Hongera kwake mkuu wetu,mwenyezi mungu aendelee kumpa Hekima na busara zaidi ili aweze kutekeleza majukumu yake mazito katika nchi yetu
@Santzmedia8 ай бұрын
Amen🙏
@ngowidyness34644 ай бұрын
Mungu akipanga ni vyema kumshukuru ..hongera sana Mr Mkunda
@QueenEdward-ld3fu8 ай бұрын
Daaaah kumbe honger sana kiongoz,,,na mim napenda kujiunga na jkt kiongozi wang
@Santzmedia8 ай бұрын
Karibu sana
@IsaasEliasafi8 ай бұрын
Congratulations sir,l salute you for your good Service.May Almighty God bless you and your family.
@Santzmedia8 ай бұрын
Thanks @IsaasEliasafi 🙏
@magazimahushi64178 ай бұрын
Kweli mungu akiandika ameandika. Huyo Mwamba ana bahati sana. God bless you Gen.Jacob J.Mkunda.
@Santzmedia8 ай бұрын
Amini kuwa unaweza Kisha pambana mkuu ,Yote yanawezekana
@IsaasEliasafi8 ай бұрын
Congratulations for this short story for our CDF, lam proud for him.God bless him.
@Santzmedia8 ай бұрын
Thanks for supporting 😁
@zephaniamkondya99778 ай бұрын
Hongera JMkunda! Kumbe umesoma Nanda HS.Hata mimi nimesoma A level Pale Ndanda.
@Santzmedia8 ай бұрын
😥
@JosphJackson8 ай бұрын
Mungu akulinde Mfalume wa simulizi
@Santzmedia8 ай бұрын
Shukrani Sana 🙏🙏
@WistonmoseslauoMoses5 ай бұрын
Mungu akupe Maisha marefu👨✈️
@BakaryMngoyaАй бұрын
Nimependa hiyo
@AlhajiSuleyman5 ай бұрын
We noma
@ZACHARYBENJAMIN-sx3eb8 ай бұрын
Big up sana kiongozi wetu mungu akulinde sana
@Santzmedia8 ай бұрын
🫡🫡
@amosmahona4338 ай бұрын
Short and clear
@Santzmedia8 ай бұрын
🙏🙏
@modestwenceslaus98 ай бұрын
Hongera sana kamanda Mwenyezi Mungu akuongoze katika utumishi wako kwa Taifa letu.
@Santzmedia8 ай бұрын
🤝🤝
@MickidadMichaelАй бұрын
Make sure utulinde
@StuatisaimonАй бұрын
Safi sdof wetu
@rodgersmwagu2394 ай бұрын
Aminia sana
@piusrweyemamu3900Ай бұрын
Safi
@tumainielmaruwa31488 ай бұрын
Long leave our CDF Mkunda🥇🙏
@FurahaMwasimba5 ай бұрын
Mzee yuko smart
@Wabriged3 ай бұрын
Brother, pray for my mother to go to RTS
@digitalworld55774 ай бұрын
Safi sana Abdul, ni fupi lkn ina ujazo
@Santzmedia4 ай бұрын
Shukrani sana
@ShekhTwalipoul-fh7sd8 ай бұрын
Thanks inapendeza Sana Kwan mwangaza wako ni elimu Cdf
@Santzmedia8 ай бұрын
🤝
@HANDANEWS2Ай бұрын
😊😊😊
@JaneMbegera8 ай бұрын
Congratulations
@Santzmedia8 ай бұрын
Thenks
@NOVATUSVITALIS4 ай бұрын
Safiiiiii
@petermuganda73228 ай бұрын
Salute kwa mkuu
@Santzmedia8 ай бұрын
Heshima kwake
@Omarymussa-pg8ue4 ай бұрын
Jambo sir
@YakubAli-h9v6 ай бұрын
❤❤
@Martin-x6g1q7 ай бұрын
Good
@Santzmedia7 ай бұрын
🤝🤝
@ntirampebapascal82228 ай бұрын
Hapo sawa lakini msipofunguwa macho, mtaamka mukikuta tanzania imekwisha kuwa infiltrated
@Santzmedia8 ай бұрын
🤩🤩🤩🤩
@PhilkevinFelix8 ай бұрын
Mimi ninampongeza General Nkunda. Lakini muandishi unapoamua kuwaeleza wasikilizaji historia ya kiongozi au mtu yeyote ieleze historia usifanye masihara. Kumbuka unamzungumzia General hapa.
@Santzmedia8 ай бұрын
Ok.
@badiomary8223 ай бұрын
Badoo Sana Msimuliaji hajakaa Sawa Kiuchambuzi !!
@JosephMacha-hj2yd5 ай бұрын
🙏👍
@magangacypridion1698 ай бұрын
Kia la kheri Kamanda
@Santzmedia8 ай бұрын
Good
@godfreyjudcate7418 ай бұрын
Mwanangu jaribu kutafautisha L na R mzeee
@Santzmedia8 ай бұрын
Shukrani Sana
@bushiryulaya18438 ай бұрын
simulizi nzuri ila sijaona na kusikia sehemu aliyopitia kozi ya komando
@Santzmedia8 ай бұрын
Sahihi kabisa Ila tutasogeza simulizi nyingine na Yote Hayo tutayataja humo ndani?
@Wamisangi8 ай бұрын
Komando asiye na mbawa!
@nataljr8 ай бұрын
🔥🔥🔥
@Santzmedia8 ай бұрын
Karibu Sanaa🤝
@dunsonditaniumz281125 күн бұрын
kama haei fanya kama traore yeye si mzalendo
@MickidadMichaelАй бұрын
😅😮
@Shebbylaizer8 ай бұрын
❤❤
@Santzmedia8 ай бұрын
Kijana kazaa
@GadafMarwaАй бұрын
Ametshaa
@AnnaSiprian6 ай бұрын
Mwana wa ukaya
@AdamMapuyanga2 ай бұрын
Kumbe wanyumbani
@benjaminsanare-ug6ge8 ай бұрын
Kila la kheri CDF wetu🙏
@RashidiSalimu-qz4nf8 ай бұрын
❤
@tajiguapo37437 ай бұрын
Unasauti ya utangazaji shida ipo tu haujui R na L,Kilosa unasema kirosa,morogoro unasema mologolo, check Spelling zako kwenye ku pronounce utafika mbali.
@Santzmedia7 ай бұрын
Ahsante kwa maoni yako ndugu. Tunaahidi kujirekebisha 📌
@aboodbawazir83388 ай бұрын
Kwale ndio wap ipo tarafa gan
@henrickmbilinyi62318 ай бұрын
Ndanda high school A level 1991_1992
@Santzmedia8 ай бұрын
🤝
@piusrweyemamu3900Ай бұрын
Pia naomba utuletee ufafanuzi wa vyoe vinavyokuwa kwenye kofia za baadhi ya wanajeshi kama nyota n.k na baadahi ya magali ya kijeshi yanakuwa na nyota, Mfano CDF wa sasa ana Sofia yake ina nyota mbili ya CDF msaafu Mabeo haikuwa na nyota hizo, Ufafanuzi tu mzee🫡
Ongera na mm nitafuata nayo zako ,ni mm Jovi biganz
@Santzmedia5 ай бұрын
Shukrani sana
@RashidiSalimu-qz4nf8 ай бұрын
Daa namkubalisan
@Santzmedia8 ай бұрын
🤩👊
@petercostakisoka8 ай бұрын
Amepitia mambo mengi jeshini ndiyo sababu akawa mkuu wa majeshi
@Santzmedia8 ай бұрын
Sahihi kabisa
@SumaSeleka-ph3pg4 ай бұрын
Miakenda😂acha bwana tumesahau kutumia tisa
@michaelbernegomichael4336 ай бұрын
Kijiji Cha Chakwale......sio Kwale
@iddmlenga98528 ай бұрын
Huna historia yake ila unaelezea matukio yake ..
@Santzmedia8 ай бұрын
Ohhh kumbeeee
@boldleader948 ай бұрын
CSF sio Commando bhn 🤣😂😂😂 mpunguze uongo
@Santzmedia8 ай бұрын
Sijakuelewa unamaanisha nini!!??
@abasisapi54747 ай бұрын
Very shallow, hutaji mwaka wa kuzaliwa, eti shule ya msingi alisoma huko kwao! Na renjimenti ndiyo nini?
@Santzmedia7 ай бұрын
Yes @abasisapi tumeyapokea maoni yako ila unachokisikia Hapo ndio kitu tulichokipata Kwa mtafiti wetu hivyo Kuna maaswala mengi Mshirika hakupenda vitajwe kwenye Media so na Sisi tunazingatia Matakwa ya Mtu
@digitalworld55774 ай бұрын
@santz umeeleweka, kwa wenye akili kubwa kwa jinsi ulivyosimulia tumekuelewa kwa nini baadhi ya miaka hukutaja. Big up!