Mtanzania anayecheza soka la Kulipwa Ubelgiji ,Mbwana Samata amefunguka Kuhusu Kunyimwa Pasi na Jack Grealish
Пікірлер: 17
@johnluvanda Жыл бұрын
Interview zuri sanaaa sema kiamo una maswali marefu sanaa alf sauti haukazi samata ni very professional
@shabanimwinyikhery1174 Жыл бұрын
Samagooo uko vizurii
@eliazarinyakiema1969 Жыл бұрын
Vip kuhusu ugali wa udaga au mtama pamoja na kichuli. Ulaya vipo?
@mkalisantosTV Жыл бұрын
very humblee
@iddimasika1173 Жыл бұрын
Wabongo muwache ushambaa sasa hao walinzi wakaz gn hp
@jumakalinga2812 Жыл бұрын
Huna baya mwamba nakubali kinoma ila umeniuzi umetukataa wanao wa Simba sports
@abdallahomary515 Жыл бұрын
Kweli hajitumi kama msuva huyo
@Ambagaye Жыл бұрын
Intareview ni nzuri ila hao walinzi hapo nyuma yake ni feki sana.
@Lassana755 Жыл бұрын
Muongo wali upo kibao
@MuhammadHassan-xp6dc Жыл бұрын
hajasema kama haupo bali kasema hauwezi kukuta wali ndondo yani wali maharage
@mariamdimosso621 Жыл бұрын
Sa ndondo si unapika na kuna hotell kibao za waswahili watu kutoka east Africa
@fettymilly7664 Жыл бұрын
Muwe mna sikiliza interview vzur kabla amjaja kucomment
@anthonydcosta-hh7lu Жыл бұрын
Hakuna chips 😂😂😂😂😂😂 kumbe ukika ulaya unauweza wa kudanganya
@davidcurtis175 Жыл бұрын
Hadanganyi ni kweli wali nyama yao dah! Hovyo sana hapa yenywe nasikia njaa balaa lakini nikiwaza kwenda reastaurant ni changamoto kupika mvivu chipsi yai labda upike mwenyewe au ukute chipsi tatu nne ukinunua shawarma ama berbeque