#ujenzi

  Рет қаралды 18,737

Sanuka Media

Sanuka Media

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 ай бұрын
Aisee ahsante fundi vyote vinanigusa mifuko miwili inatosha bhna fundi napenda Mno kumkadilia fundi ,alafu kwa upande wa materials MI ndio mana naendaga mwenyewe hata mchanga nasomba mwenyewe kifusi naeka mwenyewe pia huyu fundi mpumbavu sana yaani nampa malipo yake tunafanya kazi bdae anasema et hela yangu yauchwalaa haionekani mshenzi kweli fanya kazi Kwanzaa ata nkikulipa hela yako ionekane ye anatanguliza hela kwanza
@ThobiasKalima
@ThobiasKalima 5 ай бұрын
Kaka uko vizuri sana kwamawasirino tunakupataje
@estherdavidjohn-py7hh
@estherdavidjohn-py7hh 10 ай бұрын
hongera kwa kutoa elimu mtambuka asante nimepata kitu kikubwa ninapenda kujenga
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 11 ай бұрын
Barikiwa xana kaka haya ndo mambo ya msingi yatanisaidia xana
@salmongivoh2307
@salmongivoh2307 5 ай бұрын
Nashkuru sana kwa elimu nzuri nimejifunza kitu hapa kwa kweli
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 5 ай бұрын
Nimekusikiliza nimekuelewa sana ulicho sema❤❤❤❤❤❤
@nenolakristomaisha.5611
@nenolakristomaisha.5611 Ай бұрын
SAFI KABISA NDUGU
@OfficialA83640
@OfficialA83640 10 ай бұрын
Hapo kwa Jumalokole🙌🙌🙌
@Tiffahmkundia-lz3tc
@Tiffahmkundia-lz3tc 11 ай бұрын
Masha allah ❤❤❤
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 4 ай бұрын
Ahsante kwa ushauri ubarikiwe
@MonikaMbuya
@MonikaMbuya Жыл бұрын
Kaka umeongea point sana sisi tuko huku oman yaan ndugu zetu matapel sana
@hadijamatimbwa-xf8el
@hadijamatimbwa-xf8el Жыл бұрын
Oman sehemu gan
@MonikaMbuya
@MonikaMbuya Жыл бұрын
@@hadijamatimbwa-xf8el barka
@aishafranco1055
@aishafranco1055 11 ай бұрын
Asante broo kwa elimu
@gracekakwezi8941
@gracekakwezi8941 Жыл бұрын
Barikiwa sana brother.,...
@EvamanMsemwa
@EvamanMsemwa Ай бұрын
Sawakaka
@Flaviosafari
@Flaviosafari 10 ай бұрын
Unatusanua kaka. Keep it up bruh.
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 8 ай бұрын
Kakaangu Mungu akubariki sana
@SaumuSaumu-r8i
@SaumuSaumu-r8i Жыл бұрын
Asante kaka
@johanesikalumuna8824
@johanesikalumuna8824 11 ай бұрын
Elim saf kabsaa barikiw saan br
@ibrahimlukumay8430
@ibrahimlukumay8430 Жыл бұрын
❤❤❤❤ much love brother
@sabrihomoud3827
@sabrihomoud3827 10 ай бұрын
napenda kukuuliza mr house ,inatakiwa sentimita ngapi ya cement baina la tofali la juu na chini
@SaidyAllyAbdallah
@SaidyAllyAbdallah 9 ай бұрын
Ushauri mzuri sana
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Binafsi nafurahia uwepo wako, kwa sababu nimejifunza mengi sana. Na sijawai pita bila kuangalia chanel yako.
@SurprisedAtom-hg2wc
@SurprisedAtom-hg2wc 11 ай бұрын
Ntakutafta nmeipenda
@Mego-s4s
@Mego-s4s Күн бұрын
Nataka uje kenya unijenge namba yako
@chamimdesa148
@chamimdesa148 Жыл бұрын
Safi sana
@Stanbul.Y
@Stanbul.Y Жыл бұрын
Shukran mdogo wangu napata faida hapa. Nyumba yangu ya kwanza nilipigwa mno
@aishajuma5079
@aishajuma5079 5 ай бұрын
YANI ACHA MIMI HADI USINGIZI UNAGOMA KIUKWELI MAFUNDI NA WASIMAMIZI😢😢
@godskymwamwaja9785
@godskymwamwaja9785 Жыл бұрын
Mmmmh,yaani,au basi tu acha! Huku mtaani tunapigwa mno,halafu baadhi ya mafundi hawa mafundi,MUNGU anawaona!
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 ай бұрын
Ndugu vitu nunua mwenyewe
@MamaAlex-j7q
@MamaAlex-j7q Жыл бұрын
Nmependa elimu yako
@alhajjwaupe4593
@alhajjwaupe4593 10 ай бұрын
nakubali
@Halimamchafu1174
@Halimamchafu1174 7 ай бұрын
Hata mimi nataka kujemga so nitakutaguta Ila shida ni kwamba najenga Bukoba kagera. Sijui kama mnafika
@hidayaadamu
@hidayaadamu Жыл бұрын
Inshallah
@ZuwenaSoni
@ZuwenaSoni Жыл бұрын
Kweri
@fatumaomary978
@fatumaomary978 Жыл бұрын
Sante sana
@DavidOwuor-gk5oj
@DavidOwuor-gk5oj 4 ай бұрын
❤❤❤
@ammymodu7306
@ammymodu7306 Жыл бұрын
Ntakutafuta kwa kweli unatupa ukweli
@aishajuma5079
@aishajuma5079 5 ай бұрын
YANI ASIEKUELEWA ACHA TU NIKO NA CHANGAMOTO HADI KICHWA KINAUMA😢😢😢 JAMANI KAKA KUKUTAFUTA NAKUPATA WAPI
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 4 ай бұрын
Asa kama upo mbali utafanyaje? Inabidi uagize
@Nancy-z8h
@Nancy-z8h Жыл бұрын
Umenitia moyo wa kujenga nyumba kubwa na sio nyumba ndogo tena
@ombenimwanjali
@ombenimwanjali 8 ай бұрын
Namba za simu tuwekee kaka
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 11 ай бұрын
😢😢🤕😊
@hadijaseboha5188
@hadijaseboha5188 8 ай бұрын
Hivi Kati ya msingi wa Mawe Na wa tofali Ni UPI Bora?
@bientismail5117
@bientismail5117 6 ай бұрын
Swali zuri
@mangofish9079
@mangofish9079 3 ай бұрын
Mawe ni imara zaidi
@mkamaproducer
@mkamaproducer 5 ай бұрын
Jarbu kutujibu bas n ss
@ibrahimlukumay8430
@ibrahimlukumay8430 Жыл бұрын
Duu mbona imeniguza jumba yangu Niko mbali nayo broo Sina budi kazi
@mkamaproducer
@mkamaproducer 6 ай бұрын
Nauliza swali kwamba et ni sheria kwamba kujenga nyumba mlango lazima uangaliye barabarani???
@aishajuma5079
@aishajuma5079 5 ай бұрын
Nilazima 😅unataka milango miwili uani
@patrickmarwa5024
@patrickmarwa5024 8 ай бұрын
Mimi naitaji kuendeleza ujenzi mimi na wewe tu kwenye ujenzi na tuma pesa moja kwa moja kwako.unaweka fundi mwaminifu lakini ndugu wanambadilisha site uwezi kuamini ndio huyu fundi ni ngumu sana ishu ni fundi kuwa mwaminifu tu.
@aishajuma5079
@aishajuma5079 5 ай бұрын
😢😢😢😢
@ShaeebMohammed-e1h
@ShaeebMohammed-e1h Жыл бұрын
Swali langu fundi eti mfuko 1 wasaruji unaweza kupachika tofali ngapi?
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
40
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
Ntakutafuta kaka yan nakupenda had natamani unifundishe kujenga japo mm mwanamke
@fatmakanyanga3149
@fatmakanyanga3149 Жыл бұрын
#bahebekukona njoo huku usikie @bahebelukona
@raykonzo7232
@raykonzo7232 11 ай бұрын
Uko vizuri
@estherdavidjohn-py7hh
@estherdavidjohn-py7hh 10 ай бұрын
hongera kwa kutoa elimu mtambuka asante nimepata kitu kikubwa ninapenda kujenga
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF
15:06
NSSF TANZANIA
Рет қаралды 18 М.
Ujenzi Kamilifu wa Msingi wa Ghorofa
7:38
SwahiliUnits
Рет қаралды 4,1 М.
Ramani ya nyumba ya kisasa ID#-0040 yenye vyumba 4 (0674420404)
3:57
RAMANI ZA NYUMBA MWANZA TZ
Рет қаралды 15 М.
SIKILIZA FULL BAJETI YA HUU MSINGI MPAKA KUMALIZIKA #ujenzinafuu
5:18