PART2:DIAMOND, ALI KIBA, HARMONIZE, Wanaharibu Muziki, Roho Mbaya Kweli, Wakaua Tuzo, ZUCHU Kimenuka

  Рет қаралды 31,904

SamMisago

SamMisago

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@hassanmaganga1544
@hassanmaganga1544 4 жыл бұрын
Dah yaan ukimsikiliza chidi kwa kweli hii ni kichwa basi tu yaani anaongea point tupu big up sana Chidi
@albertkarisa8620
@albertkarisa8620 4 жыл бұрын
Mziki wa East Africa uko tanzania ĺakini wasanii wengi wa Kenya wanahela ndefu. Sababu tanzania deals zinapewa watu watatu tu. Kenya wasanii wadogo wanatengeza hela na ngoma moja tu. Chidi ameongea ukweli
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 4 жыл бұрын
Kenya gani unaongelea bro
@frankparis8346
@frankparis8346 3 жыл бұрын
Goooooood brother
@mlokozibenedict29
@mlokozibenedict29 4 жыл бұрын
Chidbenz ni mtu ambae is very smart upstairs sema tuu unaitaji kumsikiriza vizur ili uweze kumzoea ✌️🙏🙏
@rmags8654
@rmags8654 4 жыл бұрын
He has said very valid points even the govt is contributing to suppressing other artists!!
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 4 жыл бұрын
Anachojaribu Kusema Chidy Nakielewa ...Haswa Kwenye Point Ya Tz Kuwa Na Wasanii Wachache Tu ....Lakin Wachache Hao Ndio Wanaojua Kiukweli Japo Inauma Kuona Wapo Wachache ....Chidy Bado Anaamini Kwenye Vya Kale , Time Changes Hata Yeye Enzi Zake Kulikuwa Hakuna Kama Yeye Alipewa Sana Promotion So Alilalamikie Kizazi , Alalamike Why Wasanii Wa Zaman Hawataki Kwendana Na Soko Au Kuwa Wabunifu !! Mfano Mwana FA , alikiba ,Dully Sykes ...Ndio Wakongwe Ambao Wanaweza Kufanya Lolote Mda Wowote Kutokana Na Tabia Yao Ya Kubuni Kitu Kipya , Wasanii Wa Zaman Hawatakiwi Kuwa Wanatoa Nyimbo Mara Kwa Mara Coz Ubunifu Unapotea Washaimba Vingi Saaaana Mwishoye Wanarudia Tu ,Tulizen Kichwa Achia Moja Moja Au Hata Album Unaitengeneza Kwa Mda Mref ....Kiukweli Sanaa Yetu Uko Very Corrupted Na Yenye Choyo ...But Hardwork&Creativity Pays ...Mfano Tumeuona Kwa Diamond Platinumz Alibaniwa Sana Now Tunaona Yuko Wapi... Hata Chidi Anaposema Wasanii Wako Watatu Sio Watatu Ni Mmoja Tu anatuwakilisha ,Haswa Tunapoongelea Kutuwakilisha Kimataifa !! NATAMAN SIKU MOJA NIWE WAZIRI WA SANAA ,Nibadilishe Kitu Kwenye Industry Yetu...Uozo Mtupu
@oscarvipi5603
@oscarvipi5603 4 жыл бұрын
Iko sawa
@rogermunghezi248
@rogermunghezi248 4 жыл бұрын
Haha Einstein chili game la bongo ushubwada
@roi2553
@roi2553 4 жыл бұрын
Bongo ni Utopolo
@mactone1
@mactone1 4 жыл бұрын
Mmetisha wanangu gwala mingi kwenu danzo,iddy Muller, Philbert na mkogoti
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 жыл бұрын
Kaka chidbenzi 😍
@romadanromadan4398
@romadanromadan4398 4 жыл бұрын
Ched bez na dudu baya Wana sediya wasani madhambi Wana yaabeba waho🤣🤣🤣👍🇰🇪🇰🇪
@westonyjob1747
@westonyjob1747 4 жыл бұрын
Chidi bhna ww nomaa kaka
@gerrarddanken5168
@gerrarddanken5168 3 жыл бұрын
Dar!!!!! Aiseee jamaa nimemuelewa sana
@roi2553
@roi2553 4 жыл бұрын
Interview za huyu jamaa nazikubali sana mana ni za akili ya hali ya juu sana
@shootershilcon8307
@shootershilcon8307 4 жыл бұрын
Namkubali sana chidi salute uko sahihi
@manugwainvestments4617
@manugwainvestments4617 4 жыл бұрын
chid umebadirika unapendeza kweli kweli just move foward bro
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 4 жыл бұрын
Kwendaa huko😁
@xtashrayvash2996
@xtashrayvash2996 4 жыл бұрын
Huyu kaisha.... Mondi anasupport wasani wake
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 4 жыл бұрын
Chid ana madini mengi sana sema hawa wafuasi wa team mondi, team kiba, team kode boy akili zao zmejaa matope ndio maana comment zao znaponda madini ya chid
@clemkiz2376
@clemkiz2376 4 жыл бұрын
9:09 😅😅😅
@saidulaya7308
@saidulaya7308 4 жыл бұрын
ChiDi beeeenz💥💥
@saidkanji4570
@saidkanji4570 4 жыл бұрын
Uko sawa sana chid
@ramadhanimrisho5532
@ramadhanimrisho5532 4 жыл бұрын
Chuma umeongea 🔥
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 4 жыл бұрын
Etiii mmmmh..mhmmmh..
@clemkiz2376
@clemkiz2376 4 жыл бұрын
28:30 🙌
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 4 жыл бұрын
Chid Benz umeongea point sana mziki usi baki kwenye tatu Bora tuna wasanii wengi sana
@thomasboniphace7254
@thomasboniphace7254 4 жыл бұрын
Nomaaa, three whyyyyyyyy? Tunatengeza nini? Whyyyyyy? In chid's voice! Ila ni ukweli mchungu.
@gabrielomondi4630
@gabrielomondi4630 4 жыл бұрын
HUYU MWENYE INTERVIEW PIA HANA MWELEKEO...NI KAMA ANAMCHOCHEA CHIDI AONGELEE TU HILI JAMBO MOJA...
@omarimwishee7340
@omarimwishee7340 3 жыл бұрын
Mbavu zangu Jamani kunyaaaa
@johnjay6408
@johnjay6408 4 жыл бұрын
Chid beeeeenz Chuma
@stevenoiro3815
@stevenoiro3815 4 жыл бұрын
Akili kubwa
@Jamesbrown-nz9ez
@Jamesbrown-nz9ez 4 жыл бұрын
IQ kubwa ....yupo real no fake
@aronnasloyaljr7945
@aronnasloyaljr7945 4 жыл бұрын
Cheed genius sana, ila kutoka young lunya hadi young kunya hahahah
@shakilaburhan9552
@shakilaburhan9552 4 жыл бұрын
Chid yuko vizuri
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 4 жыл бұрын
𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒛𝒂 𝑲𝑰𝑼𝑴𝑬 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒚𝒂𝒌𝒆 𝗨𝗻𝗮𝗽𝗼𝘀𝗶𝗸𝗶𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗺𝘁𝘂 𝗳𝘂𝗹𝗮𝗻𝗶 𝗵𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗴𝘂𝘃𝘂 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝘂𝗺𝗲 𝗵𝘂𝘄𝗮 𝘂𝗻𝗮𝗲𝗹𝗲𝘄𝗮 𝗻𝗶𝗻𝗶? - 𝗠𝗮𝗮𝗻𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝗮𝗻𝗮 𝘃𝗶𝗰𝗵𝗼𝗰𝗵𝗲𝗼 𝘃𝗶𝗰𝗵𝗮𝗰𝗵𝗲 𝘃𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘂𝗺𝗲 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝗶𝘁𝘄𝗮 𝘁𝗲𝘀𝘁𝗼𝘀𝘁𝗲𝗿𝗼𝗻𝗲,𝘀𝗵𝗶𝗱𝗮 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘆𝗼 𝗵𝘂𝗺𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗮𝘄𝗲 1.𝗔𝗻𝗮𝗽𝗮𝘁𝗮 𝘀𝗵𝗶𝗱𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗶𝗺𝗮𝗺𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘂𝘂𝗺𝗲 𝘄𝗮𝗸𝗲 2.𝗛𝗮𝘁𝗮 𝘂𝗸𝗶𝘀𝗶𝗺𝗮𝗺𝗮 𝗵𝗮𝘂𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗻𝗴𝘂𝘃𝘂 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝘂𝗱𝗮 𝗺𝗿𝗲𝗳𝘂 3.𝗠𝗯𝗲𝗴𝘂 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝘂𝗺𝗲 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗰𝗵𝗲 4. 𝗛𝗮𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗺𝗽𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲 𝘂𝗷𝗮𝘂𝘇𝗶𝘁𝗼 . . .❤️❤️❤️❤️ Je uko na hiyo changamoto Follow me kwa msaada . . . @healthy_nutritiontz @healthy_nutritiontz @healthy_nutritiontz Whatsapp +255629395655
@emilianaernest3232
@emilianaernest3232 4 жыл бұрын
Daa inauma kweli
@kajugaa4537
@kajugaa4537 4 жыл бұрын
Eti young kunyaaaa
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Kweli tupu walaah 🤝❤
@josephbezareli7812
@josephbezareli7812 4 жыл бұрын
Upo sahihi
@allenonesmo390
@allenonesmo390 4 жыл бұрын
Dah!!! Chidy kanichekesha kifaraaa eti kama wakijuana na salamu anatimba nasibu wakijuana na seven anatimba kiba eti burnaboy ni konde 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀
@gabrielomondi4630
@gabrielomondi4630 4 жыл бұрын
JAMAA ANALIA LIA SANA..NI ISHARA YA KUFELI...HUWEZI KUKAA TU UKATEGEMEA ETI WENGINE WAKUINUE AU WAKUSAIDIE...KWANI WE NANI USAIDIWE..MBONA USIJISAIDIE KAMA WAO WENGINE WAMEJISAIDIA...VIPI HUYU??? NI WAZI HAELEWI BIASHARA YA MZIKI
@janguboitz4316
@janguboitz4316 4 жыл бұрын
Babuuu hata hao anaosema wamusaidie kipindiii hawana kitu,chidi Ni moja ya Mtu aliyewasaidia Kipindi wanamlilia,na Ni chachu ya Mafanikio yao,Taja Kati yao hao watatu Nani ajasaidiwa na chidiii,!!Mchizi anachomaanishaa Apo wajifunzee kulipaa fadhilaaa,na Iko Waziii deal Kibao saiz zinachukuliwa na label 3,ndio wanafanya mziki Mzuri,Lakin sio Kwamba artist wengine hawafanyiii,Semaaa atrist share ya mkate Iliwee sawaaaa,Kingkong azingui Wala nini,Wasaniii Kibao wanaogopa kusema flont,Promo itakosaaa
@freelancer6368
@freelancer6368 4 жыл бұрын
@@janguboitz4316 So makampuni yakiwapa deal diamond,Alikiba au harmonize waisusie kwa sababu cheed hana endorsement ...Baada ya wao kuhangaika kutengeneza brand zao?
@produzerstino1395
@produzerstino1395 4 жыл бұрын
Kaka chidy nimemuelewa ...kwanza hana chuki wala kinyongo ..bali Anastasia tasnia ya tanzania kiujumla ..wapo wasanii waliotangulia kwenye game ..waliopo na wanaokuja ..ili mziki ukue ..saport ni muhimu kusapotiana ..
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 4 жыл бұрын
Mnatakiwa kumshukuru MUNGU kwa kuwaletea diamond maana bila yeye muziki huu ungeshakufa muda mrefu Sana kwa maana bila diamond mmakonde angekuwa bado anauza maji kariakoo na bila diamond Ally kiba asingerudi kuendelea na muziki ,,,, huyo diamond kwsas si msanii wa Tanzania tu huyo ni wa dunia ni kosa kubwa Sana kumlinganisha na hao wasanii local
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 4 жыл бұрын
Muziki ungekufa? Kwa hiyo kabla ya diamond mziki ulikuwa umekufa
@spaice995
@spaice995 4 жыл бұрын
Unachokiandika unakielewa au unajifurahisha tu sita kulaumu kama umezaliwa 2002 au 2005 sio kosa lako mziki hajaanzisha diamond na hakuna nyimbo ambazo ziko vichwan mwa watu na hazitafutika kamwe ni nyimbo za wasanii wa zamani hatachuja na hazijawah kuchuja mfan malaika ni nyimbo from Tanzania utaoa utaolewa na wajukuu watakuja wataisikia na wataiimba San na sio nyimbo ya diamond ambazo zinatoka leo zinachuja kesho sabab ya ushabiki Sio namkandia mondi anafanya vizuri lakin awape nafasi na wengine
@furahachuma9039
@furahachuma9039 2 жыл бұрын
Duuh kweli ndugu yangu huelewi unachoandika. Diamondi kaukuta muziki iweje asingezaliwa muziki ungekufa?
@furahachuma9039
@furahachuma9039 2 жыл бұрын
Punguza mahaba, muda wa Diamond umekwisha.
@furahachuma9039
@furahachuma9039 2 жыл бұрын
Mungu akipanga amepanga. Hata bila Diamondi, Harmonize angeinuliwa na mtu mwingine. Hata huyo Diamond bila kuinuliwa asingekuwa hapo.
@kevoowasanya8675
@kevoowasanya8675 4 жыл бұрын
ili jamaa nili janjaa
@sweetdaddydee5942
@sweetdaddydee5942 4 жыл бұрын
Chiddy Benz, muziki ni biashara. Mtu akiji-brand au aki-brand bidhaa zake vizuri, basi kizuri kinajiuza! Diamond ameji-brand na akafanya vilevile kwa bidhaa mpya zake alizozipeleka sokoni.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 жыл бұрын
Kweli shida tz shule nimekuelewa😂😂😂
@spaice995
@spaice995 4 жыл бұрын
Tuangalie mifano nchi zingine kikubwa sio brand kinachongelewa hapa ni kuwapa nafasi wengine wasanii wadogo sababu ni wazuri kuliko hata hizo brand kubwa unazoongelea
@sweetdaddydee5942
@sweetdaddydee5942 4 жыл бұрын
@@spaice995 Gimme an example....... coz mimi mwenyewe nimeishi Europe for over 20 yrs, and it's all about branding! Si WCB, Konde Music, Kings Music na label zingine zinawapa nafasi wasanii......lakini ndio wapokelewe na soko, lazima watengenezwe. Hata mtu ajue kuimba vipi, bila uekezaji na branding, hafiki pipote!
@spaice995
@spaice995 4 жыл бұрын
Mfano msanii mkubwa akitambukisha msanii hatakiwi kishindana nae sabab ni tayar jina unalo so you can't compare na chipikiz we unazan hatuna wasanii wengi Tanzania mfan burn boy kwa sasa amekaa kimya toka katoa album yake after wametokeza wasan kibao na wamefanya vizur sana kama burn boy angetaka kushindana nao usingesikia rora inakiki ila mondi asisikie msanii mpya kahit basi nae analeta lake kumzima mtu
@spaice995
@spaice995 4 жыл бұрын
Wasanii wakubwa tanzania wanawazima wasanii wengine ni hawataki kabisa mtu yoyote a hit hata sekunde moja watafanya juu chini ndan ya hizo sekunde chache watafanya kitu kubadilisha muelekeo wa huyo mtu
@raymondmartin8048
@raymondmartin8048 4 жыл бұрын
Chidibkakosa hela za kampeni nini 😀😀😀mbona analalamuka jamani huumziki wa kongwe ndio wanasahaulika tena
@freelancer6368
@freelancer6368 4 жыл бұрын
Yaani😂😂😂😂malalamiko anawapelekea watu wengine ambao wamehangaikia majina yao
@zemgotanar5264
@zemgotanar5264 4 жыл бұрын
Basata naomba mfatirie hii intavyu maneno wanaongea yako sawa naire intavyu ya wcb
@manugwainvestments4617
@manugwainvestments4617 4 жыл бұрын
hahahahah chiiid benz bhn unasema kwelii bhn
@williamjames6831
@williamjames6831 4 жыл бұрын
Chid umetisha Mzee
@Ng_muscat
@Ng_muscat 4 жыл бұрын
Muandishi anataka kumtoa kwa reli chidi anaendelea ku control muandishi ushauri kwa samisago enterview Kama uwe unashililia mwenywe cheedy kapitia mengi mziki wa bongo huwezi kuujua paka uwingie ndani na anacho maanisha mpeni kila msani mafasi tuendle
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 4 жыл бұрын
Ahaaa haha haha eti" masikini"
@salehally7619
@salehally7619 4 жыл бұрын
Ulijiharibia mwenyewe na madawa ya kilevya usimlaumu mtu ulishindwa kujiendeleza hao unawataja wanatumia pesa kuwa hapo juu walipo usifikiri wamefika kimiujiza,wakimtoa mtu wanatumia pesa awamtoi mtu bure mziki ni biashara sasa siyo jina bro.
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Semamuzikiwenu unanjaa chuki
@gasanajacques2247
@gasanajacques2247 4 жыл бұрын
Eti youn kunya hahaha
@allyviva8328
@allyviva8328 4 жыл бұрын
Chid ama kwel, ukwel Siku Zote Hauwezi Fika Mbali Ila Urongo Dah! Mna Mambo ila Uko sawa Kabisa.......
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 4 жыл бұрын
Wanaosema ni chiz wao ndo majiz
@gypsummzuri_tz
@gypsummzuri_tz 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@iddbakaridd3357
@iddbakaridd3357 4 жыл бұрын
Bonge moja la interview Chidi he is very bright 🏄‍♂️
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
sisi tunapiganishwa ili watu wale
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 4 жыл бұрын
Huyu interview zake hazijawahi kunichosha hata siku moja Me namuelewaga sana
@TheTemba1
@TheTemba1 4 жыл бұрын
Huyu jamaaa anajua Sana Aljebra
@sanjookhan2120
@sanjookhan2120 4 жыл бұрын
Genius chidy beenz
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 4 жыл бұрын
hahhah
@maestro1902
@maestro1902 4 жыл бұрын
😂😂😂huu mziki bn
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 4 жыл бұрын
Chidy mbona kila saa Zuchu mdomoni ,embu mtue mtoto wa watu.... Unaongea vitu vya msingi lakini hii ya kumkomalia Zuchuu Zuchu utasema hajui labda kuimba
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 жыл бұрын
Chid umevurugwa ji ulize wle wte wa zaman wko wapi wacha vjina wapige dili wapige pesa juu wanajuwa kujipanga wewe uliweka starehe mbele imekula kwako😂😂😂
@Chuination_
@Chuination_ 4 жыл бұрын
Click @
@revocatuswazia3447
@revocatuswazia3447 4 жыл бұрын
bro tumekuelewa mwenye akili amelewa
@gabrielomondi4630
@gabrielomondi4630 4 жыл бұрын
CHIDI PIA AWACHE UFALA...KAMA HATA HAJUI JO MAKINI AMEZINDUA RECORD LABEL...INA MAANA HAANA UMAKINI NA BIASHARA YA MUZIKI SASA HIVI...PIA AJUE MZIKI NI BIASHARA NA INA USHINDANI KAMA BIASHARA ZINGINE TU...UKIKOSA KUJIPANGA...UTAPANGWA..KAMA DAGAA KWENYE MAGUNIA
@shigangamussa2967
@shigangamussa2967 4 жыл бұрын
Eti Young Kunya😅
@salehabdalla7773
@salehabdalla7773 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣chd hna akili young kunya tna
@Mad1netv
@Mad1netv 4 жыл бұрын
Watu hawasapoti ngoma mbaya, hata wasanii wao wanaowasapoti wamewahakikishia nyimbo zao kwanza, wewe akusapoti nani wakati hata busara huna, akusapoti mtu ashushe jina lake!
@stanslauselias9002
@stanslauselias9002 4 жыл бұрын
Mtu ukimutusi diamondi au ukimudisi tu hata utoe ngoma ya aina ngami siwezi kuangalia
@salimali7930
@salimali7930 4 жыл бұрын
Kweli ndio maana waona kina barnaba na jux wapo kama awapo...
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 4 жыл бұрын
Eti Demu wa Kawaida Anawinda...
@evandakaasa7538
@evandakaasa7538 4 жыл бұрын
Fact
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 жыл бұрын
Daaaahhh!! Huyu jamaa akili zake, haziwafit Wafuasi wengi wa Muziki hapa Tanzania.. Na kwa Wafuasi wa Muziki wa Tanzania. Hawapendi kusikia ukweli... Muziki wa Tanzania umeshikiliwa na Washamba Wasiojielewa..
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 жыл бұрын
Kwa nini wle wte wazaman wako wapi "chid anajuwa mziki lkn mlize pesa yke alipeleka wapi zaid y kula sembe sasa hzi anaona vjina wanapiga dili za pesa anakumbuka shuka kumekucha
@speciozadenis1800
@speciozadenis1800 4 жыл бұрын
Siukaimbe ww
@freelancer6368
@freelancer6368 4 жыл бұрын
We shoga kweli basi waachieni hao washamba wajitafutie riziki muache kuwalalamikia mpambane na hali zenu
@ashrafkaniki5805
@ashrafkaniki5805 4 жыл бұрын
😬😬why three
@ArarsoAli
@ArarsoAli 4 жыл бұрын
Chizi benz wacha ujinga
@jacksonhassanmgoma3667
@jacksonhassanmgoma3667 4 жыл бұрын
Sio ujinga ukweli ndivyo ulivyo
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 4 жыл бұрын
Ww ndo jinga
@wizpopa4610
@wizpopa4610 4 жыл бұрын
Mjinga ww
@hanclove7631
@hanclove7631 4 жыл бұрын
Why 3
@tahiyasaeed
@tahiyasaeed 4 жыл бұрын
Sasa chidi benz ulitakaje? Watu wana record labels wasiwa-promote wasanii wao? Me naona km ulikuwa una shida na promotion ungeomba usaidiwe tu sio unaingilia biashara za watu. Watu na biashara zao lazima waziendeleze
@taufiqkimpa1652
@taufiqkimpa1652 4 жыл бұрын
Etiii bwana bananazoroo upo kwenye mchezo ila tuliaaa km ulivoo kanichekeshaaaa
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 4 жыл бұрын
Interview za chid saiz ni malalamiko 2 jamaa anazingua kila siku kudiss wa2 tu msenge ww ulipokaa juu alikudis Nan!??
@manenojames2011
@manenojames2011 3 жыл бұрын
Kaka nimekuelewa ila naombs uyu jamaa msikilize kiumakini usimukumu kaka mfano kaka ww utakuwa unafatilia gemu kaka
@manenojames2011
@manenojames2011 3 жыл бұрын
Zuchu ametoa jimbo 2 akaitwa kugombea tuzo mnje mfano kaka jux kuna jibu ganu ww ya jux ukisikiliza ww kama ww unatoa au banaba kaka wako wap kaka
@manenojames2011
@manenojames2011 3 жыл бұрын
Aitosh kaka kweli zuchu nyimbo 2 anaitwa mbele ya nandi ana nyimbo ngap kaka kaenda wap kaka ruby kaka na zuch mbali kwa mbali ajaponda muelekwe uyo jmaa utamulewa sana apo
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 3 жыл бұрын
@@manenojames2011 ubora wa nyimbo kutoa nyimbo nyingi sio kushinda tuzo, master kg wa South Africa kashinda tuzo 3 kwa nyimbo 1 imba ki2 kizuri watu wapende
@benjaminsemwenda3152
@benjaminsemwenda3152 4 жыл бұрын
Haki Ya Mungu Kwenye Hii Interview Zuchu Amekoma Kwa KuTajwa 🤣🤣🤣
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 жыл бұрын
Mi binafsi nmuelewa chid
@jasminealmasy9666
@jasminealmasy9666 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maestro1902
@maestro1902 4 жыл бұрын
Bro chid tulia bn mambo ndo yamesha jisetoo ivi hayana la kufany
@elishapntabalezi347
@elishapntabalezi347 4 жыл бұрын
hahaha
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 222 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
P diddy w iburundi ngo ninde😳/twumiweeee.....
43:34
Dan Tv Show
Рет қаралды 634
Celebrities Shutting Down Disrespectful Interviewers
17:44
Heavi
Рет қаралды 18 МЛН
Eminem - Lose Yourself Live at the 2020 Oscars
7:01
Mauser932
Рет қаралды 36 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН