
@asmakenya2819
@asmakenya2819 3 сағат бұрын
😂😂
@MwasitiHindu-l3n
@MwasitiHindu-l3n 3 сағат бұрын
Umeniwahi😂😂😂
@zulekhamussa2007
@zulekhamussa2007 3 сағат бұрын
😅😅😅😅😅
@SarahZacharia-m9t
@SarahZacharia-m9t 4 сағат бұрын
Hiki kisu kikali jmn❤❤❤❤❤
@bakariwambua4371
@bakariwambua4371 3 сағат бұрын
Hii move watu kama mama aisha wapo sana kupuuza watu wazima
@selinakatega6691
@selinakatega6691 Сағат бұрын
Mama Aisha nakuzoom..
@francehans3526
@francehans3526 54 минут бұрын
Kaka fanya bc ata iwe nusu saa movie ni Nzuri sana fupi mno kaka dk 19😢
@StevenBoaz
@StevenBoaz 2 сағат бұрын
Blooo unajuaaa xaaanaa
HOUSE GIRL EP 02 | S4 | LOVE STORY 💞💕
24:20
BUSATI TV
Рет қаралды 13 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 102 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 119 МЛН
SAMAHANI ASANTE |ep 1|
19:04
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 83 М.
DUNIA (Ep 01)
18:29
ASMA FILMS
Рет қаралды 662 М.
🛑LIVE: JUA KALI LEO JUMAMOSI
25:50
GUSA TV
Рет қаралды 6 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 11|
22:38
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 47 М.